Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Well hatutakiwi kuexcuse makosa hata kidogo. Kwenye madai makubwa no room for mistakes....

Anyway mi nasubiria official jibu (kwenye Hili) kutoka kwa muhusika......
 

Mwisho wasiku wanasimama na kuitangazia dunia kuwa "waislamu wanadhulmiwa" ukiwauliza ipu hasa dhulma hakuna jibu mtawalia zaidi ya ngano tu.
 
Well hatutakiwi kuexcuse makosa hata kidogo. Kwenye madai makubwa no room for mistakes....

Anyway mi nasubiria official jibu (kwenye Hili) kutoka kwa muhusika......

MF,

Kufanya makosa ndiyo ubinadamu.
Ikiwa umeliona kosa nieleze na tufanya masahihisho.
 
unathibitisha tu hoja yangu; nyie vijana endeleeni kuamini haya masimulizi ambayo mwanzoni wengine waliyapa heshima kidogo kuyaita "ngano" lakini kwa kweli ni porojo nyingi za kufurahisha baraza...
Hata kama upo kazini kuifanyia uadui historia halisi ya Tanzania na mchango wa waislamu kutafuta uhuru lakini unapoita si ngano bali ni porojo unajitangaza ujinga na upuuzi wako.Kwa kauli hii inakutoa kwenye mchangiaji wa mjadala na kukuingia kwenye mpayukaji ambayo ni sifa ya wendawazimu na walevi wa gongo.
 
Mzee Mohamed Said wapigania uhuru toka Afrika kusini waliingiaje Tanzania, au unakataa hapakuwa na kambi zao Morogoro Mazimbu.Kuna yule dereva Dumisani alisababisha kifo cha Sokoine alishi vipi Tanzania ?.

Ngongo,
Hivi ulitakaje?

Unajua kitu kinachoitwa ''the standard of the resoanable man?''

Ikiwa hufahamu muonyeshe mjuzi haya majadiliano kuhusu kuingia
Tanzania na muulize mawazo yake.

Ningeweza kukupa jibu lakini nataka nawewe ushughulishe ubongo
wako.
 
MF,

Nieleze kipi unachotaka ufafanuzi Insha Allah nitajaribu kutoa maelezo
ikiwa ninayo.

wewe umesema

manake 1981 vice president alikuwa Aboud Jumbe...

Mzee Mwanakijiji alisema

Aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais 1982 alikuwa ni Cleope D. Msuya... endelea kuwapata hawa wadogo zetu tu...

sasa nimejaribu kufukunyua data nashindwa kujua nani yuko sawa katika hili....
 
Kumbe Sheikh Deedat naye alikuwa kaburu?

N,

Hapakuwa na kifungu kilichosema kuwa mtu yoyote kutoka Afrika Kusini angeliweza
kuingia Tanzania.

Na Deedat alikuwa sheikh si mpigania uhuru kwa maana ya vyama vya ukombozi
vilivyokuwapo.

Hili lisitutoe katika picha kubwa.
 
Well hatutakiwi kuexcuse makosa hata kidogo. Kwenye madai makubwa no room for mistakes....

Anyway mi nasubiria official jibu (kwenye Hili) kutoka kwa muhusika......
Yaani kazi ya Mohammed ya historia ya Tanzania ni kubwa na muhimu kuliko Biblia?.
 
wewe umesema

manake 1981 vice president alikuwa Aboud Jumbe...

Mzee Mwanakijiji alisema



sasa nimejaribu kufukunyua data nashindwa kujua nani yuko sawa katika hili....

MF,

Ikiwa kuna mahali nimekosea fanya masahihiso hapana haja ya kuvutana katika
kosa.

Huo ndiyo usomi na uungwana.
 
Tusonge kwa busara na adabu, punguza jazba mkuu.

Tuvumiliane mkuu.
 
MF,

Kufanya makosa ndiyo ubinadamu.
Ikiwa umeliona kosa nieleze na tufanya masahihisho.

amechambua vizuri tena kitaalamu Takwimu za Warsha kutoka UDSM zinazo onesha uwiano wa Waislamu na Wakristu katika intake... na ameonesha makosa ya research hiyo vizuri, sasa ilitakiwa mtu aje kujibu na kumuonesha (kitaalamu) kuwa Nguruvi nae amekosea kuichambua....

sasa Ami yeye akasema

na mimi nikamwambia asi excuse makosa, kama kweli kuna makosa basi then You should declare kwamba the Statistical Data au research iko in accurate na isitumike tena kama reference ya kuaminika.
 
Mpaka kufikia hapa wazee wa Gerezani chaliiii....wapo hapa kwa kuendeleza mipasho na ubishi tu na siyo hoja.

Ukweli ni kwamba kupitia mtanange huu wazee wa Gerezani mmeshindwa vibaya sana na mnahaibika vibaya sana.

Yaani kila muulizwapo maswali magumu mnaleta majibu mepesi yenye mipasho na kejeli juu. Poleni sana wafia dini wa Gerezani.
 
Yaani kazi ya Mohammed ya historia ya Tanzania ni kubwa na muhimu kuliko Biblia?.

unajua Ami unashindwa kuelewa kitu, madai yalileta humu ndani kuhusu Mzee Mohamed ni makubwa, Kwamba yeye ni mchochezi na Yeye akaja kujibu kudhibitisha kuwa yeye wala si mchochezi ila historia anayoeleza ni ya ukweli kabisa.

Na katika hilo, kuu zaidi ni dailake kuwa Waislamu wamedhulumiwa au wamekuwa kwenye ''dhulma'' kutoka na Mfumo kristo. Sasa hili si dai dogo hata kidogo, hili dai ni kubwa kuliko unavyofikiria.

Kama kweli Waislamu wamedhulumiwa wanahitaji kujidhatiti kweli na kama vipi tuangalie jinsi ya kulisahihisha ilo kosa na iwe katika kumbukumbu kama taifa na sio tu madai yalio kosa mashiko,

na kama wakristu wanasingiziwa kuwa wanadhulmu waislamu pia tunatakiwa kujua ili basi waombwe msamaha au madai hayo yaishie hapo.

sisi wengine tupo hapa kuangalia nani anasema nini na wapi kuna kunahitaji majibu na ufafanuzi na tunaweka maswali yanayohitaji majibu kila mtu apate nafasi ya kujibu, tujue kweli...
 
MF,

Ikiwa kuna mahali nimekosea na fanya masahihiso hapana haja ya kuvutana katika
kosa.

Huo ndiyo usomi na uungwana.

Kwenye hili Mzee MS mi nlikuwa nataka kujua nani kasema ukweli kati yako na Mzee Mwanakijji

Wewe umesema 1981 Vice President alikuwa Aboud Jumbe na mzee Mwanakijiji kasema 1982 Prime Minister na Vice President (ila yeye alitumia Makamu wa Raisi wa Pili) alikuwa Cleopa Msuya... Sasa wengine Historia sio wazuri kiivyo...

kwenye hili nani yuko sawa... au historia inasemaje
 

Hayo makosa unayaona madogo kwako! Wonder shall never end.
Hivi unajua kwamba huo utafiti wake anautumia kama sehemu ya malalamiko yake?

Ikiwa kwenye utafiti wa Kitaalam amefanya makosa makubwa kama haya vipi kwenye
ngano zake tusitie mashaka.

Tunakubali kila binadamu hajakamilika 100%, lakini itoshe na aseme kwamba kuna walakin
kwenye data zake na tutamwona muungwana,. Lakini si abwage maandishi yenye makosa
halafu atumie kama reference tena na tena na wewe unameza kama kinda.

Mtu mwenye akili timam akikwambia jambo la uongo na wewe ukajua ni uongo lakini ukakubali atakudharau.
 

Platozoom,

Sina haja ya kuvutana lakini ningeweza kukuuliza kweli wewe unachukia ubaguzi?
Ningeweza nikaweka ushahidi mwingi tu hapa.

Lakini ya nini yote haya?
 

Platozoom,

Hivi yote yamekupita hayana umuhimu ila kosa langu.
Intrigues zote nilizoeleza mle zote zimekupita hazina
maana ila kosa langu.

Kisa cha Shylock na madai ya kilo moja yake ya nyama.
 

MF,

Mbona mimi ushanisoma kuwa nimesema Kawawa?
Ikiwa ni kosa basi linasahihishwa.

Si suala la kuvutana kwenye kitu kilichokosewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…