Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


AMI,
Hawa ndio wale waliojazwa Hisohistoria ya asili ya binaadamu ni NYANI!!!!
 
Wewe ni unajua zile 3Ks za CCM. Kusoma, kuandika na kuhesabu.
Hamna zaidi.
Unfortunately, unafikiri kuwa una uwezo wa ku- analyze issues. Na unafikiri unajua...
Inasikitisha.

Sasa ngoja nikuulize swali unaloweza kujibu wewe kama mwarabu,
Rejea tena Post ya Joka kuu aliyomuuliza Moh Said kuhusu Arab activist aliyeshiriki kwenye harakati za uhuru hapa nchini, Je unamfahamu Mwarab yeyote aliyeshiriki?,
 
Ami, hakuna anayeweza kukuelimisha wewe kwa kuwa akili yako yote umemkabidhi Mohamedi Saidi. Akili yako haina uwezo wa kupokea kitu chochote nje ya mawazo ya kidharimu ya Mohamed Said! ukilala una muota Mohamed, ukisoma unamsoma Mohamed, ukipumzika unamuwaza Mohamed Said " To you, Mohamed Said is everything".
 
Nakushukuru kwa kunitambua kama mtanzania mwenzako na sio kama kafir! au mgalatia.

Gwalihenzi;

Hapana, sisi sote ni Wa TZ! ila siwezi kubadilisha kauli ya Mwenye enzi Mungu kuwa, Sema: Enyi makafiri! mimi siabudu mnachokiabudu, Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu, Wala sitaabudu mnacho abudu, Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu, Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. (Qur:113)

Tanzania katuumbia Bwana Mungu tuishi humu humu hata kama tunaimani tofauti! la muhimu ni kila mtu aheshimu dini ya mwenzake na muhimu zaidi ni kuvumiliana! mfano: Wewe unaamini kuwa Yesu ni Mungu na ukiimba na kutangaza kila mahali hivyo sina budi nivumilie lakini na wewe pia huna budi kuvumilia pale mimi ninapotangaza kuwa Yesu si Mungu! hayo ndio mafundisho ya dini yangu! Gwalihenzi unakubaliana na mimi?
 
Kadogoo, jaribu kuwa mkweli katika nafsi yako na taifa lako la Tanzania, tuambie watanzania wenzako ni shule gani ya serikali kuanzia msingi na kuendelea iliyowahi kumkataa mwanafunzi kwa sababu ya dini yake ya kiislam?

Gwalihenzi,
Unaturudisha nyuma tena! hutaki tukiri kosa na kusahihisha yaishe tusonge mbele?
 

Gwalihenzi,

Usiseme hivyo ndugu yetu, hiyo kauli yako haina ishara nzuri! wewe ni msomi mahiri kwanini unapenda kutumia kauli alizopenda kutumia Farao? alikuwa akimkanusha Mungu na mwisho, wakati maji yamefika shingoni alimkubali Mungu na kusema sasa anamwamini Mungu wa Musa na Haruni! unataka kuwa kama yeye? hapana usifanye hivyo!
 
Duh! Kadogoo, hayo umeyatoa wapi? mimi siamini kama kuna mungu, na kama yupo basi hawezi akawa kama huyo aliyeandikwa kwenye vitabu vyenu. Nimesoma historia ya Mohamed na Yesu kama mitume! lakini ninajali ualimu wao na sio utume wao. Siidharau imani yako wala ya mtu mwingine, lakini ninawadharau sana tena sana watu wanaotumia imani zao kwa manufaa yao binafsi na hasa wanapotaka kufarakanisha jamii inayoishi kwa mshikamano kama tulivyo watanzania. Ubaya/uovu uitwe uovu na uchukiwe na upigwe vita hata kama umefanywa na mkristo, muislam, asie amini...
 
Na kwanini uwe "credible" wakati kwenye mihadhara watu hawajali unasema kweli au unadanganya! wewe ukiangusha "takidri" wao watajibu kwa hamasa " Allah ..." Naona Jasusi anataka kukuchosha tu hana mpya! achana naye!

Baba vipi hapo kwenye red ni lugha gani ni ki phillipino au kichina umevamia usivyovijua
 
Kadogoo, kwanini unanitisha na unaniogofya kwa kutumia imani yako? si uniache niangamie ili baadae niwe mfano wa kujifunzia kama vile Farao anavyotumika kuwafundishia waumini wenzako? ama hupendi mtu mweusi awemo kwenye misahafu yenu kama mtu mbaya?
 
Bwana mdogo umekurupuka, inaonyesha kuwa masuala ya hisabati na hasa takwimu ni tatizo. Haya twende hatua kwa hatua.



Hiyo hapo juu sitajibu kwa kuwa haikuwa sehemu ya nilicho-present.


Hapa ndiyo umethibitisha ukurupukaji wako, hayo maandishi yanaendelea kilichotolewa hapo ni extraction tu. Hivi hujiulizi kwa nini mwalimu wako hajatokea kujibu hii post? Anyways hilo la wapagani, si ni mzee saidi amenukuliwa na si mara moja kwamba hao wanaoojiiita wapagani ni geresha tu wote ni wakristo? Kula darsa kwa jedwali lingine hapa chini huu ni mchanganuo wa population kimajimbo (Muulize mwalimu wako jimbo la Eastern lilikuwa ni mikoa ipi na ipi)



Hapo juu hiyo ni pumba pasee.

Jibu lake nadhani umeliona kwenye hilo jedwali jipya.


Kwa ujumla ni kuwa idadi ya waislamu bado iko juu na kukataa serikali kuingiza kipengele cha dini kwenye sensa kwa shinikizo la makanisa ni kukwepa ukweli wa idadi ya waislamu Tanzania.
Hakuna aneyekuzuia kuamini unachoamini, cha msingi lete facts.

Bila sensa nyengine ya kuangalia dini za watanganyika hoja na jedwali ya sensa ya 1957/1967 si chochote si lolote kutetea uchache wa waislamu kwenye nafasi za masomo ya sekondari na vyuo kama ilivyomshinda Nguruvi.
Mimi siko huko, eti kwenye "kutetea uchache wa waislamu kwenye vyuo na shule za sekondari" mjadala ni je sensa ya 1967 ilipikwa ili kuonyesha wakristo ni wengi? Je ni vipi serikali ile ile iliyochapisha matokeo ya sensa ya 1957 yaliyotoka 1963 yaaminiwe halafu yale ya 1967 yaonekane kupikwa?

Bwana mdogo hii sensa ina kurasa 109, na uzuri wake imeanza kwa kuelezea mapungufu, mojawapo ni kuwa hii ilikuwa ni sensa ya watanganyika weusi tu, ilikuwa na limitations ya umri, kuna mahali haikufika, Lakini pia imeonyesha ni makabila yapi yalikuwa na watu wengi wakati huo, vipi unahitaji jedwali lake? Je hao waliokuwa wengi kikabila nao si wanatakiwa wajitokeze kudai haki yao kama inavyodaiwa kidini? Mwalimu wako ameshaitumia sana hii sensa kujengea hoja za kizushi, yes za uzushi. Sasa this tyme tunataka na hili nalo tuweke records straight. Ntanguliza Samahani sitakuwa na muda wa kujibu zisizokuwa hoja kulingana na mjadala huu.


 

Baba mbona hujiamini mara huamini mungu, mara kama yupo si kama huyo wa vitabu venu baba naona mirembe inakuhusu msomi kama wewe hujielewi DAH MODS NIMEWAOMBA MUWEKE NA FIMBO HUKU SIO LIKES TU NAWAOMBA TENA WEKENI NA FIMBO HUKU KUNAWATU BILA BAKORA HAWAENDI
 
Kadogoo,

"Takidir" ndiyo nini kuna ndugu yetu katoa darsa na hilo neno.
Ritz, mnapo hamasishana kwenye mihadhara yenu huwa mnatumia maneno gani vile? NA wale wazee wa kiswahili wa kariakoo uliosema tukamuulize mama Nyerere ndio wapi hao?
 
Boko, akili yako ni ndogo kama ya kuku, pole sana!
 
Hapa inaonekana habari za utumwa zimewashinda.
Kuhusu mwarabu aliyeshiriki harakati za uhuru mimi namjua Ahmed Salim baba yake Salim Ahmed na wako wengi wengine.
Tusimame hapo nikuulize kwani mwarabu kushiriki harakati za kudai uhuru kuna ulazima au umuhimu gani?.
 

Boko Haram.

Jamaa kajiumba mwenyewe, kuna jamaa moja pale upanga alikuwa naye kama huyu akapata maradhi ya moyo ukimkuta kitandani analia tu ovyo kama mtoto mungu nisaidie, mungu nisaidie.
 
Kadogoo,

..hayo ni masuala ya Wamarekani.

..I dont pay too much attention to that, as long as hakuna Mtanzania anayeteseka huko.

..Stick na masuala ya Tanganyika, au ukipenda Tanzania bara.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…