Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jamani uyu mtu Mohammed saidi si wa kubishana nae kwani uta aibika tu.Jamaa anashuka na data za hatari.kwanini watu wanaendelea kubisha wakati ukweli ushaainishwa?tungeni vitabu vya kwenu,ebu mwachine mshkaji.ukweli unauma............
 
JUST before independence,huyo mzungu naona baadaye alifundishwa kuvaa suruwali na wazee wa dar es salaam

5404720835_a8ea27eff7_b.jpg
 
Mag3,

Jibu langu lipo katika historia yetu kuanzia tunapigania uhuru hadi ulipopatikana.

Baada ya uhuru ndipo matatizo yakaanza kwa kubwa kuvunja EAMWS wakati ilipokuwa
inatayarisha mipango ya kujivua na dhulma zilizosababishwa na ukoloni.

Kuanzia hapa Waislam hawakuruhusiwa kujioganaizi nje ya BAKWATA na serikali ikahakikisha
maisha BAKWATA itaendeshwa na vibaraka na watu wajinga.

Wakati haya yakiendelea taasisi za Kikristo TEC na CCT ziko huru zikitekeleza mipango ya
maendeleo kama kujenga shule na hospitali.

Kwa upande wa Waislam kila aina ya msaada ulotoka nje kujaribu kuwasaidia Waislam
ulihujumiwa.

Mfano Chuo Cha Kikuu Cha Kiislam kilichotaka kujengwa Tanzania na OIC serikali ilikataa
kutoa kibali chuo kikajengwa Mbale Uganda, Darul Iman ilitaka kujenga chuo cha ufundi
Kibaha wakapigwa vita wakaondoka na kuacha ardhi ambayo tayari walishanunua.

Hii ni mifano michache.

Wakati haya yakiendelea Wakristo wanaendeleza yale yale walokuwa wakifaidi wakati wa
ukoloni.

Hili si swali la kuwa na Waislam 10 katika nafasi ndiyo ikawa wakunyooshewa kidole kuwa
Waislam wana nafasi.

Angalia watendaji katika nafasi zote katika mashirika ya umma na serikali yenyewe na vyuo
vikuu na kwengineko nani wamehodhi fursa zote.

Lakini kubwa la kusikitisha hii leo badala ya serikali juu ya kupelekewa taarifa za dhulma na
Waislam serikali iko kimya na wanaotoa maswali na kutaka maelezo kutoka kwa Waislam ni
Mag3 na mfano kama wake.
Mzee ms,
Umekuwa kila ukiulizwa ukiilejea mifano hiyo hiyo na kusema ni mifano michache kama ya oic na ujenzi wa chuo.
Tupe na madhila mengine c kuludia mifano hiyo hiyo kila siku.
 
Nyambala,

Ukishajua mtu ni muongo hiyo ni sababu tosha ya kumpuuza.
Huwezi kupata chochote kutoka kwa muongo ila uongo zaidi.

Mzee ms,
Kweli leo nimekubali wewe umezaliwa kaliaakoo.
Kwa chenga za mwili ni balaaaa!!???????
Inakuwaje kila utakachao andika tukuli tu?
Leo nimekuvulia kofia mzee wangu.
 
the then Muhimbili,enzi ya mkoloni-- where exactly did we go wrong- education?? ufisadi? or what!!!

5404702679_810d5d5a76_b.jpg
 
Wewe bingwa wa kutetea mfumo kirsto una tofauti gani na NECTA ukitupa division zero.

Nyie wafuasi wa Chadema wewe Mwanakijiji, Nguruvi3 na wenzako linapokuja suala la NECTA wote mnarudi CCM tena mnakuwa wakali kuzidi viongozi wa CCM...ha haa haaa!!
Sasa kama CCM inawadhulmu waislam kupitia NECTA wewe Ritz unangoja nini huko? kwanini muda wote unaitetea CCM?
 
Hivi kumbe serikali inaajiri kulingana na dini ya mtu...

Wakiwa waislam wengi sehemu tuite "mfumo mohamad" wakiwa wakristu wengi "mfumo kristu" wakiwa wapagani wengi "mfumo pagan" wakiwa wahindu wengi "mfumo hindu" wakiwa wachaga....wakiwa wamakonde....

Hivi Dubai nako kuna mfumo gani??

Nakukumbusha utoe solution kama uliemjibu alivyoomba...
Zanzibar nako kuna mfumo gani vile?
 
Hata mimi nikisema Mzee Mwanakijiji ana wivu binafsi na historia ya Mohammed Said na mafanikio yake,na kwamba Mzee huyu ametumwa aifanyie husda kwa kuzusha hili na lile hata kama hana ushahidi.Mtu anaweza akataka nipate barua kutoka kwa aliyemtuma au nilete mahojiano na Mzee mwenyewe.
Kwa mwenye akili na mwenye kufuatilia kauli zake na kupindisha ukweli hana haja ya vitu hivyo.Mwenendo wake tu unatosha kuwa ndio ushahidi wenyewe.
Bravo mzee Mohamed Said, umefanikiwa kuwapata kikwelikweli matutusa wakutosha kama hawa! Sasa hapa ni JF, huko kwenye mihadhara nadhani itakuwa balaa!
 
Hapa naona kama umewachafulia hali ya hewa wanamfumo.
Rudia hoja za Kitwana Kondo bungeni.Kwamba uraiani waislamu ni wengi kwa mfano Dar es salaam.Ukiingia shule za mzingi wao ni zaidi ya 70% lakini idadi yao inashuka kila ukipanda juu.Jee watoto wa kiislamu wamezaliwa mataahira?.
Seminari za kiislamu unakusudia ziko kwenye hali duni.Hili litaepukika vipi wakati hatuna misaada mingine wala ruzuku kutoka serikalini kama hizo za wakristo.
Hao akina Swai Muhimbili tunakwenda hatuna budi na tunawaogopa.Muulize muhadhiri fulani wa mihadhara ya kiislamu ana ushahidi wa kutosha.Huko utawapataje akina Pazi wakati wanabanwa tangu msingi mpaka kwa Ndalichako.
Unapozungumza angalia mantiki ya hoja zako.
Kwahiyo wewe ulichokiandika hapa na maalim woko Mohamed akakuwekea "like" ya nguvu unaweza kuita ni mantiki ya hoja?Kama ni hivyo basi wewe na Mohamed wako mnamatatizo ya akili.
 
Mag,

Unaniuliza kuhusu mbinu.

Mbinu ni hii.

Unajua Waislam Allah ametuamuru kitu ambacho dini nyingine
zote hazina.

Kitu hiki kinaitwa "sijda."
Yaani kusujudu wakati tukiswali.

Tunapokuwa na dhiki kubwa wakati tukiswali tunapokwenda sijda
tunapokuwa nyuso zetu ziko chini pale ndipo binadamu anakuwa
karibu sana na Allah.

Katika hali kama hii Waislam humshtakia Allah matatizo yetu.
Ndiyo maana juu ya kuwa tunahujumiwa Uislam haujatetereka.

Mfano wa karibu sana ndiyo huu.

Humu tuko Waislam wachache sana tunapambana na nyinyi tena
kwenye uwanja wenu na tunakushindeni.

Hii ni ahadi ya Allah kuwa sisi tutashinda.
Mohamed kweli unamatatizo ya kufikiri! hivi hapa umeshinda kitu gani? umeshindwa kabisa kutetea upuuzi wako tangu mwanzo mpaka tulipofika hapa! uliishia kujaa hasira na kutoa majibu ya kitoto na kihuni "..eti na nyie andikeni histohisia ya wazee wenu.." umeishia kutoa dua kana kwamba sisi wote ni waislam wenzako, Mohamedi Pole sana, wewe na kundi la wapuuzi wenzako hamtakaa mshinde kwa sababu hamna msingi wowote wa madai yenu na wala hata hamjui mnadai kitu gani. Mohamed Saidi wewe ni bure kabisa, unachoweze wewe ni kusema uongo bila hata aibu! mtu mzima wa umri wako unajivunjia heshima, na wala hujui haya wala soni.
 
Mohamed Said,

Hebu tupe habari za huyu mtu Andrew Tindegebage.
 
Mohamed Said, Hebu tupe habari za huyu mtu Andrew Tindegebage.
Hapana Ritz, kama ni swali muulize hili;
Nyambala said:
"Nani alifisadi hela za Darul Iman mpaka wakaamua kusitisha funding" na kuondoka, maana hawakuondoka kwa sababu unayoitunga hapa, waliondoka kwa sababu ya ufisadi na kukoncludi kuwa watanzania hawasaidiki. Kaangalie ile misikiti iliyojengwa halafu fanya tafiti invoice ilikuwa inasemaje.
Kusema kweli sasa tumechoka na porojo, hadithi na histohisia, tunataka solution..."way forward" kuondokana na hiyo kadhia...
 
Last edited by a moderator:
Wala hakuna jazba solution wanatakiwa watoe serikali siyo mimi.
Duh! Ritz, lazima utakuwa unatania! unamaana serikali hii inayoundwa na chama chako kitukufu cha CCM chini ya ustaadh Jakaya Mrisho Kikwete!
 
Back
Top Bottom