Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Son...

Ahsante sana kwa picha hizi.

Nimeweza kuwatambua baadhi ya watu ambao si mashuhuri kwa wengi
ukimtoa Nyerere na Kambona.

Huyo kushoto mrefu kupita wote ni Said Ali Maswanya.

Nyuma yake mkono wake Maswanya wa kushoto ni Masha Bilali.

Masha Bilali alihudhuria mkutano wa kwanza wa TANU baada ya kuaisisiwa
mkutano ambao waliohdhuria walikuwa takriban watu 20 au zaidi kidogo.

Pembeni mwa Maswanya ni Chinyama Kaume na kushotoni kwake ni Kamuzu
Banda ndani ya suti vipande vitatu na kofia.

Pembeni ni Nyerere na Kambona.
Hapo ni New Street ofisi ya TANU ile iliyojengwa na African Association.

Sheikh MS,
Wallahi we ni Mwanahistoria! hakuna shaka hii ni Taaluma yako na unaonekana unaipenda sana Taaluma yako hongera kwa hilo!
Umemtaja Kamuzu Banda, jee, kwanini alikuja kuwa adui mkubwa wa Nyerere? naomba kujua kama Almarhum Sheikh Hassan Bin Amir alikuwa na Watoto na kama wako hai! na baada ya Sheikh kuhamishwa nchini ni nani aliyekuwa Mufti baada yake?
 
ukiambiwa thibitisha haya; utasema nimeambiwa kwenye muhadhara na shehe po.nda mcheza karate ambae hata ilmu hakuna kichwani

Kukujibu wewe ni kujidhalilisha tu hauoni hata hao unaowaletea upambe wanakupuuza hawana hata muda wa kukujibu, na mie taendelea kukupuuza tu.
 
Nguruvi3,

Nimependa uchambuzi wako muruwa.

Naomba utupe "Ratio" ya Waislam na Wakirsto tukianza na Wizara ya Mambo ya Ndani, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Fedha, Wizara ya Afya, na Wizara zingine.

Halafu tupe "Ratio" ya Waislam na Wakisto Mawaziri na Manaibu wake.

Halafu tupe "Ratio" ya Waislam na Wakirsto Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya.

Halafu tupe "Ratio" ya Waislam na Wakirsto Makatibu Wakuu wa Wizara.
Na sisi wengine tusio kwenye haya makundi mawili utatuweka wapi? Hivi huu wimbo wenu usio na uhalisia mtauacha lini?
 
Huo Mfumo Kristo ndani ya NECTA ni kinyago mmekitengeneza wenyewe halafu kinawatisha.
Wewe ulipenya vipi kwenye huo mfumo. Ndugu zako walipenya vipi kwenye huo mfumo.
Mwema, Othman, Asharose n.k n.k walipenya vipi kwenye huo mfumo.......kwa sababu hawakuwa
kwenye nafasi walizonazo leo kabla ya kupitia NECTA.

Na ukisema walibahatika utakuwa umewafedhehesha sana. Na Mtu akitia juhudi kwenye Elimu unampongeza.
Wewe wape support hao wanaotangaza kuna Mfumo Kristo. Laiti ungejua itakuja kuwa kitanzi baadaye (kama
bado hakijawa) kwa hawa watoto wenu kwa kujihisi dhalili na kukata tamaa usingeunga mkono hizo ngano.

Tena kwa mwanafunzi mwenye bidii ndogo darasani ukimwambia kuna dude Necta linawapunja, ndio umempa
sababu za kuacha shule kabisa. Kama wa kike anaolewa kabisa, ataendeleaje na shule wakati hajui majaaliwa
yake?

Kama NECTA wangekuwa hawachakachui tungekuwa na mamilioni ya akina Mwema, Othman, Asharose, Profesa Lipumba, Profesa Safari, Profesa Haroub, Profesa Njozi, Salim Ahmed Salim, Dr.Ghalib Bilali nk! hao wachache uliowataja ni sehemu ya waliofaulu lakini wengine walifeli darasa la 7 kwa sababu za kutochaguliwa kuendelea na masomo! ajabu hata matokeo ya mitihani hawakuonyeshwa!

Kwanini hatukuonyeswa matokeo? kulikuwa na siri gani ktk kusahihisha mitihani? ukitaka kujua siri hiyo muulize Shekh Mohamed Saidi akupashe habari za Mzee Lilla Bori!
 
Haya maandamano mbona yanafanana na ya CUF! maana naona vibarakashia na baibui(Hijab) kwa wingi! inamaana Dar waliishi Waswahili tu? jamaa wa upande wa pili wako wapi? huu ni udini!
Jamani, Mohamed Saidi ni mharibifu wa akili za watu, ona walamba mabuti wake wanavyoteseka!
 
Sasa umezidi! haya ni maandamano ya CUF huko Pemba! we wacha kudanganya watu hapa! huoni vibarakashehe na hijabu hapo? Uhuru uliletwa na dini zote! usitubandikie picha za Waislamu pekee! kama unasema kweli bandika picha za Wasio Waswahili!
Hivi kuvaa vibarakashehe na hijabu ni uislam?
 
Unasema sehemu zenye Waislam wengi hakuna muamko wa elimu hebu tusaidie.

Tanzania na hizi nchi ambazo zina Waislam wengi Dubai, Oman, Iran, Uturuki, Saudia Arabia, Indonesia, Qatar, Jordan, Kuwait, Singapore, wapi kuna elimu.

Ritz kumbe tunashindana hapa! Si lazima.

Back to the topic. Kwenye hii post uliyoi-quote tulikuwa tunakuja kwenye Necta. Lakini umerudi tena
kwenye mwamko lakini naona so far umeelewa.

Sasa kwa hili la mwamko wa Elimu mbona nimeeleza vizuri tu kama hivi:

Halafu unakuja huku uraiani kwenye maeneo yenye Waislam wengi (Pwani, Lindi, mtwara, Tanga, Kigoma)
mwamko ukoje kuhusu Elimu, vipi kuhusu shule za Seminari za Kiislam zipo kwenye hali gani.
Tena nenda hatua moja zaidi linganisha Maua Seminary, Marian girls, St Anthony nk nk ziko kwenye hali
gani na kina nani wana watoto huko.

Huko Dubai, Oman n.k sijagusia, na ndiyo maana specificaly nimeyataja maeneo hayo.
Na nafikiri utakubaliana na mimi kwamba huko wanakaa Waislam wengi sana na mwamko
kuhusu elimu ni mdogo na huwezi kutarajia muujiza.

Lakini pia kuna maeneo yenye Wakristo wengi sana kama Kilimanjaro, Kagera na Mbeya ambako kuna mwamko
mkubwa wa elimu na huko wanapatikana Wakristo wengi sana.

Sasa kwa nini huko kuna mwamko kule hakuna ndilo hilo akina Mzee MS tunawaambia washughulike nalo
si kusingizia NECTA na mgawanyo wa Wizara. Tena nafasi zenyewe hazijai kibaba! Akipata Said unafikri
atakukumbuka wew Hassan badala ya familia yake na ndugu zake wa karibu?
 
Huu mjadala tu ili tuendelee vizuri hebu nipe takwimu za Waislam na Wakirsto hayo maeneo ya Kigoma na mengineyo.
 
Hivi kuvaa vibarakashehe na hijabu ni uislam?

Jibu liko hapa!

Meet-Single-Black-Muslim-Man-300x199.jpg
IS098R18S.jpg

Church.jpg
14880688-black-african-americanl-christian-man-in-deep-prayer.jpg
 
Kama NECTA wangekuwa hawachakachui tungekuwa na mamilioni ya akina Mwema, Othman, Asharose, Profesa Lipumba, Profesa Safari, Profesa Haroub, Profesa Njozi, Salim Ahmed Salim, Dr.Ghalib Bilali nk! hao wachache uliowataja ni sehemu ya waliofaulu lakini wengine walifeli darasa la 7 kwa sababu za kutochaguliwa kuendelea na masomo! ajabu hata matokeo ya mitihani hawakuonyeshwa!

Kwanini hatukuonyeswa matokeo? kulikuwa na siri gani ktk kusahihisha mitihani? ukitaka kujua siri hiyo muulize Shekh Mohamed Saidi akupashe habari za Mzee Lilla Bori!

Hapa utajipa tabu sana. Ukishakuwa na hasira na Mfumo wa kufikirika na mpaka waliouzua unawatisha
wakati ni uzushi wao wenyewe hutataka kupata majawabu ya kweli ya matatizo yanayowakabili. Ukipitia post hapo nyuma utaona kwa nini idadi ya Waislam inapungua, wengi wameandika kwa mantiki.
Hata mimi niliandika pia, labda usome hii:

By platozoom Rudi kinyumenyume:
Kwamba ratio vyuoni ikoje kati ya Waislam na Wakristo
Sekondari ratio ikoje na shule ya Msingi ration ikoje

Halafu unakuja huku uraiani kwenye maeneo yenye Waislam wengi (Pwani, Lindi, mtwara, Tanga, Kigoma)
mwamko ukoje kuhusu Elimu, vipi kuhusu shule za Seminari za Kiislam zipo kwenye hali gani.
Tena nenda hatua moja zaidi linganisha Maua Seminary, Marian girls, St Anthony nk nk ziko kwenye hali
gani na kina nani wana watoto huko.

Unaweza kuchepuka kidogo ukaangalia pia Wachaga, Wahaya, Wanyakyusa kule wanapotoka na mwamko wao
kwenye Elimu halafu piga hesabu mumo ratio ikoje kwa Waislam na Wakristo.

Halafu mbona umechagua nafasi za appointment. Hujafikiria pia madaktari. Nenda Muhimbili utafute akina Kimario
Edward, Swai John, Mwakingwe nk uone wako wangapi halafu linganisha idadi yao na akina Pazi nk.
Au na kwenye udaktari kuna Waislam wananyimwa fursa ya kutibu watu na uhaba woote wa madaktari nchi hii?

Tuambie nani huyo anawanyima watanzania fursa ya kupata matibabu tumlaani.

Kuhusu suala la kuonyeshwa matokeo mbona hata mimi yangu ya shule ya msingi sikupewa.
Lakini ulishawahi kuwashauri wangapi kwenda pale Necta kukata rufaa ili yapitiwe upya?
 
Hapa utajipa tabu sana. Ukishakuwa na hasira na Mfumo wa kufikirika na mpaka waliouzua unawatisha
wakati ni uzushi wao wenyewe hutataka kupata majawabu ya kweli ya matatizo yanayowakabili. Ukipitia post hapo nyuma utaona kwa nini idadi ya Waislam inapungua, wengi wameandika kwa mantiki.
Hata mimi niliandika pia, labda usome hii:

Kuhusu suala la kuonyeshwa matokeo mbona hata mimi yangu ya shule ya msingi sikupewa.
Lakini ulishawahi kuwashauri wangapi kwenda pale Necta kukata rufaa ili yapitiwe upya?

Ni kweli kabisa hata wewe hukuona matokeo lakini ulichaguliwa kuendelea na masomo au ulifaulu?
 
Huu mjadala tu ili tuendelee vizuri hebu nipe takwimu za Waislam na Wakirsto hayo maeneo ya Kigoma na mengineyo.

Tumeingia kwenye ubishi sasa.
Sorry nimekosea Kilwa, Pwani, Tanga na Kigoma Wakristo ni 90% Waislam ndiyo wachache sana kama 5%,
wanaobaki hawana Dini!
Ila Mbeya, Kilimanjaro na Kagera Waislam ndio wengi sana zaidi ya 90%.

Swali linalofuata nakuuliza Ritz. Wewe unamjuaje huyu ni Mkristo na yule ni Muislam?
 
Hakuna ubishi labda wewe ndiyo umekuja na ubishi.

Nipe source ya takwimu zako.

Ili tuendelee na mjadala JF siyo sehemu ya porojo.
 
Ni kweli kabisa hata wewe hukuona matokeo lakini ulichaguliwa kuendelea na masomo au ulifaulu?

Nina uhakika na nilichokifanya kwenye mtihani kwa hiyo sikushtuka nilipochaguliwa. Nilifaulu kwa sababu
ya uwezo wangu na nilichaguliwa kwenda Sekondari miongoni mwa waliofaulu kwa sababu ya uchache wa
shule za Sekondari eneo nilikotoka.

Matokeo ubaoni yalionyesha cut off marks ni 120 kati ya 150 ingawa ufaulu ulikuwa unaanzia alama 100.
Nina uhakika wapo waliofikisha alama 100 lakini nafasi hakuna.

Hivi unajua kuwa kuna Mikoa alama zao za ufaulu zilikuwa zinashushwa ili wapatikane wanafunzi, Lindi na
Pwani ikwemo ili kuleta uwiano Kitaifa?
 
Back
Top Bottom