Picha ya Waasisi wa TANU ndiyo hiyo lakini hii imechakachuliwa.
Kisa chake nitakieleza Insha Allah siku nyingine.
Kassela Bantu amepachika picha yake kati ya Abdu na Chief Kunambi.
Hiyo ofisi ya TAA ndiyo hilo jengo lililojengwa na baba yake Abdu Sykes Mzee Kleist.
View attachment 79966
Naona ujanja wako ni kum frustrate mtu unapojibu hoja zake ili asikuulize tena. Jaribu kukaa chini basi ujibu kiutu uzima kama ulivyomuamba aandike maswali yake. Nimesikia uzee ukishika kasi saa nyingine akili zinakuwa kama za kitotokitoto hivi.
Wanajamvi, hapo nyuma kidogo nimechokoza tu mjadala kwa kuuliza maswali mawili nayo ni;
Kama kawaida bingwa wa hadithi anayejulikana kama Mohamed Said, haraka haraka, akadakia kwa kutoa majibu na nanukuu tu sehemu ya simulizi ambazo anadai alipewa na wazee wake wa Gerezani.
Hilo hapo juu ndilo jibu la Mohamed Said kuhusu viongozi wakuu walioiongoza AA toka kuasisiwa kwake mwaka 1929 hadi ilipobadilika na kuwa TAA na badaye kuundwa TANU mwaka 1954. Kwa hilo jibu peke yake Mohamed Said anathibitisha hila zake za kichochezi na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika (na Zanzibar?) kama mtoa hii mada alivyoainisha.
Je ni kitu gani kimejificha katika hili jibu la Mohamed Said? Ukilisoma hili jibu kwa haraka haraka utadhani AA haikuwa na Kiongozi Mkuu. Kwa nini hataji kuwa AA ilikuwa na Raisi aliyeiongoza? AA haikuwa kikao kama cha wanywa kahawa ambapo watu wanapasishana kikombe bila kujali "protocol" yoyote. Je huyo Kleist anayetajwa mara mbili, ndiye alikuwa kiongozi mkuu wa AA?
Mwalimu Cecil Matola, myao ambaye nyumbani kwake ndiko kulikofanyika mkutano wa kwanza wa TAA yeye akiwa ndiye Raisi wa kwanza, mbona anatajwa mwisho kama vile hana umuhimu wowote? Je baada ya kufariki kwake mwaka 1933, kwa nini AA ilizorota na hakuweza kupatikana kiongozi mwingine wa kuiongoza AA hadi alipoingia kijana msomi kutoka Makerere, Dr. Vedasto Kyaruzi, Raisi wa kwanza wa TAA?
Dr. Kyaruzi aliiongoza TAA kwa miaka miwili hadi 1951 na hata alipohamishiwa mikoani na kushindwa kumudu kuiongoza TAA kwa nini hakupatikana Kiongozi mwingine hadi mwaka 1953 alipoingia kijana mwingine msomi kutoka Edinburgh, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Kwa nini wazee wa Mohamed ambao anadai ndio walikuwa vinara wa mwamko wasimchague mmoja wao kuwa Raisi?
Je ni kweli kuwa chombo cha kwanza kilichowaunganisha waafrika kilianzia Dar es Salaam? Vipi Msomi Martin Kayamba aliyeanzisha TTACSA (Tanganyika Territory African Civil Service Association) huko Tanga mwaka 1922? Je si kweli kuwa TAA iliasisiwa kwa kufuata unyayo na misingi iliyoanzishwa na TTACSA? Ni TTACSA iliyowawezesha wafanya kazi kukutana pamoja bila kubaguana kikabila, kirangi wala kidini.
Tuendelee na mjadala...

Ukweli ni kitu kizuri sana hasa katika historia,
Mohamed Said ameukwepa ukweli katika kitabu chake,
Nimejaribu kueleza kwakifupi tu pale juu kuwa kundi la wale vijana wakariakoo lilikabiliwa na changamoto kadhaa, Elimu na Woga.
Dr Kyaruzi aliisimamia TAA kwa weledi sana, lakini baada ya kuondoka iliyumba yaani waliokuwepo hawakuwa na uwezo wakuongoza mpaka mpigania ukombozi mwingine Julius Nyerere alipokuja kushika hatamu
Sweke 34, wala usiwe na wasi wasi ndugu yangu.Naona ujanja wako ni kum frustrate mtu unapojibu hoja zake ili asikuulize tena. Jaribu kukaa chini basi ujibu kiutu uzima kama ulivyomuamba aandike maswali yake. Nimesikia uzee ukishika kasi saa nyingine akili zinakuwa kama za kitotokitoto hivi.
Hapana mkuu, punguza jazba twende taratibu.
Tujadiliane kwakuheshimiana sisi sote ni watanzania jamani.
Sweke 34, wala usiwe na wasi wasi ndugu yangu.
Baada ya kuondoa vikwazo vyote hiyo ndiyo silaha aliyo nayo katika majadiliano.
Tunafahamu weakness yake ni kudai heshima bila yeye kuwa tayari kutoa.
Tutamvumilia ili taifa lisijetumbukia kule anakotaka lielekee. Tutasimama kidete kuonyesha umma wapi script ilipotofautina na ngano kamili.
Mohamed anafaham kuwa kuna hoja nzito zitakazo mwacha wazi katika maswali.
Kwa faida ya wanajamvi na wale wanaodhani anaonewa, nitarejea swali moja baada ya jingine kwa kutumia kitabu chake na maoni yake hapa ili kila mtu achague ''nafaka'' aitakayo.
Asante sana kwa maelezo, japokuwa yanahitaji masahihisho ya dhana kwa ujumla!
Haya maneno ikiwa umenikusudia mimi unanionea.
Hakika mimi ni mzee lakini sijaonyesha athari zozote za umri.
Mnaoandika matusi na kejeli ni nyie vijana.
Nimo katika jamvi Bwana Nyerere nisome umjue mzee wetu Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere.

Maneno hayo nilikuwa namwambia mdau mmoja hapo aliyekuwa amekujbu kwa lugha kali zaidi!
Kumjua baba yangu mzazi mzee Julius Nyerere kupitia wewe bila shaka huko aliko anaweza kunipa laani ya milele!
Nitakuwa simtendei haki kabisa tena ni dhihaka,
Yeye anizae mimi kisha nije nimjulie kwa Mohamed Said?? Hahaa hebu nitake radhi ya kikombe cha gahawa mzee Said.
Nilikuuliza maswali juu ya siasa za Mwalimu akiwa Makerere University na akiwa Misheni Pungu nilikuwa na maana kubwa sana, hasa nikizingatia maelezo yako ya awali kuwa Abdulwakil Sykes ndie aliyemwingiza katika siasa jambo ambalo sio kweli!
Kwa hapa Dar es Salaam baba yako wengi wamemjua kupita kwa Abdu Sykes.
Usikatae hilo nakusihi sana.
Bibi yako Bi Muyuga (sijui kama napatia sawa jina) alikuwa akishinda nyumbani
kwa Bi Mluguru biti Mussa mama yake Abdu.
Umepata kusikia ile "scare" iliyotokea nyumbani kwa Abdu Sykes Nyerere alipougua
ghafla baada ya kula chakula kwa Abdu?
Ikadhaniwa Nyerere kalishwa sumu?
Muulize mama kizaazaa cha siku hiyo.
Bibi yako hakamatiki analia mikono kichwani anazunguka nyumba
nzima.
Hii ilikuwa pale Aggrey Street.
Wazee wetu wana hisani kubwa baina yao.
Ninaposema kumjua ni kule kumjua katika wakati ule
wa kupigania uhuru.
Huko Ikulu na Msasani wazee wetu hawakuwapo.
Walibakia kule kule Kariakoo.
Hapana Mohamed Said, hapa unachombeza tu katika jitihada za kutaka kuwakweza wazee wako...mwaka 1950 Raisi na kiongozi Mkuu wa TAA alikuwa Dr. Kyaruzi, sasa inaingia vipi akilini unapodai hivi;Hapana TAA baada ya 1950 haikupata kusinzia...
Abdulwahid's first move was to form what was known as TAA Political Subcommittee [1] comprising himself as secretary; Sheikh Hassan bin Amir as the Mufti of Tanganyika; Dr Kyaruzi; Mwapachu; Said Chaurembo who was the liwali at Kariakoo local court; John Rupia and Stephen Mhando. The task given to this committee was to deal with political issues in the country.
Yaani juhudi zote za Dr. Kyaruzi ambazo ndizo zilisababisha hadi akapewa uhamisho huzitaji na badala yake sifa zote unazielekeza kwa katibu wake, Abdul. Hilo moja lakini la kushangaza zaidi ni pale unapotoa dai la huyo huyo katibu kumteua Raisi wake kwenye kamati, duh!Abdulwahid's first move was to form what was known as TAA Political Subcommittee comprising himself as secretary; Sheikh Hassan bin Amir as the Mufti of Tanganyika; Dr Kyaruzi; Mwapachu; Said Chaurembo who was the liwali at Kariakoo local court; John Rupia and Stephen Mhando.
Mkuu Yericko, nimekuwa nikilisoma tuu hili jina humu jf, nikijua ni ni jina tuu la Nyerere kama mwanaukoo tuu, sikuwahi kumsikia mtoto yoyote wa Kambarage kwa jina hili, kama hutajali, na sio kwa kuingilia your "right to privacy", unaweza kutuliza kiu yangu?.Kumjua baba yangu mzazi mzee Julius Nyerere kupitia wewe bila shaka huko aliko anaweza kunipa laani ya milele!
Nitakuwa simtendei haki kabisa tena ni dhihaka,
Yeye anizae mimi kisha nije nimjulie kwa Mohamed Said?
Mzee Mohamed Said, jee huyu Bi Mluguru biti Mussa mama yake Abdu, ndiye huyu aliyekuwa akiiishi pale Upanga, opposite Califonia Dreamer?.Bibi yako Bi Muyuga (sijui kama napatia sawa jina) alikuwa akishinda nyumbani
kwa Bi Mluguru biti Mussa mama yake Abdu.
Umepata kusikia ile "scare" iliyotokea nyumbani kwa Abdu Sykes Nyerere alipougua
ghafla baada ya kula chakula kwa Abdu?
Ikadhaniwa Nyerere kalishwa sumu?
Muulize mama kizaazaa cha siku hiyo.
Bibi yako hakamatiki analia mikono kichwani anazunguka nyumba
nzima.
Hii ilikuwa pale Aggrey Street.
Wazee wetu wana hisani kubwa baina yao.
Ungesoma kitabu changu usingesema, ''Sykes alikataliwa na wazee wenzake.''
Kwanza Abdu hakuwa mzee alikuwa na umri wa miaka 29 na Nyerere alikuwa
na miaka 31.
Uongozi wa ndani wa TAA uliamua kumpa uongozi Nyerere na aliyeongoza kampeni
ya kuchaguliwa Nyerere ni Abdu.
Kwa kweli ni bahati mbaya sana Nyerere hakupata kueleza vipi aliingia TAA Dar es
Salaam na ndiyo maana nyie wenzangu msiojua historia ya TANU mnababaika na
mengi ambayo hamkupata kuyasikia wala kuyasoma kabla.
Hebu soma hapa chini kisha tuendelee na mjadala:
''Uchaguzi baina ya aliyekuwa rais wa TAA, Abdulwahid na mwalimu wa shule asiyefahamika vyema pale mjini, Julius Nyerere,
ulifanyika kwenye Ukumbi wa Arnatouglo tarehe 17 Aprili, 1953.
Nje ya uongozi wa TAA ambao ulimpendekeza kugombea nafasi hiyo, Nyerere alikuwa mgeni kabisa kwa wote aliokuwa akiwaomba
kura zao.
Maisha ya Nyerere katika siasa yalianza hapo.
Nyerere alikuwa mgeni na alikuwa hana historia ya kuongoza mapambano ya umma dhidi ya serikali ya kikoloni.
Ukoo wa Sykes ulikuwa unatambulikana katika siasa za Dar es Salaam kwa takriban robo karne.
Ukoo huu ndiyo ulioanzisha na kuongoza vyama vyote viwili, African Association na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika.
Ukoo wa Abdulwahid, mtoto wa Kleist Sykes ulikuwa unafahamika kwa kuongoza mapambano dhidi ya serikali.
Ushahidi wa haya ulikuwa unapatikana katika nyaraka kati ya ukoo huu na serikali ya kikoloni.
Katika kipindi cha miaka zaidi ya ishirini, serikali kwa nyakati tofauti, kati ya mwaka 1929 hadi 1953 ilikuwa na barua za Kleist Sykes na
za mwanae Abdulwahid wakiwa viongozi wa African Association kuhusu madhila tofauti yaliyokuwa yakiwakabili wananchi. [1]
Uongozi wa ndani wa TAA wa Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz na Rupia ulikuwa tayari
umekwishaamua kumpa Nyerere urais wa chama.''
Mkuu Mzee Mwanakijiji, sisi ambao hatukuwepo, tunajikuta tukiendelea kudanganywa na simulizi kama hizi za Maalim, Mohamed Said simply kwa sababu yeye ame document alichosimuliwa!, kama amedangaywa na hao wasimulizi wake, na yeye akaishia kutudanya sisi kwa kuamini uwongo ule kuwa ndio ukweli, historia itakuja kuishia kubaki na records za uwongo huo kuonekana ndio ukweli wenyewe simply because ukweli halisi, "was not told!, was not documented!". Ikumbukwe tuu kuwa "half truth" huonekana kama ndio "full truth" as long as the other half is never told!, Hiyo half truth can only be defeated if the other half is told and that is the only way of getting "the full truth!". Mohamed Said played his part, got his "half" toka simulizi za babu zake, lets get the other "half" from other nayo iwe compiled, vinginevyo hiyo "half" ya wazee wake Mohamed Said ndio itakayokuja kuishia kuonekana kama ndio the only "full truth!".Hili ndilo tatizo la maandishi yako mzee mwenzangu; unatutaka tuamini maneno yako kwa vile umeyasema hata kama hakuna ushahidi wowote. Kwamba tukitaka ushahidi hasa wa kihistoria utasema "amini kama hutaki basi". Sasa hiyo siyo historia. Unapoandika historia you only write on that which you have evidence of.
Lakini hili si kweli; katika kitabu cha aliyekuwa mke wa Du Bois (ambaye alimhoji Nyerere mwanzoni mwa miaka ya sitini pale Dar) aliandika hili. Na katika kitabu cha We Must Run While They Walk cha William Edget Smith Nyerere ameeleza kwa kirefu sana jinsi alivyoingia kwenye TAA.