THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Wewe mtoto, matatizo yako ni kumsujudia huyo mzee wako muovu, kwa ujinga wako unaamini kila kitu anachokiandika au kukisema huyo mchochezi wako, akili yako umeiua kabisa na hivyo unashindwa kufikiri wala kuchambua mambo, najua hata ikitokea mzee Mohamed akikuongopea kuwa yeye ndio baba yako mzazi utalipokea hivyo hivyo! Kwa taarifa yako hakunajipya alilolileta hapa huyo muongo wako zaidi ya uchochezi na unafiki tu. Hana historia aliyoileta hapa zaidi ya kuwadunisha vijana kama nyie kuwa hamuwezi kufikiri wenyewe na kutatua matatizo yenu zaidi ya kuwasingizia watu wengine. Na wewe kama zuzu umeingia mkenge, pole sana bwana mdogo. Hao akina Nguruvi3, Mag3, Mzee Mwanakijiji, Jasusi, Ngongo at al unaowaona wabaya kwa sababu wana mkosoa huyo fatani Mohamed Said ungewasoma kwa kutumia akili yako badala ya ushabiki wako ungekuwa mbali sana kifikra na kielimu badala ya kung'ang'ania ujinga na upofu anao kulisha huyo mzee wako muovu na rafiki wa uovu na fitina.
Jazba na kebehi,pamoja na maneno ya chuki na hasira hazitasaidia kuufuta uhalisia uliozungumzwa,
Hata hao kina nguruvi,mag3 na mwanakijiji unawasujudia huwa hawatumii lugha za kushindwa kama zako,wamekuja kwa lugha zao za aina yao huku wakidhani wanawaweza shawish uma waukane ukweli lakini wameishia kububujikwa na machozi kwa kushindwa kutetea hoja zako..
Ukweli ni kwamba huna unalolisimamia zaid ya kubisha na kutumia lugha za kujidhalilisha,
Bure utaumia mwenyewe unapojaribu kupiga kichwa ukuta,tuliza akili na moyo,
Pokea ukweli huu unaoambiwa,kama mchungu kwako vumilia tuh..