Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Ila nami asinikataze mtu nikisema TANU kaasisi Abdu Sykes na mikutano ya
siri wakifanya nyumbani kwake mjini Dar.
Kwa kweli unaweza kusema Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa Cuba na Abdul Sykes alikuwa ni Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania. Kusema peke yake si tatizo - tatizo ni facts. Una haki ya maoni yako lakini hauna uhuru wa kutumia facts zako mwenyewe..