Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

out of the point,,
sasa unataka kikwete alipe kisasi??
Hoja hujibiwa kwa hoja,usitafute visingizio ndugu.

Umeelewa nilichozungumza? Hivi umekisoma kitabu chake Mohamed Said au kuangalia papers zake?
Maudhui ya vyote hivyo ni kudhulumiwa kwa waislam...kuanzia kwenye kutengwa kuwekwa kwenye kumbukumbu ya historia, kudhulumiwa kwa waislam baada ya uhuru(hapa kanisa katoliki linachukua nafasi ya mkoloni likiongozwa na Rais mkatoliki Nyerere). Na ukimsoma vizuri utaona kuna jitihada kubwa sana la kuliunganisha kanisa katoliki na dhulma dhidi ya waislam...mathalan hata majina tu ... Augustine Mrema a catholic, Mkapa a catholic, Edward Moringe Sokoine a catholic, Nyerere a cotholic zealot nk...
Tukija kwenye tawala zilizoongoza na wakristu watajwa moja kwa moja wenyewe kama wahusika wakuu katika dhulma dhidi ya waislam. Tukija kwenye tawala za akina Mwinyi na Kikwete inatajwa serikali kama ndiyo inahusika na dhulma hizo. Hauhitaji kuna akili ya ziada kuona Mohamed Said anajaribu kufanya kitu gani.
Hapo kwenye kisasi kwa kweli haukunielewa. Issue ni kwanini wasitajwe wenyewe kama wahusika moja kwa moja kwenye dhulma hizo zinazofanyiwa waislam badala yake linatajwa kanisa na serikali tu?
 
Waliofungwa ni waliokuwa jeuri tu, wapo (wakuu wa maasi) waliojirudi na kuomba msamaha hasa walipopelekwa IKULU, Nitakujuza wote subiri...
Nafikiri hapa ujasema kweli. Mimi najua wazi akina Zakaria Hans Pope na ndugu yake harry , Rodrick Roshan Robarts, Suleiman matusela Komando, na wengine wengi walihukumiwa. sasa tutajie vinara gani walioachiwa kwa kuonewa huruma na Nyerere? ili kuthibitisha maneno yako.
 
Wanazuoni karibuni mtoe michango yenu ili nasi tuelimike pia wenye tafiti mwageni ukumbini
 

naam naaam,,
swadakta kabisa,hata namimi naanza kupata shaka na taauma yake huyu ndugu yetu.
 
Mwenzako AHMED SALMAN RUSHDIE katunukiwa nishani nyingi tu. Anaujua Uislam na matatizo yake na wala hampendi na kumuenzi mtu kwa Uislam wake.
 
Mkuu jaribu ku mention au kuandika id ya unayemjibu. Inakuwa vigumu kufuatilia unajibu hoja zipi...
 
nimekuelewa hoja yako,nadhan unachukizwa sana na hoja ya kutajwa kwa kanisa moja kwa moja katika maandiko yake ndugu moh' said,lakini kabla ya kuchukia huko,je kutawja huko kuna uhalisia au hakuna uhalisia?

Kuhusu tawala za mwinyi na kikwete kuwa waislam na hoja na maudhui ya ndugu moh' said hakuingiliani moja kwa moja japo nayeye ametolea clarification kwa kias chake,kuwa kwake kikwete ama mwinyi ama yeyote yule huko mbeleni kuwa muislam,kufanya kwake mabaya au mema katika uongozi wake dhidi ya waislam na uislam kwa ujumla,hakuwezi kuingilia uhalisia ama kutumika kama mantiki ya kuhoji yale yaliyoandikwa na ndugu moh' said,au hakuwez kufuta uhalisia wa dhulma ya kufutwa kwa wale waliotoa mchango wao katika kuupigania uhuru wa nchi hii kwa namna yoote ile.
 
 
mwenzako ahmed salman rushdie katunukiwa nishani nyingi tu. Anaujua uislam na matatizo yake na wala hampendi na kumuenzi mtu kwa uislam wake.


hata nawewe ukitokea leo kuukashifu uislam dunia itakuenz na kukupatia tuzo nyingi tuh,
nasikitika kukuona unatutoa kwenye mantiki kuu ya mjadala huu na kuutaka kuugeuza kuwa ni malumbano ya kidini,vibaya hivo,na kwa style hiyo hatuwez fika,kuwa kwako wewe mkristo ni sahihi kwako na ni haki yako,na unapata amani kwa hiyo dini yako na mfumo wako wa maisha,kuwa kwangu mimi muislam pia ni haki yangu kama vile ilivo kwako na ninapata peace of mind kuufuata mfumo huuu wa maisha,basi tuvumiliane na kila mtu aheshim iman ya mwenzake,tuzungumze hoja iliyotuleta bila kutoka nje na kujengeana chuki,haifai hata kidogo
 
Hilo usemalo ni kweli. Nyerere hapendezi tena kwa Waislam.

Dhulma imetamalaki sana katika nchi yetu. Hii imezaa chuki na uadui.

Prof. Haroub aliliona hili na alimtahadharisha Nyerere kuwa heshima yake
siku za usoni itaingia dosari.

Waislam wana ghadhabu kwa kubaguliwa katika elimu nafasi za kazi nk.

Lakini bado nafasi tunayo ya kukabiliana na hili tatizo.
Wahusika wameshafahamika.

Kilichobaki ni kwa serikali ichukue hatua. Ikubali kuwa lipo tatizo katika nchi.
 
 
Hapo umeshindwa kuonyesha. Hivi mwenzetu hauna aibu? Tuonyeshe basi hiyo dhulma wanayofanyiwa waislam kielimu ili watanzania wote wapate kuijua...
 
 
 
Mohamed Said, unaposema Nyerere hapendezi tena kwenye macho ya waislam halafu unasema waislam wana gadhabu kwa sababu wanabaguliwa kwenye elimu na nafasi za kazi una maana gani? Ulikuwa unamaanisha walibaguliwa wakati wa Nyerere au wanabaguliwa mpaka hivi sasa? Kama wanabaguliwa mpaka hivi sasa ni kwanini Nyerere pekee asipendeze mbele ya macho ya waislam lakani Mwinyi,Mkapa na sasa Kikwete wanusurike?
 
 
 
Sweke.
Kwanini tubishane?

Ikiwa wewe unaona hakuna dhulma na wengine ipo
kuna haja gani tuzunguke katika hilo?

Kila mtu abaki na msimamo wake.
Tuiachie historia pindi mwaka itatuamua.
 
Sweke,

Misingi ya dhulma aliweka yeye.
Yeye ndiye muasisi wa mfumokrsito.

Nimeeleza mgogoro wa EAMWS na mchango wake na wa
Kanisa Katoliki.

Nimeweka rejea za Bergen na Sivalon.

Nimeeleza juhudi zake za kuibadili historia ya uhuru wa Tanganyika
na mambo kadha wa kadha.

Kama nisemavyo.
Ikiwa unaamini hakuna dhulma...

Hiyo ni sawa.
Siwezi kukulazimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…