Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wewe mtoto, matatizo yako ni kumsujudia huyo mzee wako muovu, kwa ujinga wako unaamini kila kitu anachokiandika au kukisema huyo mchochezi wako, akili yako umeiua kabisa na hivyo unashindwa kufikiri wala kuchambua mambo, najua hata ikitokea mzee Mohamed akikuongopea kuwa yeye ndio baba yako mzazi utalipokea hivyo hivyo! Kwa taarifa yako hakunajipya alilolileta hapa huyo muongo wako zaidi ya uchochezi na unafiki tu. Hana historia aliyoileta hapa zaidi ya kuwadunisha vijana kama nyie kuwa hamuwezi kufikiri wenyewe na kutatua matatizo yenu zaidi ya kuwasingizia watu wengine. Na wewe kama zuzu umeingia mkenge, pole sana bwana mdogo. Hao akina Nguruvi3, Mag3, Mzee Mwanakijiji, Jasusi, Ngongo at al unaowaona wabaya kwa sababu wana mkosoa huyo fatani Mohamed Said ungewasoma kwa kutumia akili yako badala ya ushabiki wako ungekuwa mbali sana kifikra na kielimu badala ya kung'ang'ania ujinga na upofu anao kulisha huyo mzee wako muovu na rafiki wa uovu na fitina.

Jazba na kebehi,pamoja na maneno ya chuki na hasira hazitasaidia kuufuta uhalisia uliozungumzwa,

Hata hao kina nguruvi,mag3 na mwanakijiji unawasujudia huwa hawatumii lugha za kushindwa kama zako,wamekuja kwa lugha zao za aina yao huku wakidhani wanawaweza shawish uma waukane ukweli lakini wameishia kububujikwa na machozi kwa kushindwa kutetea hoja zako..

Ukweli ni kwamba huna unalolisimamia zaid ya kubisha na kutumia lugha za kujidhalilisha,

Bure utaumia mwenyewe unapojaribu kupiga kichwa ukuta,tuliza akili na moyo,

Pokea ukweli huu unaoambiwa,kama mchungu kwako vumilia tuh..
 
Sikiliza wewe mpumbavu, mimi sio mwanafunzi wa madrasa au sunday school wakuelekezwa na wewe nini cha kuandika hapa! mimi sijafugwa akili kama ulivyofugwa wewe na huyo mzee wenu mzandiki Mohamed Saidi. Nakuambia wazi bila hofu wala mashaka kwamba Mohamed Said hajaleta kitu kipya hapa zaidi ya majigambo, ujinga, majivuno na uchochezi usio na maana yoyote kwa watanzania zaidi ya kuhatarisha umoja na amani yetu. Alikosea sana alivyojichomeka hapa JF akidhani atawakuta watu wa aina ya mihadhara yake akaishia kuwavuna nyie wajinga wenzake tu. Kavuliwa nguo zote hapa na kubaki na vimaneno vya kitoto vya kuwaambia watu waandike historia za wazee wao! Nyie mazuzu mkapokea nyimbo hizo bila hata kufikiri mkaanza kuimba kwa mayowe badala ya kufikiri "shame on you all".
 
Pole sana,naona jazba zimekuzid ndugu yangu,machozi yanakumwagika,

Na hapa hutapata bwana wa maana wa kukufaa,sote hapa tumeoa na familia zetu,

Nakuonea huruma tuh na hilo umbo lako la jiti,hupendezi kwa tight wala nguva wa mapana..! Gwalihenzi mbona utahangaika sana??

Hasira zako ni juu ya kusemwa kwa ukweli huu au una lingine lililofichikana??
 
Last edited by a moderator:
NYERERE, KARUME WATAJWA KESI YA WAFUASI WA PONDA-
-
-Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere
-Shahidi wa utetezi -na Mwanzilishi wa Baraza la Misikiti Tanganyika, Bilali Waikela (87), amedai mahakamani katika kesi inayomkabili Sheikh Issa Ponda na wenzake 49, kwamba -Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Rais wa kwanza wa Zanzibar, Shekhe Abeid Karume, walivunja Umoja wa Waislamu wa Af...rika Mashiriki.

-Waikela alidai kuwa umoja huo ulianzishwa kwa lengo la kuwatetea na kuwasaidia Waislamu na kwamba Tanzania ilipata kiwanja cha Chang’ombe Marcas kutoka kwa aliyekuwa Rais wa Misri.

-Waikela ambaye ni shahidi wa 48 wa upande wa utetezi katika kesi hiyo alidai kuwa, umoja huo ulifutwa baada ya Karume kudanganywa kuwa wana mpango wa kufanya mapinduzi na kuwarudisha Waarabu Zanzibar.

-“Mwalimu Nyerere ndiye aliyemtuma Karume afanye hivyo na mwaka 1964 nilifungwa baada ya kukataa kupokea Shilingi 40,000 ili nikubali kuvunja umoja huo, na -Kassim bin Juma, Adam Simba na Salehe Masasi waliotumiwa kuhamasisha watu kuvunja umoja huo,” alidai.

-Alidai kuwa ofisi za umoja huo zilifungwa hadi mwaka 1968 lilipoundwa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) na kukabidhiwa ofisi pamoja na mali zote kikiwamo kiwanja cha Chang’ombe markazi kilichokuwa kimejengwa shule ya Waislamu.
-
-CHANZO: NIPASHE, 21st March 2013See More
Jamani ni mimi au nimesoma vibaya-Shahidi wa utetezi -na Mwanzilishi wa Baraza la Misikiti Tanganyika, Bilali Waikela katika kumtaja Nyerere kama alidhulumu waislamu kawataja pia
1. Rashidi Kawawa
2.-Shekhe Abeid Karume,-
3.Kassim bin Juma,-
4. Adam Simba
5.Salehe Masasi.

Sasa hawa si waislamu pia? Vipi au mamluki hawa? Vipi hawakuona mfumo kristo? Inawezekana walidanganywa au walikuwa wakristo wamejifanya waislamu...-

Na hawa wanao lalamika ni waislamu gani?-
 
Sikiliza wewe mpumbavu, mimi sio mwanafunzi wa madrasa au sunday school wakuelekezwa na wewe nini cha kuandika hapa! mimi sijafugwa akili kama ulivyofugwa wewe na huyo mzee wenu mzandiki Mohamed Saidi. Nakuambia wazi bila hofu wala mashaka kwamba Mohamed Said hajaleta kitu kipya hapa zaidi ya majigambo, ujinga, majivuno na uchochezi usio na maana yoyote kwa watanzania zaidi ya kuhatarisha umoja na amani yetu. Alikosea sana alivyojichomeka hapa JF akidhani atawakuta watu wa aina ya mihadhara yake akaishia kuwavuna nyie wajingaza wazee wao! Nyie mazuzu mkapokea nyimbo hizo bila hata kufikiri mkaanza kuimba kwa mayowe badala ya kufikiri "shame on you all".
wenzake tu. Kavuliwa nguo zote hapa na kubaki na vimaneno vya kitoto vya kuwaambia watu waandike historia

Ha ha haa duh kazi ipo hizo nilizo bold ndio ulizo fundishwana walimu wako Nguruvi3,Mag3,Mwanakijiji na Jasusi mods kwa maranyingine nawashauri wekeni na fimbo huku sio likes tu kuna watu wa kupeleka mirembe wana haribu mnakasha.
 
Nini maana ya uswahili? Neno ili unalitumia sana.

Mkuu,

Safi sana msumari mzuri huu. Unajua hawa ndugu zetu hawajijui kuwa ni wabaguzi pasina kujijua. Hawajui sie wenzao tunasoma kwenye mistari na kufahamu lililo moyoni mwa mtu. Yoso Mswahili nani?
 
Jamani ni mimi au nimesoma vibaya-Shahidi wa utetezi -na Mwanzilishi wa Baraza la Misikiti Tanganyika, Bilali Waikela katika kumtaja Nyerere kama alidhulumu waislamu kawataja pia
1. Rashidi Kawawa
2.-Shekhe Abeid Karume,-
3.Kassim bin Juma,-
4. Adam Simba
5.Salehe Masasi.

Sasa hawa si waislamu pia? Vipi au mamluki hawa? Vipi hawakuona mfumo kristo? Inawezekana walidanganywa au walikuwa wakristo wamejifanya waislamu...-

Na hawa wanao lalamika ni waislamu gani?-
Umesoma vizuri hapo nilipo bold mkuu mzee Waikela anasema nyerere aliwadanganya sasa wewe ukileta huo msururu wa watu ili iweje,kwani kawawa hawezi kudanganywa CHEZEA NYERERE soma vizuri kabla kuvamia mkuu, kuna mwalimu wangu ulikuwa ukikosa maswali yote anakuwekea lisifuri likubwa na masikio na wewe unastahiki uwekewe hivyo
 
Na yeye huyu mmanyema atakuwa aliasisi TAA na AA kama Mzulu Sykes mwaka 1929, ambapo ndio hasa TANU ilianzia according to our master storyteller Mohamed Said.

Nanren,

Master storyteller indeed!

Baada ya kumaliza kuhariri kitabu changu ''publisher'' aliniambia kuwa
ana salamu zangu kutoka kwa mhariri.

Kwa kawaida mwandishi hatakiwi kuwa na mawasiliano yoyote na mhariri
lakini huyu mhariri wa kitabu changu mama mmoka profesa wa history
aliomwomba ''publisher anifikishie salamu kutoka kwake.

Salamu zenyewe ni hizi: ''Mwambie Mohamed Said nimeburudika sana katika
kuhariri kitabu chake kwa kuwa ana kipaji kikubwa cha uandishi na kujieleza.''

Wewe umeniita ''Master storyteller.''
Hii ni hidaya kiutoka kwake Allah SW.

Namshukuru sana.
 
Jazba na kebehi,pamoja na maneno ya chuki na hasira hazitasaidia kuufuta uhalisia uliozungumzwa,

Hata hao kina nguruvi,mag3 na mwanakijiji unawasujudia huwa hawatumii lugha za kushindwa kama zako,wamekuja kwa lugha zao za aina yao huku wakidhani wanawaweza shawish uma waukane ukweli lakini wameishia kububujikwa na machozi kwa kushindwa kutetea hoja zako..

Ukweli ni kwamba huna unalolisimamia zaid ya kubisha na kutumia lugha za kujidhalilisha,

Bure utaumia mwenyewe unapojaribu kupiga kichwa ukuta,tuliza akili na moyo,

Pokea ukweli huu unaoambiwa,kama mchungu kwako vumilia tuh..

The Big Show,

Hakika sasa hamaki zimepanda sana.

Mimi kwa kawaida nikimfikisha mtu katika hali kama hiyo kuwa anatukana
ovyo basi husimamamisha mnakasha na yeye hadi atakapotulizana.

Nadhani umeona kuwa baada ya kumgundua kuwa hawezi mjadala ni mtu
wa ghadhabu nimemuwia radhi.

Hata akisema nini simjibu.

Nami nakushauri itakuwa busara kama ungeacha mjadala na ndugu yetu huyu
kulinda heshima zetu sote wana JF.
 
Inaonesha upeo wako hapo ndipo ulipoishia..

Huoni haya Gwalihenzi ndugu yangu kwa kauli hizo?unashindwa kabisa kuhandle jazba zako??

Hapo sasa utakuwa unaharibu ladha ya elimu tuipatayo kwenye mjadala huu..

The Big Show,
Sikuamini macho yangu.

Hakika nimeogopa.
Unajua kuna wasikilizaji 112,000 wanasikiliza.

Haya ni matusi mazito sana.
 
Pole sana,naona jazba zimekuzid ndugu yangu,machozi yanakumwagika,

Na hapa hutapata bwana wa maana wa kukufaa,sote hapa tumeoa na familia zetu,

Nakuonea huruma tuh na hilo umbo lako la jiti,hupendezi kwa tight wala nguva wa mapana..! Gwalihenzi mbona utahangaika sana??

Hasira zako ni juu ya kusemwa kwa ukweli huu au una lingine lililofichikana??
Unaona wapi Mohamed Said alikowafikisha vijakazi wake! sasa mmeshakuwa mashoga na mnakuja hapa bila aibu wala soni kutangaza tabia zenu hizo za kishenzi huku mkijiita waislam safi! "shame on you".
 
Unaona wapi Mohamed Said alikowafikisha vijakazi wake! sasa mmeshakuwa mashoga na mnakuja hapa bila aibu wala soni kutangaza tabia zenu hizo za kishenzi huku mkijiita waislam safi! "shame on you".

david-cameron-220_1774555f.jpg
David willium Cameron huyu ndio anajua habari za ushoga na yeye ni muislamu?
 
Father Richard Walsh alimlea Nyerere na kumpatia nafasi Scotland.

Father Richard Walsh alikuwa na ushawishi mkubwa katika maisha na fikra za Nyerere.
Nashukuru kuona sasa mmerudi kwenye ukweli,

Maryknoll chini ya makasisi wake mahili Richard, Art, na wengine watabaki kuwa alama muhimu kwenye ukombozi wa nchi hii.

Bila kanisa ni bila Maryknoll, na bila Maryknoll ni bila Richard na Art,

Vivyo hivyo bila Pugu ni bila Richard.

Historia hujiandika hata ikipindishwa bado hurejea kwenye ukweli halisi.
 
Mohamed Said,

Sio siri misumari yako pamoja na mipini ya uhuru ndiyo inawavuta watu kwenye huu uzi.

Nipo barazani napata gahawa na tende za Qatar huku nadurusu mipini yako.

Watu makini hawewezi kufuata matusi wafuata Ilm.
 
Mohamed Said,

Sio siri misumari yako pamoja na mipini ya uhuru ndiyo inawavuta watu kwenye huu uzi.

Nipo barazani napata gahawa na tende za Qatar huku daduru mipini yako.
Wamekuambia kuwa wote waliopo hapa ni kwasababu ya Mohamed Said? Inamaana wewe huna mchango wowote kwenye uzi huu?
 
Mohamed Said,

Sio siri misumari yako pamoja na mipini ya uhuru ndiyo inawavuta watu kwenye huu uzi.

Nipo barazani napata gahawa na tende za Qatar huku nadurusu mipini yako.

Watu makini hawewezi kufuata matusi wafuata Ilm.

Ritz,

Unanitamanisha ndugu yangu.

Kwa hali mjadala ulipofika naona uwanja umechafuka rafu nyingi
na mwamuzi kashindwa kuumudu mchezo.

Matusi yamechukua nafasi ya hoja bora mnakasha tuusimamishe.
Mnasemaji wanaukumbi?
 
The Big Show,

Hakika sasa hamaki zimepanda sana.

Mimi kwa kawaida nikimfikisha mtu katika hali kama hiyo kuwa anatukana
ovyo basi husimamamisha mnakasha na yeye hadi atakapotulizana.

Nadhani umeona kuwa baada ya kumgundua kuwa hawezi mjadala ni mtu
wa ghadhabu nimemuwia radhi.

Hata akisema nini simjibu.

Nami nakushauri itakuwa busara kama ungeacha mjadala na ndugu yetu huyu
kulinda heshima zetu sote wana JF.

Nimechukua ushauri wako,namimi nimeshamuwia radhi huyu ndugu,,

Endelea kutupa darsa,tunauthamin sana uwepo wako,tafadhalim usiondoke kwa maudhi ya hawa wachache wasiojitambua..
 
Wamekuambia kuwa wote waliopo hapa ni kwasababu ya Mohamed Said? Inamaana wewe huna mchango wowote kwenye uzi huu?

Anaetufanya tukeshe hapa ni @Mohamed Said tuh,

Kwa wengine tunaburudishwa tuh na viroja vyao,hasa hasa wewe ukiwa miongoni mwao..
 
Unaona wapi Mohamed Said alikowafikisha vijakazi wake! sasa mmeshakuwa mashoga na mnakuja hapa bila aibu wala soni kutangaza tabia zenu hizo za kishenzi huku mkijiita waislam safi! "shame on you".

Gwalihenzi,una gubu sana,unaongea kauli mbovu,unaharibu mjadala.

Unasema sana,tukisema unasema tuna gubu,

Hutuwez.,tulia elimu imwage hapa na watu wapate kujifunza..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom