Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Gwalihenzi,

Tupe habari za George Magembe na Stephen Mhando katika harakati za TAA.

Ritz huyu jamaa hawezi kukupa habari huyu kazi yake ni matusi na kuupinga uislamu jitu likishakuwa ni pagans ahh matatizo matupu wacha tuendelee kupata darsa la mzee MS
 
samahani kaka huyu bob marley mvuta bangi au juna mwengine

Hivi mnafahamu kuwa huyu ndiye alikuwa mwanamuziki wa kwanza maarufu kutoka thirld world, just imagine leo miaka 32 toka amefariki lakini grammy awards nyimb yake "could u b loved" inapigwa. Hii ilikuwa mashine nyingine, au hujajua "get up stand up" ni namna gani ili-inspire wapigania uhuru kusini mwa afrika?
 
Mohamed Said unaleta ngano za gerezani hata katika world history!!!! Patton mtu wa kumwambia Rommel dhaifu-huyu Rommel ambaye military historians wamekubali was a brilliant strategist na pincer movement yake wa israel wakaitumia to a devasting effect during the seven day war
 
Last edited by a moderator:

Huyu jamaa mtumiaji wa madawa ya kulevya vijana wengi sana kawaingiza kwenye bangi.
 
Tatizo,liko hapa chuki zilianzia hapa, wazee wa gerezani kwa sababu hawana uwezo intellectually,hawakuwemo kwenye hilo baraza la mawaziri-hapa ndio wazee wa MS wakaanza kusema Nyerere hana fadhila
I961-Ministers-of-Tanganyika-Indepency.jpg
 
Gwalihenzi,

Tupe habari za George Magembe na Stephen Mhando katika harakati za TAA.
Muulize mzee wako Mohamed Said maana yeye ndie mnae muamini zaidi kwa kuwa ni mmanyema mwenye tambo na muislam safi anayeweza kujenga miskiti kila anakokwenda.
 
G,

Amani itasimama na kudumu katka jamii ambayo haki
inathaminiwa.

Hapana mabwana na watwana.
Hapana dhulma.

Hiki ndiyo sote tunachokililia.
Kwa mtazamo wako mabwana ni akina nani na watwana ni akina nani ktk nchi yetu? Katika mahubiri yako na uchochezi wako hujaainisha matabaka ila tofauti ya imani za watanzania!
 
Inaonekana basi wazee wako walikuwa na heshima ya kweli na mapenzi kwa Nyerere kuliko nyinyi watoto wao. Lakini kama wazee wako ndio hawa wazee wa Kitanganyika ambao walipendana kweli na udugu wa kweli na ndugu zao Wakristu; hawa ambao hawakutaka kumdhuru Nyerere - sababu ya Ukatoliki wake - akikaa katikati yao;(1) hawa wazee ambao walikuwa tayari kwenda kulinda Kanisa ili Nyerere asali pale na wakienda naye kwenye kufanya dua na matambiko; hawa wazee hawa huko waliko lazima wakushangae unayoyasema dhidi ya Nyerere na kumdunisha mbele ya Waislamu watu ambao Nyerere aliwapenda, walimpenda, alisimama nao na yeye akasimama nao hadi mauti. Hii faraka uliyoianzisha wewe wala haina sifa wa kujitamba. Unapaswa ufikirie mara mbili unavyotumia majina ya wazee wetu hawa kuwagawanya Watanzania na kuchochea fitna kati yetu bila kuchoka.

Leo maskini wa Mungu unafurahia unaposikia vijana wa Kiislamu - pasi ya kujua - wanamlaani Nyerere, leo mzee unafurahia kusikia Nyerere anaitwa Dhalim ukiamini unafanya jema? Leo Nyerere anatukanwa na kubezwa kwa sababu ya histohisia ya maandishi yako na unasimama kutumia jina la wazee kuhalalisha?

Lahaula! Mzee Said mrudi Mungu, mwingi wa rehema, mwenye kusamehe madhambi yetu na mwenye kutujalia neema ndogo ndogo na neema kubwa kubwa! Atakupa nafasi usaidia kuliponya taifa lako ambalo kwa kutumia mikuki yako ya maeneno umelijeruhi na sasa damu inamwagika huku ukiwafurahia marafiki zako ambao wametangaza kutaka kuwaua ndugu zao Wakristu pasi ya sababu yoyote ile. Mwenyeewe unajiaminisha kuwa unafanya hivyo kwa jina la Dini..

Mzee Said mwombe toba Mnyezi Mungu!!
Unajaribu kuwasemea maiti lakini wenyewe kama wangekusikia basi wangekushangaa sana.Mmoja wao ni Mzee Abdullah Fundikira na baba yake.Angalia hapa mjukuu anavyosema keronyingi
Tulipoadhimisha miaka 50 ya uhuru pale uwanja wa taifa na baadaye IKULU pakawa na utoaji wa nishani kwa wawakilishi wa walioshiriki kupigania uhuru. Pale yalitajwa majina 14 kwa mshangao wangu na wa ukoo mzima wa Fundikira hatukusikia jina la Chifu Abdallah Said Fundikira ambaye alitumika kuwashawishi machifu wenzie waiunge mkono TANU katika harakati za kugombea uhuruna alifanikiwa kuwashawishi na wakaiunga mkono TANU hatimaye kupata uhuru. Lakini tangu Mwalimu Nyerere alipoanzisha mfumo wa chama kimoja ndipo walipokorofishana na mpigania uhuru mwenzie Chifu Abdallah Fundikira ambapoa baadae walikubaliana kutokubaliana na ndipo Chifu Fundikira akajiuzulu wadhifa wake wa Uwaziri wa sheria 1963. Lakini tangu siku hiyo serikali ya za TANU na baadaye CCM zimekuwa hazimtendei haki kiongozi huyo na si yeye tu hata babu wa babu yake Mtemi Isike Mwana Kiyungi amekuwa akiwekwa pembeni pale anapotajwa Mtemi wa Tabora na Badala yake kutajwa Mtemi Mirambo pekee na hata ukiangalia majengo pacha ya benki kuu ya Tanzania yanaitwa Mirambo Towers. Sijapata kusikia hata uchochoro tu umepewa jina la Mtemi Isike. Kana kwamba hiyo haitoshi Chifu Abdallah Fundikira kapewa mtaa pale Magomeni Makuti, mtaa huo una nyumba zipatazo kumi tu ukifananisha na wapigania uhuru wengine. Sasa kwa nini hayo yanatokea mimi sielewi labda iulizwe serikali.

Abdullah Said Fundikira,baba yake na Nyerere.
 
Bora wewe mkuu unayetamka kuwa unapata wine kidogo kuburudisha akili namwili hadharani,kuliko hao wanaojifanya wanaichukia wine hadharani na kufakamia gongo lita kadhaa kwa kificho.
Ndio tabia walizonazo wanafiki hizo,achana nae.
Mkuu Chakaza, hapo umenena. Tena wengine tupo nao kwenye "chair fire" mtindo mmoja!
 
Kwa mtazamo wako mabwana ni akina nani na watwana ni akina nani ktk nchi yetu? Katika mahubiri yako na uchochezi wako hujaainisha matabaka ila tofauti ya imani za watanzania!

G,

Kisome Mwembechai Killings cha Njozi.

Kitabu kile kilikuwa jibu la Benjamin Mkapa alipotupa
changamoto Waislam tumpe ushahidi wa kisiasa kama
Waislam tunadhulumiwa.

Ushahidi wa kisiasa ulipotolewa...

Hofu kuu ikagumika serikali na uamuzi ukawa kukifungia
kitabu.

Kisome kitabu hiki yote yamo ndani.
Utawajua mabwana na watwana.

Humo nami utanikuta.
Njozi kanitaja kukazia hoja zake.
 
Ami, mtaa una nyumba kumi ndio nini???kwa hiyo alitaka mtaa utoke dar mpaka morogoro-hii cheap talk si mahala pake JF-hawa wazee wengine walisaidia sana-lakini wakawa na too much expectations na sintofahamu ya uhuru-wakakutana na no nosense approach ya Nyerere-matokeo ndio hayo kuthrow toys out of the pram
 
Last edited by a moderator:
Ritz huyu jamaa hawezi kukupa habari huyu kazi yake ni matusi na kuupinga uislamu jitu likishakuwa ni pagans ahh matatizo matupu wacha tuendelee kupata darsa la mzee MS
Asante ustaadh, lakini mie sio "Pagans", labda kama unatumia maneno bila kujua maana yake hayo ni matatizo.
 
Tatizo,liko hapa chuki zilianzia hapa, wazee wa gerezani kwa sababu hawana uwezo intellectually,hawakuwemo kwenye hilo baraza la mawaziri-hapa ndio wazee wa MS wakaanza kusema Nyerere hana fadhila

I961-Ministers-of-Tanganyika-Indepency.jpg

Son...

Hapana wazee wangu walikuwa watu wajuzi na walijua kikomo chao.

Mpango uliokuwa umewekwa ndiyo ule aliokuwa anausimamia Sheikh
Hassan bin Amir na EAMWS wa kujenga shule na Chuo Kikuu.

Wazee wangu hawakuwa watu wa hasad.
Soma historia ya uhuru utaliona hilo.

Tatizo lilikuwa pale njama zilipoanza kupinga juhudi za Waislam kujitafutia
maendeleo na hapo ni pale kanisa lilipoanza kuingia katika kuendesha serikali.

The rest is history...kama wasemavyo Waingereza.
 
Ami, mtaa una nyumba kumi ndio nini???kwa hiyo alitaka mtaa utoke dar mpaka morogoro-hii cheap talk si mahala pake JF-hawa wazee wengine walisaidia sana-lakini wakawa na too much expectations na sintofahamu ya uhuru-wakakutana na no nosense approach ya Nyerere-matokeo ndio hayo kuthrow toys out of the pram

Son...

Had he thrown the toys may be we could have endured that...
He burnt the toys, pram and the baby in one single sweep...

And he welcomed in the... you know what.
 
Jasusi,

Naamini unajua kuwa sijawahi kugusia ustaarabu wa Nyerere katika
mjadala huu.

Huwa sifurahishwi na maneno yanayoweza kumvunjia adabu mtu mzima.
mzee Ms,

Kwanini sasa kwenye kitabu chako usiweke mambo sawa?
Kwani asilimia kubwa iwe misikitini uswahilini wanajuwa mwl kafundishwa kuvaa salawili na wazee wako. Na wewe unaandika hiyo historia inamaana hujawahi kusikia? kwanini usiliweke hili jambo kwenye maandishi yako?
 
G,

Kisome Mwembechai Killings cha Njozi.

Kitabu kile kilikuwa jibu la Benjamin Mkapa alipotupa
changamoto Waislam tumpe ushahidi wa kisiasa kama
Waislam tunadhulumiwa.

Ushahidi wa kisiasa ulipotolewa...

Hofu kuu ikagumika serikali na uamuzi ukawa kukifungia
kitabu.

Kisome kitabu hiki yote yamo ndani.
Utawajua mabwana na watwana.

Humo nami utanikuta.
Njozi kanitaja kukazia hoja zake.
Njozi ameandika kama mwanaharakati wa kiislam, amezungumzia matatizo ya waislam. Mbona hayasemi matatizo ya wakulima wadogo (peasants) wa Tanzania kwa ujumla wao?Mbona hawataji mafisadi na wala rushwa wakubwa katika serikali zote za Tanzania waislam wakiwamo?Wakati Njozi anaandika hicho kitabu chake,mstakabali wa elimu katika nchi hii ndio ulikuwa unayumba sana mpaka pale University Ya Dar ambapo Njozi akigombana na wa kuu wa idara yake ya "Literature" mbona hakukemea hayo? Wacha kumkweza Njozi anayeona kuonewa kwa waislam lakini haonikunyonywa na kuonewa kwa wakata miwa wa Kilombero!
 
Mohamed Said zingatia maneno hayo-wewe u are trying to blow up the door
"If a door is shut, attempts should be made to open it; if it is ajar, it should be pushed until it is wide open. In neither case should the door be blown up at the expense of those inside."
Julius Kambarage Nyerere, from his Stability and Change in Africa speech given to the University of Toronto, Canada, 2 October 1969
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said unaleta ngano za gerezani hata katika world history!!!! Patton mtu wa kumwambia Rommel dhaifu-huyu Rommel ambaye military historians wamekubali was a brilliant strategist na pincer movement yake wa israel wakaitumia to a devasting effect during the seven day war

Son...

Mbona unakuwa na haraka hivi hebu soma vyema.

Patton alikuwa hataki kupigana na mtu dhaifu akiwa ndiyo maana aakataka
ajue Rommel yuko ndani ya tank ipi ili apiganenae mtu hodari kama yeye.
 
Njozi ameandika kama mwanaharakati wa kiislam, amezungumzia matatizo ya waislam. Mbona hayasemi matatizo ya wakulima wadogo (peasants) wa Tanzania kwa ujumla wao?Mbona hawataji mafisadi na wala rushwa wakubwa katika serikali zote za Tanzania waislam wakiwamo?Wakati Njozi anaandika hicho kitabu chake,mstakabali wa elimu katika nchi hii ndio ulikuwa unayumba sana mpaka pale University Ya Dar ambapo Njozi akigombana na wa kuu wa idara yake ya "Literature" mbona hakukemea hayo? Wacha kumkweza Njozi anayeona kuonewa kwa waislam lakini haonikunyonywa na kuonewa kwa wakata miwa wa Kilombero!

G,

Serikali inatuomba ushaidi wa dhulma za Waislam na wewe unasema
tungepeleka matatizo ya vijiji vya ujamaa na wakulima wadogo.

Safi sana.
Ushauri mzuri sana.
 
Back
Top Bottom