Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #10,521
Asante sana na heshima kwako mkuu Nguru3.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wala si lazima niandike ulichoandika. Nina hakika nikikuonyesha nilichoandika hutaweza kuuliza au kuhoji maana ni mambo yanayohusu maisha yako leo hii siyo simulizi.
Hivi unaweza kuhoji chochote kuhusu Limbic System na impact ya psychological trauma inayoyosababishwa na malezi mabaya! Kwanza tu nikisoma maandishi yako kwangi ni sehemu ya study. Unajua Grandiosity na inferiority complex zinavyofanya compliment each other.Unaweza kuchangia lolote kuhusu manic syndrome au schizophrenia.
Siyo lazima mtu aandike kisicho cha kweli ilimradi tu kaandika. Kuandika kwenye heshima ni kule kunakoleta fikra na mtazamo mpya. Kwanini niandike kuwa commonwealth ni mjumuiko wa mataifa yenye mfumokristo nikifahamu huo ni uongo mzuri tu?
Kwanini niudanganye umma kuwa Nigeria ndiyo nchi yenye waislam wengi duniani.
Kwanini niandike kitu nisichoweza kukitetea na pengine kunidhalilisha kama takwimu ulizotoa?
Umeanza ngano yako kuwaondoa wapiganaji kwa kutumia dini, ukabaki na waislam. Nao umeanza kuwagawa kwa kutumia makabila Wazulu na wamanyema na sasa umezama kabisa katika Umanyema kama ambavyo nina nukuu za kutosha kutihibitisha hayo.
Kuwa maarufu hakuhitaji kuandika. Osale Otango, Osama, Budia, Ngweso au makundi kama Sandinista,Red brigade, Alqaeda au Hakhan si maaurfu eti kwasababu yameandika ni maarufu kwa sababu zao kama ulivyo maarufu kwa kufarakanisha Watanzania.Wewe ni maarufu kwa wasio na uwezo wa kuchambua maandishi yako.
Kwa watu wenye akil,i Mohamed Said, ni mchochezi, mzushi na muongo. Umeandika ngano kwa kutumia majina bila kuwa na tafiti. Kama moja ya tafiti ni hiyo ya takwimu nitaomba dunia ifute somo hilo.
Mohamed umaarufu wako uko wapi wakati unakimbia hoja lukuki. Kututajia majina ya akina Tatu Said, Mwanameka n.k. haitusaidi kitu kwasababu majina tu hayatoshi kufanya unachosema kuwa kweli.
Kuwasingizia marehemu kwa maandishi ni kinyume cha maadili ya kiroho na Uislam.
Simama na tetea hoja zako. Umekimbia maswali na hoja za wanajamvi kama akina Mag3, Mwanakijiji, Platozoom n.k.
sasa umaarufu wako ni kuhusu nini. Lakini hapa hatupo kuonyesha umaarufu,tunatumia akili zetu kukueleza kuwa si kweli kuwa Sykes alianzisha AA na si kweli kuwa Sykes alimfundisha siasa Nyerere.
Tutakuwa hatuzitendi haki akili zetu tutakapokubali kuwa sheikh Chaurembo aliandika hotuba na Nyerere mwenye Master msomi na Mwalim aibebe kama ilivyo hadi UNO kuisoma. Real!
Kushindwa kwako kuthibitisha tuhuma kama za hotuba ya Nyerere kuhusu Sykes alipoaga ni ushahidi mzuri sana kuwa umejifungia chumbani, ukatumia majina ya watu na matukio kuandika tamthilia hii tamu.
Nakishukuru chuo kikuu cha DSM kutofikiria hadithi hii kama sehemu ya mtaala wa wanafunzi maana mwanafunzi anapaswa kupewa elimu na wala si chuki, udini na ukabila.
Ni tusi kumfundisha mwanafunzi kuwa bila Wazulu na Wamanyema uhuru wa Tanganyika ungekuwa mashakani.
Ni dhalili kumlisha mwanafunzi takwimu za kiwango chako tutegemee mwanafunzi huyo alisaidie taifa katika utafiti.
Kwa ufupi jitihada zako za kuandika ngano ili zijenge mazingira ya kufarakanisha watu sasa zi wazi.
Pengine tofauti baina yako na Ilunga ni namna ya kufikia hadhira.
Tupo hapa kuwaonyesha wanajamvi mbinu zako za kujenga mazingira ya kusema watu fulani wanaonewa huku ukijua ukweli kuwa uonevu ni zao la kujionea.Unashinda kuwapigia watu hadithi badala ya kuwaambia wapeleke watoto shule, wawasaidie homework, kuwajengea kujiamini na kwamba sky is the llimit. Wewe unawafanya wajiskie dhalili, watu wa kiwango duni na kwamba wakibadili majina yao basi maisha yatanyooka wakiwa vitandani.
Kibaya zaidi ni jinsi unavyowafanya vijana hasa wa kiislam kuamini kuwa mafanikio yao yanaambatana na majina na wala si jithad. Kwamba jihad iwe kutafuta nani kafanya nini na wala si wao wanafanya nini katika maisha yao.
Unafanya hivyo ukijua wao hawatahoji kuwa wewe ni zao la mfumo kristo na kwamba ni ALUMNI wa st Joseph Catholic school. Unawadanganya waandamane kwenda kumuwekea dhamana Ponda na wala si kwenda maktaba.
Mohamed, sifa ya uislam ni ukweli na haki. Maandiko yako yanaacha maswali mengi kuliko majibu na ni vema ukasema historia uandikayo ni ya wazee wako wa Narung'ombe wala si Tanganyika. Ukitaja Tanganyika umetualika na hapo hakuna favor of fear, just facts on the table.
Mohamed Said,
..Umetukumbusha kuhusu jarida la Africa Events.
..unajua wakati gazeti lile linatoka mimi ndiyo wakati najifunza kusoma kiingereza.
..kwa hiyo nilikuwa nasoma lakini sipati picha nzima ya nini kinaongelewa.
..sasa kuna toleo la Africa Events waliandika kuhusu Mohamed Naguib na ushiriki wake katika mapinduzi ya Egypt, na jinsi alivyokuja "kufanyiziwa" na Gamal Nasser.
..baadaye nilisoma makala ya mauaji yaliyotokea Zanzibar, ikiwataja watu kama Mdungi Ussi, Azizi Twala, etc etc.
..zaidi, kuna makala kuhusu waasisi wa TANU. Hii makala nadhani iliambatanisha na picha ya waasisi hao. nakumbuka kuiangalia mara kwa mara ile picha na sikumbuki kama nilikuwa naelewa haswa relation ya picha ile na makala nzima.
..swali langu ni hili: je, wewe ndiye mwandishi wa makala ile? Je, ilikuwa ni makala moja au ulitoa na nyingine tena ktk Africa Events? Mwisho, makala ya iliyowahusu kina Mdungi Ussi, Azizi Twala, ilitoka ktk toleo moja na makala yako kuhusu waasisi wa Tanu??
..Mwisho, naomba utueleze kidogo kuhusu mwandishi aliyeitwa Mlamali Hassan Mlamali. Je, huyu ndiye pia alikuwa akiandika makala za barua kutoka London? Wapi naweza kupata makala za barua kutoka London??
Nguruvi,
Hakika nimesema.
Bwana Yericko Nyerere akaweka maneno ya hotuba.
Nikasema ilwekwe clip.
Akasema Yericko itawekwa...
Bado tunasubiri.
Jokakuu,
Ile makala ya TANU mimi ndiye mwandishi ''In Praise of Ancestors'' (AE March/April 1988).
Ile yakina Twala sikuandika mimi.
Mhariri wa AE alikuwa Mohamed Mlamali Adam na yeye akifanya Barua Kutoka London.
Mimi nilifanya Barua Kutoka Glasgow katika miaka hiyo hiyo lakini wakinirekodi Bush
House London.
Hizo barua unaweza kuwauliza BBC Idhaa ya Kiswahili.
Nakuwekea kizawadi kidogo hapa chini:
''...One day Nabwa told me how Abdulaziz Twala met his death.
I was stunned.
I told Nabwa that Twala and Jaha Ubwa were friends of my father.
In our sitting room on the wall there was a photograph of my
father and Twala posing together.
When my father got information that his friend Twala had been
killed he removed the photo from the wall and I never saw that
photo again.
And from that day for whatever reason if he had tomention Twala
or Jaha Ubwa even among his friends my father whispered.
I was very young at that time to understand the fear which the
atrocities in Zanzibar had instilled into many people including
my father to the extent that he thought unwise even to retain
whatever memories he had of his late friends and be scared stiff
to even mention Twalas name or that of Jaha Ubwa in public.
The day Nabwa related to me the story of Kassim Hanga and the
barbaricway he was killed, he brought back memories of the man as
I knew him in 1960s.
I told Nabwa that as a young boy of about 12 years of age I knew Hanga from a
distance because he used to come to the neighbourhood where we lived to play
bao.
At that time Hanga was minister in the Union Government. I cant even count
the times I saw Hanga at Gogo junction with Mchikichi Street sitting on
a mat playing the traditional game of bao with very common people.
I told Nabwa I was there among the crowd at Mnazi Mmoja Grounds in front of
ArnautogloHall when Hanga was taken from Ukonga Prison and brought to a public
rally in which Nyerere jeered, ridiculed and humbled him publicly.
Hanga headbowed and his bespectacled face full of beard sat there in the scorching
sun silently wallowing in his humiliation. That was the last time Hanga was seen
in public...''
(Excerpts kutoka Obituary :''The Weeping and Whipping Pen of Ali Mohamed Nabwa
1936 -2007'' niliyoandika baada ya kifo cha Ali Nabwa na ikachapwa na The East African)
Na wala si lazima niandike ulichoandika. Nina hakika nikikuonyesha nilichoandika hutaweza kuuliza au kuhoji maana ni mambo yanayohusu maisha yako leo hii siyo simulizi.
Hivi unaweza kuhoji chochote kuhusu Limbic System na impact ya psychological trauma inayoyosababishwa na malezi mabaya! Kwanza tu nikisoma maandishi yako kwangi ni sehemu ya study. Unajua Grandiosity na inferiority complex zinavyofanya compliment each other.Unaweza kuchangia lolote kuhusu manic syndrome au schizophrenia.
Siyo lazima mtu aandike kisicho cha kweli ilimradi tu kaandika. Kuandika kwenye heshima ni kule kunakoleta fikra na mtazamo mpya. Kwanini niandike kuwa commonwealth ni mjumuiko wa mataifa yenye mfumokristo nikifahamu huo ni uongo mzuri tu?
Kwanini niudanganye umma kuwa Nigeria ndiyo nchi yenye waislam wengi duniani.
Kwanini niandike kitu nisichoweza kukitetea na pengine kunidhalilisha kama takwimu ulizotoa?
Umeanza ngano yako kuwaondoa wapiganaji kwa kutumia dini, ukabaki na waislam. Nao umeanza kuwagawa kwa kutumia makabila Wazulu na wamanyema na sasa umezama kabisa katika Umanyema kama ambavyo nina nukuu za kutosha kutihibitisha hayo.
Kuwa maarufu hakuhitaji kuandika. Osale Otango, Osama, Budia, Ngweso au makundi kama Sandinista,Red brigade, Alqaeda au Hakhan si maaurfu eti kwasababu yameandika ni maarufu kwa sababu zao kama ulivyo maarufu kwa kufarakanisha Watanzania.Wewe ni maarufu kwa wasio na uwezo wa kuchambua maandishi yako.
Kwa watu wenye akil,i Mohamed Said, ni mchochezi, mzushi na muongo. Umeandika ngano kwa kutumia majina bila kuwa na tafiti. Kama moja ya tafiti ni hiyo ya takwimu nitaomba dunia ifute somo hilo.
Mohamed umaarufu wako uko wapi wakati unakimbia hoja lukuki. Kututajia majina ya akina Tatu Said, Mwanameka n.k. haitusaidi kitu kwasababu majina tu hayatoshi kufanya unachosema kuwa kweli.
Kuwasingizia marehemu kwa maandishi ni kinyume cha maadili ya kiroho na Uislam.
Simama na tetea hoja zako. Umekimbia maswali na hoja za wanajamvi kama akina Mag3, Mwanakijiji, Platozoom n.k.
sasa umaarufu wako ni kuhusu nini. Lakini hapa hatupo kuonyesha umaarufu,tunatumia akili zetu kukueleza kuwa si kweli kuwa Sykes alianzisha AA na si kweli kuwa Sykes alimfundisha siasa Nyerere.
Tutakuwa hatuzitendi haki akili zetu tutakapokubali kuwa sheikh Chaurembo aliandika hotuba na Nyerere mwenye Master msomi na Mwalim aibebe kama ilivyo hadi UNO kuisoma. Real!
Kushindwa kwako kuthibitisha tuhuma kama za hotuba ya Nyerere kuhusu Sykes alipoaga ni ushahidi mzuri sana kuwa umejifungia chumbani, ukatumia majina ya watu na matukio kuandika tamthilia hii tamu.
Nakishukuru chuo kikuu cha DSM kutofikiria hadithi hii kama sehemu ya mtaala wa wanafunzi maana mwanafunzi anapaswa kupewa elimu na wala si chuki, udini na ukabila.
Ni tusi kumfundisha mwanafunzi kuwa bila Wazulu na Wamanyema uhuru wa Tanganyika ungekuwa mashakani.
Ni dhalili kumlisha mwanafunzi takwimu za kiwango chako tutegemee mwanafunzi huyo alisaidie taifa katika utafiti.
Kwa ufupi jitihada zako za kuandika ngano ili zijenge mazingira ya kufarakanisha watu sasa zi wazi.
Pengine tofauti baina yako na Ilunga ni namna ya kufikia hadhira.
Tupo hapa kuwaonyesha wanajamvi mbinu zako za kujenga mazingira ya kusema watu fulani wanaonewa huku ukijua ukweli kuwa uonevu ni zao la kujionea.Unashinda kuwapigia watu hadithi badala ya kuwaambia wapeleke watoto shule, wawasaidie homework, kuwajengea kujiamini na kwamba sky is the llimit. Wewe unawafanya wajiskie dhalili, watu wa kiwango duni na kwamba wakibadili majina yao basi maisha yatanyooka wakiwa vitandani.
Kibaya zaidi ni jinsi unavyowafanya vijana hasa wa kiislam kuamini kuwa mafanikio yao yanaambatana na majina na wala si jithad. Kwamba jihad iwe kutafuta nani kafanya nini na wala si wao wanafanya nini katika maisha yao.
Unafanya hivyo ukijua wao hawatahoji kuwa wewe ni zao la mfumo kristo na kwamba ni ALUMNI wa st Joseph Catholic school. Unawadanganya waandamane kwenda kumuwekea dhamana Ponda na wala si kwenda maktaba.
Mohamed, sifa ya uislam ni ukweli na haki. Maandiko yako yanaacha maswali mengi kuliko majibu na ni vema ukasema historia uandikayo ni ya wazee wako wa Narung'ombe wala si Tanganyika. Ukitaja Tanganyika umetualika na hapo hakuna favor of fear, just facts on the table.
Gwalihenzi,Mzee Mohamed Said umekwama kwa hoja mpaka ukaamua kujikomba kwa Jasusi kiasi hiki! aibu! haya tunasubiri kuona kama kweli mkuu Jasusi atakubali kufugika kama walivyofugwa vijakazi wako wanaojaza kurasa humu kwa maneno ya kinafiki kila siku!
Tangu mjadala huu uanze bado hujatuonyesha dhulma hiyo ipo wapi kwa uislamu na muislamu wa Tanzania.Nguruvi,
Uislam umekataza dhulma.
Muislam Allah kamkataza kudhulumu na pia kukubali kudhulumiwa.
Hakika nikitaja Tanganyika nimetoa mwaliko.
Sadkta.
Lakini kaa ukijua historia ya uhuru wa Tanganyika haikamiliki
kama hukuwataja wazee wangu.
Ninaposoma faharasha (index) ya kitabu changu hufarajika sana.
Nakwenda jina moja baada ya jingine, moja baada ya jingine.
Reginald Mhango alisema hawezi kuchapa kumbukumbu ya miaka 20
ya Abdu Sykes hadi amepata ruksa kutoka Dodoma na sababu aliyotoa
ni kuwa kumbukumbu ile inagusa historia ya Tanganyika.
Tukamwambia hiyo ndiyo historia yenyewe na hayo yote yaloaandikwa
hakusingiziwa kayafanya na akipenda anaweza kuuliza ngazi ya juu kabisa.
Asubuhi Daily News na Uhuru zimechapa kumbukumbu.
Kuna somo moja hapa ni pana sana, nitalisimulia huko tuendako na mnakasha huu,
Mwalimu Nyerere kabla ya kukabidhiwa mamlaka kamili ya kutawqla Tanganyika yaani miezi 18 kabla, alifika Roma, na miezi 18 baada ya mamlaka kamili tena alidhuru Roma,
Yapo mengi ngoja tusonge, lakini sio tiketi kwa wahafidhina wa nyimbo za mfumo kristu
Wanaukumbi.
Ni kipi kilichofanya Denis Phombeah kukorofishana na Nyerere mpaka akakimbilia Uingereza akafia huko.
Jasusi unazidi kujikoroga narudia tena hakuna kitu kama hicho usitake kusema uongo. Kudhibitisha uongo wako na usivyo na haya nakudondoshea misumari hii.
Elizabeth II (Elizabeth Alexandra Mary; born 21 April 1926[SUP][note 1][/SUP]) is the constitutional monarch of 16 sovereign states, known as the Commonwealth realms, and their territories and dependencies, and head of the 54-member Commonwealth of Nations. She is Supreme Governor of the Church of England and, in some of her realms, carries the title of Defender of the Faith as part of her full title.
Sasa tutizame huyo Supreme Governor of the Church of England ni nani?
The Supreme Governor of the Church of England is a title held by the British monarch that signifies titular leadership over the Church of England.[SUP][1][/SUP] Although the monarch's authority over the Church of England is largely ceremonial, the position is still very relevant to the church and is mostly observed in a symbolic capacity. The Supreme Governor formally appoints high-ranking members of the church on the advice of the Prime Minister of the United Kingdom, who is in turn advised by church leaders.[SUP][1][/SUP]
Labda Jasusi tukuulize kwanini hii position ni Ceremonial? Jibu lake utalipata hapa:
To placate critics the Oath of Supremacy, which nobles were required to swear, gave the monarch's title as Supreme Governor rather than Supreme Head of the church. This wording avoided the charge that the monarchy was claiming divinity or usurping Jesus Christ, whom the Bible identifies as head of the church.[SUP][5][/SUP]
Hivyo narudi Archbishop of Cantebury is the head of the Church of England. The Queen of England is a constitutional monarch for 16 sovereign states. Pengine hujui what is a constitutional monarch. Wajuzi wanaitafsiri kama hivi:
Constitutional monarchy (or limited monarchy)[SUP][citation needed][/SUP] is a form of government in which a monarch acts as head of state within the guidelines of a constitution, whether it be a written, uncodified, or blended constitution. This form of government differs from absolute monarchy in which an absolute monarch serves as the source of power in the state and is not legally bound by any constitution and has the powers to regulate his or her respective government.
Swali ni kuwa, je, hujasema kuwa Nyerere alisema hamfaham Abdul Sykes. Hilo ndilo swali la muhimu.Nguruvi,
Hakika nimesema.
Bwana Yericko Nyerere akaweka maneno ya hotuba.
Nikasema ilwekwe clip.
Akasema Yericko itawekwa...
Bado tunasubiri.
huyo nae ni kwani muislamu wa kariakoo alidhulumiwa kwenye historia ya uhuru???
Hotuba hiyo yamaandishi unaikubali ama unaipinga?
Swali ni kuwa, je, hujasema kuwa Nyerere alisema hamfaham Abdul Sykes. Hilo ndilo swali la muhimu.
Son...
Huna cha kuzungumza kwa ile ''excerpt'' niliyokuwekea ya Sheikh Kassim?
Swali ni kuwa, je, hujasema kuwa Nyerere alisema hamfaham Abdul Sykes. Hilo ndilo swali la muhimu.