Gwalihenzi,
Hapa watu hawakuja kusoma kashfa na matusi yako angalia muendelezo wako na watu zaidi ya 100000 wanakusoma!
1) Majitu mengine kwa kujifariji hamjambo! Nguruvi3 ahangaike na huu upumbavu wenu? ama kweli maajabu hayataisha! wewe umeona kunalolote la maana hapo? kama ni hivyo basi tunajadili na mazuzu humu!
2) Wewe huwa hutumii akili na huwa huna kumbukumbu. Kwa taarifa yako, ni Mwanakijiji huyo huyo aliyewashauri wapuuzi wenzako akina kadogoo, Boko na Ami wayapeleke maoni yao kuhusu Yesu kwenye jukwaa la...
Wewe kwa kuwa unamhara sana Mzee Mwanakijiji
3) Hivi Boko unaakili timamu kweli? sasa huyo mungu wako ananihusu nini mimi? na huo upumbavu wa Mohamed mnaouita ilm unamanufaa gani kwangu? Boko, ninaishi bila hayo matakataka yako naninaraha zangu..Taabu mnataka kuileta nyie wapuuzi na hilo zee lenu chochezi!..
4) Huna mpya mpuuzi wewe, hilo zee lako halifai kwa chochote katika nchi yetu. Kwa visa vya kipuuzi kama hivi wewe kwa ujinga wako unadhani ndio historia ya Tanzania! mpumbavu, hizo ni stori za wavuta unga mitaani tu.
5) Kwanini uchukue likizo? ondoka kabisa fatani mkubwa!
6) Wacha vilio vya kitoto hivyo, mtu mzima hovyooo!
7) Huna lolote mzee mchimvi wewe, baada ya kushindwa hoja unataka kujitoa kijanja! muoga mkubwa! dalili za kushindwa na kutaka kukimbia zilianza na makele yako ya kila siku... mara oh.. anzisheni uzi wa utumwa muone... oh mimi ndie mbabe hapa... mara oh... wenzetu wamehamaki.... matusi yameanza. Mohamedi wewe umeshindwa kabisa hoja, huna hata tafsiri sahihi ya "Concept" mfumo kristo uliyoiasisi katika kuendeleza chuki na fitna zako kwa watanzania. You are doomed embicile old man.
8) Ulivyo mpumbavu, unadhani watu wote ni wafuasi wa imani yako!
9)Mtauonaje na nyie mmeshalogwa akili? kwenu kila asemacho mzee wenu Mohamed Said mnaona ni sahihi kabisa, hata anapodanganya waziwazi kuwa Marmo alikuwa mbunge wa Monduli nyie mnashangilia kama mazuzu! poleni sana walevi wa falsafa za uwongo wa Mohamed.
10) Wewe mpumbavu ni kwambie mara ngapi kuwa mimi ni "adent atheist"? ebu niondolee hayo makonokono yako, kwangu mimi hayana nafasi na wala hayana umhimu wowote.
Huu utafiti wa kutukana watu ulisomea wapi? any way turudi ktk mada:
MOHAMED SAID,
Umeelezea kuhusu safari za Abdu Sykes akienda Nairobi kuonana na Kenyatta miaka ya 40, hivi mpakani kipindi hicho kilikuwaje? Kulikuwa na border kati ya Kenya na TZ? au kwa kuwa Muingereza anatawala EA hivyo watu walikuwa wakisafiri bila pasi?
Naomba utujuze kisa cha Kigoma Malima kuhama CCM kama ulivyotuahidi au kama umeshakielezea basi nitajaribu kukitafuta.