Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Ushabiki na ujinga vinakutesa sana bwana mdogo, nani kakwambia habari ya Mbowe alikuwa anaifahamu Mohamedi Saidi peke yake? Mbona mnamsujudu huyo mzee wenu kama mtume vile!Wewe huwa unaona raha sana Wazee wako kutajwa tena bila kinyongo na Mohamed Said! lakini wazee wake akiwataja kwa michango yao kwanini huna raha? na kila mara unataka atajwe Nyerere tu! sasa huyu Mbowe ungemjuaje kama mimi sikumuuliza Mohamed? badala ya kutoa shukrani kwa kujuzwa historia usioijua, badala yake unaishia kukejeli! ama kweli waswahili walinena: fanya wema wende zako usingoje shukrani!
mkuu umerudi toka Guantanamo?Hapo sasa! kwa raha kabisa, mpaka sasa mnakula darsa, na watu wengi wanalifuatilia na mmeshindwa kuonesha uchokozi wala dhihaka. Tunachokiona ni kuwa mnakula darsa La Mohamed Said mtindo mmoja, mmejifunza mengi msiyajuwa lakini bado hamuoni haya wala hamjui vibaya.
Hamjaja hata na kimoja chenye maana, naona mnaacha hoja mnaleta viroja.
Hili suali Mohammed alimjibu Mzee kama hiviNani alimpelekea na kwanini alimpelekea?
Je ulithibitisha kuwa kitabu hicho kilimfikia?
Mimi nimemfahamu vizuri.Nyerere siye aliyemtaka aandike bali alisababishe aandike historia ya Tanzania.Hivyo angepelekewa akakikalia kimya au asingepelekewa bado historia hiyo ya kweli inafanya kazi yake kufuta ile ya uongo.MM,
Nishaeleza kuwa si lazima Nyerere awe hata kakisikia kitabu changu.
Sidhani kama baada ya kusema hivyo kuna haja tena ya kufatanafatana.
Nanyi wenzetu Wakristo mkaupokea ukristo na uzungu! mfano, kuingia na suti, tai na viatu kanisani! kukubali Yesu alikuwa Mzungu! badala ya kuhiji Nazareti alipozaliwa Yesu, mnaenda kuhiji Vatikani, na Kwa Malkia wa Uingereza! kutotahiri Wanaume na sasa mnatairiwa ukubwani baada ya gonjwa la ukimwi kumaliza watu! nk!nk!
Ushabiki na ujinga vinakutesa sana bwana mdogo, nani kakwambia habari ya Mbowe alikuwa anaifahamu Mohamedi Saidi peke yake? Mbona mnamsujudu huyo mzee wenu kama mtume vile!
Fanya basi utafiti na wewe ;-)Kama angekuwa ameandika kuhusu wazee wake na kuipeleka hiyo histohisia yake kwa watu wa Gerezani na Tandamti ikaishia huko wala sisi tusingepata shida hata kidogo. Tatizo ni pale anapoanza kupotosha na kujenga dhana kwamba ukombozi wa Tanganyika bila hao wazee usingewezekana! na mbaya zaidi ni pale anapojenga taswira mbaya ya udini. Wale wazee wa D'salaam walishiriki harakati za ukombozi kama watanganyika na sio kama waislam na ndio maana walifanya kazi na wasio waislam bila shida. Mohamed Saidi anadanganya anapozungumzia uongozi wa kwanza AA, hayo yamewekwa wazi katika mnakasha huu, nakushauri urudie kosoma michango ya watu humu ndani. Mohamed Saidi haishii hapo, anaondoka na hadithi zake hizo na kuzipeleka kwenye mihadhara yake ya kidini kwenda kumpakazia Nyerere kwamba ni adui wa uislam! Kwamba Nyerere alishirikiana na kanisa kuukandamiza uislam! tunapo mwambia atoe ushahidi anakuja na maandishi anayojinukuu mwenyewe kwenye kitabu chake! au atakwambia msome Sivalon (kwani Sivalon alikuwa msemaji wa kanisa?) au atakuja na hoja dhaifu kama hizi za kwako kwamba na nyinyi muandike historia ya wazee wenu! Hiyo sio sahihi hata kidogo. Acheni ushabiki !
Tanzania Kwanza, taratibu, hizi mimi huziita "knock out punches".
Fanya basi utafiti na wewe ;-)
Tafuta wazee wako walioifanyia mema taifa letuili tuwaweke kwenye historia kama kuiboresha.
Nipe majibu nn faida na matokeo ya baadae kwa hili,je mngali mnadhulumiwa bado hata sasa wakati ambapo muislamu kikwete anatawala? Je Mwinyi hakuyaona hayo,jaji mkuu,Igp na wengine waliowaislam je na wao wanashirikiana na wakristo kuwadhulumu waislamu? Kama wao waislamu hawatetei hak ya waislamu unadhani nani atawatetea, Mpaka hapi huoni udhaifu wa uislamu na waislamu? Mm nadhani tatizo ni shule kwa waislamu walio wengi,Wakati wakristo wanajibidiisha na kujenga mashule, mahospital na kusoma, waislamu walijibidiisha kujenga misikiti na kupeleka watoto wao uarabuni kusomea dini na lugha ya kiarabu, nilisoma na rafiki zangu wa kiislamu walikuwa tayari kuacha vipindi na kwenda madrasa,walipotoka darasani walirudi madrasa wakati cc tulirudi kujisomea,ukweli waliburuza mkia mwanzo mwisho, Andika habari za kumkomboa muislamu asiendelee kuburuza mkia nakujua unayo nguvu ya ushawishi tumia kipawa chako kuwakomboa waislamu, wasome kwa bidii wasijenge misikiti peke yake wajenge na mahospital nk.
Tanzania Kwanza, taratibu, hizi mimi huziita "knock out punches".
Hili suali Mohammed alimjibu Mzee kama hivi
Mimi nimemfahamu vizuri.Nyerere siye aliyemtaka aandike bali alisababishe aandike historia ya Tanzania.Hivyo angepelekewa akakikalia kimya au asingepelekewa bado historia hiyo ya kweli inafanya kazi yake kufuta ile ya uongo.
Ukiacha hilo,hivi uthibitisho wa kitabu kumfikia Nyerere na kutokumfikia unadhani ndio itafuta ukweli wa yale aliyoyatenda katika utawala wake na ambayo yameshaandikwa.Halafu kwanini uwatukane watu wua usalama wa taifa wakati wa utawala wake?.Mkapa kwanini alipelekewa nakala ya The Mwembechai killings na watu na kazi yao wawache kumpelekea Nyerere nakala iliyomhusu mwenyewe.
Mbona walikuwa wakimpelekea mpaka umbea wa maisha ya raisi Mwinyi na mke wake bi Siti.Hivi unaamini watawacha kumpelekea kopi ya kitabu cha siri za maisha yake mwenyewe kilichotoka miaka kadhaa huku akiwa yu hai?.
Mohammed anasema kitabu alipelekewa mkononi na Mohammed naye ana vyanzo madhubuti vya kupatia habari kama ulivyoona katika maandishi yake kuliko shaka zako.Hivyo kaa na kujipa moyo kwako kuhusu kutokufika kitabu kwa Nyerere na Mohammed kaa kimya usimtaje aliyempelekea mkononi tuone kama itakuwa ndio utetezi wenu kwa ubaya wa Nyerere.
Hili suali Mohammed alimjibu Mzee kama hivi
Mimi nimemfahamu vizuri.Nyerere siye aliyemtaka aandike bali alisababishe aandike historia ya Tanzania.Hivyo angepelekewa akakikalia kimya au asingepelekewa bado historia hiyo ya kweli inafanya kazi yake kufuta ile ya uongo.
Ukiacha hilo,hivi uthibitisho wa kitabu kumfikia Nyerere na kutokumfikia unadhani ndio itafuta ukweli wa yale aliyoyatenda katika utawala wake na ambayo yameshaandikwa.Halafu kwanini uwatukane watu wa usalama wa taifa wakati wa utawala wake?.Mkapa kwanini alipelekewa nakala ya The Mwembechai killings na watu na kazi yao wawache kumpelekea Nyerere nakala iliyomhusu mwenyewe.
Mbona walikuwa wakimpelekea mpaka umbea wa maisha ya raisi Mwinyi na mke wake bi Siti.Hivi unaamini watawacha kumpelekea kopi ya kitabu cha siri za maisha yake mwenyewe kilichotoka miaka kadhaa huku akiwa yu hai?.
Mohammed anasema kitabu alipelekewa mkononi na Mohammed naye ana vyanzo madhubuti vya kupatia habari kama ulivyoona katika maandishi yake kuliko shaka zako.Hivyo kaa na kujipa moyo kwako kuhusu kutokufika kitabu kwa Nyerere na Mohammed kaa kimya usimtaje aliyempelekea mkononi tuone kama itakuwa ndio utetezi wenu kwa ubaya wa Nyerere.
Mohamed, Gwalihenzi na mwenzake Gwalihenzi wanapongezana?
Mohamed Said,
Hapajawahi kuwepo kwa TANU mbili, huu ni uchochezi wako tu. Cha muhimu kuelewa ni kuwa walioitwa wasomi mwaka 1945 walikuwa wengi wao ni waislamu na wakristo wenye elimu ndogo, hasa ya kujua kusoma na kuandika tu.
Miaka ya 1950s, wasomi wakawa ni wale wenye elimu ya chuo au chuo kikuu, ambapo hapo ilianza kutawaliwa na wakristo ambao ndio waliokuwa wengi wenye hivyo viwango. Waislamu walioelimika kiwango cha chuo wakati huo, marafiki wao wa karibu wengi wakawa ni wakristo kwani wengi ndio waliokuwa wasomi. Kwa hiyo kwa TAA/TANU kuongozwa na wakristo miaka ya 1950s, kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya mabadiliko ya kielimu.
Uchochezi wako wa kidini unaonekana wazi kuwa ni kwa manufaa yako binafsi, na hongera sana kwa kufanikiwa katika hilo. Lakini sidhani kama unamnufaisha mTanzania yeyote. Nia yako mbaya ipo siku moja itakurudia na tutaisubiri sana, Inshallah.
Ahsante sana sana Tanzani kwanza kwa kunifumbua macho kwa ulichokiweka hapa nimepata kitu kizuri ambacho nilikuwa sikijui, mungu akuongoze njia iliyonyooka.Na pia nakupongeza mzee mohamed said kwa kutujuza mengi yaliofichwa kuhusu historia ambayo sikuwahi kuyasikia kabla mungu akubariki.
Salaam,
Kwa mafundisho yako ndugu mohamed said, Nimepata kujua na kuamini kuwa historia yetu ina madoa mengi.
Nakuombea umri mrefu na mungu akulipe kwa kazi kubwa uliyoifanya.
Ukweli unaumiza siku zote.
Aligundua uchakachuaji upi?Kighoma Ali Malima aliwashtukia na kugundua uchakachuaji mitihani ya wanafunzi Waislamu! alipoanza kuleta mabadiliko unakumbuka Media na kanisa walianza propaganda ya kudai Malima kaigeuza Wizara Msikiti na kumshinikiza Mwinyi amsimamishe! baadae walimkolimba! sasa unataka JK nae akolimbwe?
Hasa ukipindishwaSalaam,
Kwa mafundisho yako ndugu mohamed said, Nimepata kujua na kuamini kuwa historia yetu ina madoa mengi.
Nakuombea umri mrefu na mungu akulipe kwa kazi kubwa uliyoifanya.
Ukweli unaumiza siku zote.
Kuwataja waliosahauliwa nikuleta historia mpya?Mohamed Said hajaiboresha bali kaleta mpya kabisa na kuikana iliyokuwepo awali.