Nguruvi,Kumbuka jambo moja.
Mimi hapa sizungumzi na Mag3 na wengine.
Kuna watu 90,000 plus and counting wananisikiliza.
Haijapata kutokea katika historia ya JF wenyeji wananambia.
Kwa ajili hii siwezi kusubiri maswali.
Pale ninapokiona kitu na kikanikumbusha kitu basi huamua
kutoa darsa.
Na hutoa kile ambacho kabla ya leo hakuna aliyekuwa anakijua.
Nani alikuwa anamjua Abdullah Said Kassongo, Chief Ngua nk. nk.
Sikimbii maswali najibu yale nilokuwa na majibu yake na yale
ninayoona yana tija.
Tustahamiliane ikiwa siwezi kukidhi haja zenu nyote.
Mohamed, 90K hawakusikilizi wanasoma mnakasha. Wapo wanaoanza, wapo waliosoma na kuelewa au kutoelewa. 90K wanaona jinsi gani unavyoumbuka kwa kusema usichoweza kukitetea na kikubwa wamwjua agenda yako na kundi lako.
In fact wengi walikuwa wanjiuliza tension za kidini chanzo chake ni kipi, wengi hawana shaka kuwa master mind wa akina Ponda, Ilunga ni wewe, na hakika wamefunguka macho kujua kuwa kuikulacho... Hakuna aliyejua kuwa mwandishi na msomi kama wewe unaweza kuwa chachu ya umwagaji damu, wanafuatilia sana na tutaweka wazi kila nukta na mstari wa agenda zako.
Hawakusikilizi Mohamed wengi sana wanshukuru maana wanasema ''waliingia chaka lako kichwa kichwa''
Na jinsi unavokimbia hoja za watu ndivyo unavyowatoa mashaka kabisa.
Ukisema Darul Islam sisi tunaokunoyesha na kiwanja na ulaji uliofanywa na waislam wenyewe. Tunafahamu
Ukisema mfumokristo tunaonyesha umma jinsi mfumo huo usivyokuwepo na ni wa kufikirika.
Ukipindisha historia tunainyosha, hapo juu umekiri kuwa Wakristo walishiriki uhuru.
Imechukua page 450 kwako kuandika neno hilo.
90K wameona how you have been brought on your knee by facts not fallacy.
Kurasa 4 nyuma kuna hoja zinatakiwa kujibiwa na Mohamed ikiwemo ile ya mwalim Mpakistani Maliki kupewa deportation ya 24 hrs. Kwanini alipewa deportation na je deportation ilikuwa uonevu au halali.
Jibu hoja usikimbie muungwana. Vijana wako wanashindwa kuelewa wasimame wapi ukiwa mleta hoja na mada na mwalim unakimbia kimbia hovyo. 90k wanasubiri ujibu hoja siyo ujichanganye ! ukikimbia hawakuelewi.