Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mkuu Jasusi asante sana kwa kisa hiki cha kusisimua sasa pata picha kama Aikael Mbowe angekuwa mzee wa Gerezani nakwambia Mzee wetu Mohamed Said angemwandika page 20 kuelezea kisa hiki kwa mbwembwe na mashamshamu ya kufa mtu.

.......
Mohamed,

Umemtaja mzee Aikaeli Mbowe. Ngoja nikupe kisa kimoja kumhusu huyu mzee na ulinganishe na malalamiko yako ya Nyerere kuwasahau akina Dosa Aziz wakati alipokuwa Ikulu.

Mzee Mbowe alikuwa na shida sana kukutana na Nyerere kila alipokwenda Dar-es- Salaam. Alitumia kila mbinu, akipiga simu Ikulu kuomba appointment lakini wale wasaidizi wa Mwalimu ambao hawakumjua, walimzuia.

Mzee Mbowe aliamua siku moja kusubiri pale nje ya gate wakati Nyerere anakwenda Ikulu. Nyerere akamwona pale nje, akashuka kwenye gari lake na kumuuliza mbona anasubiri nje.

Akamwelezea shida aliyokuwa nayo kukutana naye. Basi akamshika mkono akaenda naye Ikulu. Akawaambia wale maafisa wake kuwa kuanzia siku hiyo, kama huyo mzee anataka kuonana naye asiwekewe pingamizi.

Ngongo,
Kwanza ulikuwa wapi rafiki yangu?

Yaani ndiyo Jasusi kakupa mkambaa wa kunichapia siyo?
Naandika kwa ''mbwembwe na mashamsham'' lakini vipi
ukisoma si unasikia raha?

Uandishi ni kipaji.
Wamenyema wote ni ''eloquent.''

Hahahaha!
Nakutania.
 
Duh Mohamed Said nilikuwa busy nafuatilia uchaguzi wa Kenya ha ha ha ha sawa nimekusoma.

Mkuu Jasusi asante sana kwa kisa hiki cha kusisimua sasa pata picha kama Aikael Mbowe angekuwa mzee wa Gerezani nakwambia Mzee wetu Mohamed Said angemwandika page 20 kuelezea kisa hiki kwa mbwembwe na mashamshamu ya kufa mtu.

.......

Ngongo,
Kwanza ulikuwa wapi rafiki yangu?

Yaani ndiyo Jasusi kakupa mkambaa wa kunichapia siyo?
Naandika kwa ''mbwembwe na mashamsham'' lakini vipi
ukisoma si unasikia raha?

Uandishi ni kipaji.
Wamenyema wote ni ''eloquent.''

Hahahaha!
Nakutania.
 
Last edited by a moderator:
Ewe Mwenyezi Mungu uzidi kumjaza Mzee huyu roho ya hekima na maarifa kama ya Nabii Suleimani.Umtembelee Mzee Mohamedi kama ulivyomgusa Sauli.Ninakuomba Baba yetu uliye mbinguni uzidi kuimarisha upendo,mshikamano na amani miongoni mwetu Watanzania.Amina.

Twende Kazi,

Dua yako ni nzuri sana lakini nitaiongezea mstari mmoja ndipo nami nitaitika AMIN.

''Na Mwenyezi Mungu uondoe fitna yote iliyoingizwa katika jamii yetu baada ya sisi
huko nyuma kuwa ndugu na uindoe dhulma iliyopo iipatikane haki irejeshe kwetu
mapenzi yale yaliyokuwapo baina yetu.''

AMIN.
 
Jasusi,

Nipe hoja za kisheria zinazosema kuwa vatican ni nchi? Nimebishana nanyie katika Memorandum of Understanding mmeshindwa kuniletea hoja za msingi nikiwauliza ni hoja gani za msingi zinazoifanya Vatican ambayo hakuna wazawa iitwe nchi? Vile vile ni hoja gani za msingi mnaweza kutuambia tofauti ya Holy See na Vatican ni ipi? Vilevile tuambiwe ni mtoto gani alizaliwa Vatican akakulia vatican akafa vatican. Vyenginevyo tuambieni huo uhusiano wa nchi mmueutoa wapi?

Mdondoaji wakati mwingine unatuangusha bana; rudi nyuma kasome mkataba ya Lateran ambayo ilitambua Papal States. Ukishasoma na kuelewa historia ya Vatican kuwa nchi rudi tujadiliane lakini ukiridhika sema umeridhika tusonge mbele. Lakini huwezi tu kwa vile hupendi kukataa Vatican kuwa ni nchi. Inaweza isiwe vizuri au isiwe na mantiki au ikavuruga nadharia uliyo nayo lakini hilo peke yake halitoshi kukufanya ukatae kuwa Vatican ni nchi. Vinginevyo utakuwa unabishhana na sisi kwa kitu ambacho majawabu yako tayari.

Vatican in Mkuu wake wa Nchi - Papa
Vatican ina katiba yake
Vatican inatambulika kama Sovereign State (Umoja wa Mataifa na nchi nyingine -
Vatican ina bendera yake na nembo yake ya taifa
Vatican ina wimbo wake wa Taifa
Vatican City in passport zake na Holy See ina passport zake...

Sasa sijui tukusaidiaje ndugu yangu.
 
Twende Kazi,

Dua yako ni nzuri sana lakini nitaiongezea mstari mmoja ndipo nami nitaitika AMIN.

''Na Mwenyezi Mungu uondoe fitna yote iliyoingizwa katika jamii yetu baada ya sisi
huko nyuma kuwa ndugu na uindoe dhulma iliyopo iipatikane haki irejeshe kwetu
mapenzi yale yaliyokuwapo baina yetu.''

AMIN.

unaona sasa; kwamba huko nyuma tulikuwa "ndugu" sasa hivi sisi siyo ndugu! Hii ndiyo fitna yako mzee wetu. Sisi bado ni ndugu na ndugu hata wakitofautiana hawaachi kuwa ndugu. Undugu wetu ni mkubwa na wa kina kuliko matukio ya kihistoria.
 
Siyo kwa sababu za kidini bali najua naweza kufikiwa na wageni marafiki zangu Waislamu hivyo sitaki kuwalisha haramu.

Ndugu, Mzee M,

Jee, ukiwa hauko ktk maeneo yenye rafiki zako Waislamu huwa unakula haramu?

Sina haramu ya kidini; nikitaka kupata kiti moto naenda wanakouza nakula kwa raha zangu. Nyumbani sipiki wala sinunui kuleta.
 
Mzee Saidi hili la hansard najua limekuchoma vilivyo and I know why, ulikuwa hujawahi kuiona miaka yote hii ya kitabu chako ukijiita mtafifiti na mwanahistoria ya Tanganyika ulikuwa hujui kuhusu hii document ambayo ilikuwa ndiyo centre ya huo uhuru. What a joke???????? Kama nilivyosema mwanzo unasumbuliwa na ushindani ("trophy collecting mentallity"). Ni aibu kwa mtu wa nafasi yako badala ya kuleta hoja unaleta viroja nimekushauri hiyo waachie vijana wako.

Ngoja nikukumbushe kidogo tulikotokea ile asubuhi!!!!!!

Nikakujibu, na hoja ikiwa hansard si sawa na kujinukuu!!!!!! Lakini pia nikajibu hoja yako kwa kutoa maandiko yafuatayo nikitegemea utakuwa mtulivu upate darsa, maana wewe umeelezea uwepo wa tukio mimi nimetoa baadhi ya contents

Ukajibu kama ifuatavyo:

Kumbuka nilikuaga mida ile kuwa naelekea kwa kazi jambo ambalo si la kawaida humu maana it's easy unalog ou tu,

ukanijibu:

.

Sasa nashangaa hata sijarudi tambo zilishaanza kwa vijana wako, ni ustaarabu wa wapi huuu mzee Saidi, lakini huu ni uthibitisho mwingine kwamba una nia ovu na hivyo basi muda wowote anapotokea mtu kuweka records straight inakughafirisha sana.

Mzee Saidi unatakiwa ufahamu haya nayowakilisha wala si kwa juhudi ni mambo yapo kwa mtu yeyote if you want to know.

Kwa kusaidia tu hayo maandiko yenye ushahidi ni jinsi gani hao jamaa wa TAA wakiongozwa na Abdu Sykes walikuwa hawakujiandaa na hawana umoja zinapatikana kuanzia pg 177 ndani ya kitabu "
Voices from Tanganyika: Great Britian, the United Nations and the Decolonization of a Trust Territory, 1946-1961" by Ulrich Lohrmann. Tafuta hiki kitabu kitakusaidia sana kabla hujaendelea kujiumbua.

The last one kwa faida ya Mkanasha, wanajamvi na vijana wako "Unaweza kututajia wazee waliokuwa na Nyerere kwenye negotiating team na waingereza kuhusu upatikanaji uhuru wa Tanganyika??" Please. Maana hiyo ndiyo hasa ilikuwa nguzo ya kupatikana uhuru Dec 09, 1961. If not basi usipepese sema sijui utapewa darasa.
Inshalah tutaonana panapo majaliwa .

Nyambala,
Ahsante kwa majibu.

Kinyume unavyodhani ile document uloweka hapa ya Hansard na ya TAA
mimi nimekushukuru.

Nimekushukuru kwa sababu umenisomesha.

Mie sikujua kuwa katika mawasilisho palitokea mgongano wa fikra katika
TAA.

Mimi kichwa changu kiko wazi naichukua elimu popote na ndiyo maana
husema siku zote siko humu kushinda mjadala ila kueleza lile nilijualo.

Hivyo ducument haikuniumiza hata kidogo.

Yote ulosema ya Nyerere na timu yake waloweka tarehe ya uhuru yote
sawa kabisa.

Hakuna anaeweza kubisha haya yote kwa kuwa ni ukweli wa kihistoria.

Mimi nilichofanya na ndiyo kilichotukutanisha hapa JF nimeandika historia ya
wazee wangu waliompokea Nyerere, wakaishinae majumbani mwao.

Wakamkabidhi chama na wakawanae bega kwa bega hadi wakampeleka UNO.

Siku ya kurudi wakampa mapokezi hakuwahi hata kuota au kufikiria kwa mbali
yanawezekana.

Wakatembeanae nchi nzima kuitangaza TANU nk. nk. hadi uhuru ukapatikana.

Katika hawa wazee wengine nikawafahamu vizuri kwa kuwa nafumbua macho
nawaona mtaani wakipita wengine wakija mpaka nyumbani kwetu.

Kwangu mie ni faraja kubwa sana kuwa leo wazee hawa wameingia JF wasikizaji
wakiwa 90,000 and counting wanawazungumza mashujaa hawa wa uhuru wetu
ambao walifutwa kwa makusudi kwa kuhofu kuwa waliokuwa mstari wa mbele na
kusimama kidete dhidi ya ukoloni walikuwa Waislam.

Kwangu mimi huu ni ushindi mkubwa sana.
Yaliyobaki ni matayassar.
 
Twende Kazi,

Dua yako ni nzuri sana lakini nitaiongezea mstari mmoja ndipo nami nitaitika AMIN.

''Na Mwenyezi Mungu uondoe fitna yote iliyoingizwa katika jamii yetu sisi baada ya
huko nyuma kuwa ndugu
na uindoe dhulma iliyopo iipatikane haki irejeshe kwetu
mapenzi yale yaliyokuwapo baina yetu.''

AMIN.
Daaah!Nilipopigia mstari pamenivunja moyo sana.Hivi ni kweli watanzania wa leo sio ndugu?Ni kweli leo hii hatuna mapenzi baina yetu?Mzee wangu nafikiri unatamani iwe hivyo pengine ila Inshaalah kwa rehema zake Mwenyezi Mungu,Mfalme wa Amani hatutofika huko kamwe.Sisi tunaolilia chuki na dhana potofu zisisambazwe na kupelekea machafuko tuna vitu vingi sana vya kupoteza ,tuna wazazi wetu wa imani tofauti,tunaishi ndani ya ardhi hii na hatuna ujanja wa kukimbilia popote pale,tuna ndugu na jamaa zetu tulioshibana,tuna mashamba yetu ambayo bila hayo hatuwezi ishi,tuna biashara zetu ndogo ndogo ndani ya nchi,tumeoleana na tumezaana mchanganyiko.Hakika sisi tutapoteza kila kitu hakuna kitakachobaki.Mzee Mohamedi huna cha kupoteza.Tafadhali tuonee huruma watanzania wenzio.
 
unaona sasa; kwamba huko nyuma tulikuwa "ndugu" sasa hivi sisi siyo ndugu! Hii ndiyo fitna yako mzee wetu. Sisi bado ni ndugu na ndugu hata wakitofautiana hawaachi kuwa ndugu. Undugu wetu ni mkubwa na wa kina kuliko matukio ya kihistoria.

MM,

Fitna ni hii:

Thesecond book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1]unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed thatthe Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects. First,was the unity between the Muslim madhheb(sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second,was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society(EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam. endThe Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, wouldanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declaredIslam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]
[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2]Ibid. p 37.
 
Nyambala tafadhali tufungue macho naona Mohamed Said hili swali anajifanya akuliona

"
The last one kwa faida ya Mkanasha, wanajamvi na vijana wako "Unaweza kututajia wazee waliokuwa na Nyerere kwenye negotiating team na waingereza kuhusu upatikanaji uhuru wa Tanganyika??" Please. Maana hiyo ndiyo hasa ilikuwa nguzo ya kupatikana uhuru Dec 09, 1961. If not basi usipepese sema sijui utapewa darasa. Inshalah tutaonana panapo majaliwa
 
Last edited by a moderator:
Daaah!Nilipopigia mstari pamenivunja moyo sana.Hivi ni kweli watanzania wa leo sio ndugu?Ni kweli leo hii hatuna mapenzi baina yetu?Mzee wangu nafikiri unatamani iwe hivyo pengine ila Inshaalah kwa rehema zake Mwenyezi Mungu,Mfalme wa Amani hatutofika huko kamwe.Sisi tunaolilia chuki na dhana potofu zisisambazwe na kupelekea machafuko tuna vitu vingi sana vya kupoteza ,tuna wazazi wetu wa imani tofauti,tunaishi ndani ya ardhi hii na hatuna ujanja wa kukimbilia popote pale,tuna ndugu na jamaa zetu tulioshibana,tuna mashamba yetu ambayo bila hayo hatuwezi ishi,tuna biashara zetu ndogo ndogo ndani ya nchi,tumeoleana na tumezaana mchanganyiko.Hakika sisi tutapoteza kila kitu hakuna kitakachobaki.Mzee Mohamedi huna cha kupoteza.Tafadhali tuonee huruma watanzania wenzio.

Twende Kazi,

Inawezekana kwa kuwa wewe ni Mkristo ukawa hujui madhila
yanayowasibu Waislam katika elimu, kazi na fursa nyinginezo.

Huhisi ubaguzi.
Inawezekana kabisa.

Kuna Waislam hivi sasa wako mahakamani na wako rumande
Segerea.

Ni vijana wadogo walikamatwa wakitoka msikitini Ijumaa mbili
zilizopita.

Wanashtakiwa kwa kosa la kuandamana.
Vijana wanamuuliza hakiumi nini maandamano.

Hakimu akaeleza.

Vijana wakazema hapo tulipokamatiwa sisi wala hapakuwa na
maandamano ila tuliona watu wakiwakamata waliovaa kanzu na
mimi nilikuwa nimevaa kanzu.

Kosa langu ni hilo.

Wajerumani Vita Vya Pili Vya Dunia wanawapiga na kuwatesa
Wayahudi kisha wanawauliza hivi mnajuakwa nini tunakupigeni?

Tunajisikia raha tukikupigeni.
Hili ndilo lilikuwa jibu la Manazi.

Hapa ndipo tulipoifikisha Tanzania.

Kuonekana na alama za Uislam unahatarisha maisha yako si njiani
hata shule, vyuoni na makazini.

Katika hali kama hii nani wa kuonewa huruma?
 
Daaah!Nilipopigia mstari pamenivunja moyo sana.Hivi ni kweli watanzania wa leo sio ndugu?Ni kweli leo hii hatuna mapenzi baina yetu?Mzee wangu nafikiri unatamani iwe hivyo pengine ila Inshaalah kwa rehema zake Mwenyezi Mungu,Mfalme wa Amani hatutofika huko kamwe.Sisi tunaolilia chuki na dhana potofu zisisambazwe na kupelekea machafuko tuna vitu vingi sana vya kupoteza ,tuna wazazi wetu wa imani tofauti,tunaishi ndani ya ardhi hii na hatuna ujanja wa kukimbilia popote pale,tuna ndugu na jamaa zetu tulioshibana,tuna mashamba yetu ambayo bila hayo hatuwezi ishi,tuna biashara zetu ndogo ndogo ndani ya nchi,tumeoleana na tumezaana mchanganyiko.Hakika sisi tutapoteza kila kitu hakuna kitakachobaki.Mzee Mohamedi huna cha kupoteza.Tafadhali tuonee huruma watanzania wenzio.

Twende Kazi,

Inawezekana kwa kuwa wewe ni Mkristo ukawa
hujui madhila yanayowasibu Waislam katika elimu,
kazi na fursa nyinginezo.

Huhisi ubaguzi.
Inawezekana kabisa.

Kuna Waislam hivi sasa wako mahakamani na wako rumande Segerea.

Ni vijana wadogo walikamatwa wakitoka msikitini Ijumaa mbili zilizopita.

Wanashtakiwa kwa kosa la kuandamana.
Vijana wanamuuliza hakimu nini maandamano.

Hakimu akaeleza.

Vijana wakazema hapo tulipokamatiwa sisi wala hapakuwa na maandamano
ila tuliona watu wakiwakamata waliovaa kanzu na mimi nilikuwa nimevaa kanzu.

Kosa langu ni hilo lakini sikuwa naandamana na maandamano yenyewe hayakuwapo.

Wajerumani Vita Vya Pili Vya Dunia wanawapiga na kuwatesa Wayahudi kisha wanawauliza
hivi mnajuakwa nini tunakupigeni?

Tunajisikia raha tukikupigeni.
Hapa ndipo tulipoifikisha Tanzania.

Kuonekana na alama za Uislam unahatarisha maisha yako si njiani hata shule, vyuoni na makazini.
Katika hali kama hii nani wa kuonewa huruma?
 
Twende Kazi,

Inawezekana kwa kuwa wewe ni Mkristo ukawa
hujui madhila yanayowasibu Waislam katika elimu,
kazi na fursa nyinginezo.

Huhisi ubaguzi.
Inawezekana kabisa.

Kuna Waislam hivi sasa wako mahakamani na wako
rumande Segerea.

Ni vijana wadogo walikamatwa wakitoka msikitini Ijumaa mbili
zilizopita.

Wanashtakiwa kwa kosa la kuandamana.
Vijana wanamuuliza hakiumi nini maandamano.

Hakimu akaeleza.

Vijana wakazema hapo tulipokamatiwa sisi wala
hapakuwa na maandamano ila tuliona watu wakiwakamata
waliovaa kanzu na mimi nilikuwa nimevaa kanzu.

Kosa langu ni hilo.

Wajerumani Vita Vya Pili Vya Dunia wanawapiga na kuwatesa
Wayahudi kisha wanawauliza hivi mnajuakwa nini tunakupigeni?

Tunajisikia raha tukikupigeni.
Hapa ndipo tulipoifikisha Tanzania.

Kuonekana na alama za Uislam unahatarisha maisha yako si njiani
hata shule, vyuoni na makazini.
Mzee wangu naomba nizungumze na wewe sio kama mkristo wala muislamu bali kama mtanzania.Mzee wangu unafikiri ni kundi ilo tu unalolitaja ndio linadhulumiwa au kunyanyaswa nchi hii?Je ni watanzania wangapi wameuwawa kwa kupigwa risasi migodini bila kujali dini zao?Je ni watanzania wangapi wamekosa fursa ya kupata elimu bora bila kujali dini zao?Je ni watanzania wangapi wamebambikiwa kesi bila kujali dini zao?Je ni watanzani wangapi wameuwawa kwenye maandamano bila kujali dini zao?Je ni watanzania wangapi wamefia mahospitalini kwa kukosa huduma bila kujali dini zao?Je ni watanzania wangapi wamekufa njaa sababu ya kukosa chakula bila kujali dini zao?Watanzania wangapi Mzee wangu Mohamedi wanateseka ndani ya nchi hii kwa madhila mbalimbali.Viumbe wa Mwenyezi Mungu wangapi wamepoteza matumaini ya kuishi hapa nchini mwetu bila kujali dini zao?Mzee wangu nakusihi sana nami nikihisihi nafsi yangu tafadhali naomba ubadilishe aina yako ya uandishi na kama ni haki basi upiganie haki za watanzania kwa ujumla wao.Usitugawe tafadhali.Kumbuka Mtume anasema unapotaka kufanya jambo angalia mwisho wake kama ni mzuri fanya kama ni mbaya liache.Narudia tena sisi wanyonge tutapoteza kila kitu wewe mwenzetu huna cha kupoteza.Tuonee huruma watanzania wenzio.
 
TK,

Inapokuja kwenye Uislam na kwa historia ambayo ikiwa huijui
nakushauri soma kitabu changu utanielewa.
 
Labda hhawakujua hatari ya yale unayoyadai kwani kwa muda mrefu wengi walidhani ni kitabu ambacho umewalenga Waislamu tu. Ni mpaka watu wengine nao walipoanza kukisoma na kuelewa upotoshaji mkubwa uliofanya ndani yake ndio maana leo unapingwa. Utawala wa histohisia umefikia tamati!
Unapingwa na nani?.Mbona unajichanganya?.Unaweweseka kama mlevi.Angalia hapo chini
Unajua kwa muda mrefu mzee SAid alikuwa amepata mimbari huru mbele ya kundi la vijana wasiojua kuhoji wala udadisi wa fikra. Aliwakuta vijana (labda na wazee) ambao kuona Uislamu "Unatetewa" na maadui wa "Uislamu" wakibainiswa wazi basi walijikuta hawana jinsi isipokuwa kumuunga mkono. Histohisia ya Mohammed Said isingekamilika na wala isingekuwa na nguvu kama asingeweza kutumia 'common denominator' ya dini.

Ni kwa sababu hiyo utaona kuwa histohisia hiyo kaiandika akitumia dini kama kigezo cha 'nani alisahauliwa' na nani alipewa sifa. Nimeanza kupitia nyaraka mbalimbali za TANU na tayari nimeshakuta majina ya Abdul Sykes akitajwa na wazee wengine ambao Mzee Said alidai wamesahauliwa.

Kitu ambacho nimegundua ni kuwa wazee awa waliwekwa kwenye nafasi yao sahihi ya kihistoria - yaani washirika wa karibu wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika harakati za Uhuru. Wengine bila ya shaka walimtangulia katika siasa (kutokana na umri wao au kutoka na nafasi walizokuwepo) lakini wote wanabadilishwa maisha yao na siasa zao wanapokutana na Nyerere.

Ni Nyerere ambaye anafunua wazo kuwa Tanganyika ni zaidi ya Gerezani, Tanganyika ni zaidi ya Dar-es-Salaam na Tanganyika ni zaidi ya kundi la wazee wa Dar (Wakristu na Waislamu). Mzee Said kwa makusudi kabisa anajaribu kupuuzia jaribio la kuwagawa wapigania uhuru kwa misingi ya dini. Kundi la Wazee wa Kiislamu ambao walitaka upendeleo wa pekee na ambao waliamini wanastahhili zaidi walijaribu kuhujumu harakati za Uhuru.

Uongozi thhabiti wa Nyerere ulionesha tu kuwa hali mbaya ya maisha haikuwa kwa watu wa Gerezani peke yao na wala hhaikuwa ni kwa Waislamu tu. Kulikuwa na jamii nyingi katika Tanganyika ambazo utawala wa Mkoloni ulizisahau. Nyerere katika dhamira safi asingeweza kabisa kupendelea kundi la 'marafiki' zake kama Mohammed Said anavyotaka na akapuuzia mamilioni ya WAtanganyika waliotawanyika katika ardhih yetu maridhawa.

Dhambi kubwa kabisa ya Nyerere ukimsoma vizuri Mohammed Said ni kuwa hakuwapendelea Waislamu au kuwapa nafasi ya pekee dhidi ya Watanganyika wengine. Nyerere aliwachukulia Waislamu kama ndugu zake, rafiki zake na aliwaamini kwa maisha yake. Katika kufanya ivyo aliongozwa kabisa na dhana ya "binadamu wote ni sawa". Bahati mbaya kina Mohammed Said wanaeneza (na tunaona matokeo yake) nadharia kuwa 'binadamu wote ni sawa' lakini "Waislamu tu ndio ndugu zangu". Hivyo, Mohammed Said hawezi kujali dhulma dhidi ya Wakristu au jamii ya Kikristu au Wasio waamini lakini atapiga kelele akisikia ni Waislamu wanadhulumiwa.

Hii ndio tofauti kubwa kati ya Nyerere na Mohammed Said na watu wanaomuunga mkono. Nyerere aliamini kuwa undugu wa binadamu ni mkubwa zaidi kuliko dini, rangi, jamii, au mahali. Na kwa muda Watanzania tuliamini hivyo ivyo pia. Hadi watu kama Mohammed Said walipoibuka na kutuambia kuwa wao ndugu zao wa karibu na walio tayari kuwatetea ni Waislamu wenzao. Na somo ihli limepata waumini. Cha kusikitisha ni kuwa hata hao Waislamu siyo Wote ambao wanaamini ni ndugu zao. Wao Waislamu ni wale wenye kukubaliana nao kisiasa na kimtazamo siyo wanaokubaliana nao kiimani juu ya Mungu Mmoja na Mtume Mohammed.

Wale Waislamu wasiyokubali histohisia hii na ambao wanaamini katika undugu wetu na wako tayari kumpinga ndio wamegeuzwa maadui. Wanaturudisha kule ambapo baba zao walifanya mwaka 1958 na mapema mwanzoni mwa miaka ya sitini - Waislamu ni lazima wampinge Nyerere, wapingane na ndugu zao Wakristu na wajitenge na wengine.

This is to me is the tragegy of Mohammed Said's antics..
Mzee eleza nani anampinga Mohammed na nani anamuunga mkono.Nionavyo wanaompinga ni akina wewe na hamuwezi kuwashinda wanaomuunga mkono wazee kwa vijana kama ulivyobainisha hapo juu na rafiki yako alivyokutana nao mpaka ndani ya basi huko Mwanza mbali na Dar es salaam.
 
Mkuu wangu zumbemkuu unamshangaa Mohamed Said kumlinganisha zomba mzee wa kucopy na kupesti aliyetolewa kamasi na Matola .

Ukweli ni kwamba ukitafuta vichwa vitano vya ukweli hapa JF Mkuu nguruvi yumo.Ngoja niandae list yangu Nguruvi3 Mchambuzi Mzee Mwanakijiji Jasusi Mag3 ....Mpaka hapo Ustadhi Moh na mpiga tarumbeta wake hawajaingia.Nikiandaa list nyingine ya 10 bora bado jina la zomba halitii pua kabisa labda 1000 a itategemea mnajadili nini.

Ukianzishwa mjadala wa kuisifu CCM ya Kikwete zomba anaweka akili kando anakimbilia madata ya kuchongo hata kama hayana uhalisia.Ukiijadili CCM ya Mkapa zomba atamponda ukiijadili CCM ya Mzee Ruksa zomba huyo huyo ataisifu bila kujali kipindi cha Mzee Ruksa MoU iliasisiwa na vurugu za Mwembechai atatupiwa Mrema Mwinyi hausiki kabisa ha ha ha.
Mzee wangu Mo ukifika mahali ukasifu hata visivyosifiwa unapunguza heshima yako ingawa tayari sioni kabisa.
tena zomba na Ritz bora Ritz
 
Last edited by a moderator:
The Church therefore declaredIslam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]

........

NI nani aliyetangaza kwenye kanisa la Tanzania kwa Uislamu ni adui na akapanga njama "to thwart its progress"?

Naomba utuambie maana umerudia sana hili.. Sivalon anamtaja huyo aliyetangaza hili kwenye Kanisa la Tanzania?
 
Back
Top Bottom