Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Mgashi,
Narudia kukwambia.

Tusameheane.
Sote tuna fikra tofauti.
 
its funny yaani yericko alitaka kumwelewesha m.said about the history lakin hukuhuku mnaingiza maaskofu dah wanawatesaee?ni akili zmelala pale co fujo
 
its funny yaani yericko alitaka kumwelewesha m.said about the history lakin hukuhuku mnaingiza maaskofu dah wanawatesaee?ni akili zmelala pale co fujo

Honest Boy,
Historia ya TANU inawatisha baadhi ya watu.

Ndiyo maana mpaka leo mashujaa wa uhuru
hawajaenziwa.
 
Shukran Mzee Said. Mawazo yako na msimamo wako umeeleweka. Nitacheck kama publishers wako wana PDF ya hiki kitabu ili tuzidi kuzungumza muda ukiruhusu, changu nilikiacha tanga. Vinginevyo, wewe fanya hivi, siku ukisikia Zahrau Day Tanga tutafutane. Kuna mengi ya kuzungumza hata tukiwa na kashata
 

mzee wangu hapo kwenye naelezo ya kitabu naona ni maelezo tu ya jinsi nyumba ilivyojengwa na pia unadhani ufisadi wa umuhusishao kleist ukweli wake naweza kuupata kwa Daisy.

binafsi nilichotaka kutoka kwako sio nyumba hiyo ilijengwa kwa kutumia nini na siku gani bali..... je ni kweli mzee wetu Kleist ALIIFISADI hiyo nyumba???
 

MS,
Hiyo chamber sasa iko wazi ila inabidi ulipie tena baada ya kulipia geti la nje! kumuona Firauni ni paundi 100 Egp. sawa na sh.25,750.00
Hapo Tahrir Squre barabara ya round about mpaka sasa bado imefungwa sababu kuna vijana wa upinzani bado wameweka kambi na mahema ktk eneo hilo! hali ni shwari!

Underground zinafanya kazi ila si umati wa watu! nimepandia hapa Tahriir nikielekea Ataba kupitia Ashuhadaa zamani ikiitwa Mubaraka! hapa ni kumbukumbu ya wale waliopoteza uhai wao wakati wa kumpindua Hosni Mubarak!

MS,
Kilichonovutia hapa Cairo ni Taxi gharama yake ni ndogo! wanatumia computer ndogo inayochaji robo senti kwa kila kilometer.1! nilipanda toka Alzhar University hadi Tahrir Squre nililipa paundi 7tu! unaingia kwa Baba ntilie(huku hakuna Mama ntilie)unajichana shawarma au robo kuku na mkate kwa paundi 5tu! sawa na sh.1000!

Zamelek str. iko upande gani? ningependa sana kwenda huko ili inshallah nikawaombee dua Ahmed Rashad Ali na Abdulwahid Sykes wapigania uhuru wa Tanganyika.
 

Najua maalim vitu vingine trivial ila BIG SHOW is making a big show out of everything. wote vijijini kwetu tunaitwa wachumba na nyanya zetu ni suala dogo.
 
Hii nayo ni historia ya Tanganyika? Halafu mkiitwa wapuuzi manakasirika, sijui tuwaiteje watu wa naman yenu!
 

Kadogoo,

Umenikumbusha mbali ndugu yangu Shawrama ya ngamia au kondoo mara ya mwisho nimekula Istambul mwaka 2007.
 
Last edited by a moderator:

WIKAMA,
Bila shaka umedandia mazungumzo yangu na MS!
MIMI nimemuona FARAO wala hakuna mtu anaezuiwa kumuona kwa sasa! ila MS kasema yeye alikuwa MISRI miaka ya 80 hadi 90 kipindi hicho ndio walifunga chamber ya Farao sababu za kumfananisha na Sadat! sasa hayo mwambie MS mimi sidhani kama nahusika hapa!
 
Kadogoo, Shukran sana, nimeshawasiliana na Mzee MS na pia kukutaka wewe radhi kwa confusion iliyojitokeza
 

Remote,
Mimi sina taarifa ya ufisadi wa nyumba ya African Association.

Ama hilo la Daisy na ufisadi wa babu yake ni swali jingine nje yangu.
 

Wickama,
Insha Allah.
 
Hii nayo ni historia ya Tanganyika? Halafu mkiitwa wapuuzi manakasirika, sijui tuwaiteje watu wa naman yenu!

Gwalihenzi,
Hapa watu hawakuja kusoma kashfa na matusi yako angalia muendelezo wako na watu zaidi ya 100000 wanakusoma!

1) Majitu mengine kwa kujifariji hamjambo! Nguruvi3 ahangaike na huu upumbavu wenu? ama kweli maajabu hayataisha! wewe umeona kunalolote la maana hapo? kama ni hivyo basi tunajadili na mazuzu humu!

2)
Wewe huwa hutumii akili na huwa huna kumbukumbu. Kwa taarifa yako, ni Mwanakijiji huyo huyo aliyewashauri wapuuzi wenzako akina kadogoo, Boko na Ami wayapeleke maoni yao kuhusu Yesu kwenye jukwaa la...
Wewe kwa kuwa unamhara sana Mzee Mwanakijiji

3)
Hivi Boko unaakili timamu kweli? sasa huyo mungu wako ananihusu nini mimi? na huo upumbavu wa Mohamed mnaouita ilm unamanufaa gani kwangu? Boko, ninaishi bila hayo matakataka yako naninaraha zangu..Taabu mnataka kuileta nyie wapuuzi na hilo zee lenu chochezi!..

4)
Huna mpya mpuuzi wewe, hilo zee lako halifai kwa chochote katika nchi yetu. Kwa visa vya kipuuzi kama hivi wewe kwa ujinga wako unadhani ndio historia ya Tanzania! mpumbavu, hizo ni stori za wavuta unga mitaani tu.

5)
Kwanini uchukue likizo? ondoka kabisa fatani mkubwa!

6)
Wacha vilio vya kitoto hivyo, mtu mzima hovyooo!

7)
Huna lolote mzee mchimvi wewe, baada ya kushindwa hoja unataka kujitoa kijanja! muoga mkubwa! dalili za kushindwa na kutaka kukimbia zilianza na makele yako ya kila siku... mara oh.. anzisheni uzi wa utumwa muone... oh mimi ndie mbabe hapa... mara oh... wenzetu wamehamaki.... matusi yameanza. Mohamedi wewe umeshindwa kabisa hoja, huna hata tafsiri sahihi ya "Concept" mfumo kristo uliyoiasisi katika kuendeleza chuki na fitna zako kwa watanzania. You are doomed embicile old man.

8)
Ulivyo mpumbavu, unadhani watu wote ni wafuasi wa imani yako!

9)
Mtauonaje na nyie mmeshalogwa akili? kwenu kila asemacho mzee wenu Mohamed Said mnaona ni sahihi kabisa, hata anapodanganya waziwazi kuwa Marmo alikuwa mbunge wa Monduli nyie mnashangilia kama mazuzu! poleni sana walevi wa falsafa za uwongo wa Mohamed.

10) Wewe mpumbavu ni kwambie mara ngapi kuwa mimi ni "adent atheist"? ebu niondolee hayo makonokono yako, kwangu mimi hayana nafasi na wala hayana umhimu wowote.


Huu utafiti wa kutukana watu ulisomea wapi? any way turudi ktk mada:

MOHAMED SAID,
Umeelezea kuhusu safari za Abdu Sykes akienda Nairobi kuonana na Kenyatta miaka ya 40, hivi mpakani kipindi hicho kilikuwaje? Kulikuwa na border kati ya Kenya na TZ? au kwa kuwa Muingereza anatawala EA hivyo watu walikuwa wakisafiri bila pasi?
Naomba utujuze kisa cha Kigoma Malima kuhama CCM kama ulivyotuahidi au kama umeshakielezea basi nitajaribu kukitafuta.
 
Kadogoo, Shukran sana, nimeshawasiliana na Mzee MS na pia kukutaka wewe radhi kwa confusion iliyojitokeza

Hii ndio hulka yetu binaadamu hukosea na alienaakili hujirudi! bila kuomba radhi, wickama tuko pamoja.
 

Kadogoo,
Ngoja Insha Allah nimalize darsa la Abdu na mgomo wa bandarini 1948.

Tukitoka hapo Insha Allah tutaingia kwa Prof. Malima.
 
Kadogoo! mbona hujibu maswali unayoulizwa? umeulizwa hivi, maelezo ya ziara yako huko Misri ni sehemu ya historia ya Tanganyika? au unataka kututambia kama ilivyo kawaida yako wewe na hilo zee lako?
 
Nimepitia kidogo tu kuangalia kama Nguruvi ana majibu ya sensa au Mwanakijiji kama socratic method yake imetengenezeka tena baada ya kukwama njiani.Pia nilikuwa naangalia iwapo Jasusi anawajua kweli waliofanya biashara ya utumwa.
Hakuna kitu! na Uchochezi haukuwa uchochezi bali ni ukweli tu.
Nawaachieni Gwalihenzi na mkokoteni wake kule mji mkongwe wanaita Rikwama ili abebe majeruhi atoke nao ukumbini.
Nikirudi nitakuja na kanzu size 62 ya Ritz.
Naondoka nitarudi baadae InshaAllah
 


Ha ha ha..
Umenichekesha sana,yule jamaa wa mkokoteni na matusi yake kama akili zimemruka vile.
Ngoja aje na mkokoteni wake aje kuchukua majeruhi wake hawa,Mufilisi kabisa..
 
Reactions: Ami
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…