Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
Ritz huyu jamaa hawezi kukupa habari huyu kazi yake ni matusi na kuupinga uislamu jitu likishakuwa ni pagans ahh matatizo matupu wacha tuendelee kupata darsa la mzee MS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samahani kaka huyu bob marley mvuta bangi au juna mwengine
Hivi mnafahamu kuwa huyu ndiye alikuwa mwanamuziki wa kwanza maarufu kutoka thirld world, just imagine leo miaka 32 toka amefariki lakini grammy awards nyimb yake "could u b loved" inapigwa. Hii ilikuwa mashine nyingine, au hujajua "get up stand up" ni namna gani ili-inspire wapigania uhuru kusini mwa afrika?
Muulize mzee wako Mohamed Said maana yeye ndie mnae muamini zaidi kwa kuwa ni mmanyema mwenye tambo na muislam safi anayeweza kujenga miskiti kila anakokwenda.
Kwa mtazamo wako mabwana ni akina nani na watwana ni akina nani ktk nchi yetu? Katika mahubiri yako na uchochezi wako hujaainisha matabaka ila tofauti ya imani za watanzania!G,
Amani itasimama na kudumu katka jamii ambayo haki
inathaminiwa.
Hapana mabwana na watwana.
Hapana dhulma.
Hiki ndiyo sote tunachokililia.
Poa moyo, ushauri umezingatiwa.G,
Hiyo red ndiyo club yangu Sunderland.
Ila siku nyingine itie iwe bold.
Utanifurahisha zaidi.
Unajaribu kuwasemea maiti lakini wenyewe kama wangekusikia basi wangekushangaa sana.Mmoja wao ni Mzee Abdullah Fundikira na baba yake.Angalia hapa mjukuu anavyosema keronyingiInaonekana basi wazee wako walikuwa na heshima ya kweli na mapenzi kwa Nyerere kuliko nyinyi watoto wao. Lakini kama wazee wako ndio hawa wazee wa Kitanganyika ambao walipendana kweli na udugu wa kweli na ndugu zao Wakristu; hawa ambao hawakutaka kumdhuru Nyerere - sababu ya Ukatoliki wake - akikaa katikati yao;(1) hawa wazee ambao walikuwa tayari kwenda kulinda Kanisa ili Nyerere asali pale na wakienda naye kwenye kufanya dua na matambiko; hawa wazee hawa huko waliko lazima wakushangae unayoyasema dhidi ya Nyerere na kumdunisha mbele ya Waislamu watu ambao Nyerere aliwapenda, walimpenda, alisimama nao na yeye akasimama nao hadi mauti. Hii faraka uliyoianzisha wewe wala haina sifa wa kujitamba. Unapaswa ufikirie mara mbili unavyotumia majina ya wazee wetu hawa kuwagawanya Watanzania na kuchochea fitna kati yetu bila kuchoka.
Leo maskini wa Mungu unafurahia unaposikia vijana wa Kiislamu - pasi ya kujua - wanamlaani Nyerere, leo mzee unafurahia kusikia Nyerere anaitwa Dhalim ukiamini unafanya jema? Leo Nyerere anatukanwa na kubezwa kwa sababu ya histohisia ya maandishi yako na unasimama kutumia jina la wazee kuhalalisha?
Lahaula! Mzee Said mrudi Mungu, mwingi wa rehema, mwenye kusamehe madhambi yetu na mwenye kutujalia neema ndogo ndogo na neema kubwa kubwa! Atakupa nafasi usaidia kuliponya taifa lako ambalo kwa kutumia mikuki yako ya maeneno umelijeruhi na sasa damu inamwagika huku ukiwafurahia marafiki zako ambao wametangaza kutaka kuwaua ndugu zao Wakristu pasi ya sababu yoyote ile. Mwenyeewe unajiaminisha kuwa unafanya hivyo kwa jina la Dini..
Mzee Said mwombe toba Mnyezi Mungu!!

Mkuu Chakaza, hapo umenena. Tena wengine tupo nao kwenye "chair fire" mtindo mmoja!Bora wewe mkuu unayetamka kuwa unapata wine kidogo kuburudisha akili namwili hadharani,kuliko hao wanaojifanya wanaichukia wine hadharani na kufakamia gongo lita kadhaa kwa kificho.
Ndio tabia walizonazo wanafiki hizo,achana nae.
Kwa mtazamo wako mabwana ni akina nani na watwana ni akina nani ktk nchi yetu? Katika mahubiri yako na uchochezi wako hujaainisha matabaka ila tofauti ya imani za watanzania!
Asante ustaadh, lakini mie sio "Pagans", labda kama unatumia maneno bila kujua maana yake hayo ni matatizo.Ritz huyu jamaa hawezi kukupa habari huyu kazi yake ni matusi na kuupinga uislamu jitu likishakuwa ni pagans ahh matatizo matupu wacha tuendelee kupata darsa la mzee MS
Tatizo,liko hapa chuki zilianzia hapa, wazee wa gerezani kwa sababu hawana uwezo intellectually,hawakuwemo kwenye hilo baraza la mawaziri-hapa ndio wazee wa MS wakaanza kusema Nyerere hana fadhila
![]()
Ami, mtaa una nyumba kumi ndio nini???kwa hiyo alitaka mtaa utoke dar mpaka morogoro-hii cheap talk si mahala pake JF-hawa wazee wengine walisaidia sana-lakini wakawa na too much expectations na sintofahamu ya uhuru-wakakutana na no nosense approach ya Nyerere-matokeo ndio hayo kuthrow toys out of the pram
mzee Ms,Jasusi,
Naamini unajua kuwa sijawahi kugusia ustaarabu wa Nyerere katika
mjadala huu.
Huwa sifurahishwi na maneno yanayoweza kumvunjia adabu mtu mzima.
Njozi ameandika kama mwanaharakati wa kiislam, amezungumzia matatizo ya waislam. Mbona hayasemi matatizo ya wakulima wadogo (peasants) wa Tanzania kwa ujumla wao?Mbona hawataji mafisadi na wala rushwa wakubwa katika serikali zote za Tanzania waislam wakiwamo?Wakati Njozi anaandika hicho kitabu chake,mstakabali wa elimu katika nchi hii ndio ulikuwa unayumba sana mpaka pale University Ya Dar ambapo Njozi akigombana na wa kuu wa idara yake ya "Literature" mbona hakukemea hayo? Wacha kumkweza Njozi anayeona kuonewa kwa waislam lakini haonikunyonywa na kuonewa kwa wakata miwa wa Kilombero!G,
Kisome Mwembechai Killings cha Njozi.
Kitabu kile kilikuwa jibu la Benjamin Mkapa alipotupa
changamoto Waislam tumpe ushahidi wa kisiasa kama
Waislam tunadhulumiwa.
Ushahidi wa kisiasa ulipotolewa...
Hofu kuu ikagumika serikali na uamuzi ukawa kukifungia
kitabu.
Kisome kitabu hiki yote yamo ndani.
Utawajua mabwana na watwana.
Humo nami utanikuta.
Njozi kanitaja kukazia hoja zake.
Mohamed Said unaleta ngano za gerezani hata katika world history!!!! Patton mtu wa kumwambia Rommel dhaifu-huyu Rommel ambaye military historians wamekubali was a brilliant strategist na pincer movement yake wa israel wakaitumia to a devasting effect during the seven day war
Njozi ameandika kama mwanaharakati wa kiislam, amezungumzia matatizo ya waislam. Mbona hayasemi matatizo ya wakulima wadogo (peasants) wa Tanzania kwa ujumla wao?Mbona hawataji mafisadi na wala rushwa wakubwa katika serikali zote za Tanzania waislam wakiwamo?Wakati Njozi anaandika hicho kitabu chake,mstakabali wa elimu katika nchi hii ndio ulikuwa unayumba sana mpaka pale University Ya Dar ambapo Njozi akigombana na wa kuu wa idara yake ya "Literature" mbona hakukemea hayo? Wacha kumkweza Njozi anayeona kuonewa kwa waislam lakini haonikunyonywa na kuonewa kwa wakata miwa wa Kilombero!