Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Makosa ya aina hii huwa yanfaywa na kila muandishi na kila msemaji.Lakini kwa watu wa mfumo akifanya Mohammed Said wanakuwa wamepatia sehemu ya kuikandamiza historia halisi ya Tanzania na kutaka ionekane eti ni ngano.
Ami, naona unajaribu kupulizia manukato katika lundo la uvundo.

Tumejaribu kukuonyesha kuwa alichofanya Mohamed si makosa madogo ni makosa makubwa kiuandishi na kiutafiti na kwamba hakufanya hivyo kwa bahati mbaya bali alikusudia.

Tuliacha hilo tukidhani somo limeeleweka, inavyoonekana sisi ndiyo tunakuwa ''victim'' wa kuonyesha ukweli kutoka katika maandishi ya Mohamed. Sasa ngoja tukuonyeshe tena kuwa makosa yale si ya kiuandishi au kitakwimu bali mwangi wake unasambaa na kuipoteza jamii.

Angalia tena jedwali hili ili tumalizie yaliyobaki.

By Mohamed Said
Table 1: Selection of Std. VII Pupils to Form I in Dar es Salaam Region 1978 to 1981
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]Year
[/TD]
[TD]Total Selected
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Muslims
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]% of Muslims Selected
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1978
[/TD]
[TD]956
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]216
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]23%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1979
[/TD]
[TD]903
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]194
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]22%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]1980
[/TD]
[TD]1071
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]247
[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]23%
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Source: Dar es Salaam City Council Department of Education

NB:In 1967 census Muslims in Dar es Salaam Region were 67% therefore the number of Muslim students in Dar es Salaam primary schools is greater than that of Christians. This should have reflected in the selection.

My take:
Mohame ameonyesha katika aya ya mwisho herufi NB. Hili ni neno la kilatin Nota bene kwa maana nota (note) bene(well) yaani inamwelekeza msomaji aliangalie jambo linalokusudiwa kwa umakini.
Kwahiyo Mohamed tayari amesharidhika na anashauri umma unaosoma uangalie aya hiyo kwa makni sana.

Mohamed anasema sensa ya mwaka 1967 idadi ya waislam ilikuwa asilimia 67% na hivyo ilitarajiwa wanafunzi wa kiislam wawe wengi kuliko wakristo na hivyo matokeo yalitakiwa yaakisi idadi ya watu.

Kwanza, Tumeshafanya sensa nyingi na ilikuwa kawaida kila baada ya miaka 10 kuna sensa. Mtafiti alitakiwa atupe sensa za karibu sana (mwaka 1977 kama nipo sahihi) na hizo za mwaka 1967 zisadie kama itabidi.
Mohamed hakueleza kwanini hakuchukua majibu ya sensa baada ya mwaka 1967 na hivyo kuwaacha wasomaji wakiwa na maswali yasiyo na majibu.

Mohamed anatakiwa afahamu kuwa population ni ''variable value'' kwamba si lazima asilimia 67 ya mwaka 1967 ibaki kama ilivyo.
Kuna uwezekano iliongezeka na kufikia 80 au kupungua na kufikia 40 kwahiyo alitakiwa kwanza apate the most recent stats.
Kufanya extrapolation ya mwaka 1967 ni sawa na mtu kupanga mipango ya maendeleo ya nchi kwa kutumia stats za 1967. Huku ni kupotosha vijana kusikoweza kuvumilika hata kidogo. Wrong! Mohamed denounce this ASAP!

Pili, hakuna ukweli kuwa ukiwa na idadi kubwa ya wananchi ni lazima idadi hiyo iakisiwe katika maMbo mengine.
Mfano, wahindi ni jamii ndogo sana katika nchi yetu lakini unapozungumzia mambo ya biashara wao wanaonekana kuwa wengi kuliko sisi wamatumbi na hivyo wingi wetu hauakisi ''matokeo ya kuwa na wafanyabishara wengi na wenye uwezo''

Mohamed alipaswa kujiuliza maswali haya
1. Je, idadi ya watoto wa kiislam iliandikishwa shule kama inavyoakisiwa katika sensa?
2. Je, walioandikishwa walimaliza darasa la saba na kufanya mtihani
3. Je, kulikuwa na ubora wa elimu katika ushindani na makundi mengine

Kwahiyo siyo kweli kuwa Quantity is directly proportional to Quality.
Inaweza kuwa hivyo endapo tu factos 1-3 hapo juu zitakuwa zimetiliwa mkazo na kufanyiwa kazi.

Wanajamvi lazima Mohamed aelewe kuwa katika matokeo ya mwaka huu kuna shule ina watoto 7 na wamefaulu 7.
Ipo shule ina watoto 28 na wamefaulu 6. Sasa kama wingi ni kigezo na wala si ubora namba hizo zinatueleza nini?

Tatu, Mohame amesema hapo juu kuwa idadi ya waislam ni kubwa kuliko watoto wa kikristo. Anachotaka kusema hapa ni kuuaminisha umma kuwa mtihani huo ulifanywa na waislam na wakristo tu. Kwamba watu wenye imani nyingine hawakushiriki. Factually wrong and serious mispresentation of scientific data.

Ndugu Ami hadi hapo nadhani unaona wazi kuwa Mohamed hakufanya utafiti wa kutafuta bali alikuwa na conclusion yake kichwani akatafuta mahali pa kuchomeka namba na matokeo yake ndiyo hayo ya kutoa vitu visivyoweza kutafsiriwa kama hivyo.

Lakini hakufanya hivyo kwa bahati mbya alifanya hivyo makusudi kwa kuweka ''sensational research'' na amefanikiwa kuwafanya watu wasome kuhusu Waialsm vs wakristo na namba zake bila kutafakari mistari yake na yaliyomo ikiwa ni pamoja na kutafuta ukweli.

Sasa upotshaji huu uliodumu kw miaka 15 unaweza kusema ni sawa na typo error. Leo wapo vijana wanahubiti data hizi bila kujua ni za kupika na wala Mohamed haonekani ku-denounce. Sasa hili ni kosa la kufumbiwa macho kweli! Hebu nishauri ndugu yangu Ami.


 
Mzee Mwanakijiji,

Tupo post ya [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=492]#492 [/URL] unauliza Waislam wanafanyiwa dhulma na nani.

Takuambia maneno machache tu.

The bearevead begins the wailing latter others join.

Precicely! Tumefika post #492 hakuna mahali imethibitishwa kuwa waislamu wanafanyiwa dhuluma. Hivi leo Dau pale NSSF hakubali kuchukua wakristo hata kama wamequalify kiasi gani kwa sababu anasahihisha "dhuluma" wanazofanyiwa waislamu. Hivi ndivyo mnavyotaka Tanzania iwe?
 
Mkuu hakika nikushukuru sana kwa uchambuzi waki murua na wakiweledi sanifu,

Unanifanya nijivunie uwepo wako ndani ya uzi huu,


Asante sana mkuu.
 

Jasusi,

Na mie nikutajie majina ya Wakurugenzi Wakirsto kutoka mashirika ya Umma wewe umeona Dau tu kutokana na Uislam wake.
 
Jasusi,

Na mie nikutajie majina ya Wakurugenzi Wakirsto kutoka mashirika ya Umma wewe umeona Dau tu kutokana na Uislam wake.
Sawa. Wataje. Mimi nimetaja mfano hai ninaoufahamu na ni NSSF.
 
Nilieleza jinsi Hawa Ghasia alichokifanya pale utumishi nakupageuza mahali pa kibra.

Mkristu hakuwa na nafasi mbele ya Mjahidina mama Hawa Ghasia.
 

Lazima kilo moja yako ya nyama ipatikane...haa haaa haaaa!!
 
Ritz, kwa kweli sijui hao waliopigwa na butwaa ndio akina nani, labda uwataje kama utapata nafasi...ila nina swali moja tu kwako na kwa mwalimu wako Mohamed Said, je hiyo tarehe 12 Novemba 1953, kiongozi Mkuu na Raisi wa TAA alikuwa nani? Mbona hatajwi?
 
Last edited by a moderator:
Sawa. Wataje. Mimi nimetaja mfano hai ninaoufahamu na ni NSSF.

Jasusi,

Nakutajia haya machache tu ambayo wakurugenzi wake ni Wakirsto.

LAPF, TANESCO, TTCL, TBC, TANAPA, NCAA, TPA, BOT, TCRA,

Nikuongeze yapo mengi mtafanya tuangalie ratio sasa.
 

Mag3,

hatupo kwenye chumba cha mtihani wewe andika watu wakusome kama unajua kweli historia ya Tanganyika siyo kuja na vimaswali vya kitoto huoni wewe ndiyo unaangaika na maswali hakuna anayaekuuliza sababu tunajua wewe mtupu.
 
Last edited by a moderator:
Jasusi,

Nakutajia haya machache tu ambayo wakurugenzi wake ni Wakirsto.

LAPF, TANESCO, TTCL, TBC, TANAPA, NCAA, TPA, BOT, TCRA,

Nikuongeze yapo mengi mtafanya tuangalie ratio sasa.

Hapana. Dai langu ni kwamba Dau haajiri wakristo. Sasa kama na wewe una ushahidi kuwa katika mashirika hayo waislamu wananyimwa kazi kwa sababu ni waislamu, that is what I want to know.
 
Jasusi,

Nakutajia haya machache tu ambayo wakurugenzi wake ni Wakirsto.

LAPF, TANESCO, TTCL, TBC, TANAPA, NCAA, TPA, BOT, TCRA,

Nikuongeze yapo mengi mtafanya tuangalie ratio sasa.

Ongezea,

Wizarani kuanzia wizara ya fedha, wizara ya Sheria na katiba, wizara ya elimu, tuingie vyuo vikuu Mfano Udsm, IFM , St Augustine na kwengineko.

Jasusi kama Dau anafanya Islamisation NSSF basi mlikuwa , mnafanya Christianisation katika hizi taasisi. Tena msivyokuwa na haya hadi sherehe za kidini mnafanya taasisi za umma kuwa za kidini. Mfano Christmas unakuta miti kila mahali, maua na kwaya zinaimbwa katika ofisi za umma je vp hapo???
 

Hatujapunguza speed, ni majukumu tuliyonayo. Utatuona tu.

Isitoshe, ushasema wewe si mwana historia, na Mohamed Said kaandika historia, kwa hilo inakubidi ukae usome na kuijuwa historia ya kweli.

Nyerere ni dikteta na mdini wa ukweli nani asiyelijuwa hilo?

Sijaona hata moja lilioneshwa mpaka sasa la kuonesha "uchochezi wa Mohamed Said kwa wapigania uhuru wa Tanganyika na Zanzibar" kama mada ilivyodai. Jee, wewe umeliona?

Hata mmoja mpaka sasa hajaja na hoja yenye hizo shutuma, naona watu wanakuja na maswali yasiyo na kichwa wala miguu.

Hizo video za Nyerere unazosema zipo, Yericko Nyerere mpaka sasa kashindwa kutuwekea aliyoahidi atatuwekea kama ushahidi. Au hukupitia hayo?
 
Last edited by a moderator:
Hapana. Dai langu ni kwamba Dau haajiri wakristo. Sasa kama na wewe una ushahidi kuwa katika mashirika hayo waislamu wananyimwa kazi kwa sababu ni waislamu, that is what I want to know.

Leo unajifanya hujui kinachoendelea katika taasisi za serikali za umma? Please msimsakame Dau anzeni kwanza ndio mnyooshe kidole Dau
 
Leo unajifanya hujui kinachoendelea katika taasisi za serikali za umma? Please msimsakame Dau anzeni kwanza ndio mnyooshe kidole Dau

Sio kujifanya. Kama kuna maovu mnayafahamu kwenye taasisi za serikali na za umma yaanikeni hapa. Mimi nimeanika ya Dau kwa sababu kuna mtu namfahamu alinyimwa kazi pale kwa Dau kuwaambia maafisa wake wa chini kuwa hatuajiri watu hawa.
 
Sio kutojua tu. Hatuamini shutuma zenu. Nyerere was a nationalist. Aliweka level play field kwa Watanzania wote bila kujali kabila, rangi au dini. Shutuma zenu bado hazina mashiko. Try again.
 

Subiri utakavyoshambuliwa na kuitwa mdini.

Nilishangaa kukuta mapambo ya Christmas na kwaya Makao Makuu ya Polisi mwaka huu nilikuwepo pale.
 
Sio kujifanya. Kama kuna maovu mnayafahamu kwenye taasisi za serikali na za umma yaanikeni hapa. Mimi nimeanika ya Dau kwa sababu kuna mtu namfahamu alinyimwa kazi pale kwa Dau kuwaambia maafisa wake wa chini kuwa hatuajiri watu hawa.
Jasusi,

Huyo mtu wako alikuwa na vigezo stahiki? Alikuwa amepitia mchakato wa uchaguzi? Kama alionewa kwasababu ya dini yake then you have a point. Umetaka mfano wa mahali mie kuna kijana aliitwa usaili wa kazi wizara ya fedha ana honours degree lakini waliochaguliwa yeye hakuwamo . IFM kuna wakuu wa faculty wote wakristo, wakurugenzi wote wakristo , wasaidizi wake wakristo je hakuna waislamu wanaofaa kuongoza?? Twende PPF mazingira ni hayo pia je is this a coincidence?
 
Subiri utakavyoshambuliwa na kuitwa mdini.

Nilishangaa kukuta mapambo ya Christmas na kwaya Makao Makuu ya Polisi mwaka huu nilikuwepo pale.

Ritz,

Kuna msemo unasema Nyani haoni .........
 
Sio kutojua tu. Hatuamini shutuma zenu. Nyerere was a nationalist. Aliweka level play field kwa Watanzania wote bila kujali kabila, rangi au dini. Shutuma zenu bado hazina mashiko. Try again.

Soma kicha cha mada halafu uje na hizo shutuma.

Nyerere was a wrong number.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…