Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

kama ni mchochezi katika jamii kama alivyo huyu mzee wenu MS hastahili hata kupewa mda wa kuvaa nguo za ndani achilia mbali kanzu, uchochezi haukubaliki.

.......

Kuwa na heshima basi kijana wewe unamuheshimu Mwanakijiji tu.
 
Mag3,

Leo nimeweka vitu vingi vya kutosha.
Angalia wasikizaji wanavyofurika.
90,000 plus...

Hakuna nafasi hata ya kuweka baiskeli.

.....

Mzee Mohamed Saidi, maneno yako haya yananikumbusha kisa cha zamani;

Mtu mmoja alikuwa na tabia ya kutamba kwamba yeye ni mbabe aliyeshindikana, ikaja siku kakumbana na mbabe kumzidi yeye, wakaanza pambano, watu wakajaa kushuhudia pambano, kila mbabe mwenye majivuno alivyozidiwa ndivyo watazamaji waliongezeka kushuhudia pambano.

Ongezeko la watazamaji lilimfanya mbabe mwenyemajivuno kuongeza makelele ya kujisifu badala ya kupambana, alizidiwa kabisa na baadae kuwaamru watazamaji wamshike na kumuondoa uliongoni mpinzani wake amasivyo angemtoa roho! watazamaji waliduwaa kwani wakutolewa roho alikuwa yeye anayepiga makelele!
 

Ha ha haaa Gwalihenzi na wewe umenikumbusha kuna jamaa mmoja alipiga kichwa ukuta halafu akawa anasikitikia ukuta badala ya kusikitikia kichwa chake he he hee upo hapo mkuu!
 


hivi unajua kuna mashehe wangapi wako ndani leo nchini? na unajua nani anaagiza kukamatwa kwao - Jakaya Kikwete - MUislamu!
 

Huu upumbavu wangu si nimeupata kwa mamako; kichwa kama fenesi lililokauka.
 

G,

Nipe nyingi kama hizi kwani wakati mwingine tunahitaji kupumua.
 
hivi unajua kuna mashehe wangapi wako ndani leo nchini? na unajua nani anaagiza kukamatwa kwao - Jakaya Kikwete - MUislamu!

......

Mk kwahiyo unatuthibitishia kwamba Kikwete si mdini kama wanavyo sema wagalatia wenzako huku jf, na wewe unafikiri kuwekwa viongozi wa kiislamu ndani ndio kuwazima waislamu na kupambana na huu mfumo k hapa nchini na duniani kwa ujumla?
 
Reactions: Ami

Nguruvi,

Nimetulia sana.

Nimekuwekeeni hapa mambo ambayo msingepata kujua hata siku
moja.

Mambo ya ndani kabisa katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Lakini mtu akitaka kunivunjia heshima yangu haraka namtahadharisha.

Niulize kwa adabu niko tayari kukueleza na kukupa habari za ziada.
Lakini ukiniletea upuuzi matokeo ndiyo hayo.

Najua husda imeingia.
Hamkuzoea kusikia taarifa kama hizi.

Ndiyo maana habari za Kaunda, Kenyatta, Seaton kwenu zimekuwa
kama radi ya saa saba mchana na hakuna mawingu.

Hii ndiyo hatari aloiona Prof. Haroub Othman na ikamvuruga akili ila
yeye juu ya mapenzi yake kwa Nyerere hakunihamakia na kunitukana.

Alikwenda kwa baba yangu kutafuta ukweli na ukweli aliupata.
 
"USINIFUATEFUATE" hapa hatuko kwenye mipasho-hapa ni issues kunte-lugha ya magazeti ya shigongo hapa si mahali pake,hii ni JF- huu mjadala unafuatiliwa worldwide,tunaomba lugha iwe ki academic zaidi

Son...

Umenipa ushauri nami nitaufata Insha Allah.
Nami nakupa ushauri.

Neno "mipasho" kulinasibisha na mimi si mahala pake hapa.

Sahib yangu umeniudhi.
Lakini umenifurahisha ulipogusa "academics."

Si unaona ninavyoshusha ma-reference na "cross-reference."

Bingwa wa rejea juu ya rejea alikuwa Sheikh Hassan bin Amir
katika darsa zake na alikuwa hatizami kitabu zote kahifadhi.

Lile document la mapendekezo ya katiba la TAA Political Sub
committee 1950 akimsomea Abdu Sykes ghibu yaani "from memory."
 
Mzee wangu aliwahi kuniadithia kuwa katika harakati za uhuru TANU ilifika mpaka Kenya na kufungua matawi huko Nairobi na Mombasa na kuwasiliana na kina Tom Mboya hili kufunguliwa Kenyatta kutoka gerezani.
 
kama ni mchochezi katika jamii kama alivyo huyu mzee wenu MS hastahili hata kupewa mda wa kuvaa nguo za ndani achilia mbali kanzu, uchochezi haukubaliki.

Zumbemkuu,

Jitahidi kujizuia kwa lile usilolijua.

Soma kwanza maisha ya Sheikh Hassan bin Amir
kisha ndiyo uje barazani.

Hapo Lushoto waulize masheikh watu wazima habari
za Sheikh Hassan.
 
Mzee wangu aliwahi kuniadithia kuwa katika harakati za uhuru TANU ilifika mpaka Kenya na kufungua matawi huko Nairobi na Mombasa na kuwasiliana na kina Tom Mboya hili kufunguliwa Kenyatta kutoka gerezani.


GG,

Mombasa kulikuwa na tawi ka TANU akiliongoza Ismail Bayumi.
Huyu alikuwa anatoka kwao Moshi.

Bi. Titi ndiye aliyekwenda Kenya kupiga kampeni Waingereza
wamfungue Kenyatta.
 
Huu upumbavu wangu si nimeupata kwa mamako; kichwa kama fenesi lililokauka.

Mzee mwanakijiji ovyoooo!!! wakati bwana Mtume (S.A.W) akiishi Makka alikuwepo mtu mmoja akiitwa Amru Ibn Hisham. Alikuwa mpingaji mkubwa wa Mtume (S.A.W) na washirikina walimuona ana akili sana. Bwana Mtumwa (S.A.W) akasema sisi waislamu tumuite Abu Jahil/Baba la Ujinga.
 
Mzee wangu aliwahi kuniadithia kuwa katika harakati za uhuru TANU ilifika mpaka Kenya na kufungua matawi huko Nairobi na Mombasa na kuwasiliana na kina Tom Mboya hili kufunguliwa Kenyatta kutoka gerezani.
Ndio na liliongozwa na Banyumi mchaga wa Moshi, nguvu za Mwalimu Nyerere za ushawishi wake zilizaa matunda kwakuishinikiza serikali ya Muingereza imuachie Kenyatta,

Mwalumu alimtuma bibi Titi Mohamed na kuhanikiza kuachiwa kwa Kenyatta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…