Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Huyu jamaa Mohamed Said kaondoka kwenye hii thread hakuna tena historia kuna porojo tu. Watu wanataka kusoma historia ya Tanganyika siyo habari za shule za Kilwa.
 



Tatizo lako unaongea sana huku unasahau hoja kuu,unasahau kuhusisha matukio au historia ya sehemu flani au kanda flani na malalamiko yanayaotolewa kuhusu kanda hizo,,

Yapo katika uliyoyaongea baadhi yana ukweli na hakuna anayeyapinga,hata Moh Said hakujipambanua kama ni mtu ambae anapinga au anakanusha pasipo na hoja za mashiko,

Ndio kwa maana tunakuambia ya kwamba unayoana hayo unayoyaona sasa katika baadhi ya kanda flan flan hapa nchini lakini hayakutokea kwa bahati mbaya,

Nimekufatilia vizur sana,lakini nikuambie kitu kimoja,hayo mambo uliyoyainisha sio tu yametokea kanda za pwani kama tanga,lindi,mtwara n,k,haya mambo yapo katika jamii za kiislam hata za huko bara mfano tabora,singida,shinyanga,dodoma n,k

Wapo wanaosema ya kwamba jamii ya pwani walizembea wenyewe kukimbilia fursa kutokana na tamaduni zao za umwinyi na kutotaka kujishughulisha na kujibidiisha,wapo pia waliosema ya kwamba jamii ya pwani imekutwa na hayo kutokana na kuukumbatia uislam na kwamba uislam unasisitiza sana kutilia mkazo elimu ya madrasa zaid kuliko katika elimu ya kisecular n,k.

Kitu kikubwa ambacho unastahili kukifaham hapa ni kwamba kuna mfumo ambao ulirithiwa kutoka kwa wakoloni ambao baadae ulikuja kuondoshwa kama mnavosema ila hapo unapofikia hatima ya kuondoshwa wapo baadh upande fulani walishagharimika na wapo upande mwingine ambao walishanufaika,,

Katika hali ya kuiondoa na kuleta usawa,jamii iliyokanufaika na matunda ya elimu ya mkoloni kwa kias kikubwa imekuwa ni mwiba mchungu sana kwa jamii ambayo haikunufaika kwa elimu hiyo,mwisho wa siku hata iyo serikali mnayosema iliamua kuchukua hatua muafaka kuelekea kutatua tatizo haikufanikiwa kwa kias kikubwa,,

Sasa inapofikiwa hatua tatizo hilo kuelezwa wazi wazi na kuonesha mianya na kupwaya kwa mamlaka husika katika mchakato mzima wa suala hilo watu huangaliwa kwa macho ya darubin kali.,hiyo si sawa..
Hapa lazima tukubaliane ya kwamba tatizo lipo tena kubwa sana..
 

ILA SIO SYSTEMATIC PERSECUTION kwa WAISLAMU

Au

DHULMA
 
Mzee MOHAMED SAID NI MWIBA WA KOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu jamaa Mohamed Said kaondoka kwenye hii thread hakuna tena historia kuna porojo tu. Watu wanataka kusoma historia ya Tanganyika siyo habari za shule za Kilwa.
Galileo umeongea ukweli kuna mtu mmja huku kazi yake ni dharau tu mara mzee mjinga,mchochezi,mpumbavu halafu pitia post zake zote hana lamaana hata kuelezea historia ya hii nchi siajabu hata hapo gerezani hapajui lakini povu linavyo mtoka dah ndio maana mzee kaamua kupumzika kawaachia wajibizane wenyewe kama huamini subiri ajibu hii post
 
Wanaukumbi tunasubiri darsa la historia ya Tanganyika.
 
Mkuu wangu Jasusi hapa ndipo utagundua Mwl Nyerere aliona mbali sana tena sana.Kuna kundi la watu wachache waliokuwa wakililia kipengele cha dini kiwemo katika sensa ya mwaka jana yamkini wakitazama sensa ya mwaka 1967 katika jicho la uTanzania zaidi watamuhenzi Mwl maisha yao yote hapa duniani.


View attachment 88720
Kwa wale waliokuwa wanazungumzia census ya 1967 nawawekea hapa summary yake
 

Nikiwa shule ya Msingi Mkoa naotoka nakumbuka jinsi alama za ufaulu zilivyokuwa juu. Na kuna nyakati nikamuuliza ndugu yangu aliyekuwa Mkoa wa Pwani (ndiyo alikuwa amemaliza Ruvu Sec) kuhusu ufaulu na Mitihani kule anakotoka. Aliniambia kule alama za ufaulu ziko chini kulinganisha na Mkoa wetu na sababu (yeye anavyoona) ni ili kutoruhusu baadhi ya makabila watu wao wengi wakapata Elimu na kuyaacha mengine.

Lakini mtazamo wake huo kwa (wakti huo) haukuwa tofauti sana na lengo la kuhakikisha na Mikoa mingine wanapata fursa sawa za Elimu. Na kusema ukweli nawafahamu watu kadhaa tukiwa shule ya Msingi walivyohamishwa na wazazi wao kwenda kusoma kwa ndugu zao wanaoishi Pwani na Mtwara, mwanzoni tukifikiri pengine huko wana Mitihani rahisi sana.

Sasa kama kuna watu hawakuona umuhimu wa kutumia fursa hizo sijui Serikali ingewasaidiaje, maana hata kuandikisha watoto Shule ya Msingi kuna Opearation ndogo zilikuwa zinapita mitaani miaka ya 80s kuhakikisha Mtoto aliyefikisha umri wa kwenda Shule anaandikishwa.
 
Huyu jamaa Mohamed Said kaondoka kwenye hii thread hakuna tena historia kuna porojo tu. Watu wanataka kusoma historia ya Tanganyika siyo habari za shule za Kilwa.
Unatumia jina la mtu mwenye akili sana duniani (Galileo Galilei - Mkristo), lakini wewe mwenyewe ni wale wale wanaomtumikia kwa uaminifu mzee mchochezi Mohamedi Saidi bila hata chembe ya akili na busara! habari za shule za kilwa ndilo ambalo ninyi na huyo mzee wenu mnalitumia kupotosha historia ya Tanganyika, nakushangaa sana wewe kuja hapa na kutaka kulitenganisha na historia ya Tanganyika! Lakini sio kosa lako, ni makosa ya Mohamed Said kutumia uislam kuwapotosha vijana pamoja na wewe. Zinduka kijana kabla hujachelewa.
 
ILA SIO SYSTEMATIC PERSECUTION kwa WAISLAMU

Au

DHULMA


Ni wewe ndio unaesema hivyo,sisi tunaeleza uhalisia ulivyo,so kama uhalisia huo unaonekana unalandana na dhulma na systematic persecution kwa waislam SO BE IT..

Hakuna hofu itayotuingia hata siku moja katika kueleza kile tunachokiamin na kuutaka umma utuelewe...


Lazima ukweli usemwe,na historia ielezwe bila kujali mtapenda ama mtachukia..
 
Hapa lazima tukubaliane ya kwamba tatizo lipo tena kubwa sana..
Hilo tatizo mbona hamlisemi? kila kukicha mnakuja na vilio vile vile vya mbwa kukalia mkia, lakini hamsemi tatizo ni nini naninamna gani mtalitatua!
 
Nikubaliane na wewe kuwa kitabu uekisoma,

Lakini ni pingane na wewe kwa hoja kuwa TUKUBALIANE na maandishi ya Mohamed Said,

Kwanza kwanini tukubaliane nae?

Pili viambata vyake vya madai si sahihi na ameshindwa kututhibitishia kuanzia kwenye kitabu mpaka hapa kwenye mjadala.

Tatu, sisi hatuna tatizo na historia ya wazee wake, lakinu tatizo linakuja pale anaposema ni "historia ya uhuru wa Tanganyika"

Kitendo hicho tu kinamfanya kila mtanzania kuhoji uhalali wa historia ya Tanganyika inayoanzia gerezani na kuishia gerezani
 


Yericko,
Pumzika,usizid kujiharibia REPUTATION YAKO brother,,
Watu wanaoshuhudia mjadala huu ni wengi,wengi wao huwa hawachangii lakini wanauona uhalisia upo upande gani na upotofu upo upande gani..
Hawawez geuzwa na utetezi wako usio na mashiko..
Hilo lazima ulitambue,nikutumie kias gani uende kutuchukulia ile hotuba TBC??

JIBU TAFADHALI KWA MASLAHI YA WENGI..
 
Watu wanaona hawahitaji juambiwa ukweli ulipo kwakuwa kila kitu tumekiweka huru.

Kutuma pesa sio suluhisho la mjadala huu,

Jambo jema ni kuujua ukweli tuliowasomesha hapo mkuu.
 
Wanaukumbi tunasubiri darsa la historia ya Tanganyika.
Unasubiri wewe na nani?kama huijui historia ya Tanganyika nenda maktaba kasome, na kwakuwa wewe unataka kujua mchangao wa waislam basi nenda msikti wa kwamtoro.
 

Huu ni mwanzo mzuri kukiri (Wakristo) mnahodhi sehemu kubwa za ajira Serikalini na ktk mashirika ya umma! kabla ya hapa mlikuwa mkipinga kwa kusema TZ ni vigumu kujua nani mkristo au Muislamu kwakuzingatia majina! kama mnadai kuwa Wakristo wameongezeka kwa idadi baada ya Sensa ya 1967 kwanini mnapinga kipengele chadini kiwepo ktk Sensa?

Kama mnjiamini kweli mmeongezeka kwanini Kanisa na Serikali hawataki kujua idadi ya Wakristo,Waislamu na wengine ktk nchi yetu?

Geeky,
Ikiwa Serikali na Kanisa mwaka 2012 walikanusha kujua idadi ya watu na dini zao, wewe takwimu hizo umezipata wapi?
 
Kipande cha hotuba ya Kikwete... Ipo Misikiti mitatu hapa Dar es Salaam wamenisomea itikafu nife.

Lazima mzee wetu Mohamed Said atakuwa anaswali kwenye hiyo misikiti.

SWEKE,

Unajua maana ya ITIKAAF?(itikafu)
 
Kadagoo, ni lini utaanza kuangalia na kuchambua mambo kama msomi? ni lini utaanza kuwaangalia watu kwa utanzania wao na sio kwa dini zao? Kama mtu hana "Qualification" za udakitari unataka aajiliwe kutibu watu kwa uislam wake kweli tutapona hapo?Na hao unaodhani wamepewa ajira kwa ukiristo wao wakibadiri dini/wakislim wakawa wote waislam wewe utafaidikaje? Kwanini usimkatae Mohamed Said na mawazo yake ya kishetani? Mtakaishi miskitini mkisoma dua za kuua watu mpaka lini nyie watu? Na hao mnaowaombea wafe wakifa ndio waislam wasio na utaalamu watapata ajira?
 
Onesha matusi yako wapi hapo? kwani mtu asietumia akili huitwaje?

Kama haya yafuatayo sio matusi na kashfa, sijui tuyaite nini!

1) Majitu mengine kwa kujifariji hamjambo! Nguruvi3 ahangaike na huu upumbavu wenu? ama kweli maajabu hayataisha! wewe umeona kunalolote la maana hapo? kama ni hivyo basi tunajadili na mazuzu humu!

2)
Wewe huwa hutumii akili na huwa huna kumbukumbu. Kwa taarifa yako, ni Mwanakijiji huyo huyo aliyewashauri wapuuzi wenzako akina kadogoo, Boko na Ami wayapeleke maoni yao kuhusu Yesu kwenye jukwaa la...
Wewe kwa kuwa unamhara sana Mzee Mwanakijiji

3)
Hivi Boko unaakili timamu kweli? sasa huyo mungu wako ananihusu nini mimi? na huo upumbavu wa Mohamed mnaouita ilm unamanufaa gani kwangu? Boko, ninaishi bila hayo matakataka yako naninaraha zangu..Taabu mnataka kuileta nyie wapuuzi na hilo zee lenu chochezi!..

4)
Huna mpya mpuuzi wewe, hilo zee lako halifai kwa chochote katika nchi yetu. Kwa visa vya kipuuzi kama hivi wewe kwa ujinga wako unadhani ndio historia ya Tanzania! mpumbavu, hizo ni stori za wavuta unga mitaani tu.

5)
Kwanini uchukue likizo? ondoka kabisa fatani mkubwa!

6)
Wacha vilio vya kitoto hivyo, mtu mzima hovyooo!

7)
Huna lolote mzee mchimvi wewe, baada ya kushindwa hoja unataka kujitoa kijanja! muoga mkubwa! dalili za kushindwa na kutaka kukimbia zilianza na makele yako ya kila siku... mara oh.. anzisheni uzi wa utumwa muone... oh mimi ndie mbabe hapa... mara oh... wenzetu wamehamaki.... matusi yameanza. Mohamedi wewe umeshindwa kabisa hoja, huna hata tafsiri sahihi ya "Concept" mfumo kristo uliyoiasisi katika kuendeleza chuki na fitna zako kwa watanzania. You are doomed embicile old man.

8)
Ulivyo mpumbavu, unadhani watu wote ni wafuasi wa imani yako!

9)
Mtauonaje na nyie mmeshalogwa akili? kwenu kila asemacho mzee wenu Mohamed Said mnaona ni sahihi kabisa, hata anapodanganya waziwazi kuwa Marmo alikuwa mbunge wa Monduli nyie mnashangilia kama mazuzu! poleni sana walevi wa falsafa za uwongo wa Mohamed.

10) Wewe mpumbavu ni kwambie mara ngapi kuwa mimi ni "adent atheist"? ebu niondolee hayo makonokono yako, kwangu mimi hayana nafasi na wala hayana umhimu wowote.

Gwalihenzi,

Kamahayo si matusi basi tafsiri yako kuhusu matusi na kashfa umenukuu usiku wa giza nono! ni sawa na Kiongozi wa dini au wa chama cha kisiasa aishi na kimada au hawara halafu akiambiwa tabia hiyo ni kinyume na maadili aseme suala hilo ni lakibinafsi na haliwezi kuathiri murua wake ktk jamii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…