Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nyerere himself has never talked about this election or how he came to lead the Party in Dar es Salaam. The nearest he got to reflect on Abdulwahid was in the farewell speech to Elders of Dar es Salaam, and unfortunately his memory failed him as he could not recall what post Abdulwahid was occupying when he (Nyerere) joined TAA in 1952.
Mohamed, hii quote hapo juu inahitaji masahihisho, kama unataka kuwa credible.
Nguruvi3, huyo ndiye Mohamed Said, kama kuna tunu alipewa na Muumba wake ni utaalamu wake mkubwa katika fani ya ulaghai...kuupaka rangi uongo ili ufananefanane na ukweli. Hapo nyuma kwenye posti na.11543 iliyotolewa na Wickama ikimgusia Oscar Kambona, ukisoma kwa makini utabaki tu unashangaa na kujiuliza maswali mengi kuhusiana hizi porojo za Mohamed Said. Pamoja na yote ushahidi wote tulioweza kuutoa humu toka hii mada ianze nitaongezea tu chache ambazo Mohamed Said, kwa makusudi, kuwaficha wasomaji walengwa kwani zingemuumbua kwa hila zake ovu.
Mohamed Said haongelei mikutano mingi tu ya TAA iliyokuwa ikifanyika mwaka 1953 nyumbani kwa Mwalimu Nyerere akiwa Pugu kabla ya kuhamia jijini Dar es Salaam. Ilikuwa ni nyumba ambayo ni waafrika wachache wangeweza kupewa wakati wa Mkoloni na ilikuwa na nafasi ya kutosha.
Mohamed Said kwa makusudi haelezi kuwa sababu iliowalazimisha waliokuwa viongozi wa TAA kumfuata Mwalimu Pugu ni kwamba shughuli za TAA zilianza kudorora chini ya uongozi wa Abdulwahid Sykes baada ya kuondoka kwa Dr. Vedasto Kyaruzi, na alihitajika kiongozi bora zaidi.
Mohamed Said anaficha umiliki wa jengo lilitotumiwa na TAA na kwa makusudi anasema Abdulwahid Sykes alishuhudia ujenzi wake siku za Jumapili alipofuatana na baba yake. Asichosema ni kuwa je, walikuwa wanajenga hiyo nyumba kama wamilki wa kiwanja au wajenzi tu?
Mohamed Said hasemi Mwalimu alivyoshinda usiku kucha akisoma katiba na sheria zilizotolewa na serikali kuwezesha kuandikishwa kwa TAA na kuangalia uwezekano wa kuigeuza iwe chama cha siasa na mwishowe kugundua kwamba hilo halingewezekana na kuuarifu uongozi wa TAA.
Mohamed Said kwa makusudi hatambui juhudi za Mwalimu, baada ya kukamata uongozi, katika kuiimarisha TAA kama chombo cha Watanganyika na si Dar es salaam peke yake mpango ambao ulikuja kusaidia sana katika kuieneza TANU baada ya kuundwa mwaka moja baadaye.
Mohamed hakuna darsa hapo! unarudi nyuma. Hii ina matundu mengi sana, imejaa ulaghai. Ngoja tuitafutie muda tuweke wazi kila kitu.
Watumwa waliokuwa waliokuwa wakipitia Zanzibar walikuwa wanapelekwa kwenye mashamba ya wazungu Carribean,Madagascar na hata America.
Hili la kuwaombea wafike salama waendako lilifanywa na makanisa kule Afrika Magharibi.
Wewe unapouliza lini misikiti ilikemea biashara ya watumwa,tukuulize lini umetafuta ushahidi kwa upande wa misikitini ukaukosa.Sijui kwenye makanisa yenu kama kuna sehemu inayokemea biashara hii lakini kwenye misikiti mara nyingi makhatibu wa Ijumaa hutoa khutba zenye makemeo mbali mbali moja wapo ni kutoka aya hii ya Qur'an.لاَ يُؤَاخِذُكُمُ اللَّهُ بِاللَّغْوِ فِي أَيْمَانِكُمْ وَلَكِن يُؤَاخِذُكُم بِمَا عَقَّدتُّمُ الأَيْمَانَ فَكَفَّارَتُهُ إِطْعَامُ عَشَرَةِ مَسَاكِينَ مِنْ أَوْسَطِ مَا تُطْعِمُونَ أَهْلِيكُمْ أَوْ كِسْوَتُهُمْ أَوْ تَحْرِيرُ رَقَبَةٍ فَمَن لَّمْ يَجِدْ فَصِيَامُ ثَلاثَةِ أَيَّامٍ ذَلِكَ كَفَّارَةُ أَيْمَانِكُمْ إِذَا حَلَفْتُمْ وَاحْفَظُواْ أَيْمَانَكُمْ كَذَلِكَ يُبَيِّنُ اللَّهُ لَكُمْ آيَاتِهِ لَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ
Mwenyezi Mungu hatakushikeni kwa viapo vyenu vya upuuzi, lakini atakushikeni kwa mnavyo apa kweli kweli kwa makusudio. Basi kafara yake ni kuwalisha masikini kumi kwa chakula cha wastani mnacho walisha ahali zenu, au kuwavisha, au kumkomboa mtumwa. Asiye pata hayo, basi afunge siku tatu. Hii ndiyo kafara ya viapo vyenu mnapo apa. Na hifadhini yamini zenu. Namna hivyo Mwenyezi Mungu anakubainishieni Aya zake ili mpate kushukuru (Qur'an:Almaida(5):89)
Jasusi,
Niwe credible kwa nani?
Mbona unajidanganya hivyo.Unadhani waliosoma walikuelewa.Natoa changamoto huyo aliyekuelewa aje anifahamishe na mie.Ndio maana nafikiria labda nitoe darasa la mantiq; lakini umefikiria nimeacha kuendelea na hoja hiyo kwa sababu umemenishawishi jidanganye tu. Aliyesoma akanielewa ataelewa jinsi gani hoja yako ilivyo na makosa.
Nyambala... thanks...
[h=2]I know of no abolitionist movement in the Arab or wider Islamic world. There is nothing in the Arab or Muslim world comparable to the largely Christan-based Abolitionist Movement in England and America that brought about an end to slave trade and slavery itself. We are not sure why there was no Islamic abolitionist movement. I assume it was because the Holy Koran clearly scantions slavery. Thus Islamic clerics and theologians, unlike their Christian counterparts, never challenged an institution so clearly scantioned by the Koran. Hopefully our Muslim readers can provide us more information about this. As a result, the British had to work with an Arab world that was not morally outraged by slavery. In fact, the Arab world generally saw religion scanction for slavery in the Koran itself. And there was considerable resistance to British efforts to end the slave trade. The Madhist rebellion in the Sudan in which General Gordon was killed is a prime example. Slavery was gradually abolished in the Middle East, almost entirelky because of British and other Europen actions. And as a result, aolition was not always fully observed by thecArabs. Abolition in many countries was taken under pressure from European countries (mostly the British) or after the creation of European protecorates and colonies.
Ukiangalia hapo utaona kuwa sababu kubwa za kuachana na utumwa ilikuwa ni matatizo ya kiuchumi kutokana na kubadilika mfumo wa uzalishaji.Pamoja na hivyo upinzani wa watumwa wenyewe ndio uliomaliza utumwa kikweli kweli kwani pamoja na juhudi zote kulikuwa na ujanja wa kuendeleza utumwa kichinichini.Why was Slavery finally abolished in the British Empire?[/h]In July 1833, a Bill to abolish slavery throughout the British Empire passed in the House of Commons, followed by the House of Lords on 1st August. There has been a lot of debate over the factors that contributed to the final success of the bill:
The act, however, did not free enslaved people immediately; they were to become "apprentices" for 6 years. Compensation of 20 million was to be paid to the planters. Protests finally forced the government to abolish the apprenticeship system on 1st August, 1838. .
- A change in economic interests. After 1776, when America became independent, Britain's sugar colonies, such as Jamaica and Barbados, declined as America could trade directly with the French and Dutch in the West Indies. Furthermore, as the industrial revolution took hold in the 18th century, Britain no longer needed slave-based goods. The country was more able to prosper from new systems which required high efficiency, through free trade and free labour. Cotton, rather than sugar, became the main produce of the British economy and English towns, such as Manchester and Salford, became industrial centres of world importance.
- Resistance by enslaved people. Enslaved people had resisted the trade since it began. However, the French Revolution brought ideas of liberty and equality, which inspired those seeking an end to slavery (for example, Toussaint L'Ouverture who led a successful slave revolt in Haiti). Major slave revolts followed (Barbados 1816, Demerara 1822 and Jamaica 1831-1832); they reduced profitability and gave a strong indication that, regardless of politicial opinion, the enslaved people were not going to tolerate enslavement. The revolts shocked the British government and made them see that the costs and dangers of keeping slavery in the West Indies were too high. In places like Jamaica, many terrified plantation owners were finally ready to accept abolition rather than risk a widespread war.
- Parliamentary reform. When parliament was finally reformed in 1832, two-thirds of those who supported slavery were swept from power. The once powerful West India Lobby had lost its political strength.
- Abolition campaigns and religious groups. The demand for freedom for enslaved people had become almost universal. It was now driven forward, not only by the formal abolition campaign but by a coalition of non-conformist churches as well as Evangelicals in the Church of England.
Nakushukuru kwa kunitambua kama mtanzania mwenzako na sio kama kafir! au mgalatia.Gwalihenzi,
Ndugu yetu Mtanzania mwenzetu, usiharibu mjadala! we msomi bwana hivyo twende kisomi somi!
Mohamed,
Uwe credible kwetu. Umesema kuna mwenzetu katuletea bandiko la wazungu kuhusu harakati za TANU. Hapo hapo unasahau kuwa huyu aliyeyaandika hayo alikuwa wakili wa Migeyo huko Bukoba, na alikuwa wakili wa Nyerere katika kesi yake na serikali ya wakoloni. Kwa kifupi huyu mzungu aliaminika kwa TANU.
Kadogoo, jaribu kuwa mkweli katika nafsi yako na taifa lako la Tanzania, tuambie watanzania wenzako ni shule gani ya serikali kuanzia msingi na kuendelea iliyowahi kumkataa mwanafunzi kwa sababu ya dini yake ya kiislam?Utumwa hauishii ktk enzi hizo tu! hata leo Waislamu wa TZ kudhulumiwa haki yao ya msingi ya kupata elimu ni Utumwa!
Haya ndio maneno yanayoandikwa na msomi wa madrasa aliyebobea, ukimwita mpuuzi atakuja na makalele ati katukanwa!
Boko, mbona unateseka sana kutaka kunisilimisha? nakwambia hivi, mungu wako hana maana yeyote kwangu! unaweza ukanifananisha na chochote unachotaka lakini ukweli unabakia palepale kwamba wewe na zee lako Mohamed Said mnaitumia vibaya dini yenu kwa manufaa yenu binafsi bila kujali maafa ambayo mmeanza kuyasababisha katika nchi yetu. Uislam wako wewe na Mohamed Said sio wa mungu wawaislam wa kweli ila wa mitumbo yenu yenye tamaa!Gwalihenzi si ubaki tu kama msomaji au unatafuta umaarufu uonekane mtu wa maana kumbe wewe dhaifu kama nyumba ya buibui kwasababu katika dunia hii nyumba dhaifu kuliko zote ni nyumba ya buibui au kwa kithungu (spider) wewe ni sawa na bui bui kama unabisha soma hapa chini Sahih International
The example of those who take allies other than Allah is like that of the spider who takes a home. And indeed, the weakest of homes is the home of the spider, if they only knew.
Asante mkuu kwa makala hii.Wenzangu sijui nawarudisha nyuma au vipi. Ila nimekutana na article nzuri sana ya mzungu mmoja aliyeshiriki kikaribu sana katika harakati za uhuru wetu. Ameshiriki kwa karibu sana na kina Nyerere, Kawa, Kambona, Sykes, Jamal na wengineo. Article hii utaikuta:Shortly after independence, Tanganyika and Zanzibar merged to form the nation of Tanzania in 1964. Nimenakili ukurasa wa mwanzo;
Nyereres appointment as history master of St Francis College, Pugu, near Dar-es-salaam, was officially made on October 9, 1952. The decision had actually been taken when Father Walsh told him in England that the three top classes of St Marys College, Tabora, Were being transferred to Pugu, Where the catholic Hierarchy was setting up its first territorial secondary school in Tanganyika. Nyerere was now offered a salary of 300 pounds; after a lot of argument between Father Walsh and the Government, this was raised to 450 pounds, plus a thirty-five per cent living allowance.
Naturally Nyerere made haste to see his nationalist friends in Dar-es-salaam. He had read, while in Edinburgh, accounts of their performance before the constitutional committee; now he heard details, which lost nothing in the telling. Yet these excited tales invariably ended in sadness, with an account of the Meru case. After the wedding, when taking his bride from Musoma to the capital, Nyerere stopped in Mwanza for a discussion with Hamza Mwapachu and Abdullah Fundikira, old friends from Makerere days. They agreed to write essays on various subjects: Fundikira on agriculture, Mwapachu on social development, and Nyerere on political theory. All of them were quietly preparing for the day when would embark on political action.
In February, 1953, Julius and Maria started life in Pugu in a new house built for them, with a reasonable salary and the prospect of three of three peaceful, studious years. Soon Nyerere began to meet new people, some as intelligent and stimulating as those he had left behind in Edinburgh.
One of them was, Amir Jamal, a young Asian business man with a first class brain. Born in Tanganyika in 1920, he went to school there and then to India by train as a doctor. Despite his high marks, he could not get into the overcrowded Medical Faculty of Bombay University and therefore studied politics and economics. Back in Dar-es-salaam in 1942, he entered the family business. Financial success, however, did not satisfy him. He was looking for something more important, more creative than lucrative transactions. In the autumn of 1953, at a British council sundowner, he met Julius Nyerere. They only exchanged a few words, but Jamal had the feeling that this was a man well worth knowing. He wrote to but received no reply. Later on Majorie Nicholson, Secretary of the Fabian Colonial Bureau (now the Fabian Common wealthy Bureau), told him to get in touch with Nyerere. To his second letter, mentioning her name, he had an apologetic answer and a meeting followed. This was the beginning of a relationship which was to develop into a close friendship.
Another man Nyerere met at this time was Fraser Murray, a barrister and an idealist who, during the war, had served with the K.A.R and lost an arm in Burma. His wife, Moira, because secretary of the Tanganyika Council of Women, founded by Lady Twining in 1953. The purpose of the T.C.W. was to bring about co-operation between Europe, Asian and African women.
European and Asia women got on well, but the gap between the European and Africa women was enormous. Mrs. Murrays office was at the Arnautoglu Community Center, run by Denis Phombeah, a Nyasa, at that time in the thick of African affairs. His closest friends were Oscar kambona and Zuberi Mtemwu, who in 1962 was to oppose Nyerere in the presidential election. All of them were much influenced by Jimmy MacGairls, a remarkable Scot who did more for Africans in urban areas than any other European. A Community Development Officer, he started his activities in the Arnautoglu Community Center in Dar-es-salaam, on a brother-to-brother basis. News of this got around quickly and young Africans flocked to him. One of them was Rashid kawawa, who obtained his first social service job on McGairls recommendation. Murray was much concerned about these young men, and the thoughts awakening in them. To give them an opportunity to clarify their minds, he invented them to his house. Julius Nyerere, whom he had met through his wife, was among his guests.
We had a little group which we called the oracle (Murray has told the author). Our idea was to run it on the lines of an Oxford discussion group. A nucleus of eight people formed the oracle, its mainstay being two Asians, Amir Jamal and Eddy Copper, my two oldest friends in Tanganyika. Copper, a builder, was also the oracles secretary. It was a non-racial group, including a few broadminded Europeans, such as Basil Thompson, Who had a genuine approach to people, regardless of their colour. Every Friday we used to meet in each others houses without refreshments, as these might have embarrassed the Africans who could not have afforded to return the courtesy. The hosts duty was to get some one to lead off the discussion.
On Friday the meeting was held at Amir Jamals house, and he introduced Julius, saying that he would talk on conscription. This was at the time of the Mau Mau emergency in Kenya, when security and military preparations were in everyones mind. I cannot remember all Julius said, but I remember that all of it was sensible. Fraser Murray told his friends about Nyerere, predicting that he would become Prime Minister of Tanganyika one day. Randal Sadleir, then Assistant Secretary for Legal Affairs, asked to meet him. This was arranged to take place at the Cosy Café in Dar-es-salaam, where the three argued until 2 am. Over brandy for which Murray paid. Sadleir was greatly impressed by Nyerere. It was a common myth that I was the power behind Julius and Tanu (Murray has said) I never gave advice. Julius knew that I supported him politically, but it was much more important for me that I was his friend. Later I did legal work for Tanu. The first big case was that of Ali Migeya, in Bukoba. He was an early again the Government chap, basically bolshy, but not a political figure. At that time Tanu was just a dirty word; it was almost seditious to talk about Tanu. I brought Migeya before a D.C who was a friend of mine. This was the first time that Tanu defended one of its own members. Julius attached such importance to this that he met me at the airport when I returned from Bukoba. Later I tried many big Tanu cases, and defended Julius himself in 1958.
Hili tope la sensa serikali yenyewe ya mfumokristo imeamua kuwavimbia tu kila mtu aliyejadili bila kutaka kulitafutia ufumbuzi.Mara Ponda.....mara Radio Imaan................aibu tupu kwa utawala wa kidemokrasia.Mkuu Nguruvi hili la sensa ya 1957 Mohamed analikwepa kwa sababu linakinzana kwa kiasi kikubwa sana na hoja zake mwenyewe. Na hii ni baada ya kugundua kwamba hapa JF sio mahali pa kurusha minamba tu unatakiwa unyumbulishe. Summary ya sensa hiyo ni kama ifuatavyo.
Ikumbukwe kuwa sensa hii kama ilivyoripotiwa ndani ya kitabu African census report, 1957 sensa na kuripotiwa na serikali ile ile iliyoripoti sensa ya 1967. Sensa ya 1957 ilikuwa reported in 1963 by government printers.
Sasa dai la Mzee Saidi ni kuwa eti hiyo idadi ya wakristo iliiyoongezeka mwaka 1967 ilitoka wapi majibu yapo kwenye hilo jedwali. 44.2 in 1967 walikuwa wapagani au hawakujisikia kutaja dini zao. Mkwa mtu wa takwimu hili ni mojawapo ya jibu kuhusu ongezeko. Lakini pia ni Mzee Saidi huyu huyu amezungumza kwa fahari humu ndani kuhusu walimu wa kwanza Tnganyika ambao walikuwa ni "converts" waislamu sasa iweje kwenye sensa ailifikirie suala la converts?
Hii sensa ina kurasa 109, imeanalyze ukabila, mahali pa kuzaliwa , gender nk.
Mzee Saidi tuonane wikiendi.
Kadogoo,
..sasa mawaziri wa elimu ni Dr.Shukuru Kawambwa na Dr.Ali Juma Shamhuna.
..je, unawatuhumu mawaziri hao Waislamu kuwatumbikiza Waislamu wenzao Utumwani??
..tunajadili mambo ya msingi hapa halafu unaleta masihara.
Na kwanini uwe "credible" wakati kwenye mihadhara watu hawajali unasema kweli au unadanganya! wewe ukiangusha "takidri" wao watajibu kwa hamasa " Allah ..." Naona Jasusi anataka kukuchosha tu hana mpya! achana naye!Jasusi,
Niwe credible kwa nani?
Ritz, hao wazee wakiswahili wa Kariakoo ndio watu gani tena?Mag3,
Hizo ngano zako endelea kuwalisha wenzako msome vizuri Nyerere hapo juu anavyoelezea mwenyewe harakati za uhuru wa Tanganyika alikuwa na kina nani na alipelekwa na nani kwa kina Abdulwahid.
Nenda kamuulize Mama Maria kuhusu Nyerere alivyokuwa anaishi na Wazee wa Kiswahili Kariakoo tufahamishe hiyo mikutano mingi ya TAA iliyokuwa inafanyika Pugu kwa Nyerere ni ipi? Nyerere mpaka anaingia kaburini hakuwahi kusema hizo ngano zako za Pugu.
TAA imeanza kupata nguvu baada ya Abdulwahid na Mwapachu kufanya mapinduzi walipochoshwa na uongozi wa wazee bila ya kumshauri mtu yeyote waliivamia ofisi ya TAA na kufanya mapinduzi kwa kumtoa msobe msobe Clement Matamila na kuitisha uchaguzi.