Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kiukweli, Mohamed Said, licha ya kuwa ni msimulizi mzuri, na mwana Jihad maarufu ambaye yuko tayari kufanya uhalifu wa aina yoyote in the name of Islam, ndio maana he is more than happy kuendelea kumwaga hii sumu humu!.

Naomba nikiri wazi, pamoja na sumu yake, "he has the power" to make things happen ndio maana huu uzi mpaka sasa tuko
  • Replies: 9,399
  • Views: 96,333
tena hizi numbers 3,6,9 zina maana kubwa sana kwenye "numerology", sasa tunaelekea views 100,000!, yaani Hii sumu ya Mohemed Said anayoendelea kuimwaga humu imepata wafuasi 100,000 zaidi, sijui hata kitabu aliprint copy ngapi!, endeleeni tuu kumpa milege na promo, huku yeye akiwachagiza na kuendelea kumwaga dozi ya sumu!. Tangu nimejiunga jf, sina kumbukumbu ya thread nyingine yoyote, kuchagiwa hivi!, hizi ni powers na sio za kuzidharau!, kesho akipiga mhadhara wa kujilipua!, just imagine hao folowers!.

Wakimalizana na Ilunga, tusisubiri hadi 2015 ndipo tuje tumuadabishe huyu, tumuwahishe mapema ili hii sumu anayoieneza isizidi kusambaa!, juzi nilimuona Sheikh Ponda, anatilisha huruma!, mwanzo alijiona shujaa, saa hizi ni heshima na adabu, na akija kutoka, he will be long done, atabakisha tuu uwezo wa kutimiza zile swala 5 kusubiria saa ya Israel! kutimia!.
Pasco.

Honestly niilimuonea Sheikh Ponda huruma, amekuwa mnyonge. Au ndiyo trend ya "wapiganaji wa Tanzania"?
Umewaona waliofanya "coup attempt" miaka ya 60's, 70s na 80's walivyokuwa baada ya kutoka jela ama kushi
ndwa, ni wanyonge kweli ukiacha wawili watatu waliondelea na maisha mengine baadaye.

Hii nchi ina taste yake ukiigiza ya kwenye TV Utaishia kwa watu kukushangaa, na usishangae wanaokuunga mkono
wakabaki wananong'ona chini kwa chini.

Wachache wenye guts za kupigania wanachokiamini, wengi ni ama kupigania matumbo yao, kushadidia chuki zao au
kupigania vikundi fulani fulani.

Wasomaji nao wana mengi. Kuna ambao wamemsoma kwingine na hawakuwahi kuona maandishi yake
yakichimbwa ama motives zake zikianikwa (mimi mmojawapo).

Kuna wengine wamo kwa msukumo wa ushindani wa dini hizi mbili....nk nk.

Kama ingekuwa kuyasikia yale yaliyomo kwenye kitabu chake tu bila shaka mtu anakinunua na kukisoma basi.
Ndiyo maana utamsikia "siye tuko wachache lakini tumekushindeni" au "nakusomesheni", akiamini yuko kwenye
mashindano ya kutafuta mshindi na mshindwa!
 
Nyie mnamatatizo sana, kwani hata mzee wenu chauchochezi Mohamed Said kwenye ile ngano yake aliwataja wazee wote wapigania uhuru? Ebu jaribuni kutenganisha uislam wenu na historia ya mapambano ya kudai uhuru wa Tanganyika. Igeni tabia nzuri ya wale wazee walioungana na wenzao bila kujali tofauti ya imani zao wakatuletea uhuru.

Matatizo makubwa mnayo nyinyi na wenzenu Mwanakijiji na Yerico.
Hamna uwezo wa kujibu kitu.Mkitoa ahadi hamtekelezi.
Unaposema walioungana na wenzao unakusudia wazee wapi?.Kwa kukataa kudhulumiwa huoni kwamba tunaungana na akina sheikh Suleiman Takadir na sheikh Hassan bin Amiri?.
 
Kwakuwa tuna tizama dhulma kwa tafsiri tofauti bora tuachane njia.
 
Hili nilijua utalisupport wewe na kile chama cha maandamano ni uji na mgonjwa nakukumbusha kidogo bwana mdogo mpaka sasa hivi kitabu hichi ambacho unakiita cha uchochezi hakija sababisha mauaji, hao wanasiasa hasa wa hicho chama chako walisababisha damu kumwagika Arusha nani bora?na ninakumbuka siku ile ya mkutano pale NMC nilikuwepo Dr slaa alisema "Hivi munakubali mwenyekiti wenu akawekwe ndani? watu wakasema hatukubali ndipo watu wakatoka kuelekea kituo cha polisi yaliyo wakuta wanajua wenyewe!swali kwako Yericko, Mzee Mohamed said na Dr Slaa nani mchochezi?

hebu kamwuule mzee mohamed said hv ukiristo unaona siyo dini? Pia naomba ujue MS ameta mauaji ya mapadr ktkana na historia yake ya uchochezi ndo maana waislam wanawaita wakristo ni makafir. Na dr. Slaa alitanabaisha kauli yake. Mbn haujaongelea alpowataja mafisadi 11 pale mwmbeyanga? Kwn we unaona nchi inatawalka? Achen jazba.
 
Kiukweli, Mohamed Said, licha ya kuwa ni msimulizi mzuri, na mwana Jihad maarufu ambaye yuko tayari kufanya uhalifu wa aina yoyote in the name of Islam, ndio maana he is more than happy kuendelea kumwaga hii sumu humu!.

Naomba nikiri wazi, pamoja na sumu yake, "he has the power" to make things happen ndio maana huu uzi mpaka sasa tuko
  • Replies: 9,399
  • Views: 96,333
tena hizi numbers 3,6,9 zina maana kubwa sana kwenye "numerology", sasa tunaelekea views 100,000!, yaani Hii sumu ya Mohemed Said anayoendelea kuimwaga humu imepata wafuasi 100,000 zaidi, sijui hata kitabu aliprint copy ngapi!, endeleeni tuu kumpa milege na promo, huku yeye akiwachagiza na kuendelea kumwaga dozi ya sumu!. Tangu nimejiunga jf, sina kumbukumbu ya thread nyingine yoyote, kuchagiwa hivi!, hizi ni powers na sio za kuzidharau!, kesho akipiga mhadhara wa kujilipua!, just imagine hao folowers!.

Wakimalizana na Ilunga, tusisubiri hadi 2015 ndipo tuje tumuadabishe huyu, tumuwahishe mapema ili hii sumu anayoieneza isizidi kusambaa!, juzi nilimuona Sheikh Ponda, anatilisha huruma!, mwanzo alijiona shujaa, saa hizi ni heshima na adabu, na akija kutoka, he will be long done, atabakisha tuu uwezo wa kutimiza zile swala 5 kusubiria saa ya Israel! kutimia!.
Pasco.

Pasco
wengine thread hii imetufanya tujue udhalimu wake. Mara ya kwanza kumsikia mzee huyu ni kwenye kipindi cha kidokezo kama sio mwangaza wa jamii ndani ya radio imaan.

Nakumbuka ilikuwa kumbukumbu ya kifo cha baba wa taifa mwl Nyerere mwaka jana, akisaidiana na wachagizaji wake kina suleiman filambi, bilal majuva, isihaka kihemba na said jaffu. Ilikuwa ni mjadala wa dhihaka dhidi ya Mwl Nyerere, wakatoliki.

Bahati mbaya sana kwa jinsi walivyokuwa histohisia na ngano hizo, Binafsi nilikubaliana na simulizi na zaidi nikatafuta kitabu chake na kukisoma.

Ila kupitia thread hii ya Yericko..
Ambayo imeshindiliwa zaidi na hoja nzito kama za mwanakijiji, Nguruvi3, jasusi, mag3 na wengineo. Hatimaye nimeujua uwongo, uchochezi na husuda ya mzee huyu.

Hivyo basi ndio kusema sio kwamba thread hii imempa promo zaidi bali imemfifiisha kwani ni wazi yeye kama mtafit humu ameshindwa kujibu hoja nzito mbalimbali.
 
Bwana mdogo umechoka akili katika umri mdogo na bahati mbaya hujui. Hoja hizo za Nguruvi3 na Mag3 wewe huwezikujibu kwa sababu mzee chauchochezi Mohamed Said kakulisha sumu mbaya sana ya kukufanya usijiamini wala kufikiri kwa kuwa wewe ni muislam, mbaya zaidi amekuaminisha kwamba matatizo yako ya kiuchumi na kiakili yamesababishwa kwanza na mfumo kristo na uislam wako! ubovu zaidi unakuja pale ambapo hata yeye mwenyewe Mohamed said akiulizwa suluhu ya matatizo hayo, huwa hana jibu zaidi ya kurudi kuorodhesha majina ya wazee walioorodheshwa kwenye ile HISTOHISIA yake. Na wewe kama zuzu unapokea kwa makelele ujinga huo! aibu.

Dah kama ni bahati mbaya ninayo mwaka huu!Gwalihenzi hivi mzee MS kaleta ushahidi wote lakini bado huamini lakini anyway hulazimishwi kuamini ya mzee MS na wala hujakosea kwamba siwezi kuzijibu hoja za Nguruvi3 na Mag3 kwasababu kwangu ni hoja dhaifu sana kwa mzee mpaka sasa hivi,mwenzako Pasco anaona wivu thread inawachangiaji wengi hajui ni kwasababu gani!lakini kwa taarifa yako nondo anazoweka mzee huku ndio zinafanya wachangiaji wawe wengi na wala sio sumu kama anavyosema huyo ignorant mwenzako uko hapo mkuu wangu
 
Honestly niilimuonea Sheikh Ponda huruma, amekuwa mnyonge. Au ndiyo trend ya "wapiganaji wa Tanzania"?
Umewaona waliofanya "coup attempt" miaka ya 60's, 70s na 80's walivyokuwa baada ya kutoka jela ama kushi
ndwa, ni wanyonge kweli ukiacha wawili watatu waliondelea na maisha mengine baadaye.

Hii nchi ina taste yake ukiigiza ya kwenye TV Utaishia kwa watu kukushangaa, na usishangae wanaokuunga mkono
wakabaki wananong'ona chini kwa chini.

Wachache wenye guts za kupigania wanachokiamini, wengi ni ama kupigania matumbo yao, kushadidia chuki zao au
kupigania vikundi fulani fulani.

Wasomaji nao wana mengi. Kuna ambao wamemsoma kwingine na hawakuwahi kuona maandishi yake
yakichimbwa ama motives zake zikianikwa (mimi mmojawapo).

Kuna wengine wamo kwa msukumo wa ushindani wa dini hizi mbili....nk nk.

Kama ingekuwa kuyasikia yale yaliyomo kwenye kitabu chake tu bila shaka mtu anakinunua na kukisoma basi.
Ndiyo maana utamsikia "siye tuko wachache lakini tumekushindeni" au "nakusomesheni", akiamini yuko kwenye
mashindano ya kutafuta mshindi na mshindwa!
Kiukweli, amini nawaambieni, by the time anaachiliwa wakati kesi inaisha, He'll just be done!. Wasiwasi wangu ni hii promo tunayoendelea nayo kumpa huyu mchochezi kupitia uzi huu, lazima tukubali, amepata follewes wengi kuliko nakala zote za kitabu chake zilokwisha somwa duniani kote!, kitu kimoja ambacho tukikubali tukikatea, Maalim Mohamed Said is very intelligent person, kwa wale tunaomkumbuka, alikichapisha humu kitabu chote, ila alikuwa akiulizwa kitu, alikuwa hajibu bali ana ku refaa kwenye kitabu ili ukasome!.

Kwenye uzi huu, amegundua Watanzania sio wasomaji, bali wana prefer kulishwa!, hivyo anachofanya sasa ni kupakua tuu hiyo sumu na kulisha!, tena akiulizwa kitu, anahakikisha hakujibu hapo hapo, atavuta vuta kwanza ili akusubirishe ndipo humwaga dozi na sumu juu!. Kwa uzi huu tuu pekeyake, tayari anao watu mia ambaop wakiambiwa wavae mabomu na kujilipua!, watakuwa tayari!.

Kwa upande wa maarifa, kiukweli kawazidi ma great thinkers wetu wengi humu ndio maana ndio maana ameendelea kuwafunga kamba kwenye shingo zao akiwaelekezea machinjioni!, nao wanakwenda nae!. He is taking a good advantage ya jfRegistered Members: 117,538
to reach as many as possible huku akiendelea kutuvuta, nasi kuvutika na kuendelea kumbeba!.

Kiukweli, MS ni mwisho!.

Pasco.
 
Pasco
wengine thread hii imetufanya tujue udhalimu wake. Mara ya kwanza kumsikia mzee huyu ni kwenye kipindi cha kidokezo kama sio mwangaza wa jamii ndani ya radio imaan.

Nakumbuka ilikuwa kumbukumbu ya kifo cha baba wa taifa mwl Nyerere mwaka jana, akisaidiana na wachagizaji wake kina suleiman filambi, bilal majuva, isihaka kihemba na said jaffu. Ilikuwa ni mjadala wa dhihaka dhidi ya Mwl Nyerere, wakatoliki.

Bahati mbaya sana kwa jinsi walivyokuwa histohisia na ngano hizo, Binafsi nilikubaliana na simulizi na zaidi nikatafuta kitabu chake na kukisoma.

Ila kupitia thread hii ya Yericko..
Ambayo imeshindiliwa zaidi na hoja nzito kama za mwanakijiji, Nguruvi3, jasusi, mag3 na wengineo. Hatimaye nimeujua uwongo, uchochezi na husuda ya mzee huyu.

Hivyo basi ndio kusema sio kwamba thread hii imempa promo zaidi bali imemfifiisha kwani ni wazi yeye kama mtafit humu ameshindwa kujibu hoja nzito mbalimbali.

Kesi ya nguchiro unampelekea fisi...ha haa ha.

Kwa hiyo hao watu 90,000+ wamekutuma wewe kuwasemea.

Hiki ni kituko cha mwaka.
 
Pasco,

He who praises rain has been rained on.
 
Pasco
wengine thread hii imetufanya tujue udhalimu wake. Mara ya kwanza kumsikia mzee huyu ni kwenye kipindi cha kidokezo kama sio mwangaza wa jamii ndani ya radio imaan.

Nakumbuka ilikuwa kumbukumbu ya kifo cha baba wa taifa mwl Nyerere mwaka jana, akisaidiana na wachagizaji wake kina suleiman filambi, bilal majuva, isihaka kihemba na said jaffu. Ilikuwa ni mjadala wa dhihaka dhidi ya Mwl Nyerere, wakatoliki.

Bahati mbaya sana kwa jinsi walivyokuwa histohisia na ngano hizo, Binafsi nilikubaliana na simulizi na zaidi nikatafuta kitabu chake na kukisoma.

Ila kupitia thread hii ya Yericko..
Ambayo imeshindiliwa zaidi na hoja nzito kama za mwanakijiji, Nguruvi3, jasusi, mag3 na wengineo. Hatimaye nimeujua uwongo, uchochezi na husuda ya mzee huyu.

Hivyo basi ndio kusema sio kwamba thread hii imempa promo zaidi bali imemfifiisha kwani ni wazi yeye kama mtafit humu ameshindwa kujibu hoja nzito mbalimbali.

Duh kweli wewe ni remote hivi unajua kazi ya remote ha ha haa wale wale, eti mzee hii thread imemdhoofisha kwa lipi hivi huyu aliyeanzisha hii thread ahadi zake kwanza amezitimiza?wewe na Pasco wote weupe sasa kama ni sumu si mukajadili mambo mengine mutuwache tuendelee kupata darsa la mzee mbona povu linawatoka hivyo hapa jf kuna vitu vingi vya kufanya si muende CHIT CHAT hamjalazimishwa kubaki huku kwasababu kila siku wanakuja watu wapya, Remote kwenye huu uzi ukishakuta hata siku moja mtu kama Ben saanane au shonza wanachangia? sio fani yao na wewe si uwe mtazamaji tuu mkuu hujalazimishwa
 
Boko haram,

The remedy of fire is fire.
 
Boko haram,

The remedy of fire is fire.

True Ritz "YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOME TIME BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME"but muslim is a sleeping giant but THE SLEEPING GIANT ARE WAKE UP
 
Pasco,
Mzee huyu angeachwa kule misikitini na kwenye kale karedio kalikofungwa angekuwa wa hatari zaidi. Humu JF kitabu chake kimesambaratishwa vibaya na wenye uelewe mpana wa HISTORIA na SIASA za nchi hii. Mwenyewe mzee wetu Mohamed Said hataki wala hawezi kukiri wazi kwamba alikosea mengi tu kwenye maandishi na mahubiri yake ya sasa. Tusimwachie hata kidogo.

Sasa hivi serikali na WaTanzania tunajua alichokuwa amekikusudia wakati anaandika kitabu kile. Ufuasi na heshima aliobaki nayo ni kwa sababu anaihusisha DINI yake tu. WaTanzania tulio wengi DINI hazitusumbui sana.

Tukumbuke pia kwamba baadhi yetu tumejiunga humu JF kujadili na kuelimishana juu ya MASUALA mbalimbali sio kuwajadili WATU.

Chunguza pia utaona kwamba posts nyingi ni zile zinazomrudi kisawasawa mzee wetu huyu na idadi kubwa ya hao viewers sio wafuasi wake wale misikitini na kwingineko.
 
Last edited by a moderator:

Everyone should contribute when collection is made...
 
WildCard,

My Bro! When the head of the family dies, that family breaks up.
 
WildCard, Hivi unaposema kale karedio una maana gani lakini sio makosa yako ni mfumo uliokuwa nao chuki zimewajaa mioyoni mwenu lakini tunaamini itarudi hewani japokuwa hamtaki,hivi wapi mzee MS kashindwa kujibu hoja muulize Yericko aliyeleta huu uzi ni mangapi kashindwa kujibu halafu na wewe unionyeshe wapi mzee MS kashindwa kujibu
 
Pasco,
Mzee huyu angeachwa kule misikitini na kwenye kale karedio kalikofungwa angekuwa wa hatari zaidi. Humu JF kitabu chake kimesambaratishwa vibaya na wenye uelewe mpana wa HISTORIA na SIASA za nchi hii. Mwenyewe mzee wetu Mohamed Said hataki wala hawezi kukiri wazi kwamba alikosea mengi tu kwenye maandishi na mahubiri yake ya sasa. Tusimwachie hata kidogo.

Sasa hivi serikali na WaTanzania tunajua alichokuwa amekikusudia wakati anaandika kitabu kile. Ufuasi na heshima aliobaki nayo ni kwa sababu anaihusisha DINI yake tu. WaTanzania tulio wengi DINI hazitusumbui sana.

Tukumbuke pia kwamba baadhi yetu tumejiunga humu JF kujadili na kuelimishana juu ya MASUALA mbalimbali sio kuwajadili WATU.

Chunguza pia utaona kwamba posts nyingi ni zile zinazomrudi kisawasawa mzee wetu huyu na idadi kubwa ya hao viewers sio wafuasi wake wale misikitini na kwingineko.

Pascco,

Ukiwa unaona kitabu changu kimesambaratishwa hiyo ni kheri kwenu
na tatizo kwangu mimi.

Lakini ni kweli kitabu changu kimesambaratishwa?
Watazamaji ni ndiyo waamuzi siyo wewe.

Mimi niko humu kwa ihsani yenu na ikifika wakati wowote mtaniona ni
kero hamnitaki wala mimi kwa hakika kabisa sitalazimisha kubaki.
 
Kiukweli, amini nawaambieni, by the time anaachiliwa wakati kesi inaisha, He'll just be done!. Wasiwasi wangu ni hii promo tunayoendelea nayo kumpa huyu mchochezi kupitia uzi huu, lazima tukubali, amepata follewes wengi kuliko nakala zote za kitabu chake zilokwisha somwa duniani kote!, kitu kimoja ambacho tukikubali tukikatea, Maalim Mohamed Said is very intelligent person, kwa wale tunaomkumbuka, alikichapisha humu kitabu chote, ila alikuwa akiulizwa kitu, alikuwa hajibu bali ana ku refaa kwenye kitabu ili ukasome!.

Kwenye uzi huu, amegundua Watanzania sio wasomaji, bali wana prefer kulishwa!, hivyo anachofanya sasa ni kupakua tuu hiyo sumu na kulisha!, tena akiulizwa kitu, anahakikisha hakujibu hapo hapo, atavuta vuta kwanza ili akusubirishe ndipo humwaga dozi na sumu juu!. Kwa uzi huu tuu pekeyake, tayari anao watu mia ambaop wakiambiwa wavae mabomu na kujilipua!, watakuwa tayari!.

Kwa upande wa maarifa, kiukweli kawazidi ma great thinkers wetu wengi humu ndio maana ndio maana ameendelea kuwafunga kamba kwenye shingo zao akiwaelekezea machinjioni!, nao wanakwenda nae!. He is taking a good advantage ya jfRegistered Members: 117,538
to reach as many as possible huku akiendelea kutuvuta, nasi kuvutika na kuendelea kumbeba!.

Kiukweli, MS ni mwisho!.

Pasco.

Pasco,

Thanks for the generous compliment.

Nimeandika Kizungu kwa kuwa sina maneno ya Kiswahili kufika shukurani
zangu kwa Pasco kwa wepesi kuliko maneno hayo.

Dua yangu kwa Allah siku zote ilikuwa. ''Mola wangu nijaalie mimi uwezo
nifikishe kwa Waislam historia yao na niondokane na dhima kesho kiama
nitakaposimama mbele yako.

Aiyenileta humu ni Yericko.

Na dua yangu Allah ameitakabalia na leo nazungumza humu JF na watu
amabao hawakupatapo kusikia historia hii ninayoileleza.

Insha Allah wasikilizaji watafika 100,000.
 
Kiukweli, Mohamed Said, licha ya kuwa ni msimulizi mzuri, na mwana Jihad maarufu ambaye yuko tayari kufanya uhalifu wa aina yoyote in the name of Islam, ndio maana he is more than happy kuendelea kumwaga hii sumu humu!.

Naomba nikiri wazi, pamoja na sumu yake, "he has the power" to make things happen ndio maana huu uzi mpaka sasa tuko
  • Replies: 9,399
  • Views: 96,333
tena hizi numbers 3,6,9 zina maana kubwa sana kwenye "numerology", sasa tunaelekea views 100,000!, yaani Hii sumu ya Mohemed Said anayoendelea kuimwaga humu imepata wafuasi 100,000 zaidi, sijui hata kitabu aliprint copy ngapi!, endeleeni tuu kumpa milege na promo, huku yeye akiwachagiza na kuendelea kumwaga dozi ya sumu!. Tangu nimejiunga jf, sina kumbukumbu ya thread nyingine yoyote, kuchagiwa hivi!, hizi ni powers na sio za kuzidharau!, kesho akipiga mhadhara wa kujilipua!, just imagine hao folowers!.

Wakimalizana na Ilunga, tusisubiri hadi 2015 ndipo tuje tumuadabishe huyu, tumuwahishe mapema ili hii sumu anayoieneza isizidi kusambaa!, juzi nilimuona Sheikh Ponda, anatilisha huruma!, mwanzo alijiona shujaa, saa hizi ni heshima na adabu, na akija kutoka, he will be long done, atabakisha tuu uwezo wa kutimiza zile swala 5 kusubiria saa ya Israel! kutimia!.
Pasco.

Pasco. Acha uchochezi, kwa maneno yako yasiyo na kichwa wala mguu. Unataka kuwajengea watu picha gani! Jibu hoja kwa hoja sio kuleta viroja hapa.
Kama umeishiwa hoja ni bora ukakaa kimya kuliko kuleta shutuma za hovyo.
 
Kiukweli, Mohamed Said, licha ya kuwa ni msimulizi mzuri, na mwana Jihad maarufu ambaye yuko tayari kufanya uhalifu wa aina yoyote in the name of Islam, ndio maana he is more than happy kuendelea kumwaga hii sumu humu!.

Naomba nikiri wazi, pamoja na sumu yake, "he has the power" to make things happen ndio maana huu uzi mpaka sasa tuko
  • Replies: 9,399
  • Views: 96,333
tena hizi numbers 3,6,9 zina maana kubwa sana kwenye "numerology", sasa tunaelekea views 100,000!, yaani Hii sumu ya Mohemed Said anayoendelea kuimwaga humu imepata wafuasi 100,000 zaidi, sijui hata kitabu aliprint copy ngapi!, endeleeni tuu kumpa milege na promo, huku yeye akiwachagiza na kuendelea kumwaga dozi ya sumu!. Tangu nimejiunga jf, sina kumbukumbu ya thread nyingine yoyote, kuchagiwa hivi!, hizi ni powers na sio za kuzidharau!, kesho akipiga mhadhara wa kujilipua!, just imagine hao folowers!.

Wakimalizana na Ilunga, tusisubiri hadi 2015 ndipo tuje tumuadabishe huyu, tumuwahishe mapema ili hii sumu anayoieneza isizidi kusambaa!, juzi nilimuona Sheikh Ponda, anatilisha huruma!, mwanzo alijiona shujaa, saa hizi ni heshima na adabu, na akija kutoka, he will be long done, atabakisha tuu uwezo wa kutimiza zile swala 5 kusubiria saa ya Israel! kutimia!.
Pasco.

Pasco,

Halimfiki mtu jambo ila kwa idhini yake Allah.
Ponda hatilishi huruma.

Ponda amesimama akiwa hana chochote mkononi
ila Lailaha Ilallah Muhammad Rasulullah akipigana
ili dini ya Allah iwe juu.

Ponda kapanda darja jina lake Ponda kalifungamanisha
na jina la Sheikh Hassan bin Amir aliyetaka katika uwanja
ule kuwajengea chuo kikuu kije kuwanifaisha Waislam.

Ponda akaitangazia dunia kuwa hapa katika uwanja huu
tuliodhulumiwa Waislam tutajenga msikiti na tutauita
''Sheikh Hassan bin Amir.''

Allah keshamjengea nyumba Ponda peponi.
Hii ni ahadi ya Allah.

Na yeye Allah ni mwenye kutekeleza ahadi zake.

Jiangalie Pasco na tafakari ulikuwaje na leo ukoje.

Huyo ndiye Allah muweza wa kila jambo Mshindi
Asiyeshindika, Mwenye Nguvu, Hakimu Muadilifu.
 
Back
Top Bottom