Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ami,

Mie nimesoma vitabu vya Mohamed Said, Dr Ghassany, Dr Issa Ziddy, Proffessor Gary Thomas Burgess na wengineo wengi. Na anachokizungumza Mohamed Said na magwiji hawa historia ni sawa sawa hutakuta tofauti. Worse enough hata events ni sawa sawa. Vile vile sio tu kumsoma Mohamed Said nimekaa na wazee walioishi na historia ya Tanzania mfano mzee wetu Al-marhum Sheikh Nurdin Al-Shadhily (R.A), Mzee wetu Al-Marhum Sayyid Hassan Sheikh (R.A), Mzee wetu Al-Marhum Sayyid Ali Comorian (R.A), Mzee wetu Sayyid Ahmad Badawiy (Nanga iliyobakia). Hawa walikuwa wakiyazungumza na sisi tuliokuwa tunakaa nao tunawasikia (Najua nitamkumbusha mbali Mohamed). Ziada ya Mohamed Said ambayo mmungu atamlipa kwa hilo na zaidi ni kuyachukua na kuyaandika katika kitabu. Na vile vile kuja humu jamvini ndio maana ANATEMBEA HUMU KWA TAMBO NA KUJIDAI KWANI ANAYOYASEMA SISI WASWAHILI WA KARIAKOO TUNAYAJUA SIKU NYINGI NA NI UKWELI MTUPU NA PENYE UKWELI HAKUNA WASIWASI. Sheikh Bilal Rehan Waikela amewasha moto mahakamani . Hii kesi ya Ponda inaweza kuleta mengi mazito

Umeona eeeh,wacha kabisa,na usifanye mchezo na huyu mtu..!
Mohamed Said kiboko yao,me napenda jins anavoringa ringa kwa madaha ya usimulizi wa tambo,facts na kujiamini kama vile Simba dume anapokamata kitoweo chake,

Hawa ndugu zangu KINA Mag3 nguruvi n,k huwa wanaishiwa nguvu sana,najua wanakula glucose hapo ili kujipa ahuen,kila wanapo log-in wanahis hawatamkuta Moh said jukwaani kwenye mnakasha huu,ona sasa ile wanapoona Nguli wa historia bado yupo online akiwasubiri nyuso zao huingiwa na homa na unyoonge kupindukia,hawana cha kufanya,ila wangekubaliana na ukweli wangekuwa wamefanya jambo la maana saana..
 
Last edited by a moderator:
Mdondoaji,
Nimefurahi kusikia kuwa wewe ni mtu wa Kariakoo.

Kwa ajili hii uzoefu wetu lazima utashabihiana.
Hawa ndugu zetu wana maradhi.

Bongo zao zimejazwa na propaganda kuwa sisi Waswahili
si lolote.

Ndiyo maana kila lililojepesi kwetu likifika kwao linawashtua.

Nimewaambia Abdu Sykes katengeneza Political Subcomittee 1950
na ndiyo iliyoibua TANU 1954 wameshtuka wanasema Nyerere,
Nyerere, Nyerere...

Nawaambia ile hotuba ya Nyerere 1955 UNO utaipata katika mapendekezo
ya katiba yaliyoandikwa na Political Subcommittee 1950 hapo ndipo wazimu
unawapanda.

Mie nikiona haya mambo mepesi tu wazee wetu wamefanya na alipokuja Nyerere
kayakuta.

Wao hawataki wanataka yote hayo tuyafute kama vile hayakuwapo.

Umenikumbusha mbali sana kunitajia watu wangu.

Hivi karibuni Sayyid Hussein Badawiy kaja mtaani kwetu kwenye Maulid
ya Abshy.

Ilikuwa raha juu ya raha.
Kweli ni yeye nanga.

Nina picha nyingi nimepiga Lamu kwenye maulid.
Ahsante sana.

Mohamed,

Wewe una moyo wa chuma mmungu akupe moyo huo huo maana wapo wenye kukutukana, wenye kukutolea maneno ya kebehi na mengineo mengi. Binafsi yangu mie ninafurahi unapowafundisha watu darsa na mmungu atakulipa kwa hilo. Ukweli unapodhihiri uongo hujitenga.

Kwenye Maulid nilikuwapo ila miguu ilikuwa inanitatiza nilikaa nyuma huku karibu na Mtaa wa Udowe. Mwinyi baba alikuwa akimwaga vitu vizito akanimaliza akisema sasa imebakia shughuli ya vidole vya vitatu. Raha sana na tulikuwa pamoja na Mzee wetu Mwinyi maskini pamoja na umri wake bado anakuja katika shughuli hizi.
 
Umeona eeeh,wacha kabisa,na usifanye mchezo na huyu mtu..!
Mohamed Said kiboko yao,me napenda jins anavoringa ringa kwa madaha ya usimulizi wa tambo,facts na kujiamini kama vile Simba dume anapokamata kitoweo chake,

Hawa ndugu zangu KINA Mag3 nguruvi n,k huwa wanaishiwa nguvu sana,najua wanakula glucose hapo ili kujipa ahuen,kila wanapo log-in wanahis hawatamkuta Moh said jukwaani kwenye mnakasha huu,ona sasa ile wanapoona Nguli wa historia bado yupo online akiwasubiri nyuso zao huingiwa na homa na unyoonge kupindukia,hawana cha kufanya,ila wangekubaliana na ukweli wangekuwa wamefanya jambo la maana saana..

Big Show,
Daima haki itakuwa juu.

Hii historia ni ya wazee wangu.

Mtu hawezi kunieleza mimi eti baba yangu alikuwaje ilhali
mimi nikikaa na baba yangu nyumba moja.

Katika maisha ya hawa wazee wakieleza masikitiko yao jinsi
mambo yalivokujabadilika.

Kila mwanaTANU niliyemfuata kumwambia kuwa nataka kuandika
historia ya TANU alinipa ushirikiano wa hali ya juu kabisa pamoja
na dua.
 
Kweli yeye ni nanga.

Nina picha nyingi nimempiga Sharifu Hussein Lamu kwenye maulid.
Ahsante sana.

Ndugu yangu Mohamed Said,ngoja mimi nikuambie kitu,kuna siku nilimpigia simu Yericko,kama naongea uongo aje akanushe Yericko alikiri moja kwa moja na kusema ama kwa hakika wewe ni kiboko wa historia na amejifunza mengi sana kutoka kwako,na anaufarahi sana na uwepo wako,hapo mimi nikajua ya kwamba kumbe wenywe hawa wanapokutana kwenye vijiwe vyao huwa wanakiri,ila sasa wanachokifanya ni kujaribu kukuchallange ili wapate kujua mengi yaliyo fichikana,wewe usisite kutoa elimu hii,hata ukifa leo kumbu kumbu za maandiko yako zitabakia milele na milele kwa ajili ya vizazi vijavyo..

Shukrani za dhati na za kipekee ziende kwa JAMII FORUM mtandao watu tunaouthamin bila kumsahau Yericko kwa kuthubutu kwake,usjal yericko ulijaribu ulijaribu kaka,ila sisi tukiri wazi wazi kwa kupitia wewe tumejifunza mengi kwani umetuletea Moh Said katika viganja vyetu,ona tunavojadiliana nae na kunyonya maarifa namna hii,ingekua si wewe tungeyapata wapi haya??

Mungu akubariki Yericko..
 
Last edited by a moderator:
Mohamed,

Wewe una moyo wa chuma mmungu akupe moyo huo huo maana wapo wenye kukutukana, wenye kukutolea maneno ya kebehi na mengineo mengi. Binafsi yangu mie ninafurahi unapowafundisha watu darsa na mmungu atakulipa kwa hilo. Ukweli unapodhihiri uongo hujitenga.

Kwenye Maulid nilikuwapo ila miguu ilikuwa inanitatiza nilikaa nyuma huku karibu na Mtaa wa Udowe. Mwinyi baba alikuwa akimwaga vitu vizito akanimaliza akisema sasa imebakia shughuli ya vidole vya vitatu. Raha sana na tulikuwa pamoja na Mzee wetu Mwinyi maskini pamoja na umri wake bado anakuja katika shughuli hizi.

Mdondoaji,
Amin kwa sote.
 
Ami,

Mie nimesoma vitabu vya Mohamed Said, Dr Ghassany, Dr Issa Ziddy, Proffessor Gary Thomas Burgess na wengineo wengi. Na anachokizungumza Mohamed Said na magwiji hawa historia ni sawa sawa hutakuta tofauti. Worse enough hata events ni sawa sawa. Vile vile sio tu kumsoma Mohamed Said nimekaa na wazee walioishi na historia ya Tanzania mfano mzee wetu Al-marhum Sheikh Nurdin Al-Shadhily (R.A), Mzee wetu Al-Marhum Sayyid Hassan Sheikh (R.A), Mzee wetu Al-Marhum Sayyid Ali Comorian (R.A), Mzee wetu Sayyid Ahmad Badawiy (Nanga iliyobakia). Hawa walikuwa wakiyazungumza na sisi tuliokuwa tunakaa nao tunawasikia (Najua nitamkumbusha mbali Mohamed). Ziada ya Mohamed Said ambayo mmungu atamlipa kwa hilo na zaidi ni kuyachukua na kuyaandika katika kitabu. Na vile vile kuja humu jamvini ndio maana ANATEMBEA HUMU KWA TAMBO NA KUJIDAI KWANI ANAYOYASEMA SISI WASWAHILI WA KARIAKOO TUNAYAJUA SIKU NYINGI NA NI UKWELI MTUPU NA PENYE UKWELI HAKUNA WASIWASI. Sheikh Bilal Rehan Waikela amewasha moto mahakamani . Hii kesi ya Ponda inaweza kuleta mengi mazito

Mdondoaji,

Ndugu yangu umenikumbusha mbali umenitajia ivyo vichwa makini.
 
Ikiwa shule za waislamu zimenyimwa mafao na kufungiwa kinamna ulitaka asome wapi?.Hiki ni kipimo cha jinsi wazee wa Mohammed walivyothamini elimu.Bila shaka hakupenda asome shule hizo,angependa akasome kule kule walikoanzia wazee wake.
Kuhusu kubomoa na kujenga waulize watu wa mfumo walioshikilia kuvunja kila mafanikio ya waislamu na kuzui kupiga hatua kwa kisingizio cha uchochezi.
Wamepania kufanyia uadui hata historia ya waislamu.
Ami,
Ukweli ni kwamba hizo shule za kiislamu hazikuwepo tangu enzi za ukoloni. Hilo ndilo tatizo. Hakuna shule ambayo "haikuwepo" ambayo ilinyimwa mafao. Hilo Nyerere aliliona na kutaifisha shule "zilizokuwepo" ili Watanzania wote, bila kujali dini zao, akiwemo Mohamed, wapate fursa ya kusoma.
 
Umeona eeeh,wacha kabisa,na usifanye mchezo na huyu mtu..!
Mohamed Said kiboko yao,me napenda jins anavoringa ringa kwa madaha ya usimulizi wa tambo,facts na kujiamini kama vile Simba dume anapokamata kitoweo chake,

Hawa ndugu zangu KINA Mag3 nguruvi n,k huwa wanaishiwa nguvu sana,najua wanakula glucose hapo ili kujipa ahuen,kila wanapo log-in wanahis hawatamkuta Moh said jukwaani kwenye mnakasha huu,ona sasa ile wanapoona Nguli wa historia bado yupo online akiwasubiri nyuso zao huingiwa na homa na unyoonge kupindukia,hawana cha kufanya,ila wangekubaliana na ukweli wangekuwa wamefanya jambo la maana saana..
Wapi umeona Nguruvi akiishiwa nguvu? Mbona maswali yake kibao tu Mohamed ameshindwa kuyajibu?
 
Ritz,

Unanitamanisha ndugu yangu.

Kwa hali mjadala ulipofika naona uwanja umechafuka rafu nyingi
na mwamuzi kashindwa kuumudu mchezo.

Matusi yamechukua nafasi ya hoja bora mnakasha tuusimamishe.
Mnasemaji wanaukumbi?

Ritz,

Nakuwekea hapa kisa kidogo cha Ally Sykes, Peter Colmore na Julius Nyerere 1960:

... I took the opportunity to introduce Colmore to Julius Nyerere. I tookColmore over to Nyerere’s house at Magomeni Majumba Sita where he was staying.

On that day Nyerere was a bit distressed since reports had been received fromCongo that Lumumba had been killed.

Newspaper reports, which we had received,was that, Lumumba was recaptured at Port Francqui after he had escaped fromhouse arrest in Leopoldville.

Few days earlier Belgians had ordered a manhuntfor Lumumba who it was believed was heading towards Stanleyville where hissupporters were based.
Therewas in the papers what then came to be a very famous photograph of Lumumba withhis hands tied to his back sitting at the back of a lorry with a Belgianparatrooper standing guard over him.

Lumumba who at that time had lost power asPrime Minister, was being taken back to Leopoldville.

As memmbers of TANU and onthe brink of achieving independence we followed events in Congo with greatinterest.

Events which were unfolding in Congo were very distressing to most ofus.

There were reports of mutiny by Congolese troops who it was reported wererounding Belgians including women and children and beating them up.

I hadspecial interest in these events, as at that time I believe I was the onlyperson who had been to Congo and had first hand experience of Belgiancolonialism.

When I was there I had seen how ruthless the Belgians were againstthe Congolese people.
Masengo was also very sad to hear of the news that Katanga his home province underMoise Tshombe had declared secession from the Congo Republic.

Masengo was fromthe Bayeke, the same tribe as Tshombe.

Nyerere had a pathological hatred ofTshombe. We took that opportunity to have Masengo record his old songs withTanganyika Broadcasting Corporation (TBC).

Back in Nairobi both Colmore andMasengo wrote to me, Colmore thanking me for introducing him to Nyerere andMasengo for successfully managing his tour and shows.

Colmore told me howgrateful he was to Nyerere for showing a firm stand on the Congo problem.

Atthat time Masengo was incorporated into High Fidelity Productions as one of thedirectors.

Colmore was a man of forethought he realised that we will need thesupport of Nyerere if we were to expand our business in free Tanganyika. Thatis why that introduction was important to him.

Colmore knew how close I was to Nyerere the future leader of Tanganyika.

The two of us saw in the independence of Tanganyika only bright future for ourcompany.

We could hardly foresee what was in store for us.

Independence brought trials to many of us who founded TANU it was as if it was a curse to be associated with Nyerere and the history of TANU...

But at that time it was so far what one wouldcall a success story, a dream come true.

Colmore business interests weregrowing and becoming so important in Tanganyika he built a house in Moshi andused to drive over from Nairobi to Moshi each weekend.
 
Wapi umeona Nguruvi akiishiwa nguvu? Mbona maswali yake kibao tu Mohamed ameshindwa kuyajibu?

Jasusi,

Mbona wewe na Mwanakijiji nimewauliza mniletee vifungu vya sheria za kimataifa zinaruhusu au kusema Vatican City ni nchi mmeshindwa kunijibu? Mkakimbia na kubakia kurudia yale kwa yale ati Vatican ina uhusiano na nchi nyingi wakati uhusiano wa Vatican na hizo nchi nyengine ni kwa kukipitia Holy See (kiroho) sawa na Anglican Church likiwa na uhusiano wa kiroho na watu wake duniani but mbona Anglican Church haina ubalozi hapa? Lakini tuna ubalozi wa Vatican ambapo hata status ya nchi haina????
 
Mkuu wa Anglican church ni Malkia wa Uingereza. Ubalozi wa Uingereza upo Tanzania. Mkuu wa Vatican ni Pope. Ubalozi wa Pope upo Tanzania. Upo hapo?
 
Ritz,

Unanitamanisha ndugu yangu.

Kwa hali mjadala ulipofika naona uwanja umechafuka rafu nyingi
na mwamuzi kashindwa kuumudu mchezo.

Matusi yamechukua nafasi ya hoja bora mnakasha tuusimamishe.
Mnasemaji wanaukumbi?

Ritz,

Nakuwekea hapa kisa kidogo cha Ally Sykes, Peter Colmore na Julius Nyerere 1960:

... I took the opportunity to introduce Colmore to Julius Nyerere. I took Colmore over to Nyerere's house at Magomeni Majumba Sita where he was staying.

On that day Nyerere was a bit distressed since reports had been received fromCongo that Lumumba had been killed.

Newspaper reports, which we had received,was that, Lumumba was recaptured at Port Francqui after he had escaped from house arrest in Leopoldville.

Few days earlier Belgians had ordered a manhuntfor Lumumba who it was believed was heading towards Stanleyville where his supporters were based.

There was in the papers what then came to be a very famous photograph of Lumumba with his hands tied to his back sitting at the back of a lorry with a Belgian paratrooper standing guard over him.

Lumumba who at that time had lost power as Prime Minister, was being taken back to Leopoldville.

As memmbers of TANU and onthe brink of achieving independence we followed events in Congo with great interest.

Events which were unfolding in Congo were very distressing to most of us.

There were reports of mutiny by Congolese troops who it was reported wererounding Belgians including women and children and beating them up.

I had special interest in these events, as at that time I believe I was the only person who had been to Congo and had first hand experience of Belgian colonialism.

When I was there I had seen how ruthless the Belgians were against the Congolese people.

Masengo was also very sad to hear of the news that Katanga his home province under Moise Tshombe had declared secession from the Congo Republic.

Masengo was from the Bayeke, the same tribe as Tshombe.

Nyerere had a pathological hatred of Tshombe. We took that opportunity to have Masengo record his old songs with Tanganyika Broadcasting Corporation (TBC).

Back in Nairobi both Colmore andMasengo wrote to me, Colmore thanking me for introducing him to Nyerere and Masengo for successfully managing his tour and shows.

Colmore told me how grateful he was to Nyerere for showing a firm stand on the Congo problem.

Atthat time Masengo was incorporated into High Fidelity Productions as one of the directors.

Colmore was a man of forethought he realised that we will need thesupport of Nyerere if we were to expand our business in free Tanganyika.

That is why that introduction was important to him.

Colmore knew how close I was to Nyerere the future leader of Tanganyika.

The two of us saw in the independence of Tanganyika only bright future for our company.

We could hardly foresee what was in store for us.

Independence brought trials to many of us who founded TANU it was as if it was a curse to be associated with Nyerere and the history of TANU...

But at that time it was so far what one would call a success story, a dream come true.

Colmore business interests weregrowing and becoming so important in Tanganyika he built a house in Moshi and used to drive over from Nairobi to Moshi each weekend...

Ritz,

Yapo mengi sana.

Peter Colmore akaja kuwa rafiki yangu sana, baba yangu.
Nikenda Nairobi akinialika Muthaiga Club tukikaa kwenye ''lawn'' tunapiga stori.

Mimi nimewazoea Wazungu toka udogo wangu hawanipi shida.
 
Mkuu wa Anglican church ni Malkia wa Uingereza. Ubalozi wa Uingereza upo Tanzania. Mkuu wa Vatican ni Pope. Ubalozi wa Pope upo Tanzania. Upo hapo?

Head of Anglican church ni Archbishop of Cantebury ambapo juzi ameteuliwa mpya Kuchukua nafasi Dr Rowan Willliams. Queen ni kiongozi wa United Kingdom but hana mamlaka kwenye kanisa labda soma zaidi hapa chini:-

The Anglican Church or The Church of England is currently led by Archbishop of Canterbury Rowan Williams, he is essentially the "chief bishop" or primate of the Church of England. The Anglican Church unlike the Roman Church does NOT have a pope and does not believe in infallability of their leaders. Only God is infallable, Jesus is the supreme head and authority of the Church!

Rowan Williams amesharesign sasa ameteuliwa mwengine anaitwa Justin Welby.
 
The Queen of England is the head of the Anglican Church. The Archbishop of Canterbury bows to the Queen.
 
The Queen of England is the head of the Anglican Church. The Archbishop of Canterbury bows to the Queen.

The Archbishop of Canterbury is the senior bishop and principal leader of the Church of England, the symbolic head of the worldwide Anglican Communion and the diocesan bishop of the Diocese of Canterbury.

Pope yeye ndio kiongozi mkuu wa Holy See na Vile vile huyo huyo anaongoza Vatican City sasa swali linakuja Vatican City ni taasisi ya kidini au nchi kama mnavyotaka nyie? Na kama ni rais mbona zilipotokea kashfa za kuharibiwa watoto dhidi ya kanisa katoliki wanasheria walipotaka kumshitaki pope ICC kama kiongozi wa nchi mlikuwa mnapinga????
 
Mohamed Said,

Inabidi leo jioni tuiombee dua Jamiiforums pamoja na team yao nzima chini ya usimamizi wa Invisible, kwa kukuwezesha wewe kuwa hapa kutoa darsa.
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said,

Inabidi leo jioni tuiombee dua Jamiiforums pamoja na team yao nzima chini ya usimamizi wa Invisible, kwa kukuwezesha wewe kuwa hapa kutoa darsa.

Amin,
Insha Allah.

Kuna mahali nimekuwekea Ally Sykes, Peter Colmore na Julius Nyerere, 1960.
Umeiona?

Kidogo naona matusi yametulia.
Ilikuwa hatari kubwa.
 
Wapi umeona Nguruvi akiishiwa nguvu? Mbona maswali yake kibao tu Mohamed ameshindwa kuyajibu?

Jasusi,

Huwa sijibu kila kitu kama vile ninavyojizuia kusema kila kitu.
Naamini mimi na wewe tunastahiana sana.

Kuna mahali nilikupa ''hint'' nikasema najua hotuba ile iko kwenye
kitabu cha Nyerere lakini sikueleza dunia kwa kufanya staha.

Jasusi sisi sote hawa wazee wametuhusu.
Najua wewe Nyerere ni baba yako.

Zamani sana nilikueleza kuwa Bi Mwamvua mama yake rafiki yako
alikuwa shoga wa marehemu mama yangu.

Abdu Sykes mimi ni baba yangu.

Nilikugusia haya kwa maana yangu.
Nilijua lazima tuweke mipaka ambayo hatutaigusa.

Na mengi katika historia kutoka 1952 - 1961 nimepokea kutoka kwa
Mama Daisy hadi ile stori ya Nyerere ''kulishwa sumu.''

Chakula kile walipika Mama Daisy na Mama Maria...
Bi Mluguru na Bi Mugaya pia walikuwapo pale nyumbani siku ile.

Ninayo mengi ambayo nigeliyaweka hapa jamvini kwa sasa hawa vijana
wangelifurahi lakini naamini wenyewe wazee wetu wangekuwa hai kweli
wangelisikitika kwani walikuwa na hisani kubwa baina yao.

Usinitie mimi chungu kimoja na akina Nguruvi hawa si makamu yangu...
Angalau wewe umefika kwetu na unatujua.

Hii ndiyo iwe mipaka yetu.

Unasema umesikia ''Hutch Kutch Man'' ya Muddy Waters nyumbani kwa
Abdu Sykes...

Naikumbuka hadi ile radiogram nadhani ilikuwa ''Zenith'' ikiwa sijakosea.

Baba yangu yeye alikuwa na ''Dansette'' na walikuwa wakishindana na
Bwana Abdu kwa collection ya jazz music...

Hucheka ninaposikia kuwa kulikuwa na ugomvi wa kugawana vyeo...
Hawa wazee walijitosheleza hata kabla uhuru haujapatikana na hawakuwa
na uroho wa vyeo.

Nadhani uliiwahi ile Mercedes Benz ya Abdu Sykes...

Jasusi,
Wakataze hawa jamaa wasitutukane.
 
The Archbishop of Canterbury is the senior bishop and principal leader of the Church of England, the symbolic head of the worldwide Anglican Communion and the diocesan bishop of the Diocese of Canterbury.

Pope yeye ndio kiongozi mkuu wa Holy See na Vile vile huyo huyo anaongoza Vatican City sasa swali linakuja Vatican City ni taasisi ya kidini au nchi kama mnavyotaka nyie? Na kama ni rais mbona zilipotokea kashfa za kuharibiwa watoto dhidi ya kanisa katoliki wanasheria walipotaka kumshitaki pope ICC kama kiongozi wa nchi mlikuwa mnapinga????
Jasusi vipi mbona kimya?vipi huo msumari wa mdondoaji umekuchoma kumoyo eehh
 
Big Show,
Daima haki itakuwa juu.

Hii historia ni ya wazee wangu.

Mtu hawezi kunieleza mimi eti baba yangu alikuwaje ilhali
mimi nikikaa na baba yangu nyumba moja.

Katika maisha ya hawa wazee wakieleza masikitiko yao jinsi
mambo yalivokujabadilika.

Kila mwanaTANU niliyemfuata kumwambia kuwa nataka kuandika
historia ya TANU alinipa ushirikiano wa hali ya juu kabisa pamoja
na dua
.
Nakwambia kweli hivi ninaposoma hapo juu machozi yananibubujika.Binafsi najua uchungu wa kudhulumiwa na kupuuzwa nisipostahiki kufanyiwa hivyo.
InshaAllah masikitiko ya hao wazee na mchozi yangu yawe ni dua ya kuwapiga madhalimu kwa namna Allah S.W atakavyopenda.
Kipigo hiki kiwafuate na wale wote wanaoshirikiana nao kuanzia Kikwete mpaka Kova.
 
Back
Top Bottom