Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nguruvi3,

Nimependa uchambuzi wako muruwa.

Naomba utupe "Ratio" ya Waislam na Wakirsto tukianza na Wizara ya Mambo ya Ndani, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Fedha, Wizara ya Afya, na Wizara zingine.

Halafu tupe "Ratio" ya Waislam na Wakisto Mawaziri na Manaibu wake.

Halafu tupe "Ratio" ya Waislam na Wakirsto Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya.

Halafu tupe "Ratio" ya Waislam na Wakirsto Makatibu Wakuu wa Wizara.
Ritz, nipo tayari kukupa ratio unayoihitaji. Ili tuwe na kitu kizuri naomba kwanza unisaidie hivi utambuaje huyu ni mwislam na Yule ni Mkristo.

Ninayo orodha sasa nifahamishe ili niweke katika makundi stahiki bila kuchanganya, ni kigezo gani kinatumika kumtambua mtu kwa dini yake.
 
Na mimi ningependa nipate maoni ya mtoa darsa Mohamed Said kuhusu haya;

  • Ikiwa pamoja na kuwa na Raisi, Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa chama tawala na Mkuu wa Serikali Muislaam, mfumo Kristo bado unashamiri,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na viongozi wakuu (Maraisi wawili na makamo watatu) wa taifa watano Waislaam, bado Wakristo wanapendelewa kwanye nyanja mbalimbali,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Mkuu wa Polisi Muislaam, bado Waislam wanaonewa na kunyanyaswa na vyombo vya dola,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Mkuu wa Mahakama Muislaam, bado Waislaam hawawezi kupata haki mbele ya sheria,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislaam, bado Waislaam hawajisikii salama ndani ya nchi yao,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Waziri wa Elimu Muislaam, bado wanafunzi wa Kiislaam wanafelishwa kwenye mitihani,
Je,

  1. Kumteua Muislaam kwenye nafasi yoyote nyingine ile kama NECTA, itasaidia nini kama hawa wote hapo juu wameshindwa kurekebisha mambo?
  2. Mbinu gani unayo Mohamed Said ya kurekebisha hali hiyo unayoidai zaidi ya kuhakikisha kuwa nafasi zote zinashikwa na Waislaam?
  3. Una uhakika gani kwamba kwa kuhakikisha nafasi zote za juu serikalini na kwenye sekta zingine zimeshikwa na Waislaam, mfumo Kristo utatokomezwa?
  4. Ni mbinu gani tofauti na hizi utakayoitumia na ikaleta mafanikio ambayo hao wakuu wameshindwa kuzitumia?

Mohamed Said, naomba angalau majibu kwa hayo machache halafu tuendelee!
 
Mag3,

Jibu langu lipo katika historia yetu kuanzia tunapigania uhuru hadi ulipopatikana.

Baada ya uhuru ndipo matatizo yakaanza kwa kubwa kuvunja EAMWS wakati ilipokuwa
inatayarisha mipango ya kujivua na dhulma zilizosababishwa na ukoloni.

Kuanzia hapa Waislam hawakuruhusiwa kujioganaizi nje ya BAKWATA na serikali ikahakikisha
maisha BAKWATA itaendeshwa na vibaraka na watu wajinga.

Wakati haya yakiendelea taasisi za Kikristo TEC na CCT ziko huru zikitekeleza mipango ya
maendeleo kama kujenga shule na hospitali.

Kwa upande wa Waislam kila aina ya msaada ulotoka nje kujaribu kuwasaidia Waislam
ulihujumiwa.

Mfano Chuo Cha Kikuu Cha Kiislam kilichotaka kujengwa Tanzania na OIC serikali ilikataa
kutoa kibali chuo kikajengwa Mbale Uganda, Darul Iman ilitaka kujenga chuo cha ufundi
Kibaha wakapigwa vita wakaondoka na kuacha ardhi ambayo tayari walishanunua.

Hii ni mifano michache.

Wakati haya yakiendelea Wakristo wanaendeleza yale yale walokuwa wakifaidi wakati wa
ukoloni.

Hili si swali la kuwa na Waislam 10 katika nafasi ndiyo ikawa wakunyooshewa kidole kuwa
Waislam wana nafasi.

Angalia watendaji katika nafasi zote katika mashirika ya umma na serikali yenyewe na vyuo
vikuu na kwengineko nani wamehodhi fursa zote.

Lakini kubwa la kusikitisha hii leo badala ya serikali juu ya kupelekewa taarifa za dhulma na
Waislam serikali iko kimya na wanaotoa maswali na kutaka maelezo kutoka kwa Waislam ni
Mag3 na mfano kama wake.
 
Mohamed nichangie katika kundi la ''mfano kama wa Mag3'' ha ha ha.
Kwanza kabisa hujajibu maswali muhimu sana yaliyoulizwa.

Katika maswali hayo umeulizwa, kwa vile wakuu wa taasisi na vitengo muhimu kama usalama wa taifa, Polisi, Mahakama na taasisi ya Urais ni waislam, ni vipi basi mfumokristo unaweza kuwa bado unafanya kazi?

Pili, unaposema watendaji ni wakristo na hapa nisema umeshafuta dai la uongozi, je ni kwanini basi viongozi wakuu na wenye uwezo wa kuvunja mfumo huo wameshindwa? Kama Inspekta wa Polisi ni sehemu ya mfumo kristo kwanini IGP ashindwe kumwadabisha katika njia ya haki.

Tatu, Umesema nafasi katika vyuo vikuu zimehodhiwa na mfumokristo, swali ni kuwa ili mtu awe profesa au mhadhiri, je anateuliwa au inatokana na academic qualification zake.

Na vipi basi katika mfumo huo kandamizi tumeweza kupata watu kama Shivji, Haroub(mwenyezi amrehem), Bushir Ally, Profesa Safari, profesa Lipumba n.k. ambao ung'aro wao umevuka mipaka na kuingia anga za kimataifa?

Nne, Umesema TEC CCT wamekuwa na mipango ya kujenga shule na Hospitali. Hebu tuanzie hapa katika Hospitali.
Ni taasisi gani ya kiislam ilitaka kujenga Hospitali na kukataliwa na sababu zilikuwa zipi za kukataliwa.

Tano, kwa vile Chuo kikuu cha kiislam kilikataliwa na badala yake kikahamishiwa mbale,hivi ujenzi wa Chuo kikuu ulikataliwa na serikali iliyoongozwa na nani na kwasababu zipi.

Sita, Darul Islam walitaka kujenga chuo cha ufundi Kibaha, ni vita gani walipigwa ili nasi tuyaone maonevu hayo?
Na je wale waliojenga shule ''WHIPAS'' ya watoto wa kike wa kiislam pale kibaha iliponaje na choko choko na dhulma hiyo iliyofanyiwa Darul Islam.

Saba, Je, ni wanafunzi wangapi wa kiislam wanaodhamiwa na taasisi za kiislam kwenda kusoma Mbale?

Nane,ili kutoa fursa sawa kwa wote ungeshauri mfumo gani utumike katika ajira.

Tisa, na kuzingatia 8 hapo juu na ujio wa soko huria hilo litawezekanaje na kwa utaratibu gani.

Kumi, nafasi za masomo kwa waislam katika nchi za kiislam kama Turkey na kwingineko zinatolewa kwa utaratibu gani?
Je utaratibu huo unakubaliwa na waislam na kwamba ni wa haki zaidi ya huu wa mfumokristo?
Ni vijana wangapi waliopewa scholarship ambao wamerejea na kuendeleza jamii yao.
 
Mag3,

Jibu langu lipo katika historia yetu kuanzia tunapigania uhuru hadi ulipopatikana.

Baada ya uhuru ndipo matatizo yakaanza kwa kubwa kuvunja EAMWS wakati ilipokuwa
inatayarisha mipango ya kujivua na dhulma zilizosababishwa na ukoloni.

Kuanzia hapa Waislam hawakuruhusiwa kujioganaizi nje ya BAKWATA na serikali ikahakikisha
maisha BAKWATA itaendeshwa na vibaraka na watu wajinga.

Wakati haya yakiendelea taasisi za Kikristo TEC na CCT ziko huru zikitekeleza mipango ya
maendeleo kama kujenga shule na hospitali.

Kwa upande wa Waislam kila aina ya msaada ulotoka nje kujaribu kuwasaidia Waislam
ulihujumiwa.

Mfano Chuo Cha Kikuu Cha Kiislam kilichotaka kujengwa Tanzania na OIC serikali ilikataa
kutoa kibali chuo kikajengwa Mbale Uganda, Darul Iman ilitaka kujenga chuo cha ufundi
Kibaha wakapigwa vita wakaondoka na kuacha ardhi ambayo tayari walishanunua.

Hii ni mifano michache.

Wakati haya yakiendelea Wakristo wanaendeleza yale yale walokuwa wakifaidi wakati wa
ukoloni.

Hili si swali la kuwa na Waislam 10 katika nafasi ndiyo ikawa wakunyooshewa kidole kuwa
Waislam wana nafasi.

Angalia watendaji katika nafasi zote katika mashirika ya umma na serikali yenyewe na vyuo
vikuu na kwengineko nani wamehodhi fursa zote.

Lakini kubwa la kusikitisha hii leo badala ya serikali juu ya kupelekewa taarifa za dhulma na
Waislam serikali iko kimya na wanaotoa maswali na kutaka maelezo kutoka kwa Waislam ni
Mag3 na mfano kama wake.

Hivi Mzee Saidi unapoongopa unajisikiaje?????????????? Hao Darul Iman wakakatazwa kujenga chuo cha ufundi ila wakaruhusiwa kujenga misikiti njia nzima almost at an interval of 80km ktk Tanzam highway ( Dar - Tunduma) na kile kipande cha Mbeya Malawi?????????? Na raisi wa nchi wakati huo wanakataliwa kujenga chuo alikuwa nani?

Turudi kwenye hilo la chuo, hivi ni nani vile alifisadi miradi ya Darul Iman mpaka wakaamua kusitisha funding????, hii si kwa ajili ya jamvi wape darsa vijana wako wanomeza bila hata kufikiri. Ila ukiongopa hadharani lazima tujitokeze kuweka records straight.

Kuna muda sijisikii kabisa kuchangia lakini uongo unapowekwa mchana kweupe na mtu anayedai kuwa ni nguli wa historia haitakiwi kupuuza. Maana kuna vijana wengi leo wanaziamini hizi hadithi za MS.
 
Sheikh MS,
Wallahi we ni Mwanahistoria! hakuna shaka hii ni Taaluma yako na unaonekana unaipenda sana Taaluma yako hongera kwa hilo!
Umemtaja Kamuzu Banda, jee, kwanini alikuja kuwa adui mkubwa wa Nyerere? naomba kujua kama Almarhum Sheikh Hassan Bin Amir alikuwa na Watoto na kama wako hai! na baada ya Sheikh kuhamishwa nchini ni nani aliyekuwa Mufti baada yake?

TK,

Sheikh Hassan bin Amir ana watoto na wajukuu.

Mjukuu wake mmoja yuko Zanzibar huyu nilikutananae Zanzibar University Tunguu
alikuja kunisikiliza nikiwasilisha mada hapo chuoni kuhusu babu yake.

Baada ya kufukuzwa nchini Sheikh Hassan bin Amir jina la Mufti liliogopewa kutumiwa
na BAKWATA.

BAKWATA wakaja na Mwenyekiti wa Taifa.
Sababu ya hii Mwenyekiti wa Taifa unaijua?

Katiba ya BAKWATA ilinakiliwa kutoka katiba ya TANU neno kwa neno.
Sasa mwenyekiti akachaguliwa Salehe Masasi.

Ingekuwa kichekesho cha dunia Salehe Masasi aitwe Mufti wakati Sheikh Hassan bin
Amir yuko hai.

Na hata kama BAKWATA wangependa kumuita hivyo Salehe Masasi asingependa angeogopa
hicho cheo.

Lakini hii uinyekiti lilikuwa kwake limemkalia vyema.

Baada ya hii uenyekiti BAKWATA wakaibuka na ''Sheikh Mkuu.''
BAKWATA waliona hii mwenyekiti imekaa kisiasa kisiasa na ki-TANU TANU.

Hata hivyo Waislam kwa kutambua kuwa BAKWATA ni vibaraka wakawa wanamwita
''Sheikh Mkuu wa BAKWATA'' yaani si sheikh wa umma.

Hivi karibuni BAKWATA kinyemela wamelirudisha jina la ''mufti'' badala ya Sheikh Mkuu
na Waislam hawakuchelewa wanamwita ''Mufti wa BAKWATA.''
 
Hivi Mzee Saidi unapoongopa unajisikiaje?????????????? Hao Darul Iman wakakatazwa kujenga chuo cha ufundi ila wakaruhusiwa kujenga misikiti njia nzima almost at an interval of 80km ktk Tanzam highway ( Dar - Tunduma) na kile kipande cha Mbeya Malawi?????????? Na raisi wa nchi wakati huo wanakataliwa kujenga chuo alikuwa nani?

Turudi kwenye hilo la chuo, hivi ni nani vile alifisadi miradi ya Darul Iman mpaka wakaamua kusitisha funding????, hii si kwa ajili ya jamvi wape darsa vijana wako wanomeza bila hata kufikiri. Ila ukiongopa hadharani lazima tujitokeze kuweka records straight.

Kuna muda sijisikii kabisa kuchangia lakini uongo unapowekwa mchana kweupe na mtu anayedai kuwa ni nguli wa historia haitakiwi kupuuza. Maana kuna vijana wengi leo wanaziamini hizi hadithi za MS.

Nyambala,

Unaweza kuniita muongo hilo sitoweza kulizuia.
Kama usemavyo unaweka ''records straight.''

Hili pia siwezi kukuzuia.

Haja yangu mimi ni na sisi tueleze upande wetu
wa matatizo ili Waislam wajue kinachowatafuna.
 
Mzee Saidi na mimi si nia yangu kuzuia upande wako usitoe maelezo yake, shida yangu ni pale tu "unapoongopa" mchana kweupe kuhusu mambo yanayofahamika. Sasa utaaminikaje na hadithi za mwaka 1960 kama haya tu ya juzi unayapindisha???????

Swali langu hajajibu lakini:

I mean umewaeleza vijana wako?

"Nani alifisadi hela za Darul Iman mpaka wakaamua kusitisha funding" na kuondoka, maana hawakuondoka kwa sababu unayoitunga hapa, waliondoka kwa sababu ya ufisadi na kukoncludi kuwa watanzania hawasaidiki. Kaangalie ile misikiti iliyojengwa halafu fanya tafiti invoice ilikuwa inasemaje.
 
TK,

Sheikh Hassan bin Amir ana watoto na wajukuu.

Mjukuu wake mmoja yuko Zanzibar huyu nilikutananae Zanzibar University Tunguu
alikuja kunisikiliza nikiwasilisha mada hapo chuoni kuhusu babu yake.

Baada ya kufukuzwa nchini Sheikh Hassan bin Amir jina la Mufti liliogopewa kutumiwa
na BAKWATA.

BAKWATA wakaja na Mwenyekiti wa Taifa.
Sababu ya hii Mwenyekiti wa Taifa unaijua?

Katiba ya BAKWATA ilinakiliwa kutoka katiba ya TANU neno kwa neno.
Sasa mwenyekiti akachaguliwa Salehe Masasi.

Ingekuwa kichekesho cha dunia Salehe Masasi aitwe Mufti wakati Sheikh Hassan bin
Amir yuko hai.

Na hata kama BAKWATA wangependa kumuita hivyo Salehe Masasi asingependa angeogopa
hicho cheo.

Lakini hii uinyekiti lilikuwa kwake limemkalia vyema.

Baada ya hii uenyekiti BAKWATA wakaibuka na ''Sheikh Mkuu.''
BAKWATA waliona hii mwenyekiti imekaa kisiasa kisiasa na ki-TANU TANU.

Hata hivyo Waislam kwa kutambua kuwa BAKWATA ni vibaraka wakawa wanamwita
''Sheikh Mkuu wa BAKWATA'' yaani si sheikh wa umma.

Hivi karibuni BAKWATA kinyemela wamelirudisha jina la ''mufti'' badala ya Sheikh Mkuu
na Waislam hawakuchelewa wanamwita ''Mufti wa BAKWATA.''

Nyongeza kuhusu BAKWATA:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] But the most significant thing about the conference was that it was dominated by very controversial Muslim personalities.

Under normal circumstances, such an important congregation of Muslims from Zanzibar and Mainland would have seen in its midst renowned Muslims scholars who had a history of commitment, sincerity and devotion to Islam.

None of those were there, with the exception of Sheikh Mohamed Ramiya of Bagamoyo.

The conference was opened and closed by the First Vice-President Karume and Second Vice-President Kawawa respectively.

The conference passed a new constitution of the new Muslim organisation which was a replica of the constitution of the ruling party, TANU.

This way the National Muslim Council of Tanzania (BAKWATA) was formed.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]
The new Muslim organisation elected Salehe Masasi, a rich Muslim in Iringa who was the host of the conference, as the National Chairman; Sheikh Abdallah Chaurembo as Deputy National Chairman, and Adam Nasibu as Deputy Secretary-General.

All the top executive of the National Muslim Council, as expected, came from the dissident group. This leadership asked the government, TANU and Afro-Shirazi Party ‘to keep an eye and make serious investigation on all territorial leaders of EAMWS, especially the President, his Vice-President, their Secretary and some Regional and District leaders who bore ill will to the new body'.[1]

The leadership of the new Muslim organisation at their hour of triumph did not extend a hand of reconciliation to fellow Muslims in the EAMWS according to Islamic spirit; instead it asked the Party and the government to persecute them, particularly the top leadership.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1]See Kiwanuka, p. 85. Also Proceedings of the Iringa Conference 12 th-15 th December, 1968
in Bakwata File, Maktaba ya Chama cha Mapinduzi in Dodoma.
Also The Standard, 17th December,
1968.
 
Mzee Saidi na mimi si nia yangu kuzuia upande wako usitoe maelezo yake, shida yangu ni pale tu "unapoongopa" mchana kweupe kuhusu mambo yanayofahamika. Sasa utaaminikaje na hadithi za mwaka 1960 kama haya tu ya juzi unayapindisha???????

Swali langu hajajibu lakini:

I mean umewaeleza vijana wako?

"Nani alifisadi hela za Darul Iman mpaka wakaamua kusitisha funding" na kuondoka, maana hawakuondoka kwa sababu unayoitunga hapa, waliondoka kwa sababu ya ufisadi na kukoncludi kuwa watanzania hawasaidiki. Kaangalie ile misikiti iliyojengwa halafu fanya tafiti invoice ilikuwa inasemaje.

Nyambala,

Ukishajua mtu ni muongo hiyo ni sababu tosha ya kumpuuza.
Huwezi kupata chochote kutoka kwa muongo ila uongo zaidi.
 
Ritz, nipo tayari kukupa ratio unayoihitaji. Ili tuwe na kitu kizuri naomba kwanza unisaidie hivi utambuaje huyu ni mwislam na Yule ni Mkristo.

Ninayo orodha sasa nifahamishe ili niweke katika makundi stahiki bila kuchanganya, ni kigezo gani kinatumika kumtambua mtu kwa dini yake.

Nguruvi3,

Mie tena ndiyo nikufahamishe jinsi ya kumtambua Muislam na Mkirsto.

Tumia njia uliyowatambua Ramadhan Dau, Said Mwema, Lipumba, Bashiri kuwa ni Waislam.

Kama itashindikana kabisa basi tumia njia aliyotumia Mzee Mtei kuwatambua Wakirsto kwenye wajumbe wa katiba.
 
Mohamed Said, hujajibu maswali yangu...naomba usome tena post yangu na ikiwezekana ujibu maswali niliyokuuliza kama mtu aliyeona milango ya shule, nakukumbusha;

  • Ikiwa pamoja na kuwa na Raisi, Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa chama tawala na Mkuu wa Serikali Muislaam, mfumo Kristo bado unashamiri,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na viongozi wakuu (Maraisi wawili na makamo watatu) wa taifa watano Waislaam, bado Wakristo wanapendelewa kwanye nyanja mbalimbali,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Mkuu wa Polisi Muislaam, bado Waislam wanaonewa na kunyanyaswa na vyombo vya dola,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Mkuu wa Mahakama Muislaam, bado Waislaam hawawezi kupata haki mbele ya sheria,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislaam, bado Waislaam hawajisikii salama ndani ya nchi yao,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Waziri wa Elimu Muislaam, bado wanafunzi wa Kiislaam wanafelishwa kwenye mitihani,
Je,

  1. Kumteua Muislaam kwenye nafasi yoyote nyingine ile kama NECTA, itasaidia nini kama hawa wote hapo juu wameshindwa kurekebisha mambo?
  2. Mbinu gani unayo Mohamed Said ya kurekebisha hali hiyo unayoidai zaidi ya kuhakikisha kuwa nafasi zote zinashikwa na Waislaam?
  3. Una uhakika gani kwamba kwa kuhakikisha nafasi zote za juu serikalini na kwenye sekta zingine zimeshikwa na Waislaam, mfumo Kristo utatokomezwa?
  4. Ni mbinu gani tofauti na hizi utakayoitumia na ikaleta mafanikio ambayo hao wakuu wameshindwa kuzitumia?

Mohamed Said, mpaka hapa tulipofikia ni heri tuanze kuangalia the "way forward", simulizi zimetosha na sasa ulete mapendekezo yako katika kutafuta suluhu...naomba angalau majibu kwa hayo machache halafu tuendelee!
 
Last edited by a moderator:
Yaani, jinsi mzee Said alivyo mwepesi kugeneralize inashangaza; Sijui ni watu gani wanaomuamini...

Hizo ni fikra zako umeamua kujifariji.

Watu wote hawezi kuwa na nafsi kama Mwanakijiji.

Huo ndiyo ubinadamu.

Hata wewe kuna watu wanakuona mwepesi sana wakiona makala zako wanazipita bila hata kuzisoma.
 
Na mimi ningependa nipate maoni ya mtoa darsa Mohamed Said kuhusu haya;

  • Ikiwa pamoja na kuwa na Raisi, Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa chama tawala na Mkuu wa Serikali Muislaam, mfumo Kristo bado unashamiri,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na viongozi wakuu (Maraisi wawili na makamo watatu) wa taifa watano Waislaam, bado Wakristo wanapendelewa kwanye nyanja mbalimbali,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Mkuu wa Polisi Muislaam, bado Waislam wanaonewa na kunyanyaswa na vyombo vya dola,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Mkuu wa Mahakama Muislaam, bado Waislaam hawawezi kupata haki mbele ya sheria,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislaam, bado Waislaam hawajisikii salama ndani ya nchi yao,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Waziri wa Elimu Muislaam, bado wanafunzi wa Kiislaam wanafelishwa kwenye mitihani,
Je,

  1. Kumteua Muislaam kwenye nafasi yoyote nyingine ile kama NECTA, itasaidia nini kama hawa wote hapo juu wameshindwa kurekebisha mambo?
  2. Mbinu gani unayo Mohamed Said ya kurekebisha hali hiyo unayoidai zaidi ya kuhakikisha kuwa nafasi zote zinashikwa na Waislaam?
  3. Una uhakika gani kwamba kwa kuhakikisha nafasi zote za juu serikalini na kwenye sekta zingine zimeshikwa na Waislaam, mfumo Kristo utatokomezwa?
  4. Ni mbinu gani tofauti na hizi utakayoitumia na ikaleta mafanikio ambayo hao wakuu wameshindwa kuzitumia?

Mohamed Said, naomba angalau majibu kwa hayo machache halafu tuendelee!

Hivi unafikiri hawo viongozi uliowataja walichaguliwa ili kulinda haki za Waislamu wanaodhulumika kama vile kukamata Viongozi wa Waislamu na kuwanyima dhamana? hapana hawa wanaongoza kwa mujibu wa mfumo kristo na sio Katiba! kama wanafuata katiba kwanini wanaokamatwa ni Waislamu tu huku Viongozi wa Wakristo wanaachwa hata kama wameshiriki kuchochea fujo kama yaliyotokea Geita! Waislamu na Wakristo walikamatwa ktk sakata la kuchinja lakini Pinda alipoenda kusuluhisha alikubali sharti la Maaskofu kuachiliwa toka jela wenzao lakini alikataa sharti la Mashehe la kuachiliwa wenzao!
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Mohamed Said, hujajibu maswali yangu...naomba usome tena post yangu na ikiwezekana ujibu maswali niliyokuuliza kama mtu aliyeona milango ya shule, nakukumbusha;

  • Ikiwa pamoja na kuwa na Raisi, Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa chama tawala na Mkuu wa Serikali Muislaam, mfumo Kristo bado unashamiri,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na viongozi wakuu (Maraisi wawili na makamo watatu) wa taifa watano Waislaam, bado Wakristo wanapendelewa kwanye nyanja mbalimbali,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Mkuu wa Polisi Muislaam, bado Waislam wanaonewa na kunyanyaswa na vyombo vya dola,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Mkuu wa Mahakama Muislaam, bado Waislaam hawawezi kupata haki mbele ya sheria,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislaam, bado Waislaam hawajisikii salama ndani ya nchi yao,
  • Ikiwa pamoja na kuwa na Waziri wa Elimu Muislaam, bado wanafunzi wa Kiislaam wanafelishwa kwenye mitihani,
Je,

  1. Kumteua Muislaam kwenye nafasi yoyote nyingine ile kama NECTA, itasaidia nini kama hawa wote hapo juu wameshindwa kurekebisha mambo?
  2. Mbinu gani unayo Mohamed Said ya kurekebisha hali hiyo unayoidai zaidi ya kuhakikisha kuwa nafasi zote zinashikwa na Waislaam?
  3. Una uhakika gani kwamba kwa kuhakikisha nafasi zote za juu serikalini na kwenye sekta zingine zimeshikwa na Waislaam, mfumo Kristo utatokomezwa?
  4. Ni mbinu gani tofauti na hizi utakayoitumia na ikaleta mafanikio ambayo hao wakuu wameshindwa kuzitumia?

Mohamed Said, mpaka hapa tulipofikia ni heri tuanze kuangalia the "way forward", simulizi zimetosha na sasa ulete mapendekezo yako katika kutafuta suluhu...naomba angalau majibu kwa hayo machache halafu tuendelee!

Haya maswali yako yote yanajibiwa na jibu moja tu.

Wanaopitisha waajiri serikalini ni Wakirsto wametokana na mfumo kirsto unategemea nini ukitaka uthibitisho angalia "Ratio" kati ya Waislam na Wakirsto katika wizara zote serikali pamoja na taasisi za umma.
 
Last edited by a moderator:
TK,

Sheikh Hassan bin Amir ana watoto na wajukuu.

Mjukuu wake mmoja yuko Zanzibar huyu nilikutananae Zanzibar University Tunguu
alikuja kunisikiliza nikiwasilisha mada hapo chuoni kuhusu babu yake.

Baada ya kufukuzwa nchini Sheikh Hassan bin Amir jina la Mufti liliogopewa kutumiwa
na BAKWATA.

BAKWATA wakaja na Mwenyekiti wa Taifa.
Sababu ya hii Mwenyekiti wa Taifa unaijua?

Katiba ya BAKWATA ilinakiliwa kutoka katiba ya TANU neno kwa neno.
Sasa mwenyekiti akachaguliwa Salehe Masasi.

Ingekuwa kichekesho cha dunia Salehe Masasi aitwe Mufti wakati Sheikh Hassan bin
Amir yuko hai.

Na hata kama BAKWATA wangependa kumuita hivyo Salehe Masasi asingependa angeogopa
hicho cheo.

Lakini hii uinyekiti lilikuwa kwake limemkalia vyema.

Baada ya hii uenyekiti BAKWATA wakaibuka na ''Sheikh Mkuu.''
BAKWATA waliona hii mwenyekiti imekaa kisiasa kisiasa na ki-TANU TANU.

Hata hivyo Waislam kwa kutambua kuwa BAKWATA ni vibaraka wakawa wanamwita
''Sheikh Mkuu wa BAKWATA'' yaani si sheikh wa umma.

Hivi karibuni BAKWATA kinyemela wamelirudisha jina la ''mufti'' badala ya Sheikh Mkuu
na Waislam hawakuchelewa wanamwita ''Mufti wa BAKWATA.''

Shekh MS,

Nashukuru kwa taarifa hiyo! lakini nasikitika kusikia jina la BAKWATA! hapa Moshi kuna Katibu wa hilo Bakwata anaitwa Mallya! huyu bwana anatia kichefuchefu! kauza nyumba zote za wakfu! shule ya msingi na kati ya Muslim iliyotaifishwa na Nyerere mwaka 1967 ilikuwa na ukumbi mkubwa ambayo Nyerere aliwaachia Waislamu waendelee kumiliki nalo Malya kauza! Shule ya Secondari aliyoacha Aga Khan na kuwapa Waislamu nalo kauza kwa Mchaga mmoja anaitwa Mareale! Shule ya secondari Kibohehe hata sijui kama iko hai!

Tangu wakati wa Katibu wa zamani aliyeitwa Sinare, Waislamu wa Kilimanjaro wamejaribu kuzuia hujuma hizi bila mafanikio sababu hawa makatibu wanaheshimiwa sana na Serikali na kwa kweli anaejaribu kuhoji ufisadi huo hukamatwa na Polisi na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi!

Ndio maana Shekh MS, nakuambia nikisikia jina la Bakwata huwa naona uchungu sana na zaidi watu kama Mwanakijiji wanapoitetea Bakwata nabaki namshangao sana nakujiuliza kwanini Wakristo wanaipenda Bakwata kihivyo!
 
Asante Mohamed Said, sijashangazwa na majibu ya wanafunzi wako Ritz na Tanzania Kwanza...bila shaka na wewe ungetoa majibu kama hayo hayo. Naambiwa, kwenye mitihani, wako wanafunzi wanajibu maswali kwa staili hiyo hiyo na kuishia kupata Division Zero halafu lawama zinaelekezwa kwa watu wengine! Hata hivyo swali langu liko pale pale...unayo mbinu gani ya kuondokana na mfumo Kristo? Kama serikali na vyombo vyake vyote pamoja na viongozi wake wote walio Waislaam hawana ubavu, wewe utatumia mbinu gani? Au katika Uislaam kuna kutofautiana kiimani?
 
Wewe bingwa wa kutetea mfumo kirsto una tofauti gani na NECTA ukitupa division zero.

Nyie wafuasi wa Chadema wewe Mwanakijiji, Nguruvi3 na wenzako linapokuja suala la NECTA wote mnarudi CCM tena mnakuwa wakali kuzidi viongozi wa CCM...ha haa haaa!!
 
unayo mbinu gani ya kuondokana na mfumo Kristo? wewe utatumia mbinu gani?

Hii sasa ingekuwa SEASON FINALE ingwkuwa tamu.

Jibu la hapa litatupatia season 2.

Popcorns zinaleta njaa, kitu cha chatni, rojo, mazagaza.. Utamu tu.
 
Back
Top Bottom