Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Son of Alaska, huyu mwalimu wa Spike Lee na wenzake angekuwa hakwepi maswali huu mjadala haungefika hapa ulipofikia ila subiri atakavyojaribu kukwepa au "spin" atakazozileta! Hata hivyo nampa hint kidogo tu kuhusu miaka hiyo;
Swali langu kwa Mohamed Said ni kuwa wazee wake (wazulu na Manyema) makazi yao yalikuwa wapi? Hapa naongelea mara tu baada ya Tanganyika kutwaliwa na Uingereza kwenye 1920s. Sasa namwomba asiwanyime wanafunzi wake akina Spike Lee fursa ya kufyonza ilmu, awaambie wazee wake waliishi mitaa ipi...hilo tu. Tukumbuke kuwa idadi ya wakaazi wote wa Dar es Salaam wakati huo ilikuwa haifiki 20,000!
- Wazaramo ambao idadi yao ilikuwa kubwa, makazi yao ya nyumba za makuti yalikuwa nje kidogo ya City Center kama Buguruni, Tabata na Ubungo.
- Washomvi waliweka makazi yao Kunduchi na Msasani.
- Wasukuma waliweka makazi Msasani na Magogoni.
- Wanyamwezi (idadi yao pia haikuwa ndogo) makazi yao yalikuwa Kindondoni na Bonde la Msimbazi.
- Wangoni walijikita Keko na Kijitonyama.
Mag3,
Sasa umehamia mipango miji?
JF ina majambo.
Siasa basi.