Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Huna mpya we makalio! usipo kaa vizuri mzee mzushi Mohamed Said atakufanya vibaya. Alianza kuitafuna akili yako akakuacha mtu! unajua kitakachofuatia?

Wala mimi sikutukani najua unachuki na uislamu nyuma ya pazia ya u ATHIEST wako lakini bila mzee MS usinge yajua haya kubali au kataa Nguruvi3 na mzee MS mfano wake ni umbali kati ya nyota na mchanga sawa bingwa wa matusi usiyepigwa ban
 
Mzee Mwanakijiji,

Muulize Ritz ni kwanini anashindwa kukujibu ni nani anachagua mawaziri na manaibu wake. Kwa mie ninavyojua hakuna raisi anayelalamikiwa kuwapa watu nafasi kwa fadhila kama kikwete hata makamu wa raisi 2010 alimpanga zhakia na kampeni zake familia yake. Pia ameishapangua baraza mara mbili na kupangua wakuu wa mikoa na wilaya - wamejaa waislamu. Pia Hata Lissu ameishalalamikia sana uteuzi wa majaji haufuati vigezo. Pamoja na kuonesha wazi kwamba anania ya kuifanya nchi yote kuongozwa kidini ni wazi kuna mambo hawezi kufanya kwasababu ya misingi Nyerere aliyoiacha. Kifupi Nyerere hakua mdini na angekua mdini kama raisi wetu waislam sijui wangekua wapi leo. Mtu asitudanganye kuna upendeleo wa kielimu ni wazi kati ya watu wasomi nchini ni pamoja na wapemba wamesoma sana tu na kama kungekua na efforts za wazi za kuwadidimiza wasingekua hivyo.

Naona unaongea kama umekatwa kichwa vuta subra takushushia orodha ya wakuu wa Wilaya, wakuu wa Mikoa, Mawaziri na Manaibu wake na dini zao.
 
Big Show,

Kuhusu Ali.

Dk. Pacheco daktari wa Ali aliyekuwa kwenye kona ya Ali anasema
alishtushwa pale Ali alipomwambia kuwa, ''Huyu mimi nampiga.''

Dk. Pacheco akamwambia, ''Maliza basi pambano."

Ali akamjibu akasema, ''Ngoja nistarehe na yeye kwanza.''
Hakika alimpiga kwa knock out.

Kama alivyosema mwenyewe nitamchukua katika nchi ambayo hajawahi
kufika.

Hawa jamaa zangu mimi nimewachukua katika historia ambayo hawakuwa
wanajua ipo.

Nimewakaribisha katika nyumba na kuwafahamisha kwa watu hawakupata
kuwasikia hata siku moja.

Cha ajabu wanapandisha ghadhabu na kutoka matusi.
Hii ndiyo ijaza yangu.

Mkuu, Mwenyezi Mungu uwaleta baadhi ya binadamu duniani 4 a reason; chukulia binadamu kama Mohammed Ali akuwa mwadamu wa kawaida yule, kuna mambo mengi ambayo nikiyakumbuka najiuliza kwa nini hakupewa tuzo la Nobel badala ya kusema eti hawe Barozi wa michezo ya Olympic! Jamaa huyu ali-inspire binadamu wengi duniani hasa wale waliokuwa wananyimwa haki zao, hakuwa mwoga kusema ukweli - chukulia mbinu zake za ku-prolong mchezo wa mgumi ili watu wafaidi pesa zao wakati alikuwa na uwezo wa kumpiga mpizani K.O round ya kwanza! Ali alikuwa na ubunifu wa hali ya juu sana kuliko wapiganaji wengine including Joe Freizer, mfano Ali alikuwa anambatiza Freizer majina mabaya sana mpaka anachukia, ilichukua muda Freizer kugundua kwamba kumbe zile zilikuwa ni mbinu za kuwaongezea kipato ili wazungu wenye pesa waingie kwenye arena kushuhudia waswahili wanauana! Ali bwana, siku nyingine kampigia simu Freizer na kumweleza kwamba wakitaka kuongeza gate collection wajifanye wanakutana kwa bahati mbaya mitaani alafu watake kuzipiga kavu kavu mitaani, walinzi wao ndio wajifanye kuwathibiti kwa nguvu, Ali anasikika akisame tuache bwana twende uwanja wa (mpira/basketball kama nakumbuka vizuri) ili mashebeki wangalie mchezo bila malipo. Siku ya siku ilipo wadia watu walijaa uwanjani wengi kupindukia wakiwa na imani kwamba jamaa hawa wamatalizana - kumbe hile ilikuwa ni jana ya kuwachota akili Wazungu, Mungu ambaliki kiumbe huyu mahili/wakukumbukwa.

Mtu mwingine ni Nelson Mandela, kwanza Mungu alimpa kalama ya kutotaka kulipiza visasi na kusemehe, hulka hii inakosekana sana katika Viongozi wengi hasa wa Kiafrica hulka hii ndio usababisha watu kuonewa, kuwekwa gerezani na concentration camps kwa vizingizio vya kubuni tu!! Kulipiza visasi na kutosamahe ni traits mbaya sana. Je Mandela wakati alipo teuliwa kuwa RAIS angekuwa ni mtu wa aina niliyo taja hapo juu Africa Kusini si ungewaka moto? Niliwahi kumshudia kwa macho yangu nilipo kuwa nje ya nchi, alikuwa anahojiwa na BBC kwenye luniga muda mchache kabla hajafunguliwa - kitu kilicho nishtua ni pale alipo ulizwa kama atafuata siasa za ujamaa au la? Mandela bila ya kupoteza muda alisema alikuwa anapata habari kuhusu mambo yalivyo kuwa yanakwenda huko Tanzania, akasema nchi yake haitafanya makosa ya kuhiga siasa za ujamaa kama za Tanzania - looking back now inaonekana Mandela alikuwa amefanya homework ya kutosha ndio maana Africa Kusini inaendelea kupaa kimaendeleo na wazungu walio kuwa wamekimbilia Australia na Ulaya kwa kumuogopa Mandela wamerudi tena South Africa.
 
Nina habari nyingi za Nyerere na Mapinduzi ya Zanzibar.

Umeniudhi kwa hilo neno "Wapemba" ni kiashiria cha chuki
na ubaguzi.

Hizo ni sumu.
Sasa nijibu kuhusu huo "Upemba" nitoe darsa.

Nasubiri jibu lako.
 
Bukyanagandi,

Hebu tupe darsa kitoka kuhusu hilo la serikali ya kikoloni kuwa muwakilishi wa madhehebu ya Kikatoliki katika wizara ya elimu.

Mkuu usiwe na wasi wasi, yote ntayawasilisha jamvini kwa mpagilio makini - kumbuka dossier yangu bado hiko jikoni. Labda nikumbushe kwamba haitakuwa kama ya Tony Blair iliyo husu WMD (kisingizio cha kuanzisha vita na Saddam Hussein).
 
Mohamed Said ni mchochezi wa kutupwa, ataendelea kuwapika chuki vijana wa kiislamu siku mambo yakiharibika yeye atakimbilia ulaya na si arabuni huko kwa wapambe wake, mzee said ni mmoja kati ya jamii za waswahiili (wapwani) waliolelewa katika maisha ya uarabuni usihiri, uzembe na chuki kama zilivyo jamii nyingine za waswahili, hivi unategemea nini kwa kwa mtu anaye swali kwa mtoro kituo cha uislamu wa itikadi kali na ushabiki wa kiislamu? inabidi sasa mzee saidi ajiulize nini madhara ya hiyo mbegu anayoipanda ? Jibu ni rahisi , Buselesele ,Zanzibar, Mbagala, Tunduru nk.
 
Nina habari nyingi za Nyerere na Mapinduzi ya Zanzibar.

Umeniudhi kwa hilo neno "Wapemba" ni kiashiria cha chuki
na ubaguzi.

Hizo ni sumu.
Sasa nijibu kuhusu huo "Upemba" nitoe darsa.

Nasubiri jibu lako.

Mohamed Said,

Shusha mipini unauliza gahawa uswahilini.
 
Mohamed Said ni mchochezi wa kutupwa, ataendelea kuwapika chuki vijana wa kiislamu siku mambo yakiharibika yeye atakimbilia ulaya na si arabuni huko kwa wapambe wake, mzee said ni mmoja kati ya jamii za waswahiili (wapwani) waliolelewa katika maisha ya uarabuni usihiri, uzembe na chuki kama zilivyo jamii nyingine za waswahili, hivi unategemea nini kwa kwa mtu anaye swali kwa mtoro kituo cha uislamu wa itikadi kali na ushabiki wa kiislamu? inabidi sasa mzee saidi ajiulize nini madhara ya hiyo mbegu anayoipanda ? Jibu ni rahisi , Buselesele ,Zanzibar, Mbagala, Tunduru nk.

Wewe kweli Yoso nakushauri soma taratibu huu uzi saizi upo post ya #520 kuna mengi utajifunza kuliko kukurupuka kuandika usichokijua.

Hujui Msikiti wa Mtoro una miaka mingapi hapo ulipo mpaka ukajengwa upya na ukafunguliwa na Rais wakati ule.

Usipende kuokota maneno mitaani na kuyaleta JF bila kuyafanyia kazi.
 
Kadogoo, hapa ndipo huwa nasema, Mohamed amefaulu sana kuwafanya watu wafikiri kidogo kuliko kufikiri sana. Wakishafanikiwa kufikiri kidogo inahitaji nguvu kidogo sana ili kuweza kuwasha moto kwasababu wakati huo fikra zitakuwa zimefungika na watu wanaangalia katika upenyo mdogo.''Narrow angle''

Abdul Sykes kama alivyokaririwa na Mohamed alisema ''nia ya uhuru ni kumkomboa mwafrika kutoka madhila ya ukoloni''.
Hakusema kuwakomboa watu wa aina fulani.

Matunda ya uhuru si uwaziri, RPC, ukuu wa wilaya au mikoa n.k. Matunda ya uhuru ni yale yanayomwacha Mtanganyika huru kujitafutia maendeleo yake kama mwanadamu mwingine bila kufungwa pingu.
Ni yale yanayomsaidia mwanadamu kuamua hatima ya maisha yake na kwa mipango yake popote alipo na kwa wakati wowote.

Matunda ya uhuru hayaangalii ni nani mkuu wa wilaya ya Kilwa, yanangaalia kwanini wanafunzi 300 wa shule ya sekondari ya Kilwa wameaacha shule na shule hiyo kufungwa.

Matunda ya uhuru ni yale ya mpango wa maendeleo wa mwaka 1963 ulizingatia sana ujenzi wa Hospitali ya Kinyonga pale Kivinje na kwingineko ambako huduma zilikuwa duni wala si kupata mkuu wa mkoa kutoka kivinje.

Nikichukua mfano wako nisioutaka hata kuufikiria, hivi baraza la mawaziri likiwa na asilimia 98 waislam, hiyo itakuwa imemsaidiaje mwislam wa Mjasani Tanga, Nyakanga, Kamunyonge na kule Mikindani?

Ni mawazo ya aina hiyo yanayofanana na yale ya utafiti wa wanafunzi wa kuingia Faculty of art ya UDSM ulihotimisha kuwa waislam ni asilimia 20 tu. Utafiti huo haouonyeshi ni kiasi gani waislam walichaguliwa kujiunga na vyuo vya ufundi vya kati n.k.

Kwamba Faculty nzima ikiwa na asilimia 100 waislam basi matatizo ya waislam wa Mkuzi, Kwasadala, Isevya na Tunduru yatakuwa yamekwisha. Ukishafikiria hivyo basi ujue matunda ya uhuru hutayapata na wala huna mpango wa kuyapata.

Kadogoo, hivi wewe ulishawahi lini kununuliwa sukari na waziri kwasababu tu ni mwislam?
Ukienda kariakoo wateja wananunua nyanya na viazi bila kuonyesha ID kama wanunuavyo sukari na unga madukani.
Wapi unapata ushahidi wa kusema matunda ya uhuru yanaliwa na wachache?

Matunda ya uhuru ni wewe kuwa huru kufanya yale yanayosaidia familia yako na taifa na wala si uwaziri, katibu mkuu n.k.
Ukishaweza kufikiria out of the box tayari una matunda ya uhuru, ukiamua kuamini hadithi za wafanyabiashara wa magazeti na vitabu hakika una tatizo na miaka 20 ijayo utakuwa pale pale unadai matunda ya uhuru wakati wenzako wanaoshughulisha vichwa wapo kivulini wana menya na kulaKuandamana hakujawa suluhu ya tatizo hata siku moja. Kuandamana ni njia tu ya kuonyesha hisia lakini si suluhu.

Nakuhakikishia kuwa sehemu kubwa ya waandamanaji huwa hawajui kwa kina wanaandamana kwanini.
Tazama watu wanaokwenda segerea kwa maandamano hakuna mwenye uelewa wake aendae huko.

Ni hawa vijana waliopigika wanaotafuta mahali pa kuteremsha hisia zao kama vijana wengine.
Tofauti ni kuwa wao wanatumia dini badala ya uhalisia wa maisha.
Leo ukiitisha maandamano kuhusu hali ngumu ya maisha utapata watu wa rika zote na imani zote kwasababu dhiki ni across the board.

Kadogoo, kutembea ni sehemu muhimu sana ya elimu. Pengine hilo ndilo linanifanya nijiulize kila siku hivi kuna tofauti gani ya umasikini wa pale kwa father Libaba Nyangao,kule Nandembo, Peramiho, Mchukwi,bumbuli, Magila, Ikizu, Kisiwani Same, Mashati, Oloi toktik, Haidan ukilinganisha na Nanjilinji, Lusanga, Mkongo, Mtimbira, Mlimba n.k.?
Jibu ni hakuna ! maana yake ni kuwa afadhali ipo kwa mtu na wala si watu!

Namshukuru sana mungu kwa kuniwezesha kuishi maeneo ambayo ni lazima mtu ajiulize kabla hajanijengea hoja za uwaziri, ukatibu mkuu, takwimu za UDSM n.k. kwasababu nimeishi na kuona mtoto akifariki kwasababu tu wazazi hawamudu kununua dawa ya sh 1600.

Na wala si katibu kata, tarafa, mkuu wa wilaya au mkoa, waziri aliyesimama na wazazi hao wakibeba mtoto wao wa miaka 6 kwa machungu kwenda kufanya maandalizi ya mazishi.

Leo tunaambiwa matunda ya uhuru ni majina ya John, Hussein,Rose na Halima!
Kwamba ukiitwa majina hayo hatakama huamini yanatokana na nini basi uwezekano wa matunda ya uhuru kukufikia ni asilimia 100.

Watu wazima wamekaa katika majamvi wakifundisha ujinga huu tena kwa bidii na wakitokwa jashoHivi nchi itakuwaje ukiwa na akina Ilunga kila mahali.
Kwamba mtu anahubiri kumtoa roho mtu mwingine, kwasababu tu kavaa msalaba au Baragahashia basi huyo aachwe.

Uongozi ni responsibility na si kila mwehu ni kiongozi. Hatuwezi kuacha nchi ivurugwe na wapuuzi kwasababu tu ni viongozi wa dini.
Dini gani inaamuru kumtoa roho mwanadamu mwingine?

Kiongozi asiyejiheshimu akamatwe hadharani, avuliwe msalaba au baraghashia na atupwe katika karandinga!periodNa kwanini wahalifu wakimbilie misikitini au makanisani? Huko misikitini kuna watu wanaiba viatu na wanaadhibiwa ndani ya misikiti tena bila kusikilizwa. Labda ujiulize kwanini wahalifu walkimbilie misikitini kwanza!Nadhani kuna upungufu wa kulielewa hili. Katika miaka 70 namwanzoni mwa 80, kule Sumbawanga kuna kanisa la watchtower. Si kuwa Polisi waliingia na kukamata viongozi bali kanisa hilo lilipigwa marufuku kabaisa. Mgogoro wa Meru n.k.

Kitu cha muhimu hapa si kulinganisha nani anafanya maovu, muhimu ni kwanini maovu yanatokea tena kwa kupangwa ndani ya nyumba za ibada ziwe za kikristo au kiislam.Nadhani tumewahi kumuuliza Mohamed duku duku ni lipi na anafikiria suluhu ipi.

Hakika hajaweza kuja na jibu isipokuwa lile la serikali kutakiwa kutoa majibu. Kinachoshangaza ambacho ni uchochezi wa dhahiri ni kuwa Mohamed yupo kila mhalai kuelezea madhaila ya waislam, hajawahi kusema suluhisho liweje.

Kitu ambacho ni cha hatari sana ni kuchagua wataalam kwa kutumia imani zao.
Hutuwezi kuwa na Daktari kwasababu tu ana jina la John au Hussein.

Utaalam unasomwa na hivyo imbalance itakuwepo endapo jamii fulani itadhani kuwa kupata Chartered account unatakiwa uteuliwe.
Kuwa, mwalimu unatakiwa uteuliwe, na kuwa profesa kama Safari au Mikidadi unatakiwa uteuliwe.

Hili hiliwezakani na kwa msingi huo huwa najiuliza kwanini mtu afikirie kuwa tatizo la waislam ni mawaziri 20 na siyo milioni zaidi ya 20! This kind of mentality ni hatari sana Kadogoo kwasababu imelenga kupoteza jamii na si kuisadia.

Ni nzuri kwa mtu anayeuza vitabu lakini si nzuri kwa jamii husika Mentor wako Mohamed anasema waislam wananong'onezana wamchague nani.Huyu ni mtu na degree zake na paper ulaya na marekani!!!!

Kwamba imefika mahali hatufikiri nani atatusaidia kuondokana na maradhi, ujinga na umasikini tunafikiria kuchagua mtu kwasababu ana kanzu kuubwa au msalaba mkuubwa!

Hapa ndipo nasema matunda ya uhuru hayatapatikana maana kama yangekuwa yamepatikana mawazo ya kijima kama haya yasingepewa nafasi.

Kadogoo labda hapa nichukue nafasi ya ''uwakili '' kwa Mwanakijiji.
Wakati wa Nyerere waislam walisema CCM haifa na hakukuwa na chaguo ila kuishi nayo kutokana na mfumo wa siasa wakati huo. Fair enough!Wakati wa Mwinyi waislam wakasema CCM safiii maana ndicho kimeleta uhuru wa nchi hii na wapinzani ni mamluki tu.

Wakati wa Mkapa wakaja akina CUF na siku ya Ijumaa ikawa ndiyo siku ya maandamano ya CUF na kila linalohusu CUF.
Kwamba sera zake zinatoa haki kwa wote. Haaki ! sawa!

Wakati wa Kikwete CCM ndicho chama kinacholeta mabadiliko na hivyo wakanong'ezana kuichagua.

Kwa mwendo huo, haihitaji mtaalam kujua kuwa Waislam na siasa ni vitu seasonal.
kwamba leo huyu mbaya kesho yule yule mzuri.
Mbaya wa wazee wa Mohamed ni CCM leo ndiye anapiga baragumu mbaya huyo huyo achaguliwe.

Kwanini inakuwa seasonal politics? Jibu ni rahisi sana, waislam wameacha kujitambua kama wao wamekabidhi akili zao kwa kikundi kidogo kuamua wao waweje na wafuate nini.

Kwa mtu mwenye akili haiwezekani ageuzwe mara kadhaa kama nyuzi ya kushonea nguo na asihoji, vipi leo mnasema hivi kesho mnasema vile kulikoni.

Nimalizie kwa kukujibu kuwa tatizo letu ni viongozi si dini. Ukimchagua mtu kwa jina umejidhalilisha na kudhalilisha utu wako.
Nani kasema Ukiwa John lazima uwe Mkristo? au ukiwa Yusuph lazima uwe mwislam.

Majina na imani ni vitu viwili tofauti, hivi ni imported things kutoka Ulaya na Uarabuni ndivyo vimefunga akili na macho yetu kupigana na ujinga maradhi na umasikini tumebaki tukidhani John au Hemedi waziri ataleta neema majumbani kwetu na wala siyo sisi kutafuta neema kwa fursa ya uhuru.

Asante sana.Hivi ndivyo tunavyotakiwa tufikiri matatizo yetu kama Taifa.
Lakini cha ajabu kuna watu wachache wamewajaza ujinga wenzao, na kuwaburuza kama
zigo la uchafu.

Eti wakanong'onezana akina Ponda na akina Mohammed Said "wapite misikitini ili achaguliwe Kikwete".Hapo Lipumba kawekwa kando (hana maana kwa wakati huo).

Hapo ndipo nakubaliana na Nguruvi, kuwepo Muislam wizara fulani hakumletei neema Muislam wa
Masasi au Newala. Na vilevile kuwemo Mkristo Wizara ya Kilimo hakuniletei neema ya mavuno shambani kwangu.

Hawa Wakubwa tu, deals wanapiga bila kuangalia Dini zao. Kama ni manufaa ya wao kuwepo katika nafasi
hizo ni kwa ajili yao na familia zao na labda marafiki zao (across the board Wakristo kwa Waislam).

Hawa wafuasi wa akina MS watabaki kushindiliwa chuki huku wenzao (MS & Others) wananeemeka. Tena
kadri chuki inavyozidi ndivyo wanavyopata credit. Kesho utasikia ile Wizara na mikoa kadhaa wapewe
Waislam (huku wana majina ya jamaa, marafiki, ndugu zao mfukoni) akina Jongo wanabaki kuandamana tu.

Wajinga ndio waliwao!
 
Mohamed Said,

Shusha mipini unauliza gahawa uswahilini.

Ritz,
Hawa ndugu zetu ni wa kwenda nao taratibu sana.

Inawezekana hawajui kitu.

Itakapokuja kujua ukweli tutakuwa tumepiga hatua
na nchi yetu itakuwa salama na fitna hizi za ubaguzi.

Ngoja tumsikie kauli yake kwanza Insha Allah.
 
Mkuu, Mwenyezi Mungu uwaleta baadhi ya binadamu duniani 4 a reason; chukulia binadamu kama Mohammed Ali akuwa mwadamu wa kawaida yule, kuna mambo mengi ambayo nikiyakumbuka najiuliza kwa nini hakupewa tuzo la Nobel badala ya kusema eti hawe Barozi wa michezo ya Olympic! Jamaa huyu ali-inspire binadamu wengi duniani hasa wale waliokuwa wananyimwa haki zao, hakuwa mwoga kusema ukweli - chukulia mbinu zake za ku-prolong mchezo wa mgumi ili watu wafaidi pesa zao wakati alikuwa na uwezo wa kumpiga mpizani K.O round ya kwanza! Ali alikuwa na ubunifu wa hali ya juu sana kuliko wapiganaji wengine including Joe Freizer, mfano Ali alikuwa anambatiza Freizer majina mabaya sana mpaka anachukia, ilichukua muda Freizer kugundua kwamba kumbe zile zilikuwa ni mbinu za kuwaongezea kipato ili wazungu wenye pesa waingie kwenye arena kushuhudia waswahili wanauana! Ali bwana, siku nyingine kampigia simu Freizer na kumweleza kwamba wakitaka kuongeza gate collection wajifanye wanakutana kwa bahati mbaya mitaani alafu watake kuzipiga kavu kavu mitaani, walinzi wao ndio wajifanye kuwathibiti kwa nguvu, Ali anasikika akisame tuache bwana twende uwanja wa (mpira/basketball kama nakumbuka vizuri) ili mashebeki wangalie mchezo bila malipo. Siku ya siku ilipo wadia watu walijaa uwanjani wengi kupindukia wakiwa na imani kwamba jamaa hawa wamatalizana - kumbe hile ilikuwa ni jana ya kuwachota akili Wazungu, Mungu ambaliki kiumbe huyu mahili/wakukumbukwa.

Mtu mwingine ni Nelson Mandela, kwanza Mungu alimpa kalama ya kutotaka kulipiza visasi na kusemehe, hulka hii inakosekana sana katika Viongozi wengi hasa wa Kiafrica hulka hii ndio usababisha watu kuonewa, kuwekwa gerezani na concentration camps kwa vizingizio vya kubuni tu!! Kulipiza visasi na kutosamahe ni traits mbaya sana. Je Mandela wakati alipo teuliwa kuwa RAIS angekuwa ni mtu wa aina niliyo taja hapo juu Africa Kusini si ungewaka moto? Niliwahi kumshudia kwa macho yangu nilipo kuwa nje ya nchi, alikuwa anahojiwa na BBC kwenye luniga muda mchache kabla hajafunguliwa - kitu kilicho nishtua ni pale alipo ulizwa kama atafuata siasa za ujamaa au la? Mandela bila ya kupoteza muda alisema alikuwa anapata habari kuhusu mambo yalivyo kuwa yanakwenda huko Tanzania, akasema nchi yake haitafanya makosa ya kuhiga siasa za ujamaa kama za Tanzania - looking back now inaonekana Mandela alikuwa amefanya homework ya kutosha ndio maana Africa Kusini inaendelea kupaa kimaendeleo na wazungu walio kuwa wamekimbilia Australia na Ulaya kwa kumuogopa Mandela wamerudi tena South Africa.

Buk,

Angalia Insha Allah movie moja ya Mandela ''Invictus'' ikiwa hujaiona.
Morgan Freeman akicheza kama Madiba.

Utamjua Mandela.
 
Ritz kama unavyojiita sina cha kujifunza kutoka kwa Mohammed Said kwani nimesoma machapisho yake mengi tu, kwani ukiangalia mengi yale anayoongelea ni uzushi tu , na hulka ya culture aliyolelewa ya kuwa na chuki, dharau hasa kwa wabara hususan wakristo , nimekuwa ninashi miaka mingi tu na hizi jamii za kipwani, uswahili na madahilo ya kama ya mzee said yameenea pwani yote kuanzia , mikindani, kilwa ,rufiji , bagamoyo, pangani hadi unguja maeneo yote hayo ni mihimili ya uswahili, ubabaishaji,dharau,,ucha mungu feki, usihiri nk mimi sioni cha maana katika machapisho yake zaidi ya kubomoa umoja wa kitaifa tuliorithi toka kwa waasisi wa taifa, basi wewe Ritz( kibaraka wa mohammed said) endelea kumjibia comment zetu.
 
Nini maana ya uswahili? Neno ili unalitumia sana.
 
Kabla ya kujibu swali lako naomba unijibu kwanza kwa nini watu hupenda kusema ile mitaa pale uswahilini sana hivi wanaamanisha nini? usitake kupotosha mada .
 
Kama Mohamed Said anaandika uongo na uzushi ni wakati muafaka kwako wewe kuandika ukweli ili tupime tuone, unapokuja na porojo kupinga tu bila kuweka meneno ya ukweli ambayo yatathibitisha uzushi wa Mohamed Said bado unakuwa hujafanya kitu.
 
Huna mpya we makalio! usipo kaa vizuri mzee mzushi Mohamed Said atakufanya vibaya. Alianza kuitafuna akili yako akakuacha mtu! unajua kitakachofuatia?

Inaonesha upeo wako hapo ndipo ulipoishia..

Huoni haya Gwalihenzi ndugu yangu kwa kauli hizo?unashindwa kabisa kuhandle jazba zako??

Hapo sasa utakuwa unaharibu ladha ya elimu tuipatayo kwenye mjadala huu..
 
Kabla ya kujibu swali lako naomba unijibu kwanza kwa nini watu hupenda kusema ile mitaa pale uswahilini sana hivi wanaamanisha nini? usitake kupotosha mada .

Watanzania bana mie nimekuuliza unapenda sana kutumia neno Waswahili ni maana ya hilo neno badala ya kunijibu na wewe tena unaniuliza tena swali. Hebu jibu tuendelee na mjadala.
 
Manyema gentleman and devout Muslim!
Waikela anasema mwaka 1955 alikuwa mmoja wa TANU founding members in Tabora

Na yeye huyu mmanyema atakuwa aliasisi TAA na AA kama Mzulu Sykes mwaka 1929, ambapo ndio hasa TANU ilianzia according to our master storyteller Mohamed Said.
 
Last edited by a moderator:
Wala mimi sikutukani najua unachuki na uislamu nyuma ya pazia ya u ATHIEST wako lakini bila mzee MS usinge yajua haya kubali au kataa Nguruvi3 na mzee MS mfano wake ni umbali kati ya nyota na mchanga sawa bingwa wa matusi usiyepigwa ban
Wewe mtoto, matatizo yako ni kumsujudia huyo mzee wako muovu, kwa ujinga wako unaamini kila kitu anachokiandika au kukisema huyo mchochezi wako, akili yako umeiua kabisa na hivyo unashindwa kufikiri wala kuchambua mambo, najua hata ikitokea mzee Mohamed akikuongopea kuwa yeye ndio baba yako mzazi utalipokea hivyo hivyo! Kwa taarifa yako hakunajipya alilolileta hapa huyo muongo wako zaidi ya uchochezi na unafiki tu. Hana historia aliyoileta hapa zaidi ya kuwadunisha vijana kama nyie kuwa hamuwezi kufikiri wenyewe na kutatua matatizo yenu zaidi ya kuwasingizia watu wengine. Na wewe kama zuzu umeingia mkenge, pole sana bwana mdogo. Hao akina Nguruvi3, Mag3, Mzee Mwanakijiji, Jasusi, Ngongo at al unaowaona wabaya kwa sababu wana mkosoa huyo fatani Mohamed Said ungewasoma kwa kutumia akili yako badala ya ushabiki wako ungekuwa mbali sana kifikra na kielimu badala ya kung'ang'ania ujinga na upofu anao kulisha huyo mzee wako muovu na rafiki wa uovu na fitina.
 
Back
Top Bottom