Nipe majibu nn faida na matokeo ya baadae kwa hili,je mngali mnadhulumiwa bado hata sasa wakati ambapo muislamu kikwete anatawala? Je Mwinyi hakuyaona hayo,jaji mkuu,Igp na wengine waliowaislam je na wao wanashirikiana na wakristo kuwadhulumu waislamu? Kama wao waislamu hawatetei hak ya waislamu unadhani nani atawatetea, Mpaka hapi huoni udhaifu wa uislamu na waislamu? Mm nadhani tatizo ni shule kwa waislamu walio wengi,Wakati wakristo wanajibidiisha na kujenga mashule, mahospital na kusoma, waislamu walijibidiisha kujenga misikiti na kupeleka watoto wao uarabuni kusomea dini na lugha ya kiarabu, nilisoma na rafiki zangu wa kiislamu walikuwa tayari kuacha vipindi na kwenda madrasa,walipotoka darasani walirudi madrasa wakati cc tulirudi kujisomea,ukweli waliburuza mkia mwanzo mwisho, Andika habari za kumkomboa muislamu asiendelee kuburuza mkia nakujua unayo nguvu ya ushawishi tumia kipawa chako kuwakomboa waislamu, wasome kwa bidii wasijenge misikiti peke yake wajenge na mahospital nk.