Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Ila nami asinikataze mtu nikisema TANU kaasisi Abdu Sykes na mikutano ya
siri wakifanya nyumbani kwake mjini Dar.
Tukipenda pia tunaweza kurudisha nyuma tarehe ya UHURU wa Tanganyika ikawa tarehe 9.12.1953 ili angalau mchango wa Abdu, Ally, Plantan, Kiyate uwe dhahir. Hili linakubalika kwa kuwa hata TANU haikuasisiwa tarehe 7.7.1954!Kwa kweli unaweza kusema Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa Cuba na Abdul Sykes alikuwa ni Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania. Kusema peke yake si tatizo - tatizo ni facts. Una haki ya maoni yako lakini hauna uhuru wa kutumia facts zako mwenyewe..
Na wala sina sababu ya kwenda uwanja wa mapambano na silaha feki.Nguruvi,
Ungesoma kitabu changu kuna mengi maswali ungepata majibu.
Muslim Congress iliazimia kujenga shule za masingi na upili na zilianza
kujengwa.
Yote nimeeleza katika kitabu.
Utanichosha ndugu yangu.
Hebu jitulize kwanza nenda kasome kitabu kisha rejea hapa.
Maalim Haruna Mungu amrehemu alikuwa akisema, ''Utalii na hayo
mabuku yako maana hizo ndizo silaha zako za kwenda katika vita.''
Nguruvi unakuja kwenye uwanja wa mapambano mikono mitupu.
Mzee Mohamed mkali jamani acheni! Waislam walitaka kujenga Chuo Kikuu wakati hawakuwa na sekondari hata moja! Shule za msingi zilikuwepo tatu.Soma vizuri utauona ushahidi. Ushahidi si kutoka kwangu ni kutoka kwa Mohamed.
Mo anasema ''radical muslims opposed Nyerere....'' na wakaunda AMNUT ili kumpinga kwa sababu ya ukristo.
Walijaribu kumondoa madarakani waliposhindwa wakaunda AMNUT.
Masalia ni Jamaiatul ambayo ndiyo ilikuwa pamoja na EAMWS.
Kwahiyo ushahidi anao Mo mimi ni mshereheshaji tu.
Kwa kuwa wengi wanaosema Mohamed Said,ni mchochez nimewafatilia ni watu wa iman ya upande wa pili,na wengi wanaosema Mohamed Said yuko sahihi na kafanya kazi iliyotukuka wanaonekana ni Waislam,,
sasa tujiulize ni Jihad against Crusade?kama si hivyo ni upande upi umekuja kwa hoja zenye kushibisha akili na ubongo?
Na ni upande upi hasa ni wachochezi?
Nachelelea kusema ya kwamba elimu iliyotolewa na Ndugu yangu Mohamed Said haina kifani,wengi tunakiri na kushukuru kwa uwepo wake huyu Bwana Mkubwa..
Unatuthibitishiaje kuwa wanaomkubali ni wadini moja na wanaompinga ni wadini nyingine?Kwa kuwa wengi wanaosema Mohamed Said,ni mchochez nimewafatilia ni watu wa iman ya upande wa pili,na wengi wanaosema Mohamed Said yuko sahihi na kafanya kazi iliyotukuka wanaonekana ni Waislam,,
sasa tujiulize ni Jihad against Crusade?kama si hivyo ni upande upi umekuja kwa hoja zenye kushibisha akili na ubongo?
Na ni upande upi hasa ni wachochezi?
Nachelelea kusema ya kwamba elimu iliyotolewa na Ndugu yangu Mohamed Said haina kifani,wengi tunakiri na kushukuru kwa uwepo wake huyu Bwana Mkubwa..
Mzee Mohamed mkali jamani acheni! Waislam walitaka kujenga Chuo Kikuu wakati hawakuwa na sekondari hata moja! Shule za msingi zilikuwepo tatu.
Maandishi yake mwenyewe yanaonyesha Abdul Sykes kumkana. Abdul anasema yeye ni one of the founder of TANU 1954. Sasa hili la kuanzisha TANU kabla ya 1954 Mo kalipata wapi wakati mhusika hajasema hivyo.Kwa kweli unaweza kusema Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa Cuba na Abdul Sykes alikuwa ni Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania. Kusema peke yake si tatizo - tatizo ni facts. Una haki ya maoni yako lakini hauna uhuru wa kutumia facts zako mwenyewe..
Na wala sina sababu ya kwenda uwanja wa mapambano na silaha feki.
Mikono mitupu ni muhimu sana maana dunia ya leo vita inapigwana kwenye akili halafu karatasi na computer.
Si dunia ya kufunga shule kwenda kwenye kesi ya ponda au dunia ya kueneza chuki fitna na uongo.
Silaha muhimu ni ukweli wa mwenyezi mungu siyo majungu na husda, inda fitna na kiu ya utajiri kupitia damu za watu.
Ni hivi, shule za upili zingechukua watoto kutoka wapi kama msingi hakuna. Leo kuna sehemu hawajui darsa wala madrasa. Sijui ungetumia utaalam gani kwamba katika miaka miaka 5(1963-1965) uwe ume overcome all the obstacles.
Umeshindwa kujibu swali kwanini eneo kama Kilwa in 2013 watu hawajui maana ya shule halafu unataka kutumaminisha kuwa 1961 ufaham wao ulikuwa mkubwa sana.
Please try to be honest at least once a week.
Wenzetu Waislam hawakuupokea Uislam pekee, wakapokea na Uarabu pia. Mipaka ya Uislam na Uarabu haijalikani hadi leo. Mila na tamaduni za Kiarabu zikawekwa humo kwenye Uislam. Hili limewaathiri sana.ELIMU anayotoa MS ni ya kupindisha,wa kulaumu ni waarabu ambao waliwanyima baadhi ya watu changa moto ya kukabiliana na maisha-yeye anamlaumu nyerere ambaye alijaribu kadri ya uwezo wake kurekebisha hiyo hali.wanasema samaki mkunje angali mbichi na old habits ni ngumu kuzibadilisha-juhudu za nyerere zilifanikiwa kwa kiasi tuu-sababu kwa hawa jamaa zetu elimu ni taboo-tumefika fainali hali ni mbaya wanaanzisha witch hunt
Maandishi yake mwenyewe yanaonyesha Abdul Sykes kumkana. Abdul anasema yeye ni one of the founder of TANU 1954. Sasa hili la kuanzisha TANU kabla ya 1954 Mo kalipata wapi wakati mhusika hajasema hivyo.
Hata pale anapowawekea marehem maneno, bado mizimu ya marehem inamwandama anajisahau na kumwaga yaliyo katika shajara ambayo yanakana ngano bila ubishi uzushi.
Usingeweza kujenga hivi vyote kwa pamoja. Chuo Kikuu kingekaa kusubiri kwa miaka mingapi ili kupata wanafunzi wa mwaka wa kwanza?WC,
Soma kwanza kabla hujaja jamvini.
Nimeweka post ina sub head:
Muslim Congress 1962
Muslim Congress 1963
Humo zipo taarifa za ujenzi wa shule
za msingi na upili.
Soma kwanza kaka.
Miye nilidhhani ni wazee wako tu ndio walitoa nyumba zao kuwa ofisi za TANU; maskini Mbowe sijui hata kama ana jina la mtaa kwa heshima yake...
Usingeweza kujenga hivi vyote kwa pamoja. Chuo Kikuu kingekaa kusubiri kwa miaka mingapi ili kupata wanafunzi wa mwaka wa kwanza?
Tukipenda pia tunaweza kurudisha nyuma tarehe ya UHURU wa Tanganyika ikawa tarehe 9.12.1953 ili angalau mchango wa Abdu, Ally, Plantan, Kiyate uwe dhahir. Hili linakubalika kwa kuwa hata TANU haikuasisiwa tarehe 7.7.1954!
wewe unatakiwa kumheshimu Baba wa Taifa...
Wenzetu Waislam hawakuupokea Uislam pekee, wakapokea na Uarabu pia. Mipaka ya Uislam na Uarabu haijalikani hadi leo. Mila na tamaduni za Kiarabu zikawekwa humo kwenye Uislam. Hili limewaathiri sana.
Kwa kweli endelea kutusoma. Kati ya Wazee wa Kiislam wa Tanganyika, mwaka 1962/63 kuna aliyekuwa na elimu ya chuo kikuu? Tanganyika yenyewe haikuwa na chuo kikuu chake wakati huo.WC,
Nimekusoma.
Wewe huwa unaona raha sana Wazee wako kutajwa tena bila kinyongo na Mohamed Said! lakini wazee wake akiwataja kwa michango yao kwanini huna raha? na kila mara unataka atajwe Nyerere tu! sasa huyu Mbowe ungemjuaje kama mimi sikumuuliza Mohamed? badala ya kutoa shukrani kwa kujuzwa historia usioijua, badala yake unaishia kukejeli! ama kweli waswahili walinena: fanya wema wende zako usingoje shukrani!
Ni kweli unasema hukuandika kitabu hicho ili uaminiwe?
Je ulikituma kwa Mwalimu ili iweje?