Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee ms,
Kweli leo nimekubali wewe umezaliwa kaliaakoo.
Kwa chenga za mwili ni balaaaa!!???????
Inakuwaje kila utakachao andika tukuli tu?
Leo nimekuvulia kofia mzee wangu.

Mgashi,

Natambua kuwa kwangu mimi kukuambia wewe uje ni hiyo
historia ya kweli itakuwa nakuonea.

Lakini ikiwa unaona nasema uongo basi nipuuze wala usipate
tabu na mimi.

Binafsi kuna watu humu JF wala sisumbuki kusoma wanachoandika
na sababu ni kuwa nakijua hakina maana.

Nakusihi nitie katika kundi hilo.
 
Mohamed kweli unamatatizo ya kufikiri! hivi hapa umeshinda kitu gani? umeshindwa kabisa kutetea upuuzi wako tangu mwanzo mpaka tulipofika hapa! uliishia kujaa hasira na kutoa majibu ya kitoto na kihuni "..eti na nyie andikeni histohisia ya wazee wenu.." umeishia kutoa dua kana kwamba sisi wote ni waislam wenzako, Mohamedi Pole sana, wewe na kundi la wapuuzi wenzako hamtakaa mshinde kwa sababu hamna msingi wowote wa madai yenu na wala hata hamjui mnadai kitu gani. Mohamed Saidi wewe ni bure kabisa, unachoweze wewe ni kusema uongo bila hata aibu! mtu mzima wa umri wako unajivunjia heshima, na wala hujui haya wala soni.

Gwalihenzi,

Kwa kuwa sasa unanitukana mimi siwezi kukurudishia matusi.
Nitakachofanya ni kuwa sikusomi wala sikujibu kuanzia sasa.
 
Mzumbe 1957

5404711605_3b3fc13a92_b.jpg

Son...

Hii ilikuwa kozi ya machifu.

Huyu mama hapo mbele ni Mwami Theresa Ntare.
Huyu mama alikuja kuolewa na Chief Dandis Ngua.

Nakuwekea hapa chini mchango wa Chief Ngua wakati wa kupigania uhuru miaka ya mwisho:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Independence, 1961 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Five years had passed since TANU was founded.

Nyerere had thrice gone to the United Nations and had visited almost all parts of Tanganyika except Mpanda and Sumbawanga.

It was therefore thought by TANU headquarters that it was imperative for Nyerere to visit those areas and meet the people before TANU assumed self-government. In March, 1959, Tabora TANU Youth League was contacted by headquarters and requested to arrange Nyerere's itinerary and security arrangement while on tour of those areas.

Saadan Abdu Kandoro, the Tabora TANU secretary and Rajab Tambwe, the chairman, requested Kassongo and his group to take charge of security arrangement.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Abdullah Said Kassongo was asked to travel to Mpanda and Sumbawanga to get in touch with the TANU leadership there in order to assess the political opinion there and submit a report back to Tabora and to headquarters. Kassongo found a very favourable political climate for Nyerere's visit in Mpanda and the surrounding villages.

It were the arrangements he found in Sumbawanga which worried him.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] In Sumbawanga, Kassongo and his advance party were shocked to learn that the TANU leadership under Chief Dandis Ngua had arranged for Nyerere to be carried shoulder-high on a stretcher for a distance of about five miles to enable the people have a good look at him.

People in those areas had only heard about Nyerere but never got the chance to see the man in person.

People's enthusiasm for Nyerere's visit was overwhelming.

Proper arrangement had to be done well in advance to avoid a stampede as people moved in to get a look at Nyerere.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Much as Kassongo appreciated the desire of the people in Sumbawanga to get the chance of seeing their leader, he emphasised to them the fact that the way he knew Nyerere, he was certain he would never go along with their plan. Nyerere would never agree to be carried on the shoulders of the people as the Europeans did in the early years of colonial rule.

Nyerere would never agree that his people put him in that humiliating position, whatever their good intentions were.

Kassongo told them that to carry Nyerere above the height of the people was very dangerous because they would be exposing him to sniper fire, particularly in Sumbawanga which was a border province with Northern Rhodesia.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Proximity to Northern Rhodesia and the enmity of the settler community in that country to Africans and their struggle for freedom made the area a high-risk zone for any nationalist, let alone Nyerere.

Discussion for Nyerere's security between Kassongo and Chief Ngua lasted the whole night and by daybreak all the security arrangements had been scrutinised through and through.

The stretcher itinerary was scrapped from the programme. Kassongo, satisfied with the security arrangements in Sumbawanga, travelled to Mpanda to wait for Nyerere.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Nyerere arrived in Mpanda by train accompanied by Tambwe, Kandoro and Sheikh Mussa Rehani.

There was a very huge crowd inside and outside the railway station waiting to receive Nyerere.

On stepping down from the train a white police officer moved forward and saluted Nyerere.

The crowd applauded.

The gesture was unprecedented.

Africans had not witnessed a white man showing such respect to an African.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] The following day Nyerere addressed a mass rally. It was while he was there addressing the meeting that his host Chief Ngua received an urgent police message from Governor Richard Turnbull which required Nyerere to go to Dar es Salaam immediately. He was called for top-level government consultation on nomination of five TANU members of the Legislative Council to join the cabinet as government ministers. In spite of the urgency in the message Nyerere insisted to Chief Ngua that he would have to proceed to Sumbawanga to meet the people even if he had to deliver his speech in the middle of the night. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Nyerere arrived at Sumbawanga at dusk and immediately upon arrival Kassongo hurriedly began to fix microphones and mount the addressing system, oblivious of the darkness which was engulfing the meeting ground.

Nyerere delivered one of his most moving speeches on the evils of colonialism standing on the bonnet of a TANU Land Rover.

He spoke for four hours, past-midnight. Not a soul moved or lifted a foot to go home.

After the meeting Kassongo and his party escorted Nyerere to Abercorn, a border town in Northern Rhodesia where a special plane was waiting to take him to Dar es Salaam for his meeting at the Government House with Governor Richard Turnbull.

Nyerere provided Turnbull with TANU's list of its members of the Legislative Council:

  1. Chief Abdallah Said Fundikira,
  2. Dereck Bryceson,
  3. Enesmo Eliufoo,
  4. Amir Jamal and
  5. George Kahama

These were to join the government as cabinet ministers. [1]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] When he spoke to the Legislative Council in December, 1960 Nyerere had this message to the British:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] ''...let me explain that on the introduction of full internal self-Government, when our Public Service Commission becomes executive, there will be some overseas officers for whom there will be no further place in Tanganyika, for constitutional or other reasons.''[2][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] Historia ya Chama Cha TANU, Kivukoni Ideological College, 1981, p. 65.

[2] Chief Minister's Circular Letter No. 1 of 1961 Sykes' Papers.

Son...

Sasa turudi katika hiyo picha ya 1957.

Wakati huu TANU ilikuwa ina nguvu sana na machifu sasa walikuwa hawawezi tena kukaa
pembeni.

Taratibu walianza kujisogeza karibu ya Nyerere na TANU kiasi cha kuwa walikuwa wanahudhuria
hafla za TANU.

Soma hapa chini ufungfuzi wa Tawi la TANU la Mtaa wa Mvita Dar es Salaam mwaka 1957:

Secondly, to mark the opening of the branch, TANU had invited African members
of the Legislative Council, mostly chiefs, to witness the ceremony.

Among them were Kidaha Makwaia, Humbi Ziota, Msabila Lugusha, Mwami Theresa
Ntare
and others.

Also invited were other important personalities such as Hamis Mfaranyaki, who was
the head of the Ngoni community in Dar es Salaam; Paul Bomani;Said Chaurembo and
his brother Sheikh Abdallah Chaurembo; Haidar Mwinyimvua and others.

With all these personalities in attendance it was a big night for TANU.

Surely anything said on such an occasion was bound to have an effect on the people.

And it was on this occasion that Sheikh Takadir's tongue slipped.
 
Hivi Mzee Saidi unapoongopa unajisikiaje?????????????? Hao Darul Iman wakakatazwa kujenga chuo cha ufundi ila wakaruhusiwa kujenga misikiti njia nzima almost at an interval of 80km ktk Tanzam highway ( Dar - Tunduma) na kile kipande cha Mbeya Malawi?????????? Na raisi wa nchi wakati huo wanakataliwa kujenga chuo alikuwa nani?

Turudi kwenye hilo la chuo, hivi ni nani vile alifisadi miradi ya Darul Iman mpaka wakaamua kusitisha funding????, hii si kwa ajili ya jamvi wape darsa vijana wako wanomeza bila hata kufikiri. Ila ukiongopa hadharani lazima tujitokeze kuweka records straight.

Kuna muda sijisikii kabisa kuchangia lakini uongo unapowekwa mchana kweupe na mtu anayedai kuwa ni nguli wa historia haitakiwi kupuuza. Maana kuna vijana wengi leo wanaziamini hizi hadithi za MS.
Nyambala, hakika kukaa kimya ni kutowatendea haki watu wa jamii yetu. Mathalan, kuna watu wataamini kuwa kulikuwa na hujuma EAMWS na zimeendelea hadi Darul Iman. Sababu kubwa itakayowafanya waamini ni ufundi tu wa lugha na wala si mantiki wala ukweli.

Jambo hilo litawatia hasira kama ambavyo ni rahisi kumkuta mtu akisema waislam wanaonewa.
Ukimuuliza atakwambia ndivyo ilivyo bila jibu.

Ukiona Mohamed anakimbia kimbia kuweka vipande hapa ujue anakimbia maswali. Hajibu anachotaka ni kuweka nukuu zake ili aendelee kupalilia hasira na chuki ndani ya jamii. Ndiyo maana tupo hapa kuweka record straight na kuonyesha upotoshaji.

Keshakimbia maswali yangu, ya Mag3, MM sasa anaelezea asichoulizwa.

Hta hivyo ukimsoma sana utaona jinsi aanavyojichanganya. Hapo juu ameonyesha Nyerere alivyokwenda Mpanda na kuhutubia hadi usiku wa manane bila mtu kuondoa mguu. Huyu ndiye tunaambiwa ana enziwa bila kufanya lolote kwa Watanzania. Huyu ndiye tunaambiwa alipofika Dar alikuwa hajui siasa na alipewa dude TANU likiwa na miguu na mikono tayari!

Naomba wasomaji warudie 9351 ya Mohamed halafu wajiulize ndiye huyu anasema wakristo hawakushiriki Uhuru wa nchi.
Kipande kizima kinapinga hoja zake mwenyewe.
 
Nguruvi,

Ndiyo mjadala unavyokwenda.
Jambo hilo hilo kila mtu analiona kwa namna yake.

Nikisema nichukue nukta yako moja moja njibu tutajirudia.

Ninachoshukuru ni kuwa sasa mnasoma yale yaliyoachwa
na historia rasmi ya TANU kama ilivyoandika na Kivukoni.

Kumbuka jambo moja.
Mimi hapa sizungumzi na Mag3 na wengine.

Kuna watu 90,000 plus and counting wananisikiliza.
Haijapata kutokea katika historia ya JF wenyeji wananambia.

Kwa ajili hii siwezi kusubiri maswali.

Pale ninapokiona kitu na kikanikumbusha kitu basi huamua
kutoa darsa.

Na hutoa kile ambacho kabla ya leo hakuna aliyekuwa anakijua.
Nani alikuwa anamjua Abdullah Said Kassongo, Chief Ngua nk. nk.

Sikimbii maswali najibu yale nilokuwa na majibu yake na yale
ninayoona yana tija.

Tustahamiliane ikiwa siwezi kukidhi haja zenu nyote.
 
Mohamed kweli unamatatizo ya kufikiri! hivi hapa umeshinda kitu gani? umeshindwa kabisa kutetea upuuzi wako tangu mwanzo mpaka tulipofika hapa! uliishia kujaa hasira na kutoa majibu ya kitoto na kihuni "..eti na nyie andikeni histohisia ya wazee wenu.." umeishia kutoa dua kana kwamba sisi wote ni waislam wenzako, Mohamedi Pole sana, wewe na kundi la wapuuzi wenzako hamtakaa mshinde kwa sababu hamna msingi wowote wa madai yenu na wala hata hamjui mnadai kitu gani. Mohamed Saidi wewe ni bure kabisa, unachoweze wewe ni kusema uongo bila hata aibu! mtu mzima wa umri wako unajivunjia heshima, na wala hujui haya wala soni.

Ukiona mtu anaporomosha matusi kwa wenzake basi hoja zimemuishia.
 
Nyambala, hakika kukaa kimya ni kutowatendea haki watu wa jamii yetu. Mathalan, kuna watu wataamini kuwa kulikuwa na hujuma EAMWS na zimeendelea hadi Darul Iman. Sababu kubwa itakayowafanya waamini ni ufundi tu wa lugha na wala si mantiki wala ukweli.

Jambo hilo litawatia hasira kama ambavyo ni rahisi kumkuta mtu akisema waislam wanaonewa.
Ukimuuliza atakwambia ndivyo ilivyo bila jibu.

Ukiona Mohamed anakimbia kimbia kuweka vipande hapa ujue anakimbia maswali. Hajibu anachotaka ni kuweka nukuu zake ili aendelee kupalilia hasira na chuki ndani ya jamii. Ndiyo maana tupo hapa kuweka record straight na kuonyesha upotoshaji.

Keshakimbia maswali yangu, ya Mag3, MM sasa anaelezea asichoulizwa.

Hta hivyo ukimsoma sana utaona jinsi aanavyojichanganya. Hapo juu ameonyesha Nyerere alivyokwenda Mpanda na kuhutubia hadi usiku wa manane bila mtu kuondoa mguu. Huyu ndiye tunaambiwa ana enziwa bila kufanya lolote kwa Watanzania. Huyu ndiye tunaambiwa alipofika Dar alikuwa hajui siasa na alipewa dude TANU likiwa na miguu na mikono tayari!

Naomba wasomaji warudie 9351 ya Mohamed halafu wajiulize ndiye huyu anasema wakristo hawakushiriki Uhuru wa nchi.
Kipande kizima kinapinga hoja zake mwenyewe.

Nguruvi,

Katika kitabu nimesema maneno haya:

No one denies the fact that some Christians were there.

Indeed Christian names appear in the dramatis personae of the play.

But no one can deny the truth that they did not occupy centre stage.

This work has given a descriptive analysis of the role of urban Muslims in the struggle for independence; their contribution in the founding of TANU; in membership drives and composition which took strong Muslim characteristics. Dar es Salaam Province TANU Elders Council under its chairman Sheikh Suleiman Takadir had 173 members who were all Muslims. [1]

[1] See Elder Council Section File 376, Party Archives, Dodoma.

Kuna watu 90,000 plus and counting wananisikiliza.
Haijapata kutokea katika historia ya JF wenyeji wananambia. .

Wenyeji wamekudanganya... angalia mada zilizosomwa na watu wengi zaidi JF zimesomwa na watu wangapi... sidhani hii imefika hata kwenye top 10...
 
Indeed Christian names appear in the dramatis personae of the play.

But no one can deny the truth that they did not occupy centre stage.

They 'did not'? really.. was Nyerere just part of drama personae; John Rupia? Dr. Kyaruzi? wote hawa hawakuwa katika centre stage? na kina Japhet Kirilo? As a matter of fact the Star of the play.. was Nyerere a Christian... it can't get any 'centre' than that..
 
Nguruvi,Kumbuka jambo moja.
Mimi hapa sizungumzi na Mag3 na wengine.

Kuna watu 90,000 plus and counting wananisikiliza.
Haijapata kutokea katika historia ya JF wenyeji wananambia.

Kwa ajili hii siwezi kusubiri maswali.

Pale ninapokiona kitu na kikanikumbusha kitu basi huamua
kutoa darsa.

Na hutoa kile ambacho kabla ya leo hakuna aliyekuwa anakijua.
Nani alikuwa anamjua Abdullah Said Kassongo, Chief Ngua nk. nk.

Sikimbii maswali najibu yale nilokuwa na majibu yake na yale
ninayoona yana tija.

Tustahamiliane ikiwa siwezi kukidhi haja zenu nyote.
Mohamed, 90K hawakusikilizi wanasoma mnakasha. Wapo wanaoanza, wapo waliosoma na kuelewa au kutoelewa. 90K wanaona jinsi gani unavyoumbuka kwa kusema usichoweza kukitetea na kikubwa wamwjua agenda yako na kundi lako.

In fact wengi walikuwa wanjiuliza tension za kidini chanzo chake ni kipi, wengi hawana shaka kuwa master mind wa akina Ponda, Ilunga ni wewe, na hakika wamefunguka macho kujua kuwa kuikulacho... Hakuna aliyejua kuwa mwandishi na msomi kama wewe unaweza kuwa chachu ya umwagaji damu, wanafuatilia sana na tutaweka wazi kila nukta na mstari wa agenda zako.

Hawakusikilizi Mohamed wengi sana wanshukuru maana wanasema ''waliingia chaka lako kichwa kichwa''

Na jinsi unavokimbia hoja za watu ndivyo unavyowatoa mashaka kabisa.
Ukisema Darul Islam sisi tunaokunoyesha na kiwanja na ulaji uliofanywa na waislam wenyewe. Tunafahamu

Ukisema mfumokristo tunaonyesha umma jinsi mfumo huo usivyokuwepo na ni wa kufikirika.
Ukipindisha historia tunainyosha, hapo juu umekiri kuwa Wakristo walishiriki uhuru.
Imechukua page 450 kwako kuandika neno hilo.

90K wameona how you have been brought on your knee by facts not fallacy.

Kurasa 4 nyuma kuna hoja zinatakiwa kujibiwa na Mohamed ikiwemo ile ya mwalim Mpakistani Maliki kupewa deportation ya 24 hrs. Kwanini alipewa deportation na je deportation ilikuwa uonevu au halali.

Jibu hoja usikimbie muungwana. Vijana wako wanashindwa kuelewa wasimame wapi ukiwa mleta hoja na mada na mwalim unakimbia kimbia hovyo. 90k wanasubiri ujibu hoja siyo ujichanganye ! ukikimbia hawakuelewi.
 
Wenyeji wamekudanganya... angalia mada zilizosomwa na watu wengi zaidi JF zimesomwa na watu wangapi... sidhani hii imefika hata kwenye top 10...

ha haa haaa!!! Achana na habari ya top 10 iweke ya mwisho kabisa wewe si ndiyo unapima viwango vya JF roho inakuuma sana kuhusu huu uzi waambie basi Mods waufunge.
 
Mohamed, 90K hawakusikilizi wanasoma mnakasha. Wapo wanaoanza, wapo waliosoma na kuelewa au kutoelewa. 90K wanona jinsi gani unavyoumbuka kwa kusema usichoweza kukitetea na kiklubwa wamjeua agenda yako. Hawakusikilizi Mohamed wengi sana wanshukuru maana wanasema ''waliingia chaka lako kichwa kichwa''

Na jinsi unavuokimbia hoja za watu ndivyo unavyowatoa mashaka kabisa.
Ukisema Darul Islam sisi tunaokunoyesha na kiwanja na ulaji uliofanywa na waislam wenyewe. Tunafahamu

Ukisema mfumokristo tunaonyesha umma jinsi mfumo huo usivyokuwepo na ni wa kufikirika.
Ukipindisha historia unainyosha, hapo juu umekiri kuwa Wakristo walishiriki uhuru. Imechukua page 450 kwako kuandika neno hilo.

90K wameona how you have been brought on youe knee by facts not fallacy.

Kurasa 4 nyuma kuna hoja zinatakiwa kujibiwa na Mohamed ikiwemo ile ya mwalim Mpakaistani Maliki kupewa deportation ya 24 hrs. Kwanini alipewa deportaion na je deportation ilikuwa uonevu au halali.

Jibu hoja usikimbie muungwana. Vijana wako wanashindwa kuelewa wasimame wapi ukiwa mleta hoja na mada na mwalim unakimbia kimbia hovyo. 90k wanasubiri ujibu hoja siyo ujichanganye ! ukikimbia hawakuelewi.

Naona umeamua kujiliwaza na kujifariji ndiyo raha ya munakasha.
 
Mohamed, 90K hawakusikilizi wanasoma mnakasha. Wapo wanaoanza, wapo waliosoma na kuelewa au kutoelewa. 90K wanaona jinsi gani unavyoumbuka kwa kusema usichoweza kukitetea na kikubwa wamwjua agenda yako na kundi lako.

In fact wengi walikuwa wanjiuliza tension za kidini chanzo chake ni kipi, wengi hawana shaka kuwa master mind wa akina Ponda, Ilunga ni wewe, na hakika wamefunguka macho kujua kuwa kuikulacho... Hakuna aliyejua kuwa mwandishi na msomi kama wewe unaweza kuwa chachu ya umwagaji damu, wanafuatilia sana na tutaweka wazi kila nukta na mstari wa agenda zako.

Hawakusikilizi Mohamed wengi sana wanshukuru maana wanasema ''waliingia chaka lako kichwa kichwa''

Na jinsi unavokimbia hoja za watu ndivyo unavyowatoa mashaka kabisa.
Ukisema Darul Islam sisi tunaokunoyesha na kiwanja na ulaji uliofanywa na waislam wenyewe. Tunafahamu

Ukisema mfumokristo tunaonyesha umma jinsi mfumo huo usivyokuwepo na ni wa kufikirika.
Ukipindisha historia tunainyosha, hapo juu umekiri kuwa Wakristo walishiriki uhuru.
Imechukua page 450 kwako kuandika neno hilo.

90K wameona how you have been brought on your knee by facts not fallacy.

Kurasa 4 nyuma kuna hoja zinatakiwa kujibiwa na Mohamed ikiwemo ile ya mwalim Mpakistani Maliki kupewa deportation ya 24 hrs. Kwanini alipewa deportation na je deportation ilikuwa uonevu au halali.

Jibu hoja usikimbie muungwana. Vijana wako wanashindwa kuelewa wasimame wapi ukiwa mleta hoja na mada na mwalim unakimbia kimbia hovyo. 90k wanasubiri ujibu hoja siyo ujichanganye ! ukikimbia hawakuelewi.
Bila Ushabiki, Mohamed Sadiki ana hoja...."kufufua wazee wake walio zikwa katika historia ya taifa letu" wanao mpinga pia wana hoja, kwamba "si kila mtu lazima mchango wake utambuliwe kwenye taifa hili, yani hata aliye wahi kumpa nyerere lift tu atajwe...." kwa aliye lainisha moyo wake akaweka hoja kati JIBU SAHIHI ANALO
 
Mohamed, 90K hawakusikilizi wanasoma mnakasha. Wapo wanaoanza, wapo waliosoma na kuelewa au kutoelewa. 90K wanaona jinsi gani unavyoumbuka kwa kusema usichoweza kukitetea na kikubwa wamwjua agenda yako na kundi lako.

In fact wengi walikuwa wanjiuliza tension za kidini chanzo chake ni kipi, wengi hawana shaka kuwa master mind wa akina Ponda, Ilunga ni wewe, na hakika wamefunguka macho kujua kuwa kuikulacho... Hakuna aliyejua kuwa mwandishi na msomi kama wewe unaweza kuwa chachu ya umwagaji damu, wanafuatilia sana na tutaweka wazi kila nukta na mstari wa agenda zako.

Hawakusikilizi Mohamed wengi sana wanshukuru maana wanasema ''waliingia chaka lako kichwa kichwa''

Na jinsi unavokimbia hoja za watu ndivyo unavyowatoa mashaka kabisa.
Ukisema Darul Islam sisi tunaokunoyesha na kiwanja na ulaji uliofanywa na waislam wenyewe. Tunafahamu

Ukisema mfumokristo tunaonyesha umma jinsi mfumo huo usivyokuwepo na ni wa kufikirika.
Ukipindisha historia tunainyosha, hapo juu umekiri kuwa Wakristo walishiriki uhuru.
Imechukua page 450 kwako kuandika neno hilo.

90K wameona how you have been brought on your knee by facts not fallacy.

Kurasa 4 nyuma kuna hoja zinatakiwa kujibiwa na Mohamed ikiwemo ile ya mwalim Mpakistani Maliki kupewa deportation ya 24 hrs. Kwanini alipewa deportation na je deportation ilikuwa uonevu au halali.

Jibu hoja usikimbie muungwana. Vijana wako wanashindwa kuelewa wasimame wapi ukiwa mleta hoja na mada na mwalim unakimbia kimbia hovyo. 90k wanasubiri ujibu hoja siyo ujichanganye ! ukikimbia hawakuelewi.

Nguruvi,

Unaweza kuniita jina ulipendalo.
Sina uwezo wa kukuzuia.

Azma yangu ni hii kuwa wapatikane watu watusikie na sisi upande
wetu tunasema nini.

Kuhusu Sheikh Malik nilimjibu Mag lakini kama utataka historia yake
kamili na vipi alipigwa PI Insha Allah nitakuwekea.

Mbona 90K unawasemea wewe?
Si ukisubiri wajisemee wenyewe?

''No one denies the fact that some Christians were there.

Indeed Christian names appear in the dramatis personae of
the play.

But no one can deny the truth that they did not occupy centre
stage.

This work has given a descriptive analysis of the role of urban
Muslims in the struggle for independence; their contribution
in the founding of TANU; in membership drives and composition
which took strong Muslim characteristics.

Dar es Salaam Province TANU Elders Council under its chairman
Sheikh Suleiman Takadirhad 173 members who were all Muslims.''[1]

[1] See Elder Council Section File 376, Party Archives, Dodoma.

Wenyeji wamekudanganya... angalia mada zilizosomwa na watu wengi zaidi JF zimesomwa na watu wangapi... sidhani hii imefika hata kwenye top 10...
Hata kama haijafika Top Ten lakini imebainisha baadhi ya kasuku na watu waliokwenda darasani.

Leo naona umefundwa na wazee matusi umeyapunguza

Nasubiri ukiandika au kuiboresha historia ya TANU.
Na hata utaandika labda ukopi kwa Mohamed kwani kaweka mambo mengi uliyokua huyajui.
Kuna mama wa kimasai aliyekua anawahamasisha wanawake wenzake kujiunga na TANU ulikua humjui.

Ninachoona hapa ni wivu kwa Mohamed kwamba anajua mengi kukushinda wewe.

Ujuzi wako wewe nikuandika Majeruhi wa mapenzi au kuitetea CCM na baada ya miaka unakwenda CDM.
Chakushangaza zaidi ni yale uliyoyapinga 2005 unakuja kuyakubali 2010.

Mungu atupe uhai tutazidi kuona mengi kutoka kwako.
 
Back
Top Bottom