Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

 
Duh Mohamed Said nilikuwa busy nafuatilia uchaguzi wa Kenya ha ha ha ha sawa nimekusoma.

 
Last edited by a moderator:

Twende Kazi,

Dua yako ni nzuri sana lakini nitaiongezea mstari mmoja ndipo nami nitaitika AMIN.

''Na Mwenyezi Mungu uondoe fitna yote iliyoingizwa katika jamii yetu baada ya sisi
huko nyuma kuwa ndugu na uindoe dhulma iliyopo iipatikane haki irejeshe kwetu
mapenzi yale yaliyokuwapo baina yetu.''


AMIN.
 

Mdondoaji wakati mwingine unatuangusha bana; rudi nyuma kasome mkataba ya Lateran ambayo ilitambua Papal States. Ukishasoma na kuelewa historia ya Vatican kuwa nchi rudi tujadiliane lakini ukiridhika sema umeridhika tusonge mbele. Lakini huwezi tu kwa vile hupendi kukataa Vatican kuwa ni nchi. Inaweza isiwe vizuri au isiwe na mantiki au ikavuruga nadharia uliyo nayo lakini hilo peke yake halitoshi kukufanya ukatae kuwa Vatican ni nchi. Vinginevyo utakuwa unabishhana na sisi kwa kitu ambacho majawabu yako tayari.

Vatican in Mkuu wake wa Nchi - Papa
Vatican ina katiba yake
Vatican inatambulika kama Sovereign State (Umoja wa Mataifa na nchi nyingine -
Vatican ina bendera yake na nembo yake ya taifa
Vatican ina wimbo wake wa Taifa
Vatican City in passport zake na Holy See ina passport zake...

Sasa sijui tukusaidiaje ndugu yangu.
 


unaona sasa; kwamba huko nyuma tulikuwa "ndugu" sasa hivi sisi siyo ndugu! Hii ndiyo fitna yako mzee wetu. Sisi bado ni ndugu na ndugu hata wakitofautiana hawaachi kuwa ndugu. Undugu wetu ni mkubwa na wa kina kuliko matukio ya kihistoria.
 
 

Nyambala,
Ahsante kwa majibu.

Kinyume unavyodhani ile document uloweka hapa ya Hansard na ya TAA
mimi nimekushukuru.

Nimekushukuru kwa sababu umenisomesha.

Mie sikujua kuwa katika mawasilisho palitokea mgongano wa fikra katika
TAA.

Mimi kichwa changu kiko wazi naichukua elimu popote na ndiyo maana
husema siku zote siko humu kushinda mjadala ila kueleza lile nilijualo.

Hivyo ducument haikuniumiza hata kidogo.

Yote ulosema ya Nyerere na timu yake waloweka tarehe ya uhuru yote
sawa kabisa.

Hakuna anaeweza kubisha haya yote kwa kuwa ni ukweli wa kihistoria.

Mimi nilichofanya na ndiyo kilichotukutanisha hapa JF nimeandika historia ya
wazee wangu waliompokea Nyerere, wakaishinae majumbani mwao.

Wakamkabidhi chama na wakawanae bega kwa bega hadi wakampeleka UNO.

Siku ya kurudi wakampa mapokezi hakuwahi hata kuota au kufikiria kwa mbali
yanawezekana.

Wakatembeanae nchi nzima kuitangaza TANU nk. nk. hadi uhuru ukapatikana.

Katika hawa wazee wengine nikawafahamu vizuri kwa kuwa nafumbua macho
nawaona mtaani wakipita wengine wakija mpaka nyumbani kwetu.

Kwangu mie ni faraja kubwa sana kuwa leo wazee hawa wameingia JF wasikizaji
wakiwa 90,000 and counting wanawazungumza mashujaa hawa wa uhuru wetu
ambao walifutwa kwa makusudi kwa kuhofu kuwa waliokuwa mstari wa mbele na
kusimama kidete dhidi ya ukoloni walikuwa Waislam.

Kwangu mimi huu ni ushindi mkubwa sana.
Yaliyobaki ni matayassar.
 
Daaah!Nilipopigia mstari pamenivunja moyo sana.Hivi ni kweli watanzania wa leo sio ndugu?Ni kweli leo hii hatuna mapenzi baina yetu?Mzee wangu nafikiri unatamani iwe hivyo pengine ila Inshaalah kwa rehema zake Mwenyezi Mungu,Mfalme wa Amani hatutofika huko kamwe.Sisi tunaolilia chuki na dhana potofu zisisambazwe na kupelekea machafuko tuna vitu vingi sana vya kupoteza ,tuna wazazi wetu wa imani tofauti,tunaishi ndani ya ardhi hii na hatuna ujanja wa kukimbilia popote pale,tuna ndugu na jamaa zetu tulioshibana,tuna mashamba yetu ambayo bila hayo hatuwezi ishi,tuna biashara zetu ndogo ndogo ndani ya nchi,tumeoleana na tumezaana mchanganyiko.Hakika sisi tutapoteza kila kitu hakuna kitakachobaki.Mzee Mohamedi huna cha kupoteza.Tafadhali tuonee huruma watanzania wenzio.
 
unaona sasa; kwamba huko nyuma tulikuwa "ndugu" sasa hivi sisi siyo ndugu! Hii ndiyo fitna yako mzee wetu. Sisi bado ni ndugu na ndugu hata wakitofautiana hawaachi kuwa ndugu. Undugu wetu ni mkubwa na wa kina kuliko matukio ya kihistoria.


MM,

Fitna ni hii:

Thesecond book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1]unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed thatthe Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects. First,was the unity between the Muslim madhheb(sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second,was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society(EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam. endThe Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, wouldanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declaredIslam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]
[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2]Ibid. p 37.
 
Nyambala tafadhali tufungue macho naona Mohamed Said hili swali anajifanya akuliona

"
The last one kwa faida ya Mkanasha, wanajamvi na vijana wako "Unaweza kututajia wazee waliokuwa na Nyerere kwenye negotiating team na waingereza kuhusu upatikanaji uhuru wa Tanganyika??" Please. Maana hiyo ndiyo hasa ilikuwa nguzo ya kupatikana uhuru Dec 09, 1961. If not basi usipepese sema sijui utapewa darasa. Inshalah tutaonana panapo majaliwa
 
Last edited by a moderator:

Twende Kazi,

Inawezekana kwa kuwa wewe ni Mkristo ukawa hujui madhila
yanayowasibu Waislam katika elimu, kazi na fursa nyinginezo.

Huhisi ubaguzi.
Inawezekana kabisa.

Kuna Waislam hivi sasa wako mahakamani na wako rumande
Segerea.

Ni vijana wadogo walikamatwa wakitoka msikitini Ijumaa mbili
zilizopita.

Wanashtakiwa kwa kosa la kuandamana.
Vijana wanamuuliza hakiumi nini maandamano.

Hakimu akaeleza.

Vijana wakazema hapo tulipokamatiwa sisi wala hapakuwa na
maandamano ila tuliona watu wakiwakamata waliovaa kanzu na
mimi nilikuwa nimevaa kanzu.

Kosa langu ni hilo.

Wajerumani Vita Vya Pili Vya Dunia wanawapiga na kuwatesa
Wayahudi kisha wanawauliza hivi mnajuakwa nini tunakupigeni?

Tunajisikia raha tukikupigeni.
Hili ndilo lilikuwa jibu la Manazi.

Hapa ndipo tulipoifikisha Tanzania.

Kuonekana na alama za Uislam unahatarisha maisha yako si njiani
hata shule, vyuoni na makazini.

Katika hali kama hii nani wa kuonewa huruma?
 

Twende Kazi,

Inawezekana kwa kuwa wewe ni Mkristo ukawa
hujui madhila yanayowasibu Waislam katika elimu,
kazi na fursa nyinginezo.

Huhisi ubaguzi.
Inawezekana kabisa.

Kuna Waislam hivi sasa wako mahakamani na wako rumande Segerea.

Ni vijana wadogo walikamatwa wakitoka msikitini Ijumaa mbili zilizopita.

Wanashtakiwa kwa kosa la kuandamana.
Vijana wanamuuliza hakimu nini maandamano.

Hakimu akaeleza.

Vijana wakazema hapo tulipokamatiwa sisi wala hapakuwa na maandamano
ila tuliona watu wakiwakamata waliovaa kanzu na mimi nilikuwa nimevaa kanzu.

Kosa langu ni hilo lakini sikuwa naandamana na maandamano yenyewe hayakuwapo.

Wajerumani Vita Vya Pili Vya Dunia wanawapiga na kuwatesa Wayahudi kisha wanawauliza
hivi mnajuakwa nini tunakupigeni?

Tunajisikia raha tukikupigeni.
Hapa ndipo tulipoifikisha Tanzania.

Kuonekana na alama za Uislam unahatarisha maisha yako si njiani hata shule, vyuoni na makazini.
Katika hali kama hii nani wa kuonewa huruma?
 
Mzee wangu naomba nizungumze na wewe sio kama mkristo wala muislamu bali kama mtanzania.Mzee wangu unafikiri ni kundi ilo tu unalolitaja ndio linadhulumiwa au kunyanyaswa nchi hii?Je ni watanzania wangapi wameuwawa kwa kupigwa risasi migodini bila kujali dini zao?Je ni watanzania wangapi wamekosa fursa ya kupata elimu bora bila kujali dini zao?Je ni watanzania wangapi wamebambikiwa kesi bila kujali dini zao?Je ni watanzani wangapi wameuwawa kwenye maandamano bila kujali dini zao?Je ni watanzania wangapi wamefia mahospitalini kwa kukosa huduma bila kujali dini zao?Je ni watanzania wangapi wamekufa njaa sababu ya kukosa chakula bila kujali dini zao?Watanzania wangapi Mzee wangu Mohamedi wanateseka ndani ya nchi hii kwa madhila mbalimbali.Viumbe wa Mwenyezi Mungu wangapi wamepoteza matumaini ya kuishi hapa nchini mwetu bila kujali dini zao?Mzee wangu nakusihi sana nami nikihisihi nafsi yangu tafadhali naomba ubadilishe aina yako ya uandishi na kama ni haki basi upiganie haki za watanzania kwa ujumla wao.Usitugawe tafadhali.Kumbuka Mtume anasema unapotaka kufanya jambo angalia mwisho wake kama ni mzuri fanya kama ni mbaya liache.Narudia tena sisi wanyonge tutapoteza kila kitu wewe mwenzetu huna cha kupoteza.Tuonee huruma watanzania wenzio.
 


TK,

Inapokuja kwenye Uislam na kwa historia ambayo ikiwa huijui
nakushauri soma kitabu changu utanielewa.
 
Unapingwa na nani?.Mbona unajichanganya?.Unaweweseka kama mlevi.Angalia hapo chini
Mzee eleza nani anampinga Mohammed na nani anamuunga mkono.Nionavyo wanaompinga ni akina wewe na hamuwezi kuwashinda wanaomuunga mkono wazee kwa vijana kama ulivyobainisha hapo juu na rafiki yako alivyokutana nao mpaka ndani ya basi huko Mwanza mbali na Dar es salaam.
 
tena zomba na Ritz bora Ritz
 
Last edited by a moderator:
The Church therefore declaredIslam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]

........

NI nani aliyetangaza kwenye kanisa la Tanzania kwa Uislamu ni adui na akapanga njama "to thwart its progress"?

Naomba utuambie maana umerudia sana hili.. Sivalon anamtaja huyo aliyetangaza hili kwenye Kanisa la Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…