Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Wee mzee acha uongo, unakumbuka niliwahi kukuambia nini kuhusu hii ngano yako? Wewe kukutana na Haroub Othman, kumpa kitabu chako hakuna anayepinga lakini hili la uandishi wa bayografia ya Nyerere kuwa ni kutokana na kitabu chako ni uongo unaotakiwa kuuacha sasa maana tumeshakueleza lakini bado unakoleza tu as if that will turn into some truth.
Na hii ya kusema jambo hili lilieta ubishani sana hapa JF ai kweli, ulitoa tuhuma nikakujibu kwa evidence ukaishia kulalama na kusema "ooh! ni kitabu changu" Lakini kwa sababu ya ile "tropy collecting mentallity" unaendelea kushupalia uongo huu ili ionekane ulishinda hhahahahah ahahahaha. Muogope Mungu we Mzee. Haya nakukumbusha tena.
Wakati mwingine uone aibu Mzee Saidi.
Kama huu ndio upeo wa mchango wako basi pole sana.anzania's founder president and father of the nation , the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, died before his autobiography could begin.
Prof. Ahmed Mohiddin, a former academician, told the East African that three people himself, Prof Haroub Othman, now live in Liberia, and former ambassador Ferdinand Ruhinda one of mwalimu's confidants had earlier approached the late Mwalimu to seek his consent.
He had initially agreed, on that and Prof Othman was to meet him in August 12, 1999 so that we could work on strategy on how we were going to do it. I think he knew his disease was fatal.
Prof Mohiddin who describes Mwalimu as the last revolutionary, said it is sad that he departed without it.
Ambassador Ruhinda said in Dar, "We were going to sit with him whenever he had time, and write his own words and then he would go through the manuscript and correct it because we wanted it to be his own work. It is just bad that he departed before the project could take off"
He added "Actually we were just going to assist him to write, but not for us to write for him; there are so many books that have been written about him that we wanted one from himself.
The three writers who had worked on a framework for the Nyerere Autograph now have daunting task ahead. "We will have to reorganize ourselves and the work. But it will never be the same again."
Umekanusha nini?.Kumbe umekubali kuwa Prof.Haroub Othman alimfuata Nyerere kumshauri aandike historia yake.Kitu hicho hicho ndicho alichosema Mohammed.
Sisi watu wa mantiq na balagha huwezi kutubabaisha na makeke ya aina hiyo.
Angalia Nyambala!.Wewe hakuna sehemu uliyosema unafahamiana au uliwahi kuzungumza na prof.Haroub Othman tofauti na Mohammed aliyekuwa na usuhuba nae.Kitendo cha hao maprofesa kumfuata Nyerere kilifanyika baada ya kitabu cha Mohammed kutoka na mwishoni mwa maisha ya Nyerere.Kati ya utakayosema wewe na Mohammed ni nani atakayekuamini wewe akawacha aliyosema Mohammed kuhusiana na profesa Haroub ?..