Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

MM,

Swali la kipumbavu lakini nitakujibu.
Rashad na Nyerere wakifahamiana.

Upumbavu ni kudai kuwa adui mkuu wa Waislamu Tanzania anakula sahani moja na mmoja wa watu wanamtuhumu udini...tena katika msiba wa mtu ambaye waligombana miaka karibu saba nyuma...na aliyechukiwa na Waislamu..
 
Upumbavu ni kudai kuwa adui mkuu wa Waislamu Tanzania anakula sahani moja na mmoja wa watu wanamtuhumu udini...tena katika msiba wa mtu ambaye waligombana miaka karibu saba nyuma...na aliyechukiwa na Waislamu..

MM,

Mwisho tutatukanana.
Nilipata kukuambia usinifuatefuate.

Je hapa tulipofikishana hapatoshi?
 
naona unatumia akili za kushikiwa,
wee hujui ni sifa kutemewa mate ni mzungu?
mbona Rais wako anatemewa mate asaiv na bado anachekacheka tu?
 

Bora ungekaa kimya ingekuwa bora zaidi au ungejaribu kuwauliza jamaa zako huku Tanzania watu wanakamatwa kwa kuvaa kanzu na kofia tu wanaambiwa wanataka kuandaamana wakati wanatoka misikitini siku ya Ijumaa.

Wewe unakaa unaandika tu upuuzi kwa mapenzi yako lini umeishawahi kuwatetea Waislam wewe.

Tena unapiga kuwa huwezi kukamatwa kwa kuvaa kanzu imefika mpaka siku za Ijumaa tunawaambia vijana wetu wasivae kanzu.

Polisi wakiwanyanyasa Chadema ndiyo uwa unapanua mdomo wako lakini kwa Waislam kwako ni uongo.
 
Mohamed Said;5854600]Ami,Mwanakijiji ni mzito wa kukubali ukweli.
Labda nimfahamishe hivi kwa njia nyepesi kama ataelewa.
Kwa watu wa Dar es Salaam AA siku zote ilihusishwa na Kleist Sykes
Hewalaaa! ilihusishwa! lakini si chama chake binafsi. Ilihusishwa na umaarufu wa K.Sykes lakini rais alikuwa Cecil Matola na Makamu Ramadhani Ali.

Baada ya kifo cha Kleist chama kikahusishwa na wanae.
TAA ndiyo iliyozaa TANU.Hiyo mikutano ya TANU ya siri ilikuwa ikifanyika nyumbani kwa Abdu
Sawa sawa kikahusishwa na! kwa mazoea tu wa wazee na wakazi wa jiji lakini ukweli haukubadilika.
Mikutano ya siri ni kama ile aliyaokuwa anafanya Cecil Matola nyumbani wakati wa kuanzisha AA wakati huo katibu mkuu akiwa K.Sykes.
Siyo mikutano tu hata mafaili ya TAA/TANU yakifichwa kwake na ndiyo
maana unaona leo mafaili hayo wanayo katika hifadhi ya ukoo wao
Kuficha ni haki yao kwasababu hizo ni nyaraka zao lakini ni makosa kwasababu historia inapindishwa na watu wachache. Leo mafaili yangekuwepo tungeweza ona ilikuwaje wakachukua nyumba iliyotolewa na D.Cameron. Pengine walipewa zawadi sisi tunasema ni mafisadi n.k.

Na haikuwa yeye Nyerere wote akina Dunstan Omar walipofika Dar es
Salaam walikwenda kwa Abdu Sykes kujuana na kuweka mipango ya
TAA.Hata Nyerere alipofika Dar es Salaam mwaka 1952 aliomba kwanza ili
afahamike apelekwe nyumbani kwa Abdu.
Uongo mkubwa Mzee Said! please! ngoja nikuonyeshe wapi unapozua.
1. Kwanza hukuwahi kumhoji Nyerere na wala hakuna ushahidi wa yeye kusema maneno hayo kabla ya kukutana na Sykes kwasababu wakati huo hajakutana na Sykes sasa nani alinukuu habari zake!

Pili, kuonyesha uongo, katika kitabu umeonyesha kuwa Nyerere alipofika Dar aliuliza katika TAA nani viongozi wake?
Haya si maneno yangu ni maneno yako na kuna nukuu hapa. Sasa wiki moja baadaye unasema alitaka aonane na Abdul Sykes ili afahamike!

Nyerere alishakuwa katibu wa tawi Tabora, msomi na mwanasiasa. Alijua mambo yote ya kisiasa hivyo hakukuwa na sababu yeye aombe ili afahamike. Ungesema ashirikishwe japo unaeleweka lakini aliomba afahamike! lol

Halafu angalia unavyokana maeno yako!

Hata ule uchaguzi wa mwaka wa 1953 ulikuwa kati ya Abdu Sykes na
Nyerere.
Ilikuwaje Nyerere aliyeomba afahamike muda mfupi akawa kiongozi. Mbona umekwama hapo
Huwezi kuandika historia ya TAA au ya TANU au ya Nyerere usimtaje
Abdu.Historia itakuwa haijakamilika
Nitajie wanasiasa wanaosimama wao wenyewe bila kuwa na washiriki. Nitajie mmoja tu!
 
MM,

Mwisho tutatukanana.
Nilipata kukuambia usinifuatefuate.

Je hapa tulipofikishana hapatoshi?

Mzee Said, wewe umekulia Dar na mimi nimekulia Tanga; pwani yetu sote. Kama ni lugha nami naweza kuitumia vizuri tu kama udongo wa mfinyanzi; nikaifinyanga na kuinda kama kwa ustaarabu au kwa kupashana. Ukitaka heshima heshimu, hapendwi mtu, haogopwi mtu hapa.
 
mwambie mzee, hahahaha!
kumbe mzee umetokea Tanga? mwambie MS kuhusu wazee waliopigania uhuru akina mzee shemsanga....
 
Hii adabu wewe nawe watakiwa kuwa nayo..maana dharau na kejeli yako dhidi ya baba wa taifa imepita mfano
Huu ubaba amepewa na nani?.Ubaba wa kutoka kanisani hautuhusu sisi wengine.
Halafu baba anayebagua wanawe basi si ajabu kuvunjiwa heshima na wanawe hata ikiwa kawazaa kanisani.
Hii ni adabu gani ya kumkamata kiongozi mkuu wa waislamu akiwa amelala na akashindwa hata kumwachia avae kanzu yake?.
 

kama ni mchochezi katika jamii kama alivyo huyu mzee wenu MS hastahili hata kupewa mda wa kuvaa nguo za ndani achilia mbali kanzu, uchochezi haukubaliki.
 
Hii adabu wewe nawe watakiwa kuwa nayo..maana dharau na kejeli yako dhidi ya baba wa taifa imepita mfano

.......
Huu ubaba amepewa na nani?.Ubaba wa kutoka kanisani hautuhusu sisi wengine.

Halafu baba anayebagua wanawe basi si ajabu kuvunjiwa heshima na wanawe hata ikiwa kawazaa kanisani.

Hii ni adabu gani ya kumkamata kiongozi mkuu wa waislamu akiwa amelala na akashindwa hata kumwachia avae kanzu yake?.
 
"USINIFUATEFUATE" hapa hatuko kwenye mipasho-hapa ni issues kunte-lugha ya magazeti ya shigongo hapa si mahali pake,hii ni JF- huu mjadala unafuatiliwa worldwide,tunaomba lugha iwe ki academic zaidi

.......
Hata wewe umeleta mipasho mingi humu kwenye hii thread tumekunyamazia,huyu Mwanakijiji anachuki sana na uislamu wewe fuatilia post zake nyingi ambazo ametuma huku jf.

Utaona alivyokuwa mnafiki na mpaka ukiona mzee anamtahadharisha ujue huyu jamaa amefika pabaya, mzee Mohamed Said si wakuzungumza maneno makali kiasi hicho amekasirika MK kuwa mstaarabu na uwe na adabu kwa wakubwa zako na ufiche upumbavu wako na uoneshe ustaarabu wako sawa mkuu
.
 
MM,

Mwisho tutatukanana.Nilipata kukuambia usinifuatefuate.

Je hapa tulipofikishana hapatoshi?


......

Sheikh tulia! tulia mkubwa. Kabiliana na hoja. Hoja ndizo zinakuandama si watu. Punguza jazba jibu hoja Ibn Said.

Kuna nyakati maji yanazidi unga. Tulia baba tunafuata hoja hatukufuati wewe!usiwe paranoia ukaogopa kivuli chako, ngoma bado pevu eh mzee wetu! dawa chungu lakini ndiyo dawa sasa.

Tulia na umeze, wanasema ni ngumu kumesa.
 
kama ni mchochezi katika jamii kama alivyo huyu mzee wenu MS hastahili hata kupewa mda wa kuvaa nguo za ndani achilia mbali kanzu, uchochezi haukubaliki.
Zumbemkuu hivi katika hii nchi mumemuona mzee MS ndio mchochezi, ngoja nikuulize swali hivi unaweza kunitajia kiongozi aliye sema nchi hii haita tawalika hivi unaweza kunionyesha mahali mzee MS amesuguana na serikali au ukisema nchi haita tawalika sio uchochezi lakini ukiandika hitoria ya kweli ndio uchochezi?
 

Wala mimi sijaona hoja ambayo mzee ameshindwa kujibu ila naona mumezidisha kejeli, Nguruvi3 wewe ni mtu mdogo sana kielimu na kihistoria kwa mzee MS hizi habari zako za ku copy na ku paste ndio unafikiri zitamkimbiza mzee huku la hasha hayo ni mawazo mgando unaweza ukwa na akili lakini akili yako ikawa haiko salama hebu jichunguze vizuri mkuu
 
nakubaliana wewe MK ndie mdini no,1 na chuki yake ipo wazi juu ya waislam posti zake zinatosha kuwa shahidi,jambo baya wakifanyiwa waislam na serekali waislam wakatetea haki yao huwa upande wa serekali lakini jambo kama lile wakifanyiwa upande wa pili (chadema) huilani serekali inakandamiza raia wake.
 
kama ni mchochezi katika jamii kama alivyo huyu mzee wenu MS hastahili hata kupewa mda wa kuvaa nguo za ndani achilia mbali kanzu, uchochezi haukubaliki.
Usemalo ni kweli.Sasa onesha jinsi marehemu sheikh Hassan bin Amiri alivyostahili ukamataji wa aina hiyo.Mhalifu wa aina hiyo ni lazima ashtakiwe na kuhukumiwa.Onesha wapi marehemu sheikh Hassan alifanyiwa hivyo.
Usipoweza kufanya hivyo itakuwa umekubali kuwa kumvunjia heshima Nyerere ni sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…