Mkuu Nguruvi3, ndiyo maana niliwahi kumkanya huyu mchochezi kwamba akitaka kueneza uongo ahakikishe anatunza kumbukumbu...ona sasa anavyoumbuka kwa kukana maandishi yake yeye mwenyewe humu ndani...JF inatunza kumbukumbu na haya tunayoyaandika tuangalie sana, yasije yakatusuta baadaye!
Africas Greatest of all timeKwenye hii kumbukumbu ya Africa's greatest iliyoandikwa kwenye NewAfrican (si Chuo cha Kivukoni) ambayo mchochezi Mohamed Said anatamba kuwa moja wa wachangiaji, Abdulwahid Sykes na Mshume Kiyate tuwaweke wapi? Kwangu ni tusi kubwa kwa taifa hata kuwataja tu watu hawa kila anapotajwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kwa manufaa ya wasomaji wote wa JF, hakuna hata jina moja la wazee wa Gerezani wa Mohamed Said lipo kwenye "top 1,000,000 of Africa's Greatest!"...there!
Huyo kaburu wa Afrika kusini na Nyerere ni Africa Greatest!