Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ritz,

Unajua leo nimekuwa mtu mzima hukaa nikarudi nyuma kuangalia nilikotoka na
niliyojifunza katika maisha yangu.

Nilipokuwa mtoto hamu yangu ilikuwa kuja kuwa star footballer nicheze Sunderland
kisha timu ya taifa.

Lakini nadhani sikuwa na ile ''what it takes'' kipaji changu kilikuwa chini kwa kuwa wako
wenzangu walifanikiwa na kuweka majina katika vilabu vikubwa vya Dar es Salaam ya
1960/70s.

Kuna kitu nilijifunza katika mpira.
Nilikuwa nikikabwa na watu wawili ilikuwa ni wepesi kuwatoka kuliko mmoja.

Mimi Mag3 na Ngurivi34 wananipa raha sana wanapokuja kujaribu kupambana na mimi
najiona niko Tua Tugawe 1960s beki mkali Atika Kombo na mwenzake Mandemla wananikamia
kunikomesha hiki ''kitoto cha magorofani'' kinajidai kijanja sana...

Naingia na mpira kwa kuwafata uso kwa uso na wao huwa na hofu ya kuogopa kupigwa chenga
na kitoto itakuwa aibu kila mmoja anamtegea aende mwenzake.

Ikiwa uko kidogo nje ya 18 na kuna ule upigaji wa mkono wa kulia nje pembeni more often than not
goli huingia.

Basi huwa hivi ndivyo fikra zangu huzitoa kule leo nikazileta kwa hawa ndugu zangu.
Wakinichangia ndiyo wanavyonidhihirishia maneno ya maalim wangu Sheikh Haruna.

Akisema, ''Na hayo mabuku ya skuli unatalii vizuri naukiyatalii vyema utakuwa mjuzi na hapo wewe
utakuwa rais katika mnakasha wowote... utatawala.''

Allah amlipe pepo.
Amin.
Kwa kujisifu tu hakuna anayekuweza. Nakushauri acha watu wakusifu na sio wewe kujisifu kwa mambo yasiyo na maana kama haya. Hujajibu hata hoja moja ya hao unaowafananisha na wachezaji mpira enzi za ujana wako!
 
G,

Hakika sisi ni wachache.
Tumekuja kukfanyieni vita kwenye uwanja wenu juu ya uchache wetu.

Lakini usisahau kuna wasikilizaji 80,000 plus wametega masikio wanatusikiza.
Hawa ndiyo muhimu kwetu.
Mtoto wa mbu aliwatembelea binadamu barazani kwao, aliporudi aliulizwa na wazazi wake kwamba alipokelewaje na wenyeji huko alikotembelea, mtoto wa mbu alisema; Oh! binadamu ni wakarimu sana kwani walinipokea kwa shangwe sana, kwanza niliwakuta wakiwa wengi sana, na kila nilipopita walikuwa wananipokea kwa ukarimu huku wakinipigia makofi kwa shangwe! Wazazi wa mbu wakamwambia mtoto wao: Hakika umekoswa koswa na mauti yoko. Usirudi huko tena, binadamu hao hakuwa wana kufurahia!
 
Kwa kujisifu tu hakuna anayekuweza. Nakushauri acha watu wakusifu na sio wewe kujisifu kwa mambo yasiyo na maana kama haya. Hujajibu hata hoja moja ya hao unaowafananisha na wachezaji mpira enzi za ujana wako!

G,

Ebo!

Wewe ulitakaje.
Hizi ni salamu zako eti.

Zichukue upendavyo.
Si kuwa huniwezi kwa ''kujisifu.''

Hata kwa kuandika huniwezi.
Au unabisha?

Uislam hautoi shavu la pili lipigwe.
Moto unapambana na moto.

Lakini ikija sulhu lazima na ni fardhi
ukubali sulhu.

Majisifu ni moja ya hulka za Kimanyema.

Ndiyo maana sisi hata msikiti lazima tujenge
wa kwetu.

Usione nikiwa najibu nimetulia mnatukana niko
kimya mkadhani mimi ni dhaifu.

Naviweza sana vita.
 
G,

Ebo!

Wewe ulitakaje.
Hizi ni salamu zako eti.

Zichukue upendavyo.
Si kuwa huniwezi kwa kujisifu.

Hata kwa kuandika huniwezi.
Au unabisha?

Majisifu ni moja ya hulka za Kimanyema.

Ndiyo maana sisi hata msikiti lazima tujenge
wa kwetu
.
Nadhani wakati umefika wa kuanza kufikiri kama mtanzania mpenda amani na sio kama mmanyema/muislam mpenda uchochezi, fitina na mvuruga amani!
 
Mtoto wa mbu aliwatembelea binadamu barazani kwao, aliporudi aliulizwa na wazazi wake kwamba alipokelewaje na wenyeji huko alikotembelea, mtoto wa mbu alisema; Oh! binadamu ni wakarimu sana kwani walinipokea kwa shangwe sana, kwanza niliwakuta wakiwa wengi sana, na kila nilipopita walikuwa wananipokea kwa ukarimu huku wakinipigia makofi kwa shangwe! Wazazi wa mbu wakamwambia mtoto wao: Hakika umekoswa koswa na mauti yoko. Usirudi huko tena, binadamu hao hakuwa wana kufurahia!

G,

Nipe hizi nyingi sana.
Kweli nimefurahi.

Si wakati wote ni mambo mazito tu.
Kuna wakti wa kusoma ''Beano'' na ''Dandy.''
 
Nadhani wakati umefika wa kuanza kufikiri kama mtanzania mpenda amani na sio kama mmanyema/muislam mpenda uchochezi, fitina na mvuruga amani!

G,

Hiyo red ndiyo club yangu Sunderland.
Ila siku nyingine itie iwe bold.

Utanifurahisha zaidi.
 
Sifa za kijinga! kunywa wine umeona issue eti ndio ma great thinkers upumbavu mtupu saa nyingine muwe munaficha upumbavu sio kilakitu ni cha kuleta hapa

Mjinga mwenyewe. Nilikuwa namjibu Ritz. Ulaaniwe!
 
Nadhani wakati umefika wa kuanza kufikiri kama mtanzania mpenda amani na sio kama mmanyema/muislam mpenda uchochezi, fitina na mvuruga amani!

G,

Amani itasimama na kudumu katka jamii ambayo haki
inathaminiwa.

Hapana mabwana na watwana.
Hapana dhulma.

Hiki ndiyo sote tunachokililia.
 
Mohamed Said.

Tupe habari za Jaffari Idd aliekuwa mpishi wa Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said.

Tupe habari za Jaffari Idd aliekuwa mpishi wa Nyerere.

Ritz,

Tena bwana nilikuwa na picha ya Jaffar Idd alipiga na Nyerere Tabora 1958.
Picha hii alinipa Mzee Bilal Rehani Waikela.

Picha hii nilimpa James Odindo wakati ule Mhariri wa The East African waitumie
katika zile series za kitabu changu December 1998.

Ile picha haukurudi hadi leo.

Mara baada ya kurudi kutoka Tanga Nyerere aliondoka kwenda Tabora akiongoza ujumbe mkubwa sana kutoka makao makuu ndani yake wakiwemo:

  1. Sheikh Suleiman Takadir,
  2. Bibi Titi Mohamed,
  3. John Rupia,
  4. Elias Kissenge,
  5. Dossa Aziz,
  6. Julius Mwasanyangi,
  7. Michael Lugazia,
  8. Ramadhani Chaurembo,
  9. Hussein Mbaruk,
  10. Clement Mtamila,
  11. Idd Tulio,
  12. Mzee Salum,
  13. Idd Tosiri,
  14. Hadari Mwinyimvua,
  15. Rajab Diwani,
  16. Juma Selemani (Juma Mlevi)
  17. na wengine.
Katika miaka ya 1950 Tabora ulikuwa mji mdogo usiokuwa na uwezo wa kuhimili ugeni kwa ujumbe mkubwa kama ule wa TANU ambao ulitoka majimbo yote ya Tanganyika.

Ofisi ya wilaya ya TANU, Tabora, sasa chini ya uwenyekiti wa Mohamed Mangiringiri, fundi cherahani aliyeajiriwa na mfanyabiashara wa Kiasia, G. B. Somji, iliwashirikisha wanachama wote na vyama vilivyokuwa na udugu na TANU kwa kuwaomba wachange kwa ukarimu fedha ili kufanikisha mkutano ule na vilevile wachangie chochote watakachoweza kutoa kwa ajili ya kuwakimu wageni.

Wanachama walitoa nyumba zao kwa ajili ya malazi ya wajumbe, wengine walitoa vyakula, mablanketi, shuka, magodoro na samani.

Wale matajiri walijitolea fedha taslimu. Usalama wa wajumbe ulikabidhiwa kikundi cha TANU Bantu Group. Ramadhani Abdallah Singo, [1] wakati huo akiwa na umri wa miaka ishirini na nane na aliyekuwa na sifa ya ubabe na Abdallah Saidi Kassongo, akiwa na umri wa miaka ishirini na nne wote wawili wanachama wa Bantu Group walikabidhiwa kazi ya kumlinda rais wa TANU, Nyerere mara tu atakapokanyaga ardhi ya Tabora.

Issa Kibira, mwanachama muasisi wa tawi la African Association mjini Tabora na sasa mwanasiasa mkongwe na mwenye kuheshimiwa alijitolea kumkaribisha Nyerere nyumbani kwake.

Makamu wa rais wa TANU John Rupia na Michael Lugazia walilala katika nyumba nyingine ya Kibira.

Kijana mmoja kwa jina Jaffari Idd alichaguliwa maalum kumpikia chakula Nyerere.

Mwaminifu kama alivyokuwa, Jaffari alilazimika kula yamini - kiapo cha Kiislamu, kuwa hatashawishika kwa namna yoyote ile na katika hali yoyote kumruhusu adui amshawishi kumtilia Nyerere sumu katika chakula.

Jaffari alikumbushwa na wale waliomlisha yamini kuwafikiria Waafrika milioni tisa nchini Tanganyika waliokuwa wanamtegemea Nyerere kama mkombozi wao.
 
Ritz,

Tena bwana nilikuwa na picha ya Jaffar Idd alipiga na Nyerere Tabora 1958.
Picha hii alinipa Mzee Bilal Rehani Waikela.

Picha hii nilimpa James Odindo wakati ule Mhariri wa The East African waitumie
katika zile series za kitabu changu December 1998.

Ile picha haukurudi hadi leo.

Mara baada ya kurudi kutoka Tanga Nyerere aliondoka kwenda Tabora akiongoza ujumbe mkubwa sana kutoka makao makuu ndani yake wakiwemo:

  1. Sheikh Suleiman Takadir,
  2. Bibi Titi Mohamed,
  3. John Rupia,
  4. Elias Kissenge,
  5. Dossa Aziz,
  6. Julius Mwasanyangi,
  7. Michael Lugazia,
  8. Ramadhani Chaurembo,
  9. Hussein Mbaruk,
  10. Clement Mtamila,
  11. Idd Tulio, Mzee Salum,
  12. Idd Tosiri,
  13. Hadari Mwinyimvua,
  14. Rajab Diwani,
  15. Juma Selemani (Juma Mlevi)
  16. na wengine.
Katika miaka ya 1950 Tabora ulikuwa mji mdogo usiokuwa na uwezo wa kuhimili ugeni kwa ujumbe mkubwa kama ule wa TANU ambao ulitoka majimbo yote ya Tanganyika.

Ofisi ya wilaya ya TANU, Tabora, sasa chini ya uwenyekiti wa Mohamed Mangiringiri, fundi cherahani aliyeajiriwa na mfanyabiashara wa Kiasia, G. B. Somji, iliwashirikisha wanachama wote na vyama vilivyokuwa na udugu na TANU kwa kuwaomba wachange kwa ukarimu fedha ili kufanikisha mkutano ule na vilevile wachangie chochote watakachoweza kutoa kwa ajili ya kuwakimu wageni.

Wanachama walitoa nyumba zao kwa ajili ya malazi ya wajumbe, wengine walitoa vyakula, mablanketi, shuka, magodoro na samani.

Wale matajiri walijitolea fedha taslimu. Usalama wa wajumbe ulikabidhiwa kikundi cha TANU Bantu Group. Ramadhani Abdallah Singo, [1] wakati huo akiwa na umri wa miaka ishirini na nane na aliyekuwa na sifa ya ubabe na Abdallah Saidi Kassongo, akiwa na umri wa miaka ishirini na nne wote wawili wanachama wa Bantu Group walikabidhiwa kazi ya kumlinda rais wa TANU, Nyerere mara tu atakapokanyaga ardhi ya Tabora.

Issa Kibira, mwanachama muasisi wa tawi la African Association mjini Tabora na sasa mwanasiasa mkongwe na mwenye kuheshimiwa alijitolea kumkaribisha Nyerere nyumbani kwake.

Makamu wa rais wa TANU John Rupia na Michael Lugazia walilala katika nyumba nyingine ya Kibira.

Kijana mmoja kwa jina Jaffari Idd alichaguliwa maalum kumpikia chakula Nyerere.

Mwaminifu kama alivyokuwa, Jaffari alilazimika kula yamini - kiapo cha Kiislamu, kuwa hatashawishika kwa namna yoyote ile na katika hali yoyote kumruhusu adui amshawishi kumtilia Nyerere sumu katika chakula.

Jaffari alikumbushwa na wale waliomlisha yamini kuwafikiria Waafrika milioni tisa nchini Tanganyika waliokuwa wanamtegemea Nyerere kama mkombozi wao.

Mohamed Said,

Nakuombea dua Mungu akuzidishie kutupa darsa.

Kuna wengine ukiandika majina hayo ya wazee wazelendo kwao wanasema ni matusi makubwa.
 
Gwalihenzi,

Tupe habari za George Magembe na Stephen Mhando katika harakati za TAA.
 
Last edited by a moderator:
Hata kidogo; kwanini liwe tusi wakati nami hawa nawapenda na kuwaheshimu kuwa ni wazee wangu? au unafikiri ni wazee wa Waislamu tu kama Mohammed Said anavyotaka?

Hebu rekebisha sentensi yako.

Angalia post zangu na wala hutaona sehemu niliyomlaani Nyerere.
Kwanza Nyerere hakua Saint kwamba hawezi kufanya makosa na Nyerere mwenyewe aliwahi kukubali makosa yake akiwa hai.

Mohamed Said jabokua ameegemea zaidi kwa wazeee waislam lakini kuna baadhi ya wakristo ambao walisahauliwa kwenye historia ya Kigamboni na ambao wanastahili kutajwa kwenye historia ya uhuru wa Tanzania.
Bila ya Mohamed hawa watu wangekua kwenye jalala la historia.
Alitajwa mwanamke wa kimasai mukaanza kudharau na kejeli.

Hizi za kudharau nakukejeli watu walisahauliwa ndio zinamishusha chart.
 
Back
Top Bottom