Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Mohamed kweli unamatatizo ya kufikiri! hivi hapa umeshinda kitu gani? umeshindwa kabisa kutetea upuuzi wako tangu mwanzo mpaka tulipofika hapa! uliishia kujaa hasira na kutoa majibu ya kitoto na kihuni "..eti na nyie andikeni histohisia ya wazee wenu.." umeishia kutoa dua kana kwamba sisi wote ni waislam wenzako, Mohamedi Pole sana, wewe na kundi la wapuuzi wenzako hamtakaa mshinde kwa sababu hamna msingi wowote wa madai yenu na wala hata hamjui mnadai kitu gani. Mohamed Saidi wewe ni bure kabisa, unachoweze wewe ni kusema uongo bila hata aibu! mtu mzima wa umri wako unajivunjia heshima, na wala hujui haya wala soni.
Ulikuwa umeishawahi kusikia habari za hawa wazee, Sheikh Suleiman Takadir, Mzee Fundi Muhindi, Idd Tosiri, Idd Faiz, Dr William Mwanyisi, Dr Vedasto Kyaruzi, Stephen Mhando, Dossa Aziz, Ally Sykes, H.K. Viran, Liwali Juma, Abdulkarim Karimjee, George Magembe, Erikah Fiah, Mufti Sheik Hassan Bin Amir, Jumbe Tambaza,Mshume Kiyate, Rajabu Diwani, Makisi Mbwana, Sheikh Haidari Mwinyimvua, Tewa S Tewa, Denis Phombeah, Dome Okochi, Patrick Aoko, John Rupia, Joseph Kimalando.
Wapo wengi sana hawa wote ni watu wa kutunga.