Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

out of the point,,
sasa unataka kikwete alipe kisasi??
Hoja hujibiwa kwa hoja,usitafute visingizio ndugu.

Umeelewa nilichozungumza? Hivi umekisoma kitabu chake Mohamed Said au kuangalia papers zake?
Maudhui ya vyote hivyo ni kudhulumiwa kwa waislam...kuanzia kwenye kutengwa kuwekwa kwenye kumbukumbu ya historia, kudhulumiwa kwa waislam baada ya uhuru(hapa kanisa katoliki linachukua nafasi ya mkoloni likiongozwa na Rais mkatoliki Nyerere). Na ukimsoma vizuri utaona kuna jitihada kubwa sana la kuliunganisha kanisa katoliki na dhulma dhidi ya waislam...mathalan hata majina tu ... Augustine Mrema a catholic, Mkapa a catholic, Edward Moringe Sokoine a catholic, Nyerere a cotholic zealot nk...
Tukija kwenye tawala zilizoongoza na wakristu watajwa moja kwa moja wenyewe kama wahusika wakuu katika dhulma dhidi ya waislam. Tukija kwenye tawala za akina Mwinyi na Kikwete inatajwa serikali kama ndiyo inahusika na dhulma hizo. Hauhitaji kuna akili ya ziada kuona Mohamed Said anajaribu kufanya kitu gani.
Hapo kwenye kisasi kwa kweli haukunielewa. Issue ni kwanini wasitajwe wenyewe kama wahusika moja kwa moja kwenye dhulma hizo zinazofanyiwa waislam badala yake linatajwa kanisa na serikali tu?
 
Waliofungwa ni waliokuwa jeuri tu, wapo (wakuu wa maasi) waliojirudi na kuomba msamaha hasa walipopelekwa IKULU, Nitakujuza wote subiri...
Nafikiri hapa ujasema kweli. Mimi najua wazi akina Zakaria Hans Pope na ndugu yake harry , Rodrick Roshan Robarts, Suleiman matusela Komando, na wengine wengi walihukumiwa. sasa tutajie vinara gani walioachiwa kwa kuonewa huruma na Nyerere? ili kuthibitisha maneno yako.
 
Wanazuoni karibuni mtoe michango yenu ili nasi tuelimike pia wenye tafiti mwageni ukumbini
 
huku ni kuishiwa na kufilisika kwa hoja. Nilibainisha toka awali kuwa nina mashaka makubwa sana kitaaluma na huyu y nyerere kwani nilimwambia kuwa tafiti yoyote inajibiwa kwa tafiti na sio vinginevyo. Sasa hapa amejidhihirisha kuwa ni mtupu wa ilmu. Kwani sikutaraji kwa msomi yoyote kukifananisha kitabu cha s. Rushdie cha satani verses na kitabu cha m said. Kwani hicho satanic verses ni fiction na cha mohamed said ni cha kitaaluma. Huwezi hata siku moja kuchanganya chumvi na sukari kisha ukajisifu. Pole sana

naam naaam,,
swadakta kabisa,hata namimi naanza kupata shaka na taauma yake huyu ndugu yetu.
 
Kitabu cha Aya za Shetani si kitabu unachoweza kufananishaNa kitabu changu.Ile inaitwa ''fiction''kitabu changu ni 'ácademic.''Hivi ni vitu viwili tofauti sana.Hadi leo ''The Godfather''cha Mario Puzo ni kati ya vitabu mashuhuriLakini bado ni fiction haviingizwi katika ''journal''za vyuo vikuu.Natumaini umeelewa.Sikukujibu hilo la ngano kwa kuogopa kukufedhehesha.Inaelekea wewe ni mchache wa elimu.
Mwenzako AHMED SALMAN RUSHDIE katunukiwa nishani nyingi tu. Anaujua Uislam na matatizo yake na wala hampendi na kumuenzi mtu kwa Uislam wake.
 
Unajua tatizo lako ni kuwa una shida katika uelewa wa mambo haya.

Itakubidi upige goti kwa walimu usomeshwe na hili si gumu wewe
bado mtoto.

Hakuna kitabu kilichokamilika duniani.
Lakini vipo vitabu vilivyoandikwa kwa kupotoshwa.

Hivyo vya kupotoshwa tuviache kwa sababu huwa vinajizika wenyewe.

Tuje katika vitabu vilivyoandikwa na wasomi makini.

Tuje kwa Iliffe 'Á Modern History of Tanganyika' London, Cambridge
University, 1977.

Illife ni msomi mkubwa sana mimi siwezi kuruhusiwa hata kubeba
viatu vyake.

Kitabu chake ni kizuri sana kuhusu historia ya Tanganyika.
Kaandika kile alichotafiti na kuna mambo mengine mle hamna.

Abdu Sykes kamtaja katika kitabu chake lakini hakumtaja Sheikh
Hassan bin Amir.

Mimi si kuwa nimmemtaja Sheikh Hassan bin Amir peke yake nimeeleza
jinsi wanafunzi wake walivyofanikiwa kuipa TANU wanachama na kwengine
viongozi wa awali nk. nk.

Tuje kwenye kitabu changu na hili nimelisema mara kadhaa wala si swali wewe
kulileta tena kwangu.

Nimesema na nyinyi andikeni mchango wa wazee wenu katika kupigania uhuru wa
Tanganyika.

Badala ya kushughulishwa na hili mmekazania kunishambulia mimi.
Mimi nimekuelezeni kuwa hiyo haitasaidia kwa kuwa kitabu changu kimekubalika
na kinasomeshwa vyuo vikuu vyote vyenye idara ya African Studies.

Hayo mengine sina haja ya kuyazungumzia.
Mkuu jaribu ku mention au kuandika id ya unayemjibu. Inakuwa vigumu kufuatilia unajibu hoja zipi...
 
umeelewa nilichozungumza? Hivi umekisoma kitabu chake mohamed said au kuangalia papers zake?
Maudhui ya vyote hivyo ni kudhulumiwa kwa waislam...kuanzia kwenye kutengwa kuwekwa kwenye kumbukumbu ya historia, kudhulumiwa kwa waislam baada ya uhuru(hapa kanisa katoliki linachukua nafasi ya mkoloni likiongozwa na rais mkatoliki nyerere). Na ukimsoma vizuri utaona kuna jitihada kubwa sana la kuliunganisha kanisa katoliki na dhulma dhidi ya waislam...mathalan hata majina tu ... Augustine mrema a catholic, mkapa a catholic, edward moringe sokoine a catholic, nyerere a cotholic zealot nk...
Tukija kwenye tawala zilizoongoza na wakristu watajwa moja kwa moja wenyewe kama wahusika wakuu katika dhulma dhidi ya waislam. Tukija kwenye tawala za akina mwinyi na kikwete inatajwa serikali kama ndiyo inahusika na dhulma hizo. Hauhitaji kuna akili ya ziada kuona mohamed said anajaribu kufanya kitu gani.
Hapo kwenye kisasi kwa kweli haukunielewa. Issue ni kwanini wasitajwe wenyewe kama wahusika moja kwa moja kwenye dhulma hizo zinazofanyiwa waislam badala yake linatajwa kanisa na serikali tu?
nimekuelewa hoja yako,nadhan unachukizwa sana na hoja ya kutajwa kwa kanisa moja kwa moja katika maandiko yake ndugu moh' said,lakini kabla ya kuchukia huko,je kutawja huko kuna uhalisia au hakuna uhalisia?

Kuhusu tawala za mwinyi na kikwete kuwa waislam na hoja na maudhui ya ndugu moh' said hakuingiliani moja kwa moja japo nayeye ametolea clarification kwa kias chake,kuwa kwake kikwete ama mwinyi ama yeyote yule huko mbeleni kuwa muislam,kufanya kwake mabaya au mema katika uongozi wake dhidi ya waislam na uislam kwa ujumla,hakuwezi kuingilia uhalisia ama kutumika kama mantiki ya kuhoji yale yaliyoandikwa na ndugu moh' said,au hakuwez kufuta uhalisia wa dhulma ya kufutwa kwa wale waliotoa mchango wao katika kuupigania uhuru wa nchi hii kwa namna yoote ile.
 
d. Ukubali pia kwamba katika kupinga kwako dhulma dhidi ya Waislamu au Uislamu au Tanganyika kuna kasoro kwani unaamini Nyerere alikuwa na dhulma dhidi ya Waislamu kwa sababu ni Mkristu lakini unaamini Waislamu sasa hivi hawadhulumiwi chini ya utawala wa Kikwete - Muislamu.(KIPIMO CHA NYERERE CHA DHULMA YAKE NI KUDHARAU JUHUDI WALIZOZIFANYA WAASISI WA WA KUPIGANIA UHURU HUO KABLA YEYE HAJAKARIBISHWA MJINI NA KUJIVISHA KWA MABAVU JUHUDI HIZO ILI LEO APATE KUITWA MTAKATIFU,ILA TUNASIKITIKA HILO LIMEFELI KWA KIZAZI HIKI NA VIZAZI VYOTE VINAVOKUJA)

THE BIG SHOW ,hilo la kujivisha kimabavu juhudi hizo kwa kweli wewe na mohamed said mtufafanulie vizuri. Hilo la kuitwa mtakatifu kwa kweli umejitwika mzigo ambao haustahili kuubeba. Mambo ya Kanisa ni mambo ya kanisa...hakuna muislam ,mpagani,mhindu nk atayeliamulia kanisa bali kanisa lenyewe.
Jamani wakati tunaandika tujaribu kuwa watulivu na kuzituliza chuki zetu. Hapo umeandika madudu ulivyomquote mwanakijiji kwa sababu ya chuki tu.
 
mwenzako ahmed salman rushdie katunukiwa nishani nyingi tu. Anaujua uislam na matatizo yake na wala hampendi na kumuenzi mtu kwa uislam wake.

hata nawewe ukitokea leo kuukashifu uislam dunia itakuenz na kukupatia tuzo nyingi tuh,
nasikitika kukuona unatutoa kwenye mantiki kuu ya mjadala huu na kuutaka kuugeuza kuwa ni malumbano ya kidini,vibaya hivo,na kwa style hiyo hatuwez fika,kuwa kwako wewe mkristo ni sahihi kwako na ni haki yako,na unapata amani kwa hiyo dini yako na mfumo wako wa maisha,kuwa kwangu mimi muislam pia ni haki yangu kama vile ilivo kwako na ninapata peace of mind kuufuata mfumo huuu wa maisha,basi tuvumiliane na kila mtu aheshim iman ya mwenzake,tuzungumze hoja iliyotuleta bila kutoka nje na kujengeana chuki,haifai hata kidogo
 
Hilo usemalo ni kweli. Nyerere hapendezi tena kwa Waislam.

Dhulma imetamalaki sana katika nchi yetu. Hii imezaa chuki na uadui.

Prof. Haroub aliliona hili na alimtahadharisha Nyerere kuwa heshima yake
siku za usoni itaingia dosari.

Waislam wana ghadhabu kwa kubaguliwa katika elimu nafasi za kazi nk.

Lakini bado nafasi tunayo ya kukabiliana na hili tatizo.
Wahusika wameshafahamika.

Kilichobaki ni kwa serikali ichukue hatua. Ikubali kuwa lipo tatizo katika nchi.
 
THE BIG SHOW ,hilo la kujivisha kimabavu juhudi hizo kwa kweli wewe na mohamed said mtufafanulie vizuri. Hilo la kuitwa mtakatifu kwa kweli umejitwika mzigo ambao haustahili kuubeba. Mambo ya Kanisa ni mambo ya kanisa...hakuna muislam ,mpagani,mhindu nk atayeliamulia kanisa bali kanisa lenyewe.
Jamani wakati tunaandika tujaribu kuwa watulivu na kuzituliza chuki zetu. Hapo umeandika madudu ulivyomquote mwanakijiji kwa sababu ya chuki tu.

WALA SIO CHUKI,LA HASHA MKUU,NA WALA SIO KWA DHAMIRA YA KUIPINDISHA HOJA KUU.
UNAJUA UKWELI UKISEMWA KAMA ULIVYO KWA MTU MWINGINE HUWA UNAMPA TABU SANA,SIWEZ KUM BEZA NYERERE NA KUMSHUTUMU KWA MAMBO AMBAYO SIYAFAHAM NA SIYAJUI,ILA TUNAMZUNGUMZA NYERERE KWA YALE ALIYOYASHIRIKI YEYE MOJA KWA MOJA AMBAYO YAMELETA TASWIRA TOFAUTI NA HALI YA TAHARUKI JUU YAKE.
BY THE WAY,KWANI UNAWEZA KUMTENGANISHA JULIUS NA KANISA KATOLIKI?BILA SHAKA HUWEZ KUMTENGA MZEE YULE NA KANISA,HILO LIKO WAZI KABISA.
 
Hilo usemalo ni kweli. Nyerere hapendezi tena kwa Waislam.

Dhulma imetamalaki sana katika nchi yetu. Hii imezaa chuki na uadui.

Prof. Haroub aliliona hili na alimtahadharisha Nyerere kuwa heshima yake
siku za usoni itaingia dosari.

Waislam wana ghadhabu kwa kubaguliwa katika elimu nafasi za kazi nk.

Lakini bado nafasi tunayo ya kukabiliana na hili tatizo.
Wahusika wameshafahamika.

Kilichobaki ni kwa serikali ichukue hatua. Ikubali kuwa lipo tatizo katika nchi.
Hapo umeshindwa kuonyesha. Hivi mwenzetu hauna aibu? Tuonyeshe basi hiyo dhulma wanayofanyiwa waislam kielimu ili watanzania wote wapate kuijua...
 
WALA SIO CHUKI,LA HASHA MKUU,NA WALA SIO KWA DHAMIRA YA KUIPINDISHA HOJA KUU.
UNAJUA UKWELI UKISEMWA KAMA ULIVYO KWA MTU MWINGINE HUWA UNAMPA TABU SANA,SIWEZ KUM BEZA NYERERE NA KUMSHUTUMU KWA MAMBO AMBAYO SIYAFAHAM NA SIYAJUI,ILA TUNAMZUNGUMZA NYERERE KWA YALE ALIYOYASHIRIKI YEYE MOJA KWA MOJA AMBAYO YAMELETA TASWIRA TOFAUTI NA HALI YA TAHARUKI JUU YAKE.
BY THE WAY,KWANI UNAWEZA KUMTENGANISHA JULIUS NA KANISA KATOLIKI?BILA SHAKA HUWEZ KUMTENGA MZEE YULE NA KANISA,HILO LIKO WAZI KABISA.
Sasa utamtengaje na kanisa katoliki wakati yeye mwenyewe ni mkatoliki? Wewe tunaweza kukutenga na Uislam(Mfumo Kamili wa maisha) wakati wewe mwenyewe ni muislam?
 
Sasa utamtengaje na kanisa katoliki wakati yeye mwenyewe ni mkatoliki? Wewe tunaweza kukutenga na Uislam(Mfumo Kamili wa maisha) wakati wewe mwenyewe ni muislam?

LA HASHA,SIWEZ MTENGA NYERERE NA KANISA KATOLIKI KWA KUWA YEYE ALIKUWA NI MKATOLIKI,NA WALA MIMI HUWEZI KUNITENGANISHA NA UISLAM(MFUMO KAMILI WA MAISHA)KWA KUWA MIMI NI MUISLAM,
HOJA KUU HAPO NI KWAMBA KUNA MAJINA SASA YAPO MTU AKIONEKANA NI MWENYE IMANI YA JUU DHIDI YA DINI YAKE HUITWA "EXTRIMIST"
KWA KIAS FULANI UKIMWONA MTU ANAONESHA KUTUMIA WADHIFA WAKE KUFANYA KAMA DHAMANA YA KUUGEMEA UPANDE MMOJA DHIDI YA MWINGINE HUITWA MDINI,HIKO NDICHO KINACHOMGHARIM JULIUS KATIKA BAADHI YA MAENEO YAKE YA UTAWALA,NIELEWE VIZURI,SI KATIKA MAENEO YOTE YA UTAWALA WAKE..!,LA HASHA,ILA KUNA MAENEO KATUMIA DHAMANA KUBWA TULIYOKAMKABIDH KWA MAKUSUDI KABISA YA KUEGEMEA NA KUUBEBA UPANDE WAKE,TUKUBALI HILO,UBINADAM NA MAPENZ DHIDI YA IMANI YAKE YALIMWINGIA NDUGU JULIUS,APUMZIKE KWA AMANI HUKO ALIKO.
 
Mohamed Said, unaposema Nyerere hapendezi tena kwenye macho ya waislam halafu unasema waislam wana gadhabu kwa sababu wanabaguliwa kwenye elimu na nafasi za kazi una maana gani? Ulikuwa unamaanisha walibaguliwa wakati wa Nyerere au wanabaguliwa mpaka hivi sasa? Kama wanabaguliwa mpaka hivi sasa ni kwanini Nyerere pekee asipendeze mbele ya macho ya waislam lakani Mwinyi,Mkapa na sasa Kikwete wanusurike?
 
LA HASHA,SIWEZ MTENGA NYERERE NA KANISA KATOLIKI KWA KUWA YEYE ALIKUWA NI MKATOLIKI,NA WALA MIMI HUWEZI KUNITENGANISHA NA UISLAM(MFUMO KAMILI WA MAISHA)KWA KUWA MIMI NI MUISLAM,
HOJA KUU HAPO NI KWAMBA KUNA MAJINA SASA YAPO MTU AKIONEKANA NI MWENYE IMANI YA JUU DHIDI YA DINI YAKE HUITWA "EXTRIMIST"
KWA KIAS FULANI UKIMWONA MTU ANAONESHA KUTUMIA WADHIFA WAKE KUFANYA KAMA DHAMANA YA KUUGEMEA UPANDE MMOJA DHIDI YA MWINGINE HUITWA MDINI,HIKO NDICHO KINACHOMGHARIM JULIUS KATIKA BAADHI YA MAENEO YAKE YA UTAWALA,NIELEWE VIZURI,SI KATIKA MAENEO YOTE YA UTAWALA WAKE..!,LA HASHA,ILA KUNA MAENEO KATUMIA DHAMANA KUBWA TULIYOKAMKABIDH KWA MAKUSUDI KABISA YA KUEGEMEA NA KUUBEBA UPANDE WAKE,TUKUBALI HILO,UBINADAM NA MAPENZ DHIDI YA IMANI YAKE YALIMWINGIA NDUGU JULIUS,APUMZIKE KWA AMANI HUKO ALIKO.
Na sisi tumesikia ndiyo maana tunataka kujua ni wapi na wapi na kivipi aliwafanyia dhulma hizo. Mathalan unapsema aliwabugua waislam kielimu basi mtuonyeshe kivipi(kitu ambacho mohamed said ameshindwa mpaka sasa). Mkituonyesa kivipi sisi tutawaelewa.
Kingine sisi tunashangaa ni kwanini hamuwezi kumshukuru Nyerere kwa kutaifisha shule za dini ili watanzania wote wapate kusoma. Asingefanya hivyo hali upande wenu ingekuwa mbaya maradufu leo hii...
 
NAKUSHUKURU SWEKE KWA HOJA ZAKO ZENYE TIJA.
LAKINI NINA UHAKIKA TUPO WOTE KWENYE MWANZO WA MJADALA HADI SASA,MAJIBU YA HOJA ZAKO YAPO HUKO NYUMA,TENA YAMEFAFANULIWA VEMA TUH,JARIBU KUPERUZI NA KUONA UNDANI WA SUALA HILO.,KWANI SISI TUNA SHIDA NA NYERERE?HAPA TUPO KATIKA KUZUNGUMZA YALE YALIYOFANYWA KWA MAKUSUDI NA KUPOTOSHWA,NA SIO KWAMBA TUNA CHUKI BINAFSI NA NYERERE LA HASHA,
HOJA ZETU ZISIHUZUNISHWE NA CHUKI BINAFSI.
 
Sweke.
Kwanini tubishane?

Ikiwa wewe unaona hakuna dhulma na wengine ipo
kuna haja gani tuzunguke katika hilo?

Kila mtu abaki na msimamo wake.
Tuiachie historia pindi mwaka itatuamua.
 
Sweke,

Misingi ya dhulma aliweka yeye.
Yeye ndiye muasisi wa mfumokrsito.

Nimeeleza mgogoro wa EAMWS na mchango wake na wa
Kanisa Katoliki.

Nimeweka rejea za Bergen na Sivalon.

Nimeeleza juhudi zake za kuibadili historia ya uhuru wa Tanganyika
na mambo kadha wa kadha.

Kama nisemavyo.
Ikiwa unaamini hakuna dhulma...

Hiyo ni sawa.
Siwezi kukulazimisha.
 
Back
Top Bottom