Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jasusi,

Tanzania ndipo ilipo hapo hivi sasa.
Hakuna anaemtakia kheri mwenzake.

Tunatazamana kwa jicho baya sana.
Inatisha na inasikitisha.

Al akhiy Mohamed Said.

kama wiki iliyopita ungetazama BBC walionyesha live makadinari wa Kikatoliki wakiingia vatican na kuanza kwa zoezi lao la kumchagua kiongozi wao ambaye ni Papa.

kabla kuanza kwa Zoezi hilo walianza na majadiliano maalum ya ya kUJADILI MAHUSIANO YAO YA KANISA NA WAISLAM. Lakin hilo huko Tanzania hususan wenzenu wa upande wa pili hawalioni hilo na kutaka kuendeleza dhulma kama walivyozoea na kuzoeshwa na Serikali.

jiulize suala dogo tu. Kwanini kuuwawa padri Znz wameleta FBI , kwanini kuteswa kwa mwandishi wa habari KIBANDA na wengi wengi wengine wasiojulikana na wanaojulikana kama Dr Ulimboka wasilete FBI kuchunguza pia?

 
Yerico kafanya nini?.
Yaani huu uzi umeufanya ndio historia?.Angalia vizuri hapa Yerico ametoa shutuma kuwa historia ya Mohammed Said na watu wametetea na Yerico mwenyewe hana hamu tena na huu mjadala kwani hana cha ziada kusema.
 

Nguruvi3,

Mbona unabadilika tena alivyomuelezea Mohamed Said kuhusu Sheikh Malik na wewe tofauti.

Kuna mabandiko yako yapo humu umemuelezea Sheikh Malik kama mtu hatari ukamnasibisha na ugaidi ukaenda mbali zaidi ukasema ndiyo mfadhili wa Masheikh ambao anawadhamini kwenda kusoma Pakistan mimi nikakuliza nitajie hata Sheikh mmoja ambaye kafadhiliwa na Sheikh Malik umeshindwa kumtaja.

Ukatoa ahadi utaelezea uchochezi wa Sheikh Malik kutoka Pakistan. Sasa kama nafsi yako inakutuma haukusema uongo sawa.
 
This movement instead of pursuing the nationalist-secularist ideology articulated by Muslim founders of independence movement should strive to adopt in the new wave, Islam as theideology of genuine freedom. The decision to this change of strategy was that secularism had failed Muslims.

I see a problem with Malik's teaching. If Tanzania was Pakistan, where the majority is Moslem I can see the reason for adopting Islam as the ideology of genuine freedom. Na kama haya ndiyo mnayotaka kutuletea basi heri tubaki hapa hapa tulipo. I believe in secularism because it offers everyone the freedom to persue their interests unencumbered.
And for this I am eternally grateful to the Muslim founders of independence movement.

 
Mpakistani anakuja kuwafundisha Watanzania juu ya yanayoendelea Tanzania... ukiuliza yeye aliyajua vipi hutajibiwa...
Ajabu iko wapi?.Yeye si wa mwanzo.Hata Sivalon hakuwa mtanzania.
Kama umeamua kushangaa basi ungeshangaa wale wanaokuja kutafuta wahalifu.
Tatizo unapofikiri huwa unafanya hivyo kwa kutanguliza wivu na chuki zako kwa waislamu.
 
Mbona hawakuthaminiwa hata kwa utanganyika wao kwa angalau kutajwa na kuelezwa kuwa na wao walikuwa wapigania uhuru.
Wengi hawakujulikana kabisa mpaka Mohammed Said alipoondika historia zao.
Wacha kudanganya wewe! tatizo lako husomi vitabu na machapisho mbalimbali, wewe umeng'ang'ana na maandishi ya ulaghai wa mzee wako chauchochezi Mohamed.
 
Wacha kudanganya wewe! tatizo lako husomi vitabu na machapisho mbalimbali, wewe umeng'ang'ana na maandishi ya ulaghai wa mzee wako chauchochezi Mohamed.

Dah nakusikitikia sana mkuu wewe kila kitu kwako ni kudanganya mbona huo ukweli wako hatujauona na huo uchochezi unaomsingizia mzee MS mbona hautuonyeshi?au ni hizi ngano za NGURUVI3 na MAG3 zinakupa kichwa ngoja sisi tuendeleekulamba buti za mzee MS
 
Wacha kudanganya wewe! tatizo lako husomi vitabu na machapisho mbalimbali, wewe umeng'ang'ana na maandishi ya ulaghai wa mzee wako chauchochezi Mohamed.

Mimi nilikuwa nazungumzia hawa walioorodheshwa na Ritz


Usiwe mvivu wa kujibu kama wenzako.Huko ulikosoma tuletee hao wazee wametajwa wapi kabla hujawasoma kwa Mohammed.
Ukiwapata ni wachache kati ya hao.
 
Mohamed Said;5880406]
This is the clear testimony that prof Malik had a hidden agenda under the cover of mathematics prof.

It's undisputed fact that Malik was a politician from Pakistan rather than Mathematician.
Prof wanted his students to topple the government
It was in their view that a movement similar to the independence struggle initiated by Muslims in 1950s which ousted the British from Tanzania should be organised but this time the struggle had to be different.
Not true, unless you don't appreciate the grass root-work and the AA evolution.
The Independence movement was owned by Tanganyikans who explicitly rejected division on the line of religion as demonstrated in the case of AMNUT 1958
Unfortunate the radical thoughts are still lingering among Malik's students, Mohamed as prototype Any proof of discrimination Sir!
This was the family feud which had nothing to do with government or Christians the least to say
Studentof Prof. Malik had by then formed an organisation - Muslim Writers Workshop which came to be popularly known as Warsha.
Supposedly these are the same people who harbored radical ideas as taught by Malik. Mohamed Said, was an active member of warsha. You may recall the infamous research done by the same group about education and enrollment of students at UDSM
For strategic purposes this organisation operated without registration and noone exactly knew its leadership (even if they would have applied for registration the government would not have approved)
This is the personal assumption and not the fact on the table. Refrain from making your personal view as Muslim's view.

The fact that warsha harbored radical ideas to topple the government, I stand with the government stance not to register the organization if that would have happened

Judging from the qualityof the papers it published on various topics affecting Muslims and distributedto Muslims there was no doubt whatsoever the authors were highly educated.
I read the papers! without doubt Mohamed was the author and editor. The onus to prove the quality and validity lies to the readers of this mnakasha beacus it the same stuff.
One thing I can boldly say, it's the same old wine in new bottle
.
Well said, so from this point BAKWATA became the legitimate and true representative organ of Muslims in the country.

Nyerere was disgracefully defeated by Warsha members.
Soon after, members of Warsha, the ardent student of Sheikh Malik moved in to occupy different positions in BAKWATA.
This was 1981.For the first time since 1968 BAKWATA began to act and behave as a true Muslim organisation. This infused into Muslims a new sense of hope and direction.
Well! well! well! here comes Mohamed deliberately confusing the public.

Think about this, in 1981 Warsha managed to defeat Nyerere's establishment inside BAKWATA.
The Warsha occupied different position within BAKWATA and infused a new sense of hope and direction, according to Mohamed.


For the past one month Mohamed is vehemently criticizing BAKWATA as the puppet organ instituted by Nyerere to oppress Muslims. This happens 30 years after Warsha and Mohamed defeated Nyerere and 14 years after Nyerere's demise

Mohamed under the influence of Malik's idea stirred coup de tat in 1981 and take the ownership of BWAKATA.
Today you have changed the position and point the finger to the same organ you helped to reform!
Strange! Anachronism!





 
Kuna post umeziruka. Mag3 Kamuuliza Mohamed kuhusu hayo.
Mohamed amekiri kuwa yeye ni mwanafunzi wake na tena ameendelea kukiri katika badiko la hivi karibuni.

Mohamed amekiri kuwa hakuna ubaya Sheikh Malik kudhamini wanafunzi na wala si jambo la ajabu.
Mohamed hakukataa kuwa udhamini hautolewi na Mwalim wake Malik kwa masheikh.

Kuhusu uhatari, Mohamed amenisaidia kuthibitisha hilo. Hebu soma baiko lake la kiingereza uone jinsi Mohamed, Warsha na Maliki walivyotaka kuleta mapinduzi nchini.

Kana kwamba haitoshi wao ndio waligeuza political landscape hasa kwa waislam.
Naomba usome vizuri na urudi kunithibitisha kama nilichosema ni uongo.

Mohamed kakubali kila kitu kwa maandishi, sasa wewe unakataa kipi.

Nadhani nimshukuru sana Mohamed kwa kunitetea. Mabandiko yapo durusu kwa utaratibu ukiwa na macho angavu.
 

Nguruvi,

Mimi sikiri mimi nasema.
Hayo yote kweli ulosema.

Hivyo ndivyo tulivyosimama kupambana na njama
dhidi ya Uislam.

Na kwa hakika nina tafakhari leo kuwa kesho kiama
nitamkabili Allah na naomba anikubalie juhudi hizi zangu
na anilipe pepo yake.
 

Nguruvi,

Hivi ndivyo tutakavyokwenda Insha Allah.
Wala mimi sitashughulika kukujibu.

Nitaeleza upande wetu ili dunia ijue Waislam
tumepitia kipindi kipi na vipi tulipambana na
dhulma.
 

Jasusi,

Karibu umjue mwalimu wangu Sheikh Malik.

Hii ni kwa hisani ya Nguruvi nami nimeahidi
kumuelezea sheikh na kile alichofanya kabla
hajafukuzwa nchini.
 

Hiyo tiketi yao ndiyo ishawafanya walikuwa mstari wa mbele?
Ndiyo tuwaweke sawa na akina Mshume?
 
Kiukweli, Mohamed Said, licha ya kuwa ni msimulizi mzuri, na mwana Jihad maarufu ambaye yuko tayari kufanya uhalifu wa aina yoyote in the name of Islam, ndio maana he is more than happy kuendelea kumwaga hii sumu humu!.

Naomba nikiri wazi, pamoja na sumu yake, "he has the power" to make things happen ndio maana huu uzi mpaka sasa tuko
  • Replies: 9,399
  • Views: 96,333
tena hizi numbers 3,6,9 zina maana kubwa sana kwenye "numerology", sasa tunaelekea views 100,000!, yaani Hii sumu ya Mohemed Said anayoendelea kuimwaga humu imepata wafuasi 100,000 zaidi, sijui hata kitabu aliprint copy ngapi!, endeleeni tuu kumpa milege na promo, huku yeye akiwachagiza na kuendelea kumwaga dozi ya sumu!. Tangu nimejiunga jf, sina kumbukumbu ya thread nyingine yoyote, kuchagiwa hivi!, hizi ni powers na sio za kuzidharau!, kesho akipiga mhadhara wa kujilipua!, just imagine hao folowers!.

Wakimalizana na Ilunga, tusisubiri hadi 2015 ndipo tuje tumuadabishe huyu, tumuwahishe mapema ili hii sumu anayoieneza isizidi kusambaa!, juzi nilimuona Sheikh Ponda, anatilisha huruma!, mwanzo alijiona shujaa, saa hizi ni heshima na adabu, na akija kutoka, he will be long done, atabakisha tuu uwezo wa kutimiza zile swala 5 kusubiria saa ya Israel! kutimia!.
Pasco.
 
Mimi nilikuwa nazungumzia hawa walioorodheshwa na Ritz



Usiwe mvivu wa kujibu kama wenzako.Huko ulikosoma tuletee hao wazee wametajwa wapi kabla hujawasoma kwa Mohammed.
Ukiwapata ni wachache kati ya hao.
Nyie mnamatatizo sana, kwani hata mzee wenu chauchochezi Mohamed Said kwenye ile ngano yake aliwataja wazee wote wapigania uhuru? Ebu jaribuni kutenganisha uislam wenu na historia ya mapambano ya kudai uhuru wa Tanganyika. Igeni tabia nzuri ya wale wazee walioungana na wenzao bila kujali tofauti ya imani zao wakatuletea uhuru.
 

Ongea taratibu Mwanakijiji asije kukusikia yeye anasema hii thread haipo hata kwenye top 10.
 
Dah nakusikitikia sana mkuu wewe kila kitu kwako ni kudanganya mbona huo ukweli wako hatujauona na huo uchochezi unaomsingizia mzee MS mbona hautuonyeshi?au ni hizi ngano za NGURUVI3 na MAG3 zinakupa kichwa ngoja sisi tuendeleekulamba buti za mzee MS
Bwana mdogo umechoka akili katika umri mdogo na bahati mbaya hujui. Hoja hizo za Nguruvi3 na Mag3 wewe huwezikujibu kwa sababu mzee chauchochezi Mohamed Said kakulisha sumu mbaya sana ya kukufanya usijiamini wala kufikiri kwa kuwa wewe ni muislam, mbaya zaidi amekuaminisha kwamba matatizo yako ya kiuchumi na kiakili yamesababishwa kwanza na mfumo kristo na uislam wako! ubovu zaidi unakuja pale ambapo hata yeye mwenyewe Mohamed said akiulizwa suluhu ya matatizo hayo, huwa hana jibu zaidi ya kurudi kuorodhesha majina ya wazee walioorodheshwa kwenye ile HISTOHISIA yake. Na wewe kama zuzu unapokea kwa makelele ujinga huo! aibu.
 
Ongea taratibu Mwanakijiji asije kukusikia yeye anasema hii thread haipo hata kwenye top 10.
Kuna kitu kinatwa, truth na facts, no one can deny that!. Kiukweli kwa kumbukumbu zangu za hivi karibuni, sikumbuki thread nyingine yoyote yenye almost hits 100,000 na posts 10,000!.
P.
 


Twaenda wapi mpaka kutaka kubadili mpaka historia ya Uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…