Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ritz,

Naomba msaada wako, mpaka mtu kuitwa sheikh anapitia vigezo gani? Na sababu kubwa nimemsikia mzee mo said akimuita sheikh, Bilal waikela na huyu yuko hai je? Ni sheikh kweli? Au? tafadhali naomba mwongozo wako. Na usheikh unapatikanaje?

In short, in the Arab world sheikh means a leader of a tribe or government official, a knowledgeable person or respected scholar,in the west the term "boss" is another meaning of sheikh.
 

Kadogoo,

Usivunje mbavu zangu hiyo ndiyo historia ya Tanganyika...ha ha ha haa ha!!
 
Last edited by a moderator:
Kadogoo, kumbe matusi huyajui, hicho ulichorodhesha hapo juu ni sifa na majina ya watu wanaofanya vitu vinavyofanana na hayo majina! kwani mtu anayefanya vitu bila kufikiri huitwaje? Mtu ambaye hafundishiki huitwa nani? mtu anayewagonganisha na kuwakosanisha wanajamii kwa masilahi yake binafsi kama anavyofanya mzee wenu muovu Mohamed Said huitwa jina gani? Bwana mdogo wacha kujifaragua na mambo yasiyo na maana hapa. Kwani nyie mnapowaita watu wasio wa dini yenu kwa majina kama Kafiri au wagalatia huwa hamtukani? Nenda shule bwana achana na mihadhara ya mzee aliyechoka kiakili huyo anakupotezea uwezo wa kujitegemea.
 

Protox,

Nakubaliana na wewe kabisa ila kuna masahihisho kidogo:

Mahakma za Kiislamu ziliingia madarakani mwaka 2006 kwa kuwafurusha wababe wa kivita na kutawala nchi kwa miezi 6 tu! lakini miezi 6 hiyo Wasomali wanakiri hawajawahi kuishi kwa amani na usalama ktk maisha yao yote kama miezi hiyo 6! Ndipo Amerika kwa kumtumia Kibaraka wake Meles Zenawi wakaivamia Somalia mwezi december 2006 na kuwafurusha Mahakimu wa Kiislamu na kufanikiwa kumrubuni Kiongozi wao Sharifu Shehe, kumbeba na ndege toka msituni hadi Nairobi na kukutana na Jendayi frazer aliekuwa assistant secretary of state for african affairs kipindi cha Bush Junior na akasafirishwa hadi Eritrea na baadae Adiss Abeba kabla kuchaguliwa kuwa Rais wa mpito wa Somalia kuanzia 2008 hadi 2012! Nchi za Magharibi kwa kumtumia Mtanzania Agustino Mahiga alieoa Msomali baada ya kumtumia Shehe Sharifu kuwafurusha Alshababu nae wamemtosa na sasa wanae Mtu wao ambae nilazima akubali masharti yao! kama mtataka niwajulishe masharti yenyewe niko tayari!

Protox,
Nakusifu kwa kumjulisha Yericko suala la Somalia kuwa amelivamia tu! hana Elimu nalo! anga hizi si zake! Ila namkumbusha Yericko kuwa baba ake alikuwa sahib mkubwa wa Rais aliepinduliwa huko Somalia Saidi Barre! huyu alikuwa Mkomunisti na adui wa Waislamu na hata kudiriki kuuwa Mashehe 12 wakubwa hadharani ktk miaka ya 70 na 80 kwa kuwapiga risasi sababu ni kuwa walipinga udikteta wake na kauli ya kutochanganya dini na siasa!
 


kwanini Kanisa na Serikali hawataki kujua idadi ya Wakristo,Waislamu na wengine ktk nchi yetu?
Ikiwa Serikali na Kanisa mwaka 2012 walikanusha kujua idadi ya watu na dini zao, Geeky takwimu kapata wapi takwimu hizi?

Waanao lalamika mfumokristo wanapaswa kukubali moja, ila kutuambia wakristo wapo wachache na wehodhi kila kitu ni janja tuliyoishtukia. Hii inanikumbusha. "The protocols of the elders of zion".
by Geeky!
 
Acha tabia za kishenzi za kukwepa maswali unayoulizwa, nakushauri achana na tabia za mzee Mohamed Said za kufikiri usawa wa pua lake tu!
 
Wanabodi tunasubiri darsa la historia ya Tanganyika.
Ulivyo mpuuzi unadhani hilo zee lenu chochezi litakuja hapa kutuletea HISTOHISIA zake eti kwa kuwa wewe kibaraka wake unalia lia hapa!Na likija hapa liambie ni kwanini lilikesha misikitini likisoma dua ya kumuua raisi JK mwislam mwenzenu!
 
Ulivyo mpuuzi unadhani hilo zee lenu chochezi litakuja hapa kutuletea HISTOHISIA zake eti kwa kuwa wewe kibaraka wake unalia lia hapa!Na likija hapa liambie ni kwanini lilikesha misikitini likisoma dua ya kumuua raisi JK mwislam mwenzenu!
Hahaaaa duuuuh umenivunja mbavu mkuu.
 


Usihangaike nae.
Sisi sote hapa tumeoa na wake zetu,na tuna heshima kubwa sana,hatuwez kuja hapa jukwaani badala ya kuzungumza mambo ya msingi eti tuhangaike na wale waliokosa sitara,hatuwez fanya hivyo hata siku moja..
Kama yupo hapa kwa misingi hiyo basi amepotea njia sana,hakuna bwana wa kumfaa,hebu mpuuze tujadili yale yenye manufaa..
 
Wanabodi kwa hiyo historia ya Tanganyika ndiyo haipo tena tunasoma matusi tu.
 
Ni aibu kwa Yericko kuangua kicheko cha furaha kwa kuwapongeza wale wanaotumia lugha za kejeli na matusi dhidi ya Mohamed Said,hiyo inakuvunjia heshima na kukuondolea iman unayojaribu kuijenga na kuwamezesha wtu..
Ona alivyoondoka Mohamed Said pamebakia kitu gani kwenye mjadala huu hadi sasa zaid ya viroja??
Jifunze siku nyingine kuukubali ukweli kama huu unaoelezwa..
 
Last edited by a moderator:

Kadogoo,
Tusilishane maneno,
nimeweka ktk mabano its what you people (profess to be true) kama hujanielewa si kwamba nakubaliana nanyi coz frankly I dont get it!!

Wikipedia reports a 62% share with 27m christians (google -christianity by country) unakumbuka mzozo ulianzaje this time : mabalozi yamepelekewa data na ofisi ya waziri mkuu. Wakristo walilalamika? au hujalisikia saga lote? Wanaochochea kipengele sio wanataka kipengele cha dini kiwepo ili wajue waislam wako wangapi wanajua wazi wanataka kupata sababu ya kuchochea machafuko kwasababu nilizozitaja hapo awali ya kwamba: idadi kubwa ya wakristo inakinzana na dhana ya mfumo kristo mnayoidai na muda unaisha wao wameona mazingira ya awamu hii ndio muda wake kupinga kila kitu. Au walikua wapi siku zote kugoma. Alafu mtu unagoma sensa hapo hapo ndio wa kwanza kuandikisha familia yako kitambulisho cha utaifa na bado unadhani serikali imefeli sensa. wao idadi wanayo its just not public knowledge na haikutakiwa ivuje ila siku hizi kila kitu kinavuja.
 
Daima unajifanya mtu mwenye hekima na busara huku ukisahau tabia zako za kishoga! haya soma hapo kwenye rangi nyekundu uone unavyojichanganya mwenyewe na tabia zako za kishenzi huku ukijinasibu ati ulisomeshwa tabia njema huko madrasa! " So stupid of you" Labda madrasa ulisomeshwa dua za kuwauwa wenzenu na ndio maana mnakesha miskitini kuombea rais wenu afe huku mukisahau kuwa ni muislam mwenzenu. Mkiitwa wapumbavu mnakuja na vilio kuwa mmetukanwa! Sasa kama mnafanya vitu vya hovyo tuwaiteje?
 
Sasa hivi tunaburudika na matusi tu kama kuna mtu yeyote anataka kujifunza matusi mapya basi ajongee kwenye huu uzi.
 
Wanabodi tunasubiri darsa la historia ya Tanganyika.
Ritz, historia ya Tanganyika ilijengwa katika misingi ya lengo fulani kufuatana na Mohamed.

Ni historia hiyo ndiyo inasemwa imeendelezwa hadi kuwa na mfumo Kristo ambao Mohamed hajaweza kusimama kuutetea au kuuleza ni kitu gani.

Wametokea watu na kuuleza mfumo kristo unaotokana na historia na tunajibu vipengele kimoja baada ya kingine.
Nadhani umeona na tutaendelea.

Kama unataraji historia ya Tanganyika ni ile ya majina ya vinyozi nadhani huko utakuwa umekosea.
Historia ya Tanganyika ni zaidi ya Narung'ombe na kipata, ni zaidi ya wacheza mpira na vinyozi.

Tunaendelea kuiangalia historia katika mfumo kristo,hadi sasa vipengele viwili vimejibiwa na kusimama bila kujibiwa.

Kama unadhani watu hawajui historia ya Tanganyika basi Mo asingeambiwa AA si ya Sykes ni ya Matola.
Asingeambiwa ah ah! Nyerere kabla ya kukutana na Sykes alishafika Dar
Kaambiwa Sykes walifisadi nyumba ya chama.
Kaambiwa hadi ticket alizoficha kuzieleza
Na mambo chungu nzima ambayo si rahisi mtu kuyajua kama hana background ya historia.

Labda kama una maanisha wapi vipande vya vitabu vilivyonukuliwa na kuwekwa hapa! Do you mean that?

Tunaiangalia historia kwa ujumla wake na yatokanyo na wala si kwa jicho moja la udini, ugerezani au Unarung'ombe.

Tutaenedlea kufumua vipengele alivyoshangilia Mohamed kama definition ya watoto ilivyoletwa.
Tunamjibu Mo na si vijana wanaojua copy and paste. Tunaendelea na hilo na mwisho utaona linakufa kifo cha sensa 1967.

By the way Mo baada ya kubanwa sawa sawa wiki hii amekimbia na aliporudi kwa dharura alikumbana na hoja ya kumtaka alete source za sensa ya mwaka 1957. Kama hatarudi atakuwa amesalimika akirudi atakutana na hoja.

''Mwacheni mzee wa watu apunzike-JK''
 
Nguruvi3,

..Mo mtoto wa mjini tu.

..anadai kuna vijana wa Kiislamu 25 walikuwa wamepata Div I halafu genge la Wakristo likapanga njama wasipangiwe shule za A-level!!

..kwa uelewa wangu, kamati ya kupangia wanafunzi A-Level huwa inaundwa na waalimu wakuu wa shule za sekondari.

..kila Mkuu wa shule huwa anapenda apate top cream ili baadaye shule yake ipate sifa kwa matokeo mazuri ya A-levels.

..hakuna Mkuu wa shule atakataa mwanafunzi mwenye poit 7, au div 1 single digit, kwa misingi ya kidini.

..Mo anakuja hapa na kuzusha kwamba wanafunzi wa Kiislamu walikuwa wananyimwa nafasi za A-level, ilhali wamepata div 1.
 
Last edited by a moderator:

"Inashangaza jinsi tunavyowakataza watoto wasiogope giza wakati sisi wenyewe tunaogopa nuru"~ Aristotle.

tunamgoja arudi hapa awejibie wanae naona wanalipenda giza.
 
G
GWALIHENZI.NAKUNUKUU
Mjengwa, Ludo anatuhumiwa, na kutuhumiwa sio kuhukimiwa iweje wewe uone kuhusishwa na mtuhumiwa ni kama dhambi vile? kwani wewe ni malaika? wewe huwezi kutuhumiwa? wacha kuandika habari ndefu ya kujitetea kana kwamba wewe ni mkamilifu na Ludo ni mkosaji sana na hivyo hasitahili hata kuhusishwa na wewe.Gwalihenzi hapo kwenye red vipi huo si unafiki na haya ni maneno yako umezungumza kuleeeeee kwa mjengwa na wewe unasema ni ATHIEST?wacha unafiki baba ubondia unautaka lakini uanaogopa manundu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…