Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Kwanini walimkalisha na Dhwaalim? au hawakujua Nyerere ndiye alikuwa adui mkubwa wa Waislamu?
MM,
Swali la kipumbavu lakini nitakujibu.
Rashad na Nyerere wakifahamiana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini walimkalisha na Dhwaalim? au hawakujua Nyerere ndiye alikuwa adui mkubwa wa Waislamu?
MM,
Swali la kipumbavu lakini nitakujibu.
Rashad na Nyerere wakifahamiana.
MM,
Kuwa na adabu.
Upumbavu ni kudai kuwa adui mkuu wa Waislamu Tanzania anakula sahani moja na mmoja wa watu wanamtuhumu udini...tena katika msiba wa mtu ambaye waligombana miaka karibu saba nyuma...na aliyechukiwa na Waislamu..
MM,
Mwisho tutatukanana.
Nilipata kukuambia usinifuatefuate.
Je hapa tulipofikishana hapatoshi?
naona unatumia akili za kushikiwa,Wewe msambaa kweli akili zako ni zero.
Nilikua nafuatilia post zako kwa muda mwingi nikaona kwamba huprovide chochote bali ushabiki tu.
Wenzio wanaongelea gazeti la mtanganyika wewe unaongelea gazeti la mjerumani?
Tena wajerumani waliokua wanawatemea mate watoto wa kisambaa pale Dochi /Deutch ambapo ni chuo cha mahakama sasa.
Kawaulize mababu zako kuhusu wajerumani huko Usambara.
Ndio maana tunaona una matatizo.. kweli kabisa unaamini watu wenye kuvaa kanzu wanakamatwa!
Hhivi umewahi kukutana na mhalifu ambaye anakubali kuwa kafanya uhalifu? Au kwa vile hawa vijana ni wa "Kiislamu" basi unawapa benefit of the doubt?
Angalia sasa! Yaani unathubutu hata kwa mbali kusema walichofanyiwa Wahayudi na Hitler ni sawa na unayoamini yanatokea Tanzania? Really? Kweli we mzee unapenda shari kweli!
Yaani kanzu sasa imekuwa "alama za Uislamu"? HIvi ni Waislamu wangapi wanavaa mavazi hayo na hawaulizwi lolote? Kama kweli unaamini hili mlalamikie Kikwete basi, Bilal, Othman na Mwema - wote hawa ni Waislamu na uwaambie kwanini wanawadhulumu Waislamu wenzao.
Mzee Said ulikofika kiakili huwezi kurudi; unaona dhulma kila mahali, unahisi uadui kila upitapo, na ukikutana na Mtu mwenye jina la Kiislamu katiwa pingu wazo lako la kwanza inaonekana ni kuhisi kafanyiwa vile kwa sababu ni Muislamu! Hatuna jinsi ya kukusaidia kwa kweli... Sikutana kukupyschoanalyze you lakini sasa nadhani itabidi nifanye hivyo...
Hewalaaa! ilihusishwa! lakini si chama chake binafsi. Ilihusishwa na umaarufu wa K.Sykes lakini rais alikuwa Cecil Matola na Makamu Ramadhani Ali.Mohamed Said;5854600]Ami,Mwanakijiji ni mzito wa kukubali ukweli.
Labda nimfahamishe hivi kwa njia nyepesi kama ataelewa.
Kwa watu wa Dar es Salaam AA siku zote ilihusishwa na Kleist Sykes
Sawa sawa kikahusishwa na! kwa mazoea tu wa wazee na wakazi wa jiji lakini ukweli haukubadilika.Baada ya kifo cha Kleist chama kikahusishwa na wanae.
TAA ndiyo iliyozaa TANU.Hiyo mikutano ya TANU ya siri ilikuwa ikifanyika nyumbani kwa Abdu
Kuficha ni haki yao kwasababu hizo ni nyaraka zao lakini ni makosa kwasababu historia inapindishwa na watu wachache. Leo mafaili yangekuwepo tungeweza ona ilikuwaje wakachukua nyumba iliyotolewa na D.Cameron. Pengine walipewa zawadi sisi tunasema ni mafisadi n.k.Siyo mikutano tu hata mafaili ya TAA/TANU yakifichwa kwake na ndiyo
maana unaona leo mafaili hayo wanayo katika hifadhi ya ukoo wao
Uongo mkubwa Mzee Said! please! ngoja nikuonyeshe wapi unapozua.Na haikuwa yeye Nyerere wote akina Dunstan Omar walipofika Dar es
Salaam walikwenda kwa Abdu Sykes kujuana na kuweka mipango ya
TAA.Hata Nyerere alipofika Dar es Salaam mwaka 1952 aliomba kwanza ili
afahamike apelekwe nyumbani kwa Abdu.
Ilikuwaje Nyerere aliyeomba afahamike muda mfupi akawa kiongozi. Mbona umekwama hapoHata ule uchaguzi wa mwaka wa 1953 ulikuwa kati ya Abdu Sykes na
Nyerere.
Nitajie wanasiasa wanaosimama wao wenyewe bila kuwa na washiriki. Nitajie mmoja tu!Huwezi kuandika historia ya TAA au ya TANU au ya Nyerere usimtaje
Abdu.Historia itakuwa haijakamilika
MM,
Mwisho tutatukanana.
Nilipata kukuambia usinifuatefuate.
Je hapa tulipofikishana hapatoshi?
mwambie mzee, hahahaha!Mzee Said, wewe umekulia Dar na mimi nimekulia Tanga; pwani yetu sote. Kama ni lugha nami naweza kuitumia vizuri tu kama udongo wa mfinyanzi; nikaifinyanga na kuinda kama kwa ustaarabu au kwa kupashana. Ukitaka heshima heshimu, hapendwi mtu, haogopwi mtu hapa.
Huu ubaba amepewa na nani?.Ubaba wa kutoka kanisani hautuhusu sisi wengine.Hii adabu wewe nawe watakiwa kuwa nayo..maana dharau na kejeli yako dhidi ya baba wa taifa imepita mfano
Huu ubaba amepewa na nani?.Ubaba wa kutoka kanisani hautuhusu sisi wengine.
Halafu baba anayebagua wanawe basi si ajabu kuvunjiwa heshima na wanawe hata ikiwa kawazaa kanisani.
Hii ni adabu gani ya kumkamata kiongozi mkuu wa waislamu akiwa amelala na akashindwa hata kumwachia avae kanzu yake?.
......
Huu ubaba amepewa na nani?.Ubaba wa kutoka kanisani hautuhusu sisi wengine.Hii adabu wewe nawe watakiwa kuwa nayo..maana dharau na kejeli yako dhidi ya baba wa taifa imepita mfano
.......
Hata wewe umeleta mipasho mingi humu kwenye hii thread tumekunyamazia,huyu Mwanakijiji anachuki sana na uislamu wewe fuatilia post zake nyingi ambazo ametuma huku jf."USINIFUATEFUATE" hapa hatuko kwenye mipasho-hapa ni issues kunte-lugha ya magazeti ya shigongo hapa si mahali pake,hii ni JF- huu mjadala unafuatiliwa worldwide,tunaomba lugha iwe ki academic zaidi
.......
MM,
Mwisho tutatukanana.Nilipata kukuambia usinifuatefuate.
Je hapa tulipofikishana hapatoshi?
......
Zumbemkuu hivi katika hii nchi mumemuona mzee MS ndio mchochezi, ngoja nikuulize swali hivi unaweza kunitajia kiongozi aliye sema nchi hii haita tawalika hivi unaweza kunionyesha mahali mzee MS amesuguana na serikali au ukisema nchi haita tawalika sio uchochezi lakini ukiandika hitoria ya kweli ndio uchochezi?kama ni mchochezi katika jamii kama alivyo huyu mzee wenu MS hastahili hata kupewa mda wa kuvaa nguo za ndani achilia mbali kanzu, uchochezi haukubaliki.
Sheikh tulia! tulia mkubwa. Kabiliana na hoja. Hoja ndizo zinakuandama si watu. Punguza jazba jibu hoja Ibn Said. Kuna nyakati maji yanazidi unga. Tulia baba tunafuata hoja hatukufuati wewe!usiwe paranoia ukaogopa kivuli chako, ngoma bado pevu eh mzee wetu! dawa chungu lakini ndiyo dawa sasa. Tulia na umeze, wanasema ni ngumu kumesa.
nakubaliana wewe MK ndie mdini no,1 na chuki yake ipo wazi juu ya waislam posti zake zinatosha kuwa shahidi,jambo baya wakifanyiwa waislam na serekali waislam wakatetea haki yao huwa upande wa serekali lakini jambo kama lile wakifanyiwa upande wa pili (chadema) huilani serekali inakandamiza raia wake.Hata wewe umeleta mipasho mingi humu kwenye hii thread tumekunyamazia,huyu Mwanakijiji anachuki sana na uislamu wewe fuatilia post zake nyingi ambazo ametuma huku jf ataona alivyokuwa mnafiki na mpaka ukiona mzee anamtahadharisha ujue huyu jamaa amefika pabaya, mzee Mohamed Said si wakuzungumza maneno makali kiasi hicho amekasirika MK kuwa mstaarabu na uwe na adabu kwa wakubwa zako na ufiche upumbavu wako na uoneshe ustaarabu wako sawa mkuu
Usemalo ni kweli.Sasa onesha jinsi marehemu sheikh Hassan bin Amiri alivyostahili ukamataji wa aina hiyo.Mhalifu wa aina hiyo ni lazima ashtakiwe na kuhukumiwa.Onesha wapi marehemu sheikh Hassan alifanyiwa hivyo.kama ni mchochezi katika jamii kama alivyo huyu mzee wenu MS hastahili hata kupewa mda wa kuvaa nguo za ndani achilia mbali kanzu, uchochezi haukubaliki.