THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Ritz,
Unanitamanisha ndugu yangu.
Kwa hali mjadala ulipofika naona uwanja umechafuka rafu nyingi
na mwamuzi kashindwa kuumudu mchezo.
Matusi yamechukua nafasi ya hoja bora mnakasha tuusimamishe.
Mnasemaji wanaukumbi?
Anaetufanya tukeshe hapa ni @Mohamed Said tuh,
Kwa wengine tunaburudishwa tuh na viroja vyao,hasa hasa wewe ukiwa miongoni mwao..
Ritz,
Unanitamanisha ndugu yangu.
Kwa hali mjadala ulipofika naona uwanja umechafuka rafu nyingi
na mwamuzi kashindwa kuumudu mchezo.
Matusi yamechukua nafasi ya hoja bora mnakasha tuusimamishe.
Mnasemaji wanaukumbi?
Anaetufanya tukeshe hapa ni @Mohamed Said tuh,
Kwa wengine tunaburudishwa tuh na viroja vyao,hasa hasa wewe ukiwa miongoni mwao..
The Big Show,
Mie namheshimu sana Yericko kwa kuwa kama si yeye nani angenijua hapa JF?
Angalia hii hapa chini:
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 752"] [h=1] [/h] [h=1]Incorporation of Swahili Womens Societies into the Struggle, 1955 [/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"] It was when Nyerere was in Musoma that John Hatch from the Labour Party came to Tanganyika as a guest of TANU. The Party held a very big meeting at Mnazi Mmoja and Hatch addressed the people. It is estimated about 20,000 TANU members and supporters turned out for the meeting. In that meeting Ali Mwinyi Tambwe interpreted for Hatch. Denis Phombeah, as well as the General Secretary of TANU, Oscar Kambona, also spoke. Hatch, who was sympathetic to the emancipation of the black race, found out that TANU did not have a formal womens wing. At a teaparty given by TANU in his honour Hatch raised this issue with Schneider and Rupia. Hatch told Schneider that to have a strong movement women must not be left behind. Hatch told Schneider that the Labour Party in Britain had women as its main constituents.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"] Schneider approached Bibi Tatu Binti Mzee and asked her to organize a womens wing for TANU. Bibi Tatu Binti Mzee recommended Bibi Titi Mohamed because of her outgoing character and the fact that she was a member of Bomba Kusema. And it is from this nucleus of womens societies in Dar es Salaam that Umoja wa Wanawake wa Tanganyika came to be formed in 1962, and Bibi Titi Mohamed was elected its first chairperson. Many people think that Bibi Titi Mohamed was recruited into the Party by Nyerere. Bibi Titi addressed two meetings after the Hatch meeting in June, 1955, at Mnazi Mmoja; and by then she had not yet been introduced to Nyerere. In fact Bibi Titi and her husband Boi Selemani were recruited into the movement by Schneider Plantan. Boi Selemani is the holder of TANU card no. 15 while Bibi Titi as already mentioned is holder of card no. 16.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"] Taarab groups in Dar es Salaam and exclusive Muslim womens societies such as Saniyyat Hubb, Goodluck, Coronation, Bomba Kusema and lelemama groups, which were affiliated to either Al-Watan or Egyptian, played a very significant role in mobilising people to support TANU. Leading and mobilising these womens societies were Bibi Titi Mohamed and a Manyema lady, Bibi Hawa Binti Maftah. No single person apart from Nyerere himself was able to popularize TANU as Bibi Titi Mohamed did. Bibi Hawa Binti Maftah as the head of lelemama was known as The Queen. She was the one who introduced lelemama songs into TANU meetings to boost party morale. Similar womens societies in Tabora like Nujum ul Azhar, Waradatil Hubb and Egyptian Club under women such Nyange Binti Chande and Dharura Binti Abdulrahman helped to give TANU a foothold in Western Province.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mohamed Said,
Tafwadhali endelea kutupa chakula cha ubongo Ilm.
Kuna watu humu ukumbini wamechanganyikiwa tatizo lako una hit under the belt mpaka mtu anamwaga matusi Hadhwarani.
Mohamed Said tufahamishe kidogo kisa cha Peter Colmore.
THE BIG SHOW, wacha kumdanganya huyo mzee wako, hakuna anaemheshimu na kumthamini mtu muongo na mchochezi kama mzee Mohamed zaidi ya nyie wafuasi wake mazuzu ambao hamzidi watano. Watu wengine tunamdharau sana kwani hana chausomi wala ueledi zaidi ya chuki, fitina na uzushi!Wapuuze na wajuze wengi wanaokuheshim na kukuthamin..
Tafadhali tafadhali..
Mohamed Said,
Mwaka 1955 mkutano kuudhuliwa na watu 20,000 pale Mnazi Moja huo mkutano ilikuwa siyo mchezo umefanyika Nyerere yupo kwao Musoma.
THE BIG SHOW, wacha kumdanganya huyo mzee wako, hakuna anaemheshimu na kumthamini mtu muongo na mchochezi kama mzee Mohamed zaidi ya nyie wafuasi wake mazuzu ambao hamzidi watano. Watu wengine tunamdharau sana kwani hana chausomi wala ueledi zaidi ya chuki, fitina na uzushi!
Ritz,
We mtu matata sana.
Wewe endelea kubwabwaja,sisi tunamthamin sana,
Tunachofanya ni kucopy na kupaste mjadala huu kwa kumbu kumbu za leo na kesho,hata upuuz unaouandika sisi tunaucopy ili wanetu huko baadae waje waone wenyewe na wapime kwa akili zao,
Na nina uhakika bila shaka watakupuuza tuh na kukuwia radhwi kama tufanyavyo sisi,,
Hawakuamini wengi miongoni mwa wazee wako kuhusu historia hii,utakuwa wewe?
Bila shaka huwez kuamin,pia sisi hatushughulishwi na wewe hata kidgo,sisi tunakufanya kama sehemu ya kujistarehesha tuh sema wewe mwenyewe bado hujapambazukiwa na kweli hii,pole sana..
Mohamed Said ni Bwana Mkubwa,hutamuweza..
Tanzania hatuna matabaka ya historia ya uhuru,The Big Show,
Mie namheshimu sana Yericko kwa kuwa kama si yeye nani angenijua hapa JF?
Angalia hii hapa chini:
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Incorporation of Swahili Womens Societies into the Struggle, 1955
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"] It was when Nyerere was in Musoma that John Hatch from the Labour Party came to Tanganyika as a guest of TANU.
The Party held a very big meeting at Mnazi Mmoja and Hatch addressed the people.
It is estimated about 20,000 TANU members and supporters turned out for the meeting. In that meeting Ali Mwinyi Tambwe interpreted for Hatch.
Denis Phombeah, as well as the General Secretary of TANU, Oscar Kambona, also spoke.
Hatch, who was sympathetic to the emancipation of the black race, found out that TANU did not have a formal womens wing.
At a tea party given by TANU in his honour Hatch raised this issue with Schneider and Rupia.
Hatch told Schneider that to have a strong movement women must not be left behind.
Hatch told Schneider that the Labour Party in Britain had women as its main constituents.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"] Schneider approached Bibi Tatu Binti Mzee and asked her to organize a womens wing for TANU. Bibi Tatu Binti Mzee recommended Bibi Titi Mohamed because of her outgoing character and the fact that she was a member of Bomba Kusema.
And it is from this nucleus of womens societies in Dar es Salaam that Umoja wa Wanawake wa Tanganyika (UWT) came to be formed in 1962, and Bibi Titi Mohamed was elected its first chairperson.
Many people think that Bibi Titi Mohamed was recruited into the Party by Nyerere. Bibi Titi addressed two meetings after the Hatch meeting in June, 1955, at Mnazi Mmoja; and by then she had not yet been introduced to Nyerere.
In fact Bibi Titi and her husband Boi Selemani were recruited into the movement by Schneider Plantan. Boi Selemani is the holder of TANU card no. 15 while Bibi Titi as already mentioned is holder of card no. 16.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"] Taarab groups in Dar es Salaam and exclusive Muslim womens societies such as Saniyyat Hubb, Goodluck, Coronation, Bomba Kusema and lelemama groups, which were affiliated to either Al-Watan or Egyptian, played a very significant role in mobilising people to support TANU.
Leading and mobilising these womens societies were Bibi Titi Mohamed and a Manyema lady, Bibi Hawa Binti Maftah. No single person apart from Nyerere himself was able to popularize TANU as Bibi Titi Mohamed did.
Bibi Hawa Binti Maftah as the head of lelemama was known as The Queen.
She was the one who introduced lelemama songs into TANU meetings to boost party morale.
Similar womens societies in Tabora like Nujum ul Azhar, Waradatil Hubb and Egyptian Club under women such Nyange Binti Chande and Dharura Binti Abdulrahman helped to give TANU a foothold in Western Province. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sasa hawa ndugu zetu hivi hawana hata stori ndogo nini wazee wao walifanya katika kusaidia juhudi za kuleta uhuru?
Hapa mimi nimeweka masheikh, murid na mama zangu waliyofanya katika kupambana na ukoloni.
Jamani kweli nyie hamna lolote huko kwenu?
Basi nyie mkiandika matusi tu?
Tanzania hatuna matabaka ya historia ya uhuru,
Historia ni moja tu inayohusu uhuru, ukianza kudai kuwa kila mmoja wetu aje na historia ya wazee wake huko ni kuligawa taifa ndugu yangu.
Mohamed Said,
Hali ya hewa leo swadakta gahawa na tende zinapanda taratibu.
Unajua hali hii inanikumbusha nilisafiri na Air Qatar kwenda South Korea mji mmoja unaitwa Busan wakati tupo lounges tunakula baadae tukaletewa gahawa na tende katikati wametoa kokwa wameweka chocolate.
Hatari Sheikh nafika Busan nikabeba box tatu za tende.
Sasa angalau wewe tunaweza kuzungumza na kujadiliana. Ngoja niangalie madai yako kwanza na kuyaonesha kama yana ukweli au la. Unasema:
Ili niweze kujibu swali hili ni lazima nikuulize umepata wapi hizi namba kuwa kila kati ya 'viongozi 10 nchi nzima' Waislamu ni 2. Una maana yakuwa asilimia 80 ya viongozi Tanzania ni Wakristu na asilimia 20 ni Waislamu. Kabla hatujafikia kwenye nani anafaidi matunda kwanza nisaidie hii namba ya ratio umeipata wapi na vipi?
1. Nadhani hujaelewa sana dhana ya nani mwenye nguvu;katika mifano yote hii 'hai' anayewateua ni Rais; Baraza la Mawaziri, mabalozi, wakuu wa mikoa wote wanateuliwa na Rais. Rais ni Muislamu. Yeye ndiye mwenye nguvu. Kama mfumo ungekuwa unawapendelea Wakristu Rais asingekuwa Mkristu. Unaposema 'viongozi' hujatuambia kwa mfano ndani ya CCM Waislamu ni wangapi?
2. Lakini pamoja na hilo unapata wapi wazo kuwa uongozi wa nchi ni kugawana kwa kuangalia dini? Hili halijawahi kutokea nchini. Hata mara moja hatujaangalia parity katika uongozi. Ukishakubali 'parity' ya dini wengine watauliza vipi makabila. Kwanini dini ndio iwe kigezo kikubwa zaidi?
Sasa, kama unajua jibu langu kwanini unaniuliza. Hata hivyo jibu langu siyo ulilodhania. NI lazima tuweke swali kwa usahihi kwanza kabla hatujajaribu kulijibu swali hilo.
Suala la kuitoa CCM madarakani si kwa ajili ya kuleta parity ya kidini katika uongozi. Tutakuwa ni watu wa ajabu kama lengo letu litakuwa ati tuwaingize wengine ili Waislamu na Wakristu wagawane sawasawa madaraka. La hasha; tunataka kuwaondoa CCM madarakani kwa sababu utawala wao umeshindwa. Simple as that.
Maswali yako yote ndani yake hayana ukweli; Waislamu siyo watu pekee wanaoandamana nchini - jaribu kuangalia TV utaona makundi gani mengine yanaandamana! kuanzia wazee wa Jumuiya ya EA, wanafunzi, wafanyakazi, wanasiasa n.k! Kuhusu viongozi wa Kiislamu pia halina ukweli; kwani kina Slaa, Mbowe na wengine waliokamatwa na kina Mtikila aliyefungwa kisiasa labda kuliko Mtanzania mwingine yeyote ni Waislamu hawa? So, maswali yako hayana ukweli.
Hilo la kuingia msikitini na viatu nitawaachie wataalamu wengine wa dini; lakini kama umeangalia vyombo vya habari utaona kuwa polisi na maafisa wa Usalama wameingia misikitini kila mauaji yanapofanyika huko (Iraq, Afghanistan na hata Pakistani). Je polisi Waislamu wanaruhusiwa kuingia na viatu? Je mwalifu akifanya uhalifu akakimbilia Msikitini au Kanisani ina maana vyombo vya dola vinatakiwa vikae nje na kumsubiria atoke? Vipi kama akiingia huko akawa ni hatari kwa wale waliomo mle? Hili nitawaachia wataalamu wa dini walijibu lakini binafsi sijawahi kushangaa kwani nimeona polisi wakiingia na viatu kwenye misikiti kwenye nchi za Kiislamu!
Unajua kama unataka majibu yangu niache niyajibu usiyadhanie kwani hauko kichwani mwangu. Umeuliza maswali mazuri lakini unadhania naweza kutoa majibu ya kijinga.
Ooh boy; hilo unatakiwa kumuuliza Pengo kwani anasimamia maneno yake mwenyewe. Binafsi nilipinga wakati ule kama sasa hivi na ninaamini Mkapa angeshtakiwa kwa makosa ya dhidi ya Binadamu. Ningelikuwa na uwezo ningemvua kinga ya Rais ili ashtakiwe - kumbuka Mkapa ni Mkatoliki pia! Bahati mbaya unafikiria kwa kuangala dini ya nani aliuawa! WEngine kilichotuudhi kama ilivyotokea Mwembe Yanga ni mauaji ya Watanzania wenzetu. Wengine wanaweza kuwa wanajali kwa sababu waliouawa ni "waislamu"; hicho kinawauma zaidi!
Chama changu unakijua?
Umesoma vizuri hapo nilipo bold mkuu mzee Waikela anasema nyerere aliwadanganya sasa wewe ukileta huo msururu wa watu ili iweje,kwani kawawa hawezi kudanganywa CHEZEA NYERERE soma vizuri kabla kuvamia mkuu, kuna mwalimu wangu ulikuwa ukikosa maswali yote anakuwekea lisifuri likubwa na masikio na wewe unastahiki uwekewe hivyo
Vipi kuhusu kawawa?
Kassim bin Juma,Adam Simba,Salehe Masasi. Nao wamedanganywa? Na nyakati za sasa vipi Saidi Mwema? Shamse Vuai Nahodha? Suleiman Kova? Bakwata?
These bunch of muslim lads ni wengi sana kudanganywa...
So kuna tatizo na waislamu katika kutumia akili zao binafsi? Ukikiri hvyo uoni pia unakiri waislamu ni watu wakushikiwa akili? Easy manupulated, and naive?
Kutokana na hali halisi ya kihistoria ambapo mfumo wa elimu uliongozwa na madhehebu ya kikristo hasa kanisa katoliki na kanisa la kilutheri tangia mkoloni mpaka kipindi hasa cha Mwalimu Julius Kambarage nyerere mkatoliki imekuwa hali ya kuwabagua waislamu katika nafasi za masomo na madaraka katika ngazi za juu na za chini.
Waliokuwa wanafaidika sana sana ni wakristo na mpaka leo hii ipo na iko wazi katika kuingia vyuo vikuu na kusailiwa katika kazi muhimu ndani ya idara za serikali, hii waislamu wameipa jina kuwa ni mfumo kristo hii inaonyesha kuwa waislamu wameanza kusema wazi wazi kuhusu ubaguzi huu wa ujanja katika huduma muhimu za jamii na kufanya jamii ya kiislamu kuwa nyuma na kuwa kama daraja la mwisho katika jamii ya kitanzania hata kama ni wengi kiidadi.
Mwanakijiji,
Sio wewe bali Serikali! inabidi iangalie kwa makini suala hii na viongozi waliopewa dhamana za kuongoza nchi wawe waadilifu na wawe wasikivu na wafuatilie na wasikalie katika propagana za vyombo vya habari ati waislamu walalamikaji na wakorofi na hawakusoma, hii ndio kauli zinazotolewa na wale wenye kukumbatia na kubariki mfumo huu haramu waislamu wanaouita mfumo kristo.
Waislamu walimkabidhi Rais Mkapa kero zao zote na ushahidi wa kisayansi jinsi wanavyobaguliwa nchini mwao! majibu aliyotoa Rais yalikatisha tamaa!
Mwanakijiji kama wewe unataka ushahidi wa dhuluma zote hizo mfano wa mgawanyo wa madaraka, Rais alipewa rasmi ktk baraza la Idd mwaka 1999 hakuthubutu kuunda hata tume kuchunguza madai hayo mazito dhidi ya Serikali! leo nikikupa ushahidi huo utaukubali?
MK,
Angalia, umesema Lakini pamoja na hilo unapata wapi wazo kuwa uongozi wa nchi ni kugawana kwa kuangalia dini? Hili halijawahi kutokea nchini. Hata mara moja hatujaangalia parity katika uongozi. Ukishakubali 'parity' ya dini wengine watauliza vipi makabila. Kwanini dini ndio iwe kigezo kikubwa zaidi?
Hapo kwenye red unaongea kama nani? ulikuwa Serikalini? Mimi nilimaliza darasa la 7 mwaka 1979. Darasani tulikuwa 25, Waislamu 15, Wakristo 7 na baniani 3! tuliochaguliwa waislamu 4, wakristo 4 na baniani 1! Why? Waislamu wajinga? kama hapa hakuna siri nzito kwanini matokeo ya mitihani hatukuona? tujue nani kapata nini?
Kuhusu kama wewe ni chadema, kuna ushahidi wa kimazingira kuwa wewe ni CDM! kama unapinga usiogope huu ni wakati wa ukweli, uwazi ari na nguvu mpya sema wewe ni chama gani? ama unataka nikuthibitishie wewe ni CDM?
Mbona mimi nakiri ni CUF kwani si ni haki yangu ya kikatiba kujiunga na chama chochote? kwanini niogope?
Huyu Sheikh Kassim Bin Jumaa ndie aliyekutwa na mtoto wa kiume amejichimbia guest house arusha???? tabloid press zikawa na field day????Hapana, hawa wakiwa kazini wanafuata kauli ya nchi haina dini kivitendo huku wenzao wanakuja kazini na ukristo wao! na pindi wakigundua kuwa wenzao wanawacheza shere maramoja hujirudi! ushahidi ni Shekh Kassim Bin Jumaa wa miaka ya 60 na 70 sio yule wa miaka ya 90 na mpaka roho inamtoka aliisakama kweli kweli Serikali ya Mwinyi!