Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #9,961
Mohamed Saidi kala chocho...kawaacha wafia dini wenzake (wanafunzi wake) wanadanki danki kwa hoja mfu na nyepesi.
Atarudi tu yupo mapumzikoni leo, kumbuka tangu uzi huu niuanzishe hayawahi kubanduka kwenye net,
Kutetea uongo ni kazi kubwa, inahitaji ustahimilivu na pesa juu yake.