platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Kiukweli, Mohamed Said, licha ya kuwa ni msimulizi mzuri, na mwana Jihad maarufu ambaye yuko tayari kufanya uhalifu wa aina yoyote in the name of Islam, ndio maana he is more than happy kuendelea kumwaga hii sumu humu!.
Naomba nikiri wazi, pamoja na sumu yake, "he has the power" to make things happen ndio maana huu uzi mpaka sasa tuko
tena hizi numbers 3,6,9 zina maana kubwa sana kwenye "numerology", sasa tunaelekea views 100,000!, yaani Hii sumu ya Mohemed Said anayoendelea kuimwaga humu imepata wafuasi 100,000 zaidi, sijui hata kitabu aliprint copy ngapi!, endeleeni tuu kumpa milege na promo, huku yeye akiwachagiza na kuendelea kumwaga dozi ya sumu!. Tangu nimejiunga jf, sina kumbukumbu ya thread nyingine yoyote, kuchagiwa hivi!, hizi ni powers na sio za kuzidharau!, kesho akipiga mhadhara wa kujilipua!, just imagine hao folowers!.
- Replies: 9,399
- Views: 96,333
Wakimalizana na Ilunga, tusisubiri hadi 2015 ndipo tuje tumuadabishe huyu, tumuwahishe mapema ili hii sumu anayoieneza isizidi kusambaa!, juzi nilimuona Sheikh Ponda, anatilisha huruma!, mwanzo alijiona shujaa, saa hizi ni heshima na adabu, na akija kutoka, he will be long done, atabakisha tuu uwezo wa kutimiza zile swala 5 kusubiria saa ya Israel! kutimia!.
Pasco.
Honestly niilimuonea Sheikh Ponda huruma, amekuwa mnyonge. Au ndiyo trend ya "wapiganaji wa Tanzania"?
Umewaona waliofanya "coup attempt" miaka ya 60's, 70s na 80's walivyokuwa baada ya kutoka jela ama kushi
ndwa, ni wanyonge kweli ukiacha wawili watatu waliondelea na maisha mengine baadaye.
Hii nchi ina taste yake ukiigiza ya kwenye TV Utaishia kwa watu kukushangaa, na usishangae wanaokuunga mkono
wakabaki wananong'ona chini kwa chini.
Wachache wenye guts za kupigania wanachokiamini, wengi ni ama kupigania matumbo yao, kushadidia chuki zao au
kupigania vikundi fulani fulani.
Wasomaji nao wana mengi. Kuna ambao wamemsoma kwingine na hawakuwahi kuona maandishi yake
yakichimbwa ama motives zake zikianikwa (mimi mmojawapo).
Kuna wengine wamo kwa msukumo wa ushindani wa dini hizi mbili....nk nk.
Kama ingekuwa kuyasikia yale yaliyomo kwenye kitabu chake tu bila shaka mtu anakinunua na kukisoma basi.
Ndiyo maana utamsikia "siye tuko wachache lakini tumekushindeni" au "nakusomesheni", akiamini yuko kwenye
mashindano ya kutafuta mshindi na mshindwa!