Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Kuwataja waliosahauliwa nikuleta historia mpya?
Bahati nzuri hao wote aliowataja wanaonekana sio kwa maandishi tu bali pia kwenye picha na Nyerere.
Sasa kilicholetwa kipya ni kipi?
Halafu ahadi ni deni!!
Ile audio uliyotuahidi imeishia wapi?
Aligundua uchakachuaji upi?
Prof. Haroub kanieleza maneno haya nje ya Msikiti wa Ibadh.
Mohamed,Darwin,
Hiyo clip haitowekwa hapa abadan kwa kuwa
ukweli umedhihiri.
Wameisikiliza na wamepigwa na radi ya saa
saba mchana jua kali.
Mimi nisingeweza kuzua uongo hata kidogo.
Una contacts RTD hawewezi kukutumia kwa post mpaka tusubiri utakapoenda TZ?Mohamed,
Tuombe uzima. Kama ni hotuba ya Nyerere ya kuaga 1985 nitakapokuwa Dar-es-Salaam sometime in the year, ninazo contacts pale RTD. Hata kama ni kulipa dola mia moja zitanitoka. Kama maandishi ya gazeti aliyotuwekea hapa Yericko hayatoshi, nitafanya kila jitihada niipate halafu niwatafute wataalamu wa IT watuwekee hapa. Inshallah! Hata kama ni kuanzisha mnakasha mpya, itabidi tufanye hivyo. Natoa hii ahadi.
Darwin, zomba, Boko haram, Shijaf, Isalia, DULLAH MSAVIVOR, Achahasira, Tanzania Kwanza, Ritz, Ami...Pamoja na kusubiri majibu kwa maswali yangu mawili, naomba nikujibu swali lako kama ifuatavyo...ilibidi CCM iasisiwe kwa sababu vyama viwili TANU na ASP viliungana na kuwa chama kimoja, hivyo ikabidi jina jipya litafutwe na hapo CCM ikazaliwa. Hata Tanganyika ilipoungana na Zanzibar ilibidi jina jipya la Tanzania liasisiwe, hilo mbona ni jambo la kawaida tu? Sasa na nyie fanyeni uungwana mtafute majibu kama nilivyofanya...nina hakika mwalimu wenu na mtoa darsa, Mohamed Said, hatashindwa kuwapeni ili mtuwekee hapa.Mag3
Kwanini ilibidi iasisiwe TANU wakati TAA ilikuwepo?
Hili swali litatufanya tuulize pia kwanini ilibidi iasisiwe CCM wakati TANU ilikuwepo?
TANU na ASP kwanini wasubiri mpaka miaka 13 ipite kuianzisha CCM?Darwin, zomba, Boko haram, Shijaf, Isalia, DULLAH MSAVIVOR, Achahasira, Tanzania Kwanza, Ritz, Ami...Pamoja na kusubiri majibu kwa maswali yangu mawili, naomba nikujibu swali lako kama ifuatavyo...ilibidi CCM iasisiwe kwa sababu vyama viwili TANU na ASP viliungana na kuwa chama kimoja, hivyo ikabidi jina jipya litafutwe na hapo CCM ikazaliwa. Hata Tanganyika ilipoungana na Zanzibar ilibidi jina jipya la Tanzania liasisiwe, hilo mbona ni jambo la kawaida tu? Sasa na nyie fanyeni uungwana mtafute majibu kama nilivyofanya...nina hakika mwalimu wenu na mtoa darsa, Mohamed Said, hatashindwa kuwapeni ili mtuwekee hapa.
Mwanakijiji itakuchukua miaka mingapi kuandika historia yako ukimuondoa huyo Sykes?
Ila itakupa tabu kwani mpanda ngazi huanzia za chini.
Nani mwingine alikuwepo wakati anakuambia hayo? au tukubali ni maneno yako kwa sababu wewe umesema, na kuwa kwa vile yalifanyika nje ya Msikiti?
Wewe, au sio?
Leo unamjuwa Mshume, ulimsoma kivukoni?
Kwanini nimuondoe Sykes mmoja wa waasisi na wapigania uhuru wa taifa langu?
Unamfahamu Mwalimu Simba?
Mohamed,
Tuombe uzima. Kama ni hotuba ya Nyerere ya kuaga 1985 nitakapokuwa Dar-es-Salaam sometime in the year, ninazo contacts pale RTD. Hata kama ni kulipa dola mia moja zitanitoka. Kama maandishi ya gazeti aliyotuwekea hapa Yericko hayatoshi, nitafanya kila jitihada niipate halafu niwatafute wataalamu wa IT watuwekee hapa. Inshallah! Hata kama ni kuanzisha mnakasha mpya, itabidi tufanye hivyo. Natoa hii ahadi.
Hujajibu swali ndugu yangu. Kighoma Malima alikuta uchakachuaji upi?Sasa kama hata wanapotawala bado wanaogopa kukolimbwa ilhali dola iko mikononi mwao kwanini wasikubali kuchukua nafasi ya nyuma na kunyamaza kama ndivyo nikiwaita vilaza nakosea nn?
Hapo hujajibu swali, jibu kwanza halafu uliza. Hivi nani alisema jibu la swali ni swali.Mag3
Kwanini ilibidi iasisiwe TANU wakati TAA ilikuwepo?
Hili swali litatufanya tuulize pia kwanini ilibidi iasisiwe CCM wakati TANU ilikuwepo?
Mohamed Said hajaiboresha bali kaleta mpya kabisa na kuikana iliyokuwepo awali.
Hapo hujajibu swali, jibu kwanza
halafu uliza. Hivi nani alisema jibu la swali ni swali.
Haya ndiyo matatizo ya kumeza ngano bila tafakuri. Ukibanwa kidogo huna pa kutokea.
Kama mwalimu anakimbia wewe mwanafunzi unapaswa kufanya nini?
Wewe, au sio?
Leo unamjuwa Mshume, ulimsoma kivukoni?
Unamfahamu Mwalimu Simba?