Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguruvi kutokumkubali Moh Said ni ishara tuh za kutokuukubali ukweli..
Kweli tena nakuambia..
Na wala si lazima niandike ulichoandika. Nina hakika nikikuonyesha nilichoandika hutaweza kuuliza au kuhoji maana ni mambo yanayohusu maisha yako leo hii siyo simulizi.Nguruvi,
Siwezi kukunyima starehe yako. Hapo ndipo unapopaweza.
Kwa hakika nakutaja sana kwa sababu you make my mojo working.
Unaweza kunijibu kwa lugha yoyote ili muradi hunitukani.
Lakini nilikuuliza wewe nani akujuaye? Unaweza kujidhihirisha kama Mohamed?
Hukunijibu, Lakini si lazima unijibu.
Hata ukikaa kimya kwangu ni jibu tosha.
Ukitaka kuyafikia makamu yangu uandike. Nisingeandika ningekuwa mti kati ya miti porini.
Mzee Mohamed Said umekwama kwa hoja mpaka ukaamua kujikomba kwa Jasusi kiasi hiki! aibu! haya tunasubiri kuona kama kweli mkuu Jasusi atakubali kufugika kama walivyofugwa vijakazi wako wanaojaza kurasa humu kwa maneno ya kinafiki kila siku!
Jasusi,
Huwa sijibu kila kitu kama vile ninavyojizuia kusema kila kitu.
Naamini mimi na wewe tunastahiana sana.
Kuna mahali nilikupa ''hint'' nikasema najua hotuba ile iko kwenye
kitabu cha Nyerere lakini sikueleza dunia kwa kufanya staha.
Jasusi sisi sote hawa wazee wametuhusu.
Najua wewe Nyerere ni baba yako.
Zamani sana nilikueleza kuwa Bi Mwamvua mama yake rafiki yako
alikuwa shoga wa marehemu mama yangu.
Abdu Sykes mimi ni baba yangu.
Nilikugusia haya kwa maana yangu.
Nilijua lazima tuweke mipaka ambayo hatutaigusa.
Na mengi katika historia kutoka 1952 - 1961 nimepokea kutoka kwa
Mama Daisy hadi ile stori ya Nyerere ''kulishwa sumu.''
Chakula kile walipika Mama Daisy na Mama Maria...
Bi Mluguru na Bi Mugaya pia walikuwapo pale nyumbani siku ile.
Ninayo mengi ambayo nigeliyaweka hapa jamvini kwa sasa hawa vijana
wangelifurahi lakini naamini wenyewe wazee wetu wangekuwa hai kweli
wangelisikitika kwani walikuwa na hisani kubwa baina yao.
Usinitie mimi chungu kimoja na akina Nguruvi hawa si makamu yangu...
Angalau wewe umefika kwetu na unatujua.
Hii ndiyo iwe mipaka yetu.
Unasema umesikia ''Hutch Kutch Man'' ya Muddy Waters nyumbani kwa
Abdu Sykes...
Naikumbuka hadi ile radiogram nadhani ilikuwa ''Zenith'' ikiwa sijakosea.
Baba yangu yeye alikuwa na ''Dansette'' na walikuwa wakishindana na
Bwana Abdu kwa collection ya jazz music...
Hucheka ninaposikia kuwa kulikuwa na ugomvi wa kugawana vyeo...
Hawa wazee walijitosheleza hata kabla uhuru haujapatikana na hawakuwa
na uroho wa vyeo.
Nadhani uliiwahi ile Mercedes Benz ya Abdu Sykes...
Jasusi,
Wakataze hawa jamaa wasitutukane.
Mkuu Nguruvi3, usitegemee kupata majibu ya maana kutoka kwa huyu mzushi, sana sana atawatuma watwana wake waje hapa na sifa kemu kemu za kumsifia yeye ati ni bingwa wa historia! Sasa ameamua kumurubuni mkuu Jasusi kwa vimaneno vya kitoto akidhani Jasusi atapunguza maswali magumu kwake! Ukweli uko wazi na yeye anajua kuwa hakuna jipya aliloliweka hapa zaidi ya uzushi na uzandiki!Mohamed, nimeacha vijana wako watukane kwasababu matusi si sehemu ya intellectual discourse na wewe unaona raha sana kuwa sehemu ya matusi bila kujali umri na kaufahamu kako kuhusu majina ya watu.
Mohamed, unanitaja sana kwasababu nimekuwa mwiba mchungu sana kwa ngano zako, by the way wewe ni kaka yangu tu wala si baba ndiyo maana huwa ni gut za kukuambia hapa kweli, hapa uongo, huu uzushi au huu ni upumbavu.
Unanitaja sana kwasababu unajua jinsi nilivyoifanyanga ngano yako. Mimi nipo kila mahali kwa taarifa yako.
Umeshtuka sana hasa kuona jinsi tunavyokubana hadi unapumua kwa njia mbadala.
Sihangaiki na dagaa nahangaika na wewe! jamvi linajua.
Kumbuka kuwa kuna hoja, maswali na mambo kadha wa kadha umekimbia na hujathubutu hata kutungia uongo.
Hebu rejea nyuma kwanza kabla hujanyanyua pua ujibu viporo vya hoja na maswali uliyokimbia hovyo.
Nimekuonyesha bila aibu jinsi ulivyoandika takwimu za kiwango cha form II hukuweza kutetea hata mstari mmoja na ulikiri narudia umekiri kuwa ni makosa hukujua. Hukujibu hata mstari mmoja. Hukuweza kunyanyua kalamu kujibu hata mstari, sasa nitegemee utaniona wa maana wakati watu 100k wanaona ukitembea umeshika msuli badala ya kuvaa!
Mohamed ni kweli mimi na wewe hatukai chungu kimoja kwasababu wewe ni Tandamti na Gerezani, mimi ni total package ha ha ha.
Nguruvi,
Wapi nimemtaja Chaurembo na hotuba?
Hotuba ya muago si sote tunaisuburi?
Iweje mzigo unitwishe mimi?
Mengine hayanishughulishi nakuachia
mwenyewe.
Jasusi,
Niko kwenye tab.
Nikirudi Insha Allah kwenye mpakato nitakupa kisa cha ile Mercedes.
Chini wanakwenda watu.
The Prime Minister is the head of government in England. But the Queen is the head of the British Kingdom. The QUEEN is the head of the Church of England.
YOU r pushing us to the limits,kuviokoa this lost generation under your spell- i was ready to start naming names-hili walimwengu waone how unavyopindisha history to suit your agenda-but hiyo tone yako juu naona umekubali albeit indirectly-hence forthwith hii topic naifunga
Hotuba kaiweka hapa Jokakuu umedai video! wewe ndiye umeleta hoja (mashtaka) kuwa Nyerere alisema hamtambui Sykes wakati anaaga wazee wa Dar es Salaam. Je, hukusema maneno hayo?Nguruvi,
Hotuba ya muago si sote tunaisuburi?
Iweje mzigo unitwishe mimi?
Mengine hayanishughulishi nakuachia
mwenyewe.
Hotuba kaiweka hapa Jokakuu umedai video! wewe ndiye umeleta hoja (mashtaka) kuwa Nyerere alisema hamtambui Sykes wakati anaaga wazee wa Dar es Salaam. Je, hukusema maneno hayo?
this is new-ina maana watu wote wale stadium walikuwa wamealikwa????
Nguruvi,
Hakika nimesema.
Bwana Yericko Nyerere akaweka maneno ya hotuba.
Nikasema ilwekwe clip.
Akasema Yericko itawekwa...
Bado tunasubiri.