Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kuwataja waliosahauliwa nikuleta historia mpya?
Bahati nzuri hao wote aliowataja wanaonekana sio kwa maandishi tu bali pia kwenye picha na Nyerere.

Sasa kilicholetwa kipya ni kipi?
Halafu ahadi ni deni!!
Ile audio uliyotuahidi imeishia wapi?

Darwin,

Hiyo clip haitowekwa hapa abadan kwa kuwa
ukweli umedhihiri.

Wameisikiliza na wamepigwa na radi ya saa
saba mchana jua kali.

Mimi nisingeweza kuzua uongo hata kidogo.
 
Aligundua uchakachuaji upi?

Sasa kama hata wanapotawala bado wanaogopa kukolimbwa ilhali dola iko mikononi mwao kwanini wasikubali kuchukua nafasi ya nyuma na kunyamaza kama ndivyo nikiwaita vilaza nakosea nn?
 
Darwin, zomba, Boko haram, Shijaf, Isalia, DULLAH MSAVIVOR, Achahasira, Tanzania Kwanza, Ritz, Ami..., kwa kifupi na kulingana na maelezo ya mtoa darsa Mohamed Said, Mwalimu Nyerere alikaribishwa Dar es Salaam na wazee wake mwaka 1953 na kuikuta TAA ikidunda chini ya uongozi shupavu wa Abdulwahid Sykes Raisi wake. Ingawa hana hakika ilichukua muda gani lakini katika muda mfupi baada ya kumfunda Mwalimu Nyerere na kumfundisha ustaarabu wakamkabidhi uongozi wa juu kabisa wa TAA! Miezi kumi na tano baadaye wazee hao hao wa Mohamed Said wakaiasisi TANU na kwa mara nyingine tena wakamkabidhi Mwalimu Nyerere awe Raisi wake wa kwanza...sasa nawaombeni akawape na darsa kuhusu maswali mawili tu;

  1. Kwa nini ilibidi iasisiwe TANU huku TAA tayari ilikuwepo?
  2. Kwa nini ilibidi Mwalimu Nyerere ndiye akabidhiwe uongozi?
Nawaombeni twende tu taratibu tufaidike na ilmu kutoka kwa mwana historia, mtoa darsa na gwiji Mohamed Said.
 
Mag3

Kwanini ilibidi iasisiwe TANU wakati TAA ilikuwepo?

Hili swali litatufanya tuulize pia kwanini ilibidi iasisiwe CCM wakati TANU ilikuwepo?
 
Mwanakijiji itakuchukua miaka mingapi kuandika historia yako ukimuondoa huyo Sykes?
Ila itakupa tabu kwani mpanda ngazi huanzia za chini.
 
Darwin,

Hiyo clip haitowekwa hapa abadan kwa kuwa
ukweli umedhihiri.

Wameisikiliza na wamepigwa na radi ya saa
saba mchana jua kali.

Mimi nisingeweza kuzua uongo hata kidogo.
Mohamed,
Tuombe uzima. Kama ni hotuba ya Nyerere ya kuaga 1985 nitakapokuwa Dar-es-Salaam sometime in the year, ninazo contacts pale RTD. Hata kama ni kulipa dola mia moja zitanitoka. Kama maandishi ya gazeti aliyotuwekea hapa Yericko hayatoshi, nitafanya kila jitihada niipate halafu niwatafute wataalamu wa IT watuwekee hapa. Inshallah! Hata kama ni kuanzisha mnakasha mpya, itabidi tufanye hivyo. Natoa hii ahadi.
 
Una contacts RTD hawewezi kukutumia kwa post mpaka tusubiri utakapoenda TZ?

Halafu umesahau kuna mtu alitoa offer hapa kwahio wewe utakacholipia ni post tu ambayo haitafika hata 20$
 
Mag3
Kwanini ilibidi iasisiwe TANU wakati TAA ilikuwepo?
Hili swali litatufanya tuulize pia kwanini ilibidi iasisiwe CCM wakati TANU ilikuwepo?
Darwin, zomba, Boko haram, Shijaf, Isalia, DULLAH MSAVIVOR, Achahasira, Tanzania Kwanza, Ritz, Ami...Pamoja na kusubiri majibu kwa maswali yangu mawili, naomba nikujibu swali lako kama ifuatavyo...ilibidi CCM iasisiwe kwa sababu vyama viwili TANU na ASP viliungana na kuwa chama kimoja, hivyo ikabidi jina jipya litafutwe na hapo CCM ikazaliwa. Hata Tanganyika ilipoungana na Zanzibar ilibidi jina jipya la Tanzania liasisiwe, hilo mbona ni jambo la kawaida tu? Sasa na nyie fanyeni uungwana mtafute majibu kama nilivyofanya...nina hakika mwalimu wenu na mtoa darsa, Mohamed Said, hatashindwa kuwapeni ili mtuwekee hapa.
 
TANU na ASP kwanini wasubiri mpaka miaka 13 ipite kuianzisha CCM?
 
Mwanakijiji itakuchukua miaka mingapi kuandika historia yako ukimuondoa huyo Sykes?
Ila itakupa tabu kwani mpanda ngazi huanzia za chini.

Kwanini nimuondoe Sykes mmoja wa waasisi na wapigania uhuru wa taifa langu?
 
Mohamed,
Tuombe uzima. Kama ni hotuba ya Nyerere ya kuaga 1985 nitakapokuwa Dar-es-Salaam sometime in the year, ninazo contacts pale RTD. Hata kama ni kulipa dola mia moja zitanitoka. Kama maandishi ya gazeti aliyotuwekea hapa Yericko hayatoshi, nitafanya kila jitihada niipate halafu niwatafute wataalamu wa IT watuwekee hapa. Inshallah! Hata kama ni kuanzisha mnakasha mpya, itabidi tufanye hivyo. Natoa hii ahadi.

Umekubali Yericko Nyerere kashindwa kutimiza ahadi mpaka sasa. Hivi RTD bado ipo? Si m pm Yericko Nyerere umpe hizo "contacts".

Hivi "RTD" bado ipo?

pssss, ikihitajika dollar 100 ntampa mimi haina haja ya kungoja mpaka uje nazo.
 
Sasa kama hata wanapotawala bado wanaogopa kukolimbwa ilhali dola iko mikononi mwao kwanini wasikubali kuchukua nafasi ya nyuma na kunyamaza kama ndivyo nikiwaita vilaza nakosea nn?
Hujajibu swali ndugu yangu. Kighoma Malima alikuta uchakachuaji upi?
Uangalie kina cha maji kabla ya kuamua kujitosa mtoni.
 
Mag3

Kwanini ilibidi iasisiwe TANU wakati TAA ilikuwepo?

Hili swali litatufanya tuulize pia kwanini ilibidi iasisiwe CCM wakati TANU ilikuwepo?
Hapo hujajibu swali, jibu kwanza halafu uliza. Hivi nani alisema jibu la swali ni swali.
Haya ndiyo matatizo ya kumeza ngano bila tafakuri. Ukibanwa kidogo huna pa kutokea.
Kama mwalimu anakimbia wewe mwanafunzi unapaswa kufanya nini?
 
Back
Top Bottom