ana kiherehere kama mgalatia aliyerogwa
Kuwa na subra basi swali kaulizwa Mohamed Said. Au tayari umeishamjibia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na subra basi swali kaulizwa Mohamed Said. Au tayari umeishamjibia.
haaaaa!.........kumbe mnakasha unaendelea huku!.......wacha niangalie angalie isije ikawa ni ile minakasha ya wakati ule inajirudia....
Ni kweli, tofauti ipo lakini! maana kuna confession!haaaaa!.........kumbe mnakasha unaendelea huku!.......wacha niangalie angalie isije ikawa ni ile minakasha ya wakati ule inajirudia....
Kuwa na subra basi swali kaulizwa Mohamed Said. Au tayari umeishamjibia.
Hata kwa bunduki huwezi kumuambia Mohamed Said na wafuasi wake waangalie ubora elimu inayotolewa kwenye shule za kiislam. Tumejaribu sana huko nyuma. Wenyewe tatizo lao lipo NECTA.
Na hapa kwenye paper yake
Shule zinazojaa waislam lazima zifanyiwe mchezo mchafu na NECTA. Kama alivyouliza Nguruvi3, inakuwaje FEZA BOYS/GIRLS zinafanya vizuri lakini ni shule zinazoendeshwa na waislam?
Sasa kama ni hivyo, kwanini unaendelea kulalamika kuwa kuna uonevu unaofanywa? Hivi huoni kuwa hujaitendea haki serikali maana haina platform ya kujibu tuhuma hizi unazoeneza mitaani kule usikotaka mazungumzo ya mitaani yafanyike!Sisi hatuna haja ya mazungumzo ya mitaani.
Serikali ina kila kitu chetu.
Tusubiri yote hayo yatakuwa hadhir.
Inawezekana kitabu changu umekisoma zamani.
Kipitie tena uangalie nilivyoieleza AMNUT.
Nimesema Waislam waliikataa.
Kuhusu Mwinyi hujui.
Niliwasilisha mada Kenyatta University mwaka 2006 "Al Marhum Sheikh Kassim Juma and the Pork Riots of 1993""
Wanaukumbi wakipenda nitaiweka humu wasome wenyewe washuhudie fikra zangu kuhusu Mwinyi.
Ama hayo mengine uliyosema ni mengi siwezi kujibu yote.
Mimi nimeingia humu kuja kueleza historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.
Nimeingia humu kurejesha hadhi na heshima ya wazee wangu.
Waulize Waislam.
Tunajua nini maana ya kudhulumiwa.
kassimamari;5495692]NIMEFUATILIA KWA KINA KINACHOJADILIWA KATIKA MJADALA HUU NA NIMEBAINI MOHAMED SAIDI YUKO SAHIHI KWASABABU YEYE ANACHOELEZA NI HISTORIA YA WAISLAM KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA NA MCHANGO WAO
Hizo sentensi mbili zina maana tofauti sana labda tu kama Mohamed ana kitabu kingine alichotoa kueleze unachokisemaMimi nimeingia humu kuja kuelezea historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.
Hebu tusaidie, kuthamiwa ilitakiwa Nyerere afanye nini?NA SI HIVYO TU MARA BAADA YA UHURU WAISLAM HAWAKUWA NI WENYE KUTHAMINIWA NA WALIDHARAULIWA NA HATIMAYE NYERERE AKAANZA KUTUMIKA KULIPA KANISA NGUVU HUKU AKIWAKANDAMIZA WAISLAM NCHINI TANZANIA REJEA VITABU VIFUATAVYO:-
Hizo sentensi mbili zina maana tofauti sana labda tu kama Mohamed ana kitabu kingine alichotoa kueleze unachokisemaHebu tusaidie, kuthamiwa ilitakiwa Nyerere afanye nini?
Nyerere alitumikaje kulipa kanisa nguvu kwa kuwakandamiza waislam?
Hebu tupe undani uliomo katika vitabu hivyo japo kwa ufupi tu ili twende sambasamba usituache nyuma.
Je, ni waislam peke yao waliopigania uhuru wa nchi hii?
Kama wapo wengine, je wao walithaminiwa vipi tofauti na wenzao waislam
NIMEFUATILIA KWA KINA KINACHOJADILIWA KATIKA MJADALA HUU NA NIMEBAINI MOHAMED SAIDI YUKO SAHIHI KWASABABU YEYE ANACHOELEZA NI HISTORIA YA WAISLAM KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA NA MCHANGO WAO NA SI HIVYO TU MARA BAADA YA UHURU WAISLAM HAWAKUWA NI WENYE KUTHAMINIWA NA WALIDHARAULIWA NA HATIMAYE NYERERE AKAANZA KUTUMIKA KULIPA KANISA NGUVU HUKU AKIWAKANDAMIZA WAISLAM NCHINI TANZANIA REJEA VITABU VIFUATAVYO:-
KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA Dr J SIVALON
THE CROSS V/S CRESCENT Mbogoni
THE MAKING OF TANGANYIKA Judith Listowell
DEVELPOMENT AND RELIGION IN TANZANIA John Vern Bergen
Soma hivyo vitabu uone nyerere anavyokiri kuwa mtumishi wa kanisa na kuchukua ahadi ya wazi kuwa atalipa kanisa lake nguvu na kuwadhoofisha waislam hivyo ni vitabu vimeandikwa nyerere akiwa hai na amefanya mahojiano na hawa waaandishi nzuri zaidi wote walioandika ni wakristo
Sasa kama ni hivyo, kwanini unaendelea kulalamika kuwa kuna uonevu unaofanywa? Hivi huoni kuwa hujaitendea haki serikali maana haina platform ya kujibu tuhuma hizi unazoeneza mitaani kule usikotaka mazungumzo ya mitaani yafanyike!
NIMEFUATILIA KWA KINA KINACHOJADILIWA KATIKA MJADALA HUU NA NIMEBAINI MOHAMED SAIDI YUKO SAHIHI KWASABABU YEYE ANACHOELEZA NI HISTORIA YA WAISLAM KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA NA MCHANGO WAO NA SI HIVYO TU MARA BAADA YA UHURU WAISLAM HAWAKUWA NI WENYE KUTHAMINIWA NA WALIDHARAULIWA NA HATIMAYE NYERERE AKAANZA KUTUMIKA KULIPA KANISA NGUVU HUKU AKIWAKANDAMIZA WAISLAM NCHINI TANZANIA REJEA VITABU VIFUATAVYO:-
KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA Dr J SIVALON
THE CROSS V/S CRESCENT Mbogoni
THE MAKING OF TANGANYIKA Judith Listowell
DEVELPOMENT AND RELIGION IN TANZANIA John Vern Bergen
Soma hivyo vitabu uone nyerere anavyokiri kuwa mtumishi wa kanisa na kuchukua ahadi ya wazi kuwa atalipa kanisa lake nguvu na kuwadhoofisha waislam hivyo ni vitabu vimeandikwa nyerere akiwa hai na amefanya mahojianol na hawa waaandishi nzuri zaidi wote walioandika ni wakristo
NIMEFUATILIA KWA KINA KINACHOJADILIWA KATIKA MJADALA HUU NA NIMEBAINI MOHAMED SAIDI YUKO SAHIHI KWASABABU YEYE ANACHOELEZA NI HISTORIA YA WAISLAM KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA NA MCHANGO WAO NA SI HIVYO TU MARA BAADA YA UHURU WAISLAM HAWAKUWA NI WENYE KUTHAMINIWA NA WALIDHARAULIWA NA HATIMAYE NYERERE AKAANZA KUTUMIKA KULIPA KANISA NGUVU HUKU AKIWAKANDAMIZA WAISLAM NCHINI TANZANIA REJEA VITABU VIFUATAVYO:-
KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA Dr J SIVALON
THE CROSS V/S CRESCENT Mbogoni
THE MAKING OF TANGANYIKA Judith Listowell
DEVELPOMENT AND RELIGION IN TANZANIA John Vern Bergen
Soma hivyo vitabu uone nyerere anavyokiri kuwa mtumishi wa kanisa na kuchukua ahadi ya wazi kuwa atalipa kanisa lake nguvu na kuwadhoofisha waislam hivyo ni vitabu vimeandikwa nyerere akiwa hai na amefanya mahojiano na hawa waaandishi nzuri zaidi wote walioandika ni wakristo
Ni kawaida yako kukimbia hoja kwa kuangalia visingizio kadha wa kadha. Wamasai wana msemo wao ''ni ngumu kumesa''Neno "kulalamika" inaelekea linapendeza masikioni kwa wengi.
Hebu liunge na ulalamishi.Utapata maana halisi.
Ukisha psta maana hiyo angalia mantiki na hilo ulokusudia.
Ni kawaida yako kukimbia hoja kwa kuangalia visingizio kadha wa kadha. Wamasai wana msemo wao ''ni ngumu kumesa''
Mohamed,hivi kuna uwezekano wa mwanafunzi kutofanya mtihani halafu adhulumiwe na NECTA?
Kitendo cha padre kuchaguliwa kuongoza wizara ya elimu kilikuwa na tatizo gani katika maadili ya kiutawala
Kujenga NCHI moja isiyo na DINI wa UKABILA haikuwa kazi ya lelemama. Wapo ambao watakuwa walikwaruzwa katika kulifikia lengo hili na hasa kama walipingana waziwazi au kwa kificho na dhana hii. Katika hili, Mwalimu hakumbakiza yeyote hata kama angekuwa mtu wake wa karibu namna gani.
Kitabu chako kile na mahubiri yako ya sasa yanaturudisha huko taratibu lakini kwa uhakika. Mimi na wewe tumekua na kusoma kwa amani sana nchi hii. Sielewi tunakoelekea sasa na mahubiri haya na hisia hizi mpya kwa vijana wetu hawa ambao wamezaliwa miaka ya 80 kila kitu kimeanza kuvurugika.
Hivi kweli Muislam daraja la tatu anaweza kuwa RAIS wa nchi hii tena akawapanga kwenye UONGOZI nyeti wa taifa Waislam wenzake kadri anavyotaka?
Waislam wa fedha ndugu yangu utathubutu kuwachezea?