Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Nguruvi3,unatisha kumkichwa kama ukoma! Kwakweli unajua kujenga hoja zilizosheheni nondo za nguvu.
Nakuhakikishia watanzania wote wanaofatilia mtanange huu wanakusoma wewe, Mwanakijiji,Mag3,Jasus na Yericko nyerere kwa hoja zenu mzuri na zenye kujenga na kuelimisha.
Pia wanamsoma Mohamed said,Ritz,Boko haramu,Ami,kadogoo,The Big Show na wafia dini wengine kwa hoja zao dhaifu zenye kuleta majibu mepesi kwenye maswali magumu...kwa hakika kundi hili lipo hapa jamvini kwa aibu ya kutokukubali kuwa wameshindwa na wanachokifanya sasa ni kujibu kwa mipasho ili mradi waonekane wapo na hawajashindwa.
Nguruvi3, endelea na usichoke....watanzania wanakusoma.
Nguruvi3 ni kichwa ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja sana, ukimsoma unavutiwa na hoja zake
lakini pia masimulizi ya Mohamed Said yanavutia sana kuna baadhi ya vitu nilikuwa sifahamu lakini kupitia masimulizi yake nimepata vitu
lakini hawa kina Boko haram naona mipasho ndio imejaa Ritz naona sikuhizi amestaarabika sana
mnakasha naona ni mzuri sana maana tunapata vitu vingi sana nilikuwa sivifahamu pamoja na stori za kuvutia
yaani huwezi kuchoka kusoma...
Last edited by a moderator: