Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #9,961
Mohamed Saidi kala chocho...kawaacha wafia dini wenzake (wanafunzi wake) wanadanki danki kwa hoja mfu na nyepesi.
Kuna vitu vingi sana ambavyo Nyerere hakukanusha. Yaani mlitaka wakati wote kunapotokea kitabu Nyerere akanushe hadharani? Angefanya kazi yake saa ngapi? Unakumbuka alivyowajibu waandishi habari wa Kenya wakati mmoja kuhusu kuzaa na mama zao? Alitaka watumie akili zao. Nyerere hakujibu madai ya Kambona kuhusu kuwa na fedha katika benki ya Uswiss. Aliyejibu ni Amir Jamal katika interview niliyofanya naye wakati huo natumikia shirika moja la redio ya kimataifa.
nyie people mnatia aibu sana,
swala la % kwenye population mbona mnalichukulia kimasiala masiala sana aisee? kumbe ndo maana mnafeli shuleni..
nawapa mfano hapa...
''ufaulu wa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka 1999 kwa kiwango cha division one ulikuwa juu kulinganisha na wa mwaka 2012, lakini idadi ya waliomaliza mwaka 1999 ni ndogo sana kulinganisha na mwaka 2012''
hapo mmeelewa calculation za % au bado?
halafu hiyo sensa ya mwaka 1967 kuhusu idadi ya waislam ina walakini maana ilijumlisha na wapagani ambao wakati huo walikuwa wengi kuliko waislam na wakristo, sasa kama wakristo waliwazidi waislam ujanja kuwabadili wapagani kuingia kwenye dini zao ulitegemea muujiza gani?
Ulitaka kila shutuma ajibu?Hayo ya kumhoji Amir Jamali ni yako wewe ila Nyerere alihojiwa na waandishi baada ya shutuma za Kambona kusikika nchi nzima! siku hiyo mimi nilihudhuria mkutano wa Kambona Jangwani mwaka 1992 na alipomtaja Nyerere, Kawawa na Amir Jamal kuwa wameweka mamilioni ya dola Uswissi, kulikuwa na mtafaruku na hasira toka kwa Wananchi kusikia kashfa hiyo hasa kumhusu Mwalimu!
wananchi waliwalaani hao viongozi waliotajwa kwa ufisadi na niliona kwa macho yangu na baadae Nyerere alipohojiwa na waandishi kuhusu ufisadi huo, alicheka na kusema kama ni yeye hajali kuhusishwa na utajiri huo, ila anasikitika kutajwa Rashidi ambae umasikini wake anaujua ndani nje!
Jasusi,
Wewe ulikuwa nje ya nchi ukitumikia shirika la kimataifa! mimi nilikuwa nchini na kuhudhuria mkutano huo wa Kambona ambapo ktk mkutano huo Kambona aliambatana na mkewe Flora na kabla ya kuanza hotuba yake Kambona aliwataja na kuwaenzi wapigania uhuru wote waliotajwa na Mohamed Saidi!
Nashindwa kuelewa kwanini mnapinga kila kitu! ukitaka kuthibitisha haya nenda ofisi za Mwananchi, Majira, Uhuru, Daily News na Annur utapata kumbukumbu hizi!
Kumbuka Nyerere akijibu shutuma hiyo alikuwa hana wadhifa wowote ndani ya chama wala Serikali sasa dai lako la kuwa alikuwa bussy na asingeweza kujibu kila hoja halina msingi!
Mohammed kaa upumzike kazi imeisha.Kila nikiingia hata usiku wa manane nakuta upo.
Hakuna haja tena kujibizana na watu walioshindwa mjadala.Sisi wanafunzi wako tumetosha kuwanyamazisha watu wa mfumo wa kidhalimu.Ukiona tumekosea sahihisha.
Najua unacheka unapoona Mwanakijiji anapokuja na udugunization baada ya miezi yote hiyo kushindwa kutoa hoja ya kuonesha uchochezi.
NASAHA KWAKO Mwl. MOHAMMED SAID.
Hapa tulipofika na mafanikio yaliyopatikana kutokana na kazi yako omba dua ya nabii Suleiman ya kumshukuru ALLAH s.w.Swali sana usiku na mchana na mswalie Mtume Muhammad S.A.W.
Nakushukuru Sana Ikhuani..
Ulitaka kila shutuma ajibu?
Ajabu iko wapi akijibu Amiri Jamal.Kwani mara ngapi maraisi wanapeleka wawakilishi wao kufanya mambo kwa majina yao.
Kwa sababu wewe uko hapo nyumbani basi naomba uende kwenye ofisi za Majira, Uhuru, Daily News ututafutie hiyo stori ya kumbukumbu zako. Mimi nimesema ninachokifahamu. Prove me wrong.Hayo ya kumhoji Amir Jamali ni yako wewe ila Nyerere alihojiwa na waandishi baada ya shutuma za Kambona kusikika nchi nzima! siku hiyo mimi nilihudhuria mkutano wa Kambona Jangwani mwaka 1992 na alipomtaja Nyerere, Kawawa na Amir Jamal kuwa wameweka mamilioni ya dola Uswissi, kulikuwa na mtafaruku na hasira toka kwa Wananchi kusikia kashfa hiyo hasa kumhusu Mwalimu!
wananchi waliwalaani hao viongozi waliotajwa kwa ufisadi na niliona kwa macho yangu na baadae Nyerere alipohojiwa na waandishi kuhusu ufisadi huo, alicheka na kusema kama ni yeye hajali kuhusishwa na utajiri huo, ila anasikitika kutajwa Rashidi ambae umasikini wake anaujua ndani nje!
Jasusi,
Wewe ulikuwa nje ya nchi ukitumikia shirika la kimataifa! mimi nilikuwa nchini na kuhudhuria mkutano huo wa Kambona ambapo ktk mkutano huo Kambona aliambatana na mkewe Flora na kabla ya kuanza hotuba yake Kambona aliwataja na kuwaenzi wapigania uhuru wote waliotajwa na Mohamed Saidi!
Nashindwa kuelewa kwanini mnapinga kila kitu! ukitaka kuthibitisha haya nenda ofisi za Mwananchi, Majira, Uhuru, Daily News na Annur utapata kumbukumbu hizi!
Kumbuka Nyerere akijibu shutuma hiyo alikuwa hana wadhifa wowote ndani ya chama wala Serikali sasa dai lako la kuwa alikuwa bussy na asingeweza kujibu kila hoja halina msingi!
Mohamed Saidi kala chocho...kawaacha wafia dini wenzake (wanafunzi wake) wanadanki danki kwa hoja mfu na nyepesi.
Kwa sababu wewe uko hapo nyumbani basi naomba uende kwenye ofisi za Majira, Uhuru, Daily News ututafutie hiyo stori ya kumbukumbu zako. Mimi nimesema ninachokifahamu. Prove me wrong.
Umesema magazeti ya Uhuru, Daily News na Majira. Huko unaweza kwenda maktaba yao na kunakili chochote unachotaka. Nilijua Yericko asingeipata ile tape pale TBC kwa sababu wamebana utoaji wa hotuba za Mwalimu. Anyway, all in all, ni kwamba I worked on this story na kama Mwalimu angesema kitu wakati huo ningesikia. Hakuna kitu kama hotuba ya Kambona, believe me, ila ile ya Diamond Jubilee nimeahidi kuwa nitaitafuta nitakapokuwa Bongo.Mtoto wa Nyerere, Yericko alienda TBC kuomba hotuba ya baba ake akanyimwa mimi mswahili wa Tandamti mla kashata na gahwa nani atanipa? watu kama nyinyi waandishi wa kimataifa mna influence kubwa tu! piga simu kwa waandishi wenzako wa Dar na mtume Yericko wampe ile hotuba ya diomond jubilee na nakala ya hotuba ya Kambona!
Umesema magazeti ya Uhuru, Daily News na Majira. Huko unaweza kwenda maktaba yao na kunakili chochote unachotaka. Nilijua Yericko asingeipata ile tape pale TBC kwa sababu wamebana utoaji wa hotuba za Mwalimu. Anyway, all in all, ni kwamba I worked on this story na kama Mwalimu angesema kitu wakati huo ningesikia. Hakuna kitu kama hotuba ya Kambona, believe me, ila ile ya Diamond Jubilee nimeahidi kuwa nitaitafuta nitakapokuwa Bongo.
Hiki ni kituko cha mwaka hivi Mohamed Said na Philemon Andrew K Mushi nani anajua habari za Mwambao.
Hizi ngano walishe wenzako Mushi na Pwani wapi na wapi.
Chukuwa maneno ya hotuba ya Nyerere hapo kuhusu Wazee wa Dar es Salaam kisha mpelekee Mushi, muulize Mushi kuwa Nyerere naye alipata upinzani wakati anakwenda Mwambao.
Mwambie Mushi ajikite kuelezea habari za Machame, Kibosho, Rombo, Kishumundu, lakini siyo Mwambao.
Endelea kumeza ngano za nazi kutoka kwa Mushi.
P. Fm,Mkuu kwa uelewa wangu nadhan unatakiwa kuangalia na kuthibitisha kilichoandikwa na Mushi ni sahihi au la. Mazingira anayotoka Mushi Au Mo Said hayathibitishi kile walichokiandika ni sahihi au la! Bali ni utafiti ndio unaothibitisha, Mtu anaweza akatoka mwambao akaenda kufanya utafiti machame na akathibitisha kilo alichofanyia kazi na vivyo hivyo wa Kaskazin anaweza enda kusini. Kwahiyo kitu cha msingi ni kuangalia hoja ina mashiko na si mazingira ambayo mtu ametokea.
RitzHiki ni kituko cha mwaka hivi Mohamed Said na Philemon Andrew K Mushi nani anajua habari za Mwambao.
Hizi ngano walishe wenzako Mushi na Pwani wapi na wapi.
Chukuwa maneno ya hotuba ya Nyerere hapo kuhusu Wazee wa Dar es Salaam kisha mpelekee Mushi, muulize Mushi kuwa Nyerere naye alipata upinzani wakati anakwenda Mwambao.
Mwambie Mushi ajikite kuelezea habari za Machame, Kibosho, Rombo, Kishumundu, lakini siyo Mwambao.
Endelea kumeza ngano za nazi kutoka kwa Mushi.
KadogooHayo ya kumhoji Amir Jamali ni yako wewe ila Nyerere alihojiwa na waandishi baada ya shutuma za Kambona kusikika nchi nzima! siku hiyo mimi nilihudhuria mkutano wa Kambona Jangwani mwaka 1992 na alipomtaja Nyerere, Kawawa na Amir Jamal kuwa wameweka mamilioni ya dola Uswissi, kulikuwa na mtafaruku na hasira toka kwa Wananchi kusikia kashfa hiyo hasa kumhusu Mwalimu! wananchi waliwalaani hao viongozi waliotajwa kwa ufisadi na niliona kwa macho yangu na baadae Nyerere alipohojiwa na waandishi kuhusu ufisadi huo, alicheka na kusema kama ni yeye hajali kuhusishwa na utajiri huo, ila anasikitika kutajwa Rashidi ambae umasikini wake anaujua ndani nje!Jasusi,Wewe ulikuwa nje ya nchi ukitumikia shirika la kimataifa! mimi nilikuwa nchini na kuhudhuria mkutano huo wa Kambona ambapo ktk mkutano huo Kambona aliambatana na mkewe Flora na kabla ya kuanza hotuba yake Kambona aliwataja na kuwaenzi wapigania uhuru wote waliotajwa na Mohamed Saidi!Nashindwa kuelewa kwanini mnapinga kila kitu! ukitaka kuthibitisha haya nenda ofisi za Mwananchi, Majira, Uhuru, Daily News na Annur utapata kumbukumbu hizi!Kumbuka Nyerere akijibu shutuma hiyo alikuwa hana wadhifa wowote ndani ya chama wala Serikali sasa dai lako la kuwa alikuwa bussy na asingeweza kujibu kila hoja halina msingi!
Darsa, si "darasa".umeshindwa kutoa darasa nilidhani tungeweza kujadiliana na badala yake unanirudisha nyuma tena..