Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 896
Huyu jamaa Mohamed Said kaondoka kwenye hii thread hakuna tena historia kuna porojo tu. Watu wanataka kusoma historia ya Tanganyika siyo habari za shule za Kilwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika kile kinachoitwa madai ya waislam hasa kuhusu elimu, zipo tuhuma kuwa wanafunzi wakristo walichukuliwa kupelekwa maeneo yenye waislam na viwango vidogo vya ufaulu.
Hili linaonekana kuwa ni dhulma kwa kuliangalia kama linavyoletwa.
Kinachowashindwa watu kuelewa ni kuwa mfumo wa kugawa nafasi uliletwa makusudi ili angalau kuwepo na uwiano katika makundi na jamii tofauti ambazo zilionekana kuwa nyuma.
Huko nyuma mtihani wa taifa ulikuwa unaangalia kiwango cha ufaulu bila kuangalia mtu anatoka eneo gani.
Kuna nyakati ambapo mkoa mmoja au miwili iliweza kutoa wanafunzi wengi kwenda sekondari pengine kuliko mikoa 10 kwa pamoja. Ilionekana maeneo yasiokuwa na fursa yaliendelea kuwa nyuma. Hii ni pamoja na mikoa ya pwani.
Utaratibu wa nafasi kimikoa ulilenga kupeleka fursa kwa kila mkoa. Ndipo hata viwango vya ufaulu vikawekwa kutokana na ushindani. Mfano, mkoa uliamua kiwango cha ufaulu ili kutimiza namba waliopewa na elimu taifa.
Kama ni wanafunzi 300 basi hata aliyepata 30 lakini akawa ndani ya 300 alikwenda sekondari.
Kwa namna fulani ilionekana kama uonevu kwa baadhi ya mikoa.
Fikiria mkoa ambao kuna mwanafunzi alipata 60 na kuachwa lakini wapo wanafunzi waliopata 45 na kuendelea na masomo.Kwahiyo si kweli kuwa utaratibu huo ulilenga kuhujumu zaidi ya kusaidia.
Kilichotokea ni kuwa wanafunzi kutoka mikoa yenye ushindani walihamia kule kwenye viwango duni.
Hili halikufanywa na serikali bali mwamko wa watu katika jamii zilizoona mbali.
Hapa nadiriki kusema kwa mkoa kama Kilimanjaro, Bukoba na ile ya kanda ya ziwa hii waliifaya sana kuhamishia wanafunzi pwani.
Nimeona kwa macho yangu mkoa kama wa Tanga mwanafunzi akitolewa ili akaolewe na wa kiume kuacha shule kwa ajili ya biashara za kuangalia viunga vya minazi. Narudia nimeona kwa macho yangu na akili nikiwa mtu mzima.
Swali linakuja, kwanini basi mikoa ya pwani ilikuwa na viwango duni?
Je, tatizo ni wale wenye viwango vikubwa kuhamia huko au tatizo ni wenyeji kutothamini elimu na kuwa na viwango duni. Mimi nadhani hakuna anayepaswa kutete uzembe kuwa katika dunia ya sasa basi kila kitu kitakuja katika silver plate.
Nawapongeza wazazi walioona fursa hiyo na nawalaumu wale waliodhani ni vema kuishi na viwango duni.
Tatizo si wahamiaji, tatizo ni wenyeji ambao hawakuwa na mwamko.
Mfano, Kilwa shule imefungwa kwasababu hakuna wanafunzi. Kama shule hiyo ingekuwa na wanafunzi waliohamia 50 pengine isingefungwa na hao ndio wangepata fursa iliyopo na ambayo haitumiwi vema na wenyeji.
Si kweli kuwa wakristo walipeleka watoto huko, hili lilihusu kila mtu mwenye uelewa na mwamko bila kujali imani yake.
Hakuna mwislam aliyeiona fursa hiyo akaiachia eti kwasababu wale wenyeji ni waislam na hivyo walipaswa kuachiwa nafasi hizo. Kama ingekuwa ni rahisi hivyo basi tusingeona rushwa katika taasisi za kiislam katika mambo hayo hayo ya elimu.
Hao wanaosema huo ni mfumo wanasahau kuwa nafasi zinazotolewa na mashirika mbali mbali kwa waislam zimekuwa zintumiwa kwa njia ya ''know who'' na wala si vinginevyo.
Matokeo yake wamechaguliwa vijana walioishia katika biashara za unga huko Uturuki na kwingineko na wala hawajarudi kusaidi jamii zao.
Vipi leo ionekane dhulma wakati ndani ya taasisi za kiislam kuna dhulma na wanajamvi wanaoshahdidia hoja hii mfu wanajua kuwa hilo lipo na linatendeka?
Hoja hii ya nafasi kwa maeneo na wahamiaji kuchukua fursa ni mfu na wala haina mashiko.
Hoja imejengwa ili kuendelea kuwapumbaza watu badala ya kuwaeleza ukweli wa dunia ya leo ya ushindani.
Hakuna anayefanikiwa kwa kudhani jina lake ni sehemu ya Resume. Ni lazima watu waambiwe ukweli hata kama unauma
Ningeshauri taasisi na wasomi wa kiislam wazame katika chimbuko la tatizo na sikutafuta band aid.
Tatizo lako unaongea sana huku unasahau hoja kuu,unasahau kuhusisha matukio au historia ya sehemu flani au kanda flani na malalamiko yanayaotolewa kuhusu kanda hizo,,
Yapo katika uliyoyaongea baadhi yana ukweli na hakuna anayeyapinga,hata Moh Said hakujipambanua kama ni mtu ambae anapinga au anakanusha pasipo na hoja za mashiko,
Ndio kwa maana tunakuambia ya kwamba unayoana hayo unayoyaona sasa katika baadhi ya kanda flan flan hapa nchini lakini hayakutokea kwa bahati mbaya,
Nimekufatilia vizur sana,lakini nikuambie kitu kimoja,hayo mambo uliyoyainisha sio tu yametokea kanda za pwani kama tanga,lindi,mtwara n,k,haya mambo yapo katika jamii za kiislam hata za huko bara mfano tabora,singida,shinyanga,dodoma n,k
Wapo wanaosema ya kwamba jamii ya pwani walizembea wenyewe kukimbilia fursa kutokana na tamaduni zao za umwinyi na kutotaka kujishughulisha na kujibidiisha,wapo pia waliosema ya kwamba jamii ya pwani imekutwa na hayo kutokana na kuukumbatia uislam na kwamba uislam unasisitiza sana kutilia mkazo elimu ya madrasa zaid kuliko katika elimu ya kisecular n,k.
Kitu kikubwa ambacho unastahili kukifaham hapa ni kwamba kuna mfumo ambao ulirithiwa kutoka kwa wakoloni ambao baadae ulikuja kuondoshwa kama mnavosema ila hapo unapofikia hatima ya kuondoshwa wapo baadh upande fulani walishagharimika na wapo upande mwingine ambao walishanufaika,,
Katika hali ya kuiondoa na kuleta usawa,jamii iliyokanufaika na matunda ya elimu ya mkoloni kwa kias kikubwa imekuwa ni mwiba mchungu sana kwa jamii ambayo haikunufaika kwa elimu hiyo,mwisho wa siku hata iyo serikali mnayosema iliamua kuchukua hatua muafaka kuelekea kutatua tatizo haikufanikiwa kwa kias kikubwa,,
Sasa inapofikiwa hatua tatizo hilo kuelezwa wazi wazi na kuonesha mianya na kupwaya kwa mamlaka husika katika mchakato mzima wa suala hilo watu huangaliwa kwa macho ya darubin kali.,hiyo si sawa..
Hapa lazima tukubaliane ya kwamba tatizo lipo tena kubwa sana..
Mzee MOHAMED SAID NI MWIBA WA KOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Hizi ni porojo za kwenye mihadhara ya mjinga mwenzenu Mohamed Said ambaye daima kila kitu anakiangalia kwa jicho la uislam! hizo ni fikra mfu na zinaendeshwa na watu wapuuzi kama wewe na hilo zee lako puuzi Mohamed. Mtu mwenye akili timamu ataiangalia serikali kama taasisina sio kama Kikwete. Na kwa ujinga wenu huo ndio maana mnaishia kushinda miskitini kuombea dua ati watu wafe! pumbavu zenu, mtakufa wenyewe kabla ya hao mnaowaombea wafe.
Galileo umeongea ukweli kuna mtu mmja huku kazi yake ni dharau tu mara mzee mjinga,mchochezi,mpumbavu halafu pitia post zake zote hana lamaana hata kuelezea historia ya hii nchi siajabu hata hapo gerezani hapajui lakini povu linavyo mtoka dah ndio maana mzee kaamua kupumzika kawaachia wajibizane wenyewe kama huamini subiri ajibu hii postHuyu jamaa Mohamed Said kaondoka kwenye hii thread hakuna tena historia kuna porojo tu. Watu wanataka kusoma historia ya Tanganyika siyo habari za shule za Kilwa.
Kwa wenye akili na upeo mdogo wa kufikiri kama wewe!Mzee MOHAMED SAID NI MWIBA WA KOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
View attachment 88720
Kwa wale waliokuwa wanazungumzia census ya 1967 nawawekea hapa summary yake
Kuna mahali nimesoma kuhusu shule za serikali. Kama kawaida imejengwa hoja dhaifu sana na imegusa hata kule watu wasikojua kuwa wengine walishiriki kwa macho na akili zao.
Zimetajwa shule zilizojengwa kwa misaada ya serikali zikatajwa shule kama Ruvu, Kibiti na nyingine za miaka ya 70 kama ilivyosemwa.
Zimerushwa tuhuma kuwa asilimia 80 ya wanafunzi na wafanyakazi wa maeneo hayo ni wakristo.
Sijui asilimia hiyo ilipatikanje kwasababu kuu mbili.
Wafanyakazi wa kawaida wanapatikana kutoka katika eneo husika. Hawa ni kama wapishi madereva na wengine (auxilliary)
Wafanyakazi wa taaluma kama walimu wanapatikana kwa sifa za vyeti vyao.
Zimetajwa shule katika mpangilio ambao unazua maswali kuliko majibu.
Nadhani mwandishi wa habari hiyo hafahamu shule hizo zilijengwa kwa utaratibu gani na zilitumika vipi.
Nimpe kionjo kidogo. Shule za Ruvu, Kilosa, Ifakara na Kibiti zilijengwa kwa msaada kutoka Cuba.
Ukienda katika shule hizo kila kitu ni ''copy' ya kingine.
Shule hizi zilikuwa za mchepuo wa Kilimo.
Utaratibu wa kuchagua wanafunzi kuingia katika shule hizi uligawanywa kwa kanda.
Katika kanda hizo ninakumbuka shule ya Kibiti ilikuwa inachukua kanda ya mashariki(Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara).
Kwa wale waliopitia Ruvu zama hizo nadhani watakuwa wanamkumbuka rafiki yangu Mjale na kule Ifakara Matimbwi.
Si kweli kuwa shule hizo zilichukua randomly, na hii ilifanywa makusudi kuhakikisha kuwa kila kanda inafaidika na msaada huo wa Cuba.Wazee waliokuwa wizara ya elimu na walioshiriki katika kuratibu haya waje hapa waniambie kama si kweli.
Sasa kama kuna kanda iliyokuwa imezembea wakaingia watu wengine, nani wa kulaumiwa?
Hivi kwanini umlaumu mtoto wa kiislam aliyesoma Ikizu akafaulu vizuri.
Kama mwanafunzi alitokea Mkuranga akaenda kusoma Peramiho na akafaulu, tatizo ni huyu aliyekwenda kule au wale wa kule waliozembea kutumia fursa!
Siku zote huwa nasema ni lazima wasomi watumie usomi wao kutafuta suluhu ya tatizo.
Ni jambo baya sana kutafuta suluhu kwa kutafuta visingizio. Tatizo liangaliwe kwa kina na wala si kwa ushabiki.
Mohamed alitoa mfano mzuri sana. Alisema sheikh Kassim alipokuja Dar alikuwa ''mshamba'' maana alishuka kwenye dau na hakujua anaelekea wapi hata baba yake kumfuata.
Alichokifanya ni kwenda kufundishwa ilm na baba yake kumkuta akiwa na maalim. Alipokuja Dar aliwakuta watu wa kariakoo wapo pale, yeye akatumia fursa hiyo na leo anamwandika kama mtu maarufu.
Huyu si alitumia fursa kutoka Bagamoyo! sasa kwanini alaumiwe yeye kuja kuchukua ilm wakati watu wa kariakoo walikuwa na fursa hiyo bila kupanda dau na hawakuitumia.
Vipi leo mwananchi aone Kilwa wanafunzi hawataki shule na yeye kuitumia fursa hiyo kwa watoto wake ionekane kama dhulma. Dhulma iko wapi? Kwanini mtu ajidhulum halafu aseme kadhulimiwa?
Narudia mfano huu kila siku, shule ya Hassan Mwinyi miaka miwili iliyopita ilikuwa na wanfunzi 250 na walim wawili.
Hapa nani anamdhulumu mwenzake! Hivi hapa si kujidhulumu kweli.
Kule mkuranga mwalimu Mkuu mmoja, akisafiri kiranja wake anakuwa makamu mkuu wa shule.
Haya ndiyo ameneo tunaambiwa walidhulumiwa kwa kuleta watoto kutoka nje. Haa! hapa kunadhulma gani jamani! nisaidieni wanajamvi.
Halafu mwl Mbwambo hasemwi kuwa ni shujaa! Walimu wangapi wa mkuranga wamekimbia maeneo hayo.
Nani anadhulumu hapa?
Kunakitu nadhani sikielewi kwasababu kila nikisoma hoja naona zingine kama gurudumu.
Hata nikijaribu kuzichongea miguu na mikono ya miti, hazisimami na wala hazina utetezi.Zinakosa mashiko.
Unatumia jina la mtu mwenye akili sana duniani (Galileo Galilei - Mkristo), lakini wewe mwenyewe ni wale wale wanaomtumikia kwa uaminifu mzee mchochezi Mohamedi Saidi bila hata chembe ya akili na busara! habari za shule za kilwa ndilo ambalo ninyi na huyo mzee wenu mnalitumia kupotosha historia ya Tanganyika, nakushangaa sana wewe kuja hapa na kutaka kulitenganisha na historia ya Tanganyika! Lakini sio kosa lako, ni makosa ya Mohamed Said kutumia uislam kuwapotosha vijana pamoja na wewe. Zinduka kijana kabla hujachelewa.Huyu jamaa Mohamed Said kaondoka kwenye hii thread hakuna tena historia kuna porojo tu. Watu wanataka kusoma historia ya Tanganyika siyo habari za shule za Kilwa.
ILA SIO SYSTEMATIC PERSECUTION kwa WAISLAMU
Au
DHULMA
Hilo tatizo mbona hamlisemi? kila kukicha mnakuja na vilio vile vile vya mbwa kukalia mkia, lakini hamsemi tatizo ni nini naninamna gani mtalitatua!Hapa lazima tukubaliane ya kwamba tatizo lipo tena kubwa sana..
Nikubaliane na wewe kuwa kitabu uekisoma,Bahati nzuri nimebahatika kukisoma hiki kitabu cha ndugu yangu Mohammed Said the life and times of Abdulwahid, Uamuzi wa Busara na vitabu kadhaa vya brother Said i suggest watu wasome sio tu kumuattack. wengi wanajua tu kumuatack na inaonesha dhahiri hawajasoma kitabu chake..
brother Said ameandika kisomi bila kumuatack mtu yoyote wala dini bali amonyesha kwa kiasi kikubwa jinsi gani njia mbalimbali zilitumika kudidimiza wengine.
mnaomuattack brother Said someni kitabu cha padri J.Silvanus kanisa katoliki na siasa za tanzania 1954-1985 utagundua kuwa brother Said yeye ni miongoni tu mwa waliojitolea kusema kweli kosa lake kubwa kawasemea kweli waislamu, ukisoma kitabu cha Silvanus utanielewa kwa nini nimesema kosa la brother Said.
ifike kipind tukubali madhifu ambayo yamewahi tokea na kujitahidi kujenga a better tomorrow,
aliyoandika brother said ni sehemu tu kwa yatakayo andikwa huko mbele na tukumbuke kitabu kama maisha na nyakati za Abdulwaheed ni cha mwaka 1997 sidhani kama Marehemu aliweza au alipata muda wa kukubali au kukanusha yaliyomo ktk kitabu hicho.
Tukumbuke tu maneno haya yalipata kusemwa na Wole Soyinka
"TISHIO KUBWA KWA UHURU NI UKOSEFU WA UKOSOAJI.VITABU NA MAANDISHI NI TISHIO KWA WALE WOTE WANAOTAKA KUUFICHA NA KUUZIKA UKWELI"
Nikubaliane na wewe kuwa kitabu uekisoma,
Lakini ni pingane na wewe kwa hoja kuwa TUKUBALIANE na maandishi ya Mohamed Said,
Kwanza kwanini tukubaliane nae?
Pili viambata vyake vya madai si sahihi na ameshindwa kututhibitishia kuanzia kwenye kitabu mpaka hapa kwenye mjadala.
Tatu, sisi hatuna tatizo na historia ya wazee wake, lakinu tatizo linakuja pale anaposema ni "historia ya uhuru wa Tanganyika"
Kitendo hicho tu kinamfanya kila mtanzania kuhoji uhalali wa historia ya Tanganyika inayoanzia gerezani na kuishia gerezani
Watu wanaona hawahitaji juambiwa ukweli ulipo kwakuwa kila kitu tumekiweka huru.Yericko,
Pumzika,usizid kujiharibia REPUTATION YAKO brother,,
Watu wanaoshuhudia mjadala huu ni wengi,wengi wao huwa hawachangii lakini wanauona uhalisia upo upande gani na upotofu upo upande gani..
Hawawez geuzwa na utetezi wako usio na mashiko..
Hilo lazima ulitambue,nikutumie kias gani uende kutuchukulia ile hotuba TBC??
JIBU TAFADHALI KWA MASLAHI YA WENGI..
Unasubiri wewe na nani?kama huijui historia ya Tanganyika nenda maktaba kasome, na kwakuwa wewe unataka kujua mchangao wa waislam basi nenda msikti wa kwamtoro.Wanaukumbi tunasubiri darsa la historia ya Tanganyika.
The irony is that with a christian hegemony in place (what they profess to be true) the very same people are up to the neck on the issue of population which is actually counter intuitive. Why? because of their sinister cause they know any census will prove christians and invalidate their claims because bigotry works well when the victims (christians) are a minority and the perpetrators majority then only the masses will be moved to accept their cause.
Tukikubali kuna mfumo kristo kwa miaka zaidi ya 50 tukubali pia mfumo huu umeongeza idadi yao kwani :
1) umewapa access ya huduma muhimu za afya hivyo kuwapa low mortality rate ikizingatiwa wana hospital za rufaa hii inawapa edge katika kudeal na terminal diseases, uwezo wa kliniki za uzazi n.k hasa katika mikoa yenye wakristo.
2) Pia mfumokristo effective utamaanisha wakristo wanasoma kwa wingi hivyo kuwa na uwakilishi mkubwa katika mashirika mbalimbali na wakawa na social class that's also above the rest lakini hili huwa ni tuhuma effectively pale tu ambapo population ya hao wanaotuhumiwa (here christians) ni ndogo significantly which is not true of christians here, wapo wengi kitu ambacho kina justify uwakilishi wao na kukinzana na dhana ya mfumo kristo ndio maana suala la sensa ni ishu.
Waanao lalamika mfumokristo wanapaswa kukubali moja, ila kutuambia wakristo wapo wachache na wehodhi kila kitu ni janja tuliyoishtukia. Hii inanikumbusha. "The protocols of the elders of zion".
Kipande cha hotuba ya Kikwete... Ipo Misikiti mitatu hapa Dar es Salaam wamenisomea itikafu nife.
Lazima mzee wetu Mohamed Said atakuwa anaswali kwenye hiyo misikiti.
Kadagoo, ni lini utaanza kuangalia na kuchambua mambo kama msomi? ni lini utaanza kuwaangalia watu kwa utanzania wao na sio kwa dini zao? Kama mtu hana "Qualification" za udakitari unataka aajiliwe kutibu watu kwa uislam wake kweli tutapona hapo?Na hao unaodhani wamepewa ajira kwa ukiristo wao wakibadiri dini/wakislim wakawa wote waislam wewe utafaidikaje? Kwanini usimkatae Mohamed Said na mawazo yake ya kishetani? Mtakaishi miskitini mkisoma dua za kuua watu mpaka lini nyie watu? Na hao mnaowaombea wafe wakifa ndio waislam wasio na utaalamu watapata ajira?Huu ni mwanzo mzuri kukiri (Wakristo) mnahodhi sehemu kubwa za ajira Serikalini na ktk mashirika ya umma! kabla ya hapa mlikuwa mkipinga kwa kusema TZ ni vigumu kujua nani mkristo au Muislamu kwakuzingatia majina! kama mnadai kuwa Wakristo wameongezeka kwa idadi baada ya Sensa ya 1967 kwanini mnapinga kipengele chadini kiwepo ktk Sensa?
Kama mnjiamini kweli mmeongezeka kwanini Kanisa na Serikali hawataki kujua idadi ya Wakristo,Waislamu na wengine ktk nchi yetu?
Geeky,
Ikiwa Serikali na Kanisa mwaka 2012 walikanusha kujua idadi ya watu na dini zao, wewe takwimu hizo umezipata wapi?
Onesha matusi yako wapi hapo? kwani mtu asietumia akili huitwaje?