Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mohamed kweli unamatatizo ya kufikiri! hivi hapa umeshinda kitu gani? umeshindwa kabisa kutetea upuuzi wako tangu mwanzo mpaka tulipofika hapa! uliishia kujaa hasira na kutoa majibu ya kitoto na kihuni "..eti na nyie andikeni histohisia ya wazee wenu.." umeishia kutoa dua kana kwamba sisi wote ni waislam wenzako, Mohamedi Pole sana, wewe na kundi la wapuuzi wenzako hamtakaa mshinde kwa sababu hamna msingi wowote wa madai yenu na wala hata hamjui mnadai kitu gani. Mohamed Saidi wewe ni bure kabisa, unachoweze wewe ni kusema uongo bila hata aibu! mtu mzima wa umri wako unajivunjia heshima, na wala hujui haya wala soni.

Ulikuwa umeishawahi kusikia habari za hawa wazee, Sheikh Suleiman Takadir, Mzee Fundi Muhindi, Idd Tosiri, Idd Faiz, Dr William Mwanyisi, Dr Vedasto Kyaruzi, Stephen Mhando, Dossa Aziz, Ally Sykes, H.K. Viran, Liwali Juma, Abdulkarim Karimjee, George Magembe, Erikah Fiah, Mufti Sheik Hassan Bin Amir, Jumbe Tambaza,Mshume Kiyate, Rajabu Diwani, Makisi Mbwana, Sheikh Haidari Mwinyimvua, Tewa S Tewa, Denis Phombeah, Dome Okochi, Patrick Aoko, John Rupia, Joseph Kimalando.

Wapo wengi sana hawa wote ni watu wa kutunga.
 
Hawa ni mashujaa waliotanguliza utanganyika wakafanya kazi na watanganyika wenzao bila kujali tofauti ya dini wakafanikiwa kuuleta uhuru. Akaja Mohamed Said na uovu wake akawavisha joho la uislam kwa masilahi yake binafsi akawapamba na kuwapandikiza maneno na chuki dhidi ya shujaa mwenzao Nyerere, ati kwa kuwa maiti/marehemu hana kauri. Mohamed akatumia majina ya wazee hawa kuwachochea watu wasiofikiri kama Ritz ili wawachukie watanzania wenzao kwa misingi ya dini.
 
Duh! Ritz, lazima utakuwa unatania! unamaana serikali hii inayoundwa na chama chako kitukufu cha CCM chini ya ustaadh Jakaya Mrisho Kikwete!

Baada ya kupatikana uhuru kilichofuatia ni kukamatwa na kuwekwa kizuizini kwa Mashekh waliodhaniwa kuwa wanapinga utawala wa Nyerere.

Miongoni mwao waliokamatwa ni Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Hassan bin Amir, Shariff Hussein Badawiy, Shariff Mwinyibaba, Shariff Adnan, Bilali Rehani Waikela, Sheikh Jumanne Bias, Maalim Matar, Abdalah Mwamba, Sheikh Hashim Haji, Sheikh Nurdin Hussein, Salum Abdallah Popo, Sheikh Ali Comoriam, Sheikh Al Amin Mafta, Rajabu Kiguu, na wengine wengi.

Halafu mnataka Waislam wamuite Nyerere baba wa taifa.
 
Hapana Ritz, kama ni swali muulize hili; Kusema kweli sasa tumechoka na porojo, hadithi na histohisia, tunataka solution..."way forward" kuondokana na hiyo kadhia...

Mag3,

Umechoka wewe na nani? Kama mmechoka kaeni pembeni kuna watu zaidi ya 90,000+ wanaofuatilia huu munakasha wewe ni nani JF?

Wewe tumishakuzoea juzi ulisema kuwataja hawa wazee wa Kariakoo kwako ni matusi makubwa.

Sasa unalia lia nini eti umechoka kama umechoka sisi tufanyaje tukubebe?
 
Last edited by a moderator:
Wapi imeandikwa?.Tofauti ni juu ya uadui wake kwa wapigania uhuru waasisi na baadae kwa raia zake.
Imetokea tu kwamba uadui mara nyingi ulikwa kwa waislamu na huku yeye akiwa ni mkristo hivyo kwa waislamu inakuwa rahisi na ndio mantiki kuamini kuwa alikuwa ana chuki na uislamu ama peke yake au kwa kushirikiana na kanisa lake.
Akitokea mwanahistoria akatoa ushahidi kuhusisha uadui wake kutokana na dini yake basi hakuna haja ya maswali zaidi kuhusiana na sababu za uadui huo.

Hao waliotofautiana na Nyerere kina Kamaliza, Kambona na wengineo mbona wana majina ya Kizungu (nadhani labda ni Wakristo kwa jinsi tunavyochukul;iana siku hizi).

Ni watu wenye low understanding na wenye kutukuza udini tu ndio wanaoweza kukaa na kuandika Vitabu kuchunguza Makabila na Dini za watu ili kutafuta sababu za kutukuza dini na makabila yao kwa manufaa ya waliowatuma.
 
Baada ya kupatikana uhuru kilichofuatia ni kukamatwa na kuwekwa kizuizini kwa Mashekh waliodhaniwa kuwa wanapinga utawala wa Nyerere.

Miongoni mwao waliokamatwa ni Abdillah Schneider Plantan, Sheikh Abdulkarim Abdulwahid, Maalim Popo Saleh, Suleiman Masudi Mnonji, Ali Migeyo, Mufti Hassan bin Amir, Shariff Hussein Badawiy, Shariff Mwinyibaba, Shariff Adnan, Bilali Rehani Waikela, Sheikh Jumanne Bias, Maalim Matar, Abdalah Mwamba, Sheikh Hashim Haji, Sheikh Nurdin Hussein, Salum Abdallah Popo, Sheikh Ali Comoriam, Sheikh Al Amin Mafta, Rajabu Kiguu, na wengine wengi.

Halafu mnataka Waislam wamuite Nyerere baba wa taifa.
Kwani walisingiziwa?
 
Wapi imeandikwa?.Tofauti ni juu ya uadui wake kwa wapigania uhuru waasisi na baadae kwa raia zake.
Imetokea tu kwamba uadui mara nyingi ulikwa kwa waislamu na huku yeye akiwa ni mkristo hivyo kwa waislamu inakuwa rahisi na ndio mantiki kuamini kuwa alikuwa ana chuki na uislamu ama peke yake au kwa kushirikiana na kanisa lake.
Akitokea mwanahistoria akatoa ushahidi kuhusisha uadui wake kutokana na dini yake basi hakuna haja ya maswali zaidi kuhusiana na sababu za uadui huo.

Nadhani Kambona na Kamaliza walikuwa WaKristo (kwa jinsi tunavyochukuliana siku hizi kupitia majina ya kizungu kuwakilisha Wakristo na ya Kiarabu kuwakilisha Waislamu) walitofautiana sana tu na Nyerere.

Huyo 'mwanahistoria' mwenye mawazo ya chini sana ambaye unataka aje kuandika kuhusu udini na kabila la Nyerere ili kumtweza atabaki Mohammed Said tu. Kama wataibuka wengine labda itakuwa kujaribu kuupinga upotoshaji wa Sheikh Said kama alivyofanya Yeriko Nyerere.
 
Waulize watu wa usalama wa taifa, ukishindwa muulize mzee chauchochezi Mohamed Said mmanyema.

Hawa wazee kwako hawana hadhi yeyote lazima utoe majibu hayo bahati nzuri watu wanatusoma.
 
Nadhani Kambona na Kamaliza walikuwa WaKristo (kwa jinsi tunavyochukuliana siku hizi kupitia majina ya kizungu kuwakilisha Wakristo na ya Kiarabu kuwakilisha Waislamu) walitofautiana sana tu na Nyerere.

Huyo 'mwanahistoria' mwenye mawazo ya chini sana ambaye unataka aje kuandika kuhusu udini na kabila la Nyerere ili kumtweza atabaki Mohammed Said tu. Kama wataibuka wengine labda itakuwa kujaribu kuupinga upotoshaji wa Sheikh Said kama alivyofanya Yeriko Nyerere.

Wimana,

Hiyo nukuu ya ''fear'' nadhani huyo ni Kwame Nkrumah.
 
Son...

Hapana.
Tupo jirani sana na mazungumzo.

Nadhani unasikia hizo kamati za masheikh na maaskofu kujadili amani.

Ikifika wakati kuwa masheikh wanasema hawana cha kuzungumza na
maaskofu bali serikali...

Hapo tutakuwa tumevuka kizingiti kikubwa sana.

Mimi sina uwezo wa kuipa ''ultimatum'' serikali.

Lakini nina uwezo wa kufanya ''prediction'' na hiki ni kitu ambacho mtu
yeyote anaweza kukifanya kwa kuangalia mambo yanavyokwenda.

Baada ya Sheikh Hassan bin Amir kufukuzwa palipita kipindi kirefu mambo
yakifanywa chinichini hadi leo mkutano wa mfumokristo umefanywa Diamond
Jubilee Hall na ukarushwa mubashara (live) na Radio Imaan na Waislam nchi
nzima wakajua kuwa mambo yamewiva.

kwenye red mambo gani???
 
Nadhani Kambona na Kamaliza walikuwa WaKristo (kwa jinsi tunavyochukuliana siku hizi kupitia majina ya kizungu kuwakilisha Wakristo na ya Kiarabu kuwakilisha Waislamu) walitofautiana sana tu na Nyerere.

Huyo 'mwanahistoria' mwenye mawazo ya chini sana ambaye unataka aje kuandika kuhusu udini na kabila la Nyerere ili kumtweza atabaki Mohammed Said tu. Kama wataibuka wengine labda itakuwa kujaribu kuupinga upotoshaji wa Sheikh Said kama alivyofanya Yeriko Nyerere.

Winama,

Kwa hakika kitabu changu si cha kubezwa kwa walokisoma kila
mmoja kimemuathir sana.

The East African walifanya ''serialisation'' mara tatu kuanzia wiki
ya pili ya December 1998.

John Iliffe na James Brenan wanahistoria na waandishi maarufu
wamekifanyia ''reviews'' katika Cambridge Journal of African History.

Baada ya kitabu hiki nimezungumza Vyuo Vikuu vya Johannesburg,
Ibadan, Kenyatta, Zanzibar University, Ohio, Northwestern nimealikwa
Islamic Propagation Centre International Durban, Zentrum Moderner
Orient (ZMO), Berlin, Ujerumani na kwingi tu humu nchini.

Kitabu hiki hivi sasa kinasomeshwa vyuo vingi vinavyofunza history ya
Africa Ulaya na Marekani.

Kitabu hiki kinakwenda sasa toleo la tatu.

Hiki kitabu kingelikuwa cha kipuuzi kisingepata haya yote na kingelikufa
zamani.

Winama,

Nakuhahakikishia ndugu yangu mimi sina sababu ya kusema uongo haya
yote niliyoandika ni kweli tupu.

Lakini uamuzi ni wako bora umenisoma na ukajua kuwa walikuwapo mashujaa
na wazalendo ambao wewe kabla ya kunisoma hukubahatika kuwasoma popote.

Hili kwangu linatosha sana.
 
Zanzibar nako kuna mfumo gani vile?
Usiwaguse wazanzibari watakutoa macho!

Kabla Nyerere hajaingia Zanzibar wazanzibari walikua wamepiga hatua kimaendeleo kushinda nchi zote za Afrika mashariki.
Ndio wa kwanza kuwa na Train.
Ndio wa kwanza kuwa na umeme.
Ndio wa kwanza kuwa na State TV
Ndio wa kwanza kupata rubani wa Boeing na mara ya kwanza kutua gulf Air Zanzibar abiria walipatwa na mshangao kusikia rubani alipokaribia kutua akiongea kiswahili fasaha.
Kuna mengi tu ambayo wazanzibari walitupita watanganyika lakini wivu wa Nyerere na mfumo wake akaihujumu Zanzibar.
 
Hawa ni mashujaa waliotanguliza utanganyika wakafanya kazi na watanganyika wenzao bila kujali tofauti ya dini wakafanikiwa kuuleta uhuru. Akaja Mohamed Said na uovu wake akawavisha joho la uislam kwa masilahi yake binafsi akawapamba na kuwapandikiza maneno na chuki dhidi ya shujaa mwenzao Nyerere, ati kwa kuwa maiti/marehemu hana kauri. Mohamed akatumia majina ya wazee hawa kuwachochea watu wasiofikiri kama Ritz ili wawachukie watanzania wenzao kwa misingi ya dini.

Gwalihenzi,

Unanionea bure.
nilichofanya ni kuandika yale yalotokea.

Sina uwezo wa kumchochea yeyote.
 
Mzee ms,
Umekuwa kila ukiulizwa ukiilejea mifano hiyo hiyo na kusema ni mifano michache kama ya oic na ujenzi wa chuo.
Tupe na madhila mengine c kuludia mifano hiyo hiyo kila siku.

Mgashi,
Narudia majibu kwa kuwa maswali nayo ni hayo hayo.
 
JUST before independence,huyo mzungu naona baadaye alifundishwa kuvaa suruwali na wazee wa dar es salaam

5404720835_a8ea27eff7_b.jpg

Son...
Kebehi zinavuruga majadiliano.
 
Back
Top Bottom